Nakwambia ubonge ambao nilikuwa nao siyo wa inchi hii 😂😂😂😂😂
@upendodaud90924 жыл бұрын
@@queenbibisha1961 hahha@hhaha ongela sana dear na mimi do napambana hapa na dayati ya mayayi nikuulize ivi kwa wiki unaweza kutoa kilo.ngapi kwa dayati ya mayai na apple
@faithbitungwa88354 жыл бұрын
Hongera sana kwa kupungua,nauliza hivii,hii soup ya cabbage unaila mara ngapi kwa siku? Jee unakula hiyo tuu kwa wiki nzima huweki kingine?
@queenbibisha19614 жыл бұрын
Asante sana, kwa siku nakula mara pili mchana na jioni, asubuhi unaweza tumia oatmeal, apple, or green tea, sometime natiya Kiazi kitamu au na kula na matunda
@upendodaud90924 жыл бұрын
Nauliza iv ukitumia dayti ya mayayi na apple unaweza kupungua kil ngap kwa wiki
@queenbibisha19614 жыл бұрын
Yani ukiifata vizuri kabisa Kwa week unalose 10 pounds
@upendodaud90924 жыл бұрын
@@queenbibisha1961 yaani nakupenda ujui tu nitakuja malekani walai 😂❤❤ nimeanza jna dear niombee nitakup malejesho
@dorothymirambo23952 жыл бұрын
huwa unapungua na mikono maana unaweza pungua tumbo ila mikono ikabaki minene