Karibu nyumbani Samanta, drc tunakupenda pia. Wewe utapewa ulaiya wa Congo tu!😂😂❤
@CONSTANTINOROMAN-ys7thАй бұрын
Crown
@omarbushirАй бұрын
Captain material 🙏🙏
@pascalvitalisАй бұрын
Crown media ni watu makin tu... Dogo anahoj vzur
@hanifamasudi9732Ай бұрын
Karibuni congo 😂😂😂😂
@JamesGiligitaАй бұрын
Sawa ni captain lakin majivuno mengi sn
@UrassaPaschalАй бұрын
El capitano Samatta Popa 10
@RashidMohammed-w9hАй бұрын
Mbwana Samata inshallah kwa uwezo wa Allah wafunge midomo wanafik na wachambuzi mchongo
@HamisiMwazikeniАй бұрын
Captain
@anithawidambe7543Ай бұрын
ASANTE SANA MBWANA SAMATA TUNAKUPENDA SANA SAMATA
@davidwatson6821Ай бұрын
Mbwana hakuna kustaafu mpaka afikishe 40+ tunataka na Msuva pia aitwe Stars
@AkramIbrahim-m6xАй бұрын
Timu Ya Taifa Bora Ukosekane Wewe Kuliko Kukosekana Msuva Msuva Mpambanaji Sn Na Timu Yk Bila Ya Kupepesa Wewe Samata Unajisikia Sn Hufai Kabisa Ndio Hivyo Tu
@taseleli9181Ай бұрын
Binadamu Kwa maneno mmmhhh waliomwita wameona umuhimu wake anaringa nini wivu tu!
@oswardmsigwa5728Ай бұрын
Huyu ni kama Ronaldo uwepo wake uwanjan ni tishio tosha kwawapinzan wetu
@Maarifasnr-gu6dpАй бұрын
Striker la boli
@braystuskibassa3842Ай бұрын
Kwao kama kwetu
@aronmilinga7303Ай бұрын
Shida ww hujitum uwanjan , nahs hata paok unakosa namb kisa hujitum ww, yan Taifa stars ukiw samatta inapoa
@samirsaid2087Ай бұрын
Hapo umesema kweli samata.
@MatokeoJoseph.FonkolАй бұрын
nakuku bali mkubwa samat
@zuhuraabdallah3389Ай бұрын
jembe samatta
@pacomezouzoua9175Ай бұрын
Bora angekuja simoni msuva waga anaisaidia sana taifa starz ila uyu anaetembeaga kwa kuvimba mbinafsi wa kutoa pasi angeendelea kukaa uko uko Benchi PAOK.....
@antonyndinga8890Ай бұрын
Sahihi kaka. Umesema ukweli
@taseleli9181Ай бұрын
Acheni wivu waliomwita wanajua umuhimu wake kila mmoja Kuna anachoonesha uwanjani ndo kinachafanya aitwe