Ukimsikiliza vizuri uyu dada alafu utapeliwe pesa na agentsa ntakushangaa Sana.
@SaraphinaKweka-rp1lg7 ай бұрын
Wee Dada unaelezea vizuri sana Mimi nataka kwenda Canada kwenye vibarua vya kuvuna mazao ni kipindi watu hua wanapenda my dear🙏
@emmanueljames2895 Жыл бұрын
Darasa zuri sana hasa kwa yule ambae yuko kwenye mchakato wa safari
@user-hp4mq3gy8k9 ай бұрын
Naomba no yasim ya wassup itakuwa bora zaidii sista uko sawa
@godwinaxwesso872611 ай бұрын
Asante madam, hayo madini adimu yanafichwa sana na ndugu zetu waliotangulia kuja ughaibuni. Wengine wametublock kabisa
@johnochora8438 Жыл бұрын
Dada hongera sana somo zuri sana
@hemedhemed8590 Жыл бұрын
Asnte sana kw elimu yko nimekufahamuu vizuri sana km utapenda naomba no yko mie
@willsonsamwel11584 ай бұрын
Safi Sana dada
@OmmysniperTV3839 Жыл бұрын
Wewe kwangu Mimi ni mwalimuwangu namba Moja wa maswala ya ugaibuni
@jacquelinepalangyo4129 ай бұрын
Sasa dada jese km nimealikwa na mtu yupo kule na yy ndo analipia flight na naenda kufikia kwake na invitation letter ananitumia,hii ubalozini inakuwaje,na nina pasport bado ni mpya cjawahi safiri itakuaje?
@godwinaxwesso872610 ай бұрын
Jinsi gani ya kupata makampuni ya kuajiri Canada na miji gani ambayo ni cheap kwa maisha?
@ChontichipyaChontichipya-if6ct11 ай бұрын
Sister uko goba seem gani nije
@annamussa18511 ай бұрын
Sister nahitaji Kuja USA naomba tuwasiliane naomba unitumie number yako unayotumia watsap plz
@preciousbocco144510 ай бұрын
Unapatikana wapi?
@emmanueljames2895 Жыл бұрын
Nimekuelewa sister..naomba namba yako ya WhatsApp tafadhali
@nahiriali1405 Жыл бұрын
Mwalimu mbona email ✉️ hujaweka wengine tunataka ushauri wa private