Semaji la CAF ndiye mwenye majibu sahihi na siyo nyinyi wa mitandaoni ambao mna taarifa za tetesi tu
@AbduMerereКүн бұрын
Pumbavu jifunzeni vzuri
@robertsongola603415 күн бұрын
Tatizo Njaa kutegemea KZbin kula ndio maana unatunga uwongo mwingi
@BashiruSadick-y6i18 күн бұрын
Taarifa sahihi mpaka kutoka kwa viongoz tu
@LaurensiaPeter10 күн бұрын
Huu uongo c muupelekege kwenye familia zenu
@eliashagai792018 күн бұрын
Waongo nyie,Semaji la CAF haljaongea ndo mkweli
@OmariShauri18 күн бұрын
Mbona mutale hatujasikia kuvunjiwa mkataba au kwakuwa anachukuwa pesa nyingi?
@MatiasBroo-z7b18 күн бұрын
Anaenda power daynamo.kwa mkopo
@abdallahomaryabdallah18 күн бұрын
Mbona.hao.wkigeni.mbona.hamkuwataja
@AbdallahMtanda18 күн бұрын
Wewe kama mama wa kweli fanya aliyoyafanya Babra kuwaondoa GSM wanatukera sana kudhamini zaidi ya timu (8) ktk ligi moja nimambo ya kishamba na kijinga na TFF wao wanachangia haya pamoja na serikali hii nchi ni dhulma tu yanafanyika mambo hayapo duniani Basi nasisi tunao dhulumiwa tudai haki yetu mbona tunakuwa kama wajinga fulani hatujielewi na viongozi wetu munaangalia tu mwanasheria wa simba upo wapi?
@anithawidambe754318 күн бұрын
USHAURI MSIWE MNAWAVUNJIA MIKATABA YA WACHEZAIWENGI VINGINEVYO MTAKUWA KILA CK MNATENGENEZA KIKOSI. NA WACHEZAJI MJITAHIDI WACHEZA KUWAPA NAFASI YAKUCHEZA ILI KULINDA KIPAJI CHAKE. HAWA WACHEZAJI NI BORA SANA ILA HAWAPEWI NAFASI YAKUCHEZA
@SuleimanMkongwa18 күн бұрын
Ivi na wewe unaamini alichokiripoti huyu fala! 😂😂achananeni na hizo media uchwara
@taseleli918118 күн бұрын
Mambo yote ya uhakika yanapatikana Simba App huku kwingine na blabla nyingi tu