Watu wengi hunyimwa viza wanapoenda ubalozini. Wengi hawajui sababu za wao kunyimwa huku wakiwa na documents zote zinazohitajika. Hizi hapa ni sababu za msingi ambazo hufanya watu wengi wanapoenda ubalozini kuomba viza kukosa
Пікірлер: 62
@yohanamaugila7432 жыл бұрын
EBM asante sana kwa hili darasa nimefatilia video zako nyingi kiukweli umenifumbua sana macho na ufahamu wa akili,nina imani ndoto yangu itatimia kupitia mafunzo yako na mwongozo unaoutoa!!!barikiwa sana
@YahyaGodwin3 ай бұрын
Kaka unafanya kazi nzuri kwa kutupatia elimu pana kuhusu masuala mbalimbali ya visa na ushauri wa mambo ya safari na maisha ughaibuni.
@MAASAIWITHPASSPORT2 жыл бұрын
Thanks for sharing
@MAGDALENAJOSEPHRUSIMBI-ye5yg Жыл бұрын
Uko vizuri mwanangu. Nitakuja huko mapema mwakani, nitakuafuta.
@petermichaelmshana86002 жыл бұрын
Kaka unafanya kazi nzuri sana ,wewe pamoja huyo rafiki yako uliyekuwa unamhoji ,(truck owner)
@madjidfine42952 жыл бұрын
Daaaaah mungu akulinde kiongozi wetu mzuri
@alistidiusjohn37572 ай бұрын
😂😂😂😂 huo ni mchakato😊
@ZainaMAlly2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@ngoynzoagermain Жыл бұрын
Pamoja sana mkuu 5/5 🇨🇩🇨🇩
@hamzamafita40252 жыл бұрын
Hi EBM sisi tupo kanda ya kati dodoma.nafahamu mtaendesha semina dar tar 02june 2022.tunaomba semina hiyo ije na dodoma isiishie dar tu.tafadhali tunaomba semina ije UDOM.halafu muitangaze jamani tunahitaji sana.dar ni mbali.kwa sisi wa kanda ya kati.nadhani uongozi utaifanyia kazi.
@OmmyTchalla2 жыл бұрын
Channel number moja kwa madini makali/matata Tanzania, East Africa.
@catherinekazinja6612 жыл бұрын
asante kwa ujumbe huu, pia elezea namna ya interview wakati wa viza unavyokua, maana pale kwenye interview unakua na vielelezo vyote hakupi nafasi ya kuonesha documents zote, hii inaleta ukakasi fulani, kama ulivyosema anakuwa na majibu yake kichwani. utaratibu wa interview sijaupenda kabisa maana hakupi hata nafasi ya kuzionesha documents zote hata kama unazo.
@isaacsinkalas83662 жыл бұрын
Nashukuru sana mama yangu kaomba viza ya marekani zaidi ya mara 3 nakosa naamini hii video imetupa mwanga asante sana kwa elimu hii
@gracekagoma32312 жыл бұрын
Ahsante sana home boy
@emmanuelndoshi80992 жыл бұрын
Asante sana umenifumbua akili Mungu akubariki.
@aminijuma96272 жыл бұрын
Ebm nakuelewa Sana kaka
@alibin77602 жыл бұрын
Mungu akuweke
@akilimalikapuru63512 жыл бұрын
Help brother mimi ni mkimbizi myaka 28 Zambia naomba ushauri kwakuwa nifike uko na jamaa langu.asante nasubiri jibu lako kwa hamu na ubarikiwe.
@PiliSepete2 ай бұрын
😊😊
@fatumahengo68492 жыл бұрын
Tunashukuru sana kwa maelekezo yako hata mimi nilikuwa nalaum sana baloz zao kwa nini wanakuwa wagumu kutoa visa
@irenemichael4 ай бұрын
Waelezaj wooooooooooooooooooote Leo nimepata jibu
@juliusmatalu61732 жыл бұрын
Ninafurhia sana kwa jitiada sako kuelimisha watu. Nimekuja Denmark kwa miezi 3. Waafrika tubadilike muda wa kuwalaumu hautatusaidi tutimize vigezo
@HassanHassan-si2rt2 жыл бұрын
Naomba namba zako kaka tafadhali
@Laila-ke9bw9 ай бұрын
❤❤❤
@hassanabdallah35332 жыл бұрын
kaka je namna ya kujukuwa ulaiya wa mnchi nyingine ukoje kama kuchukuwa ulaiya wa malekani
@keywordresearch73622 жыл бұрын
Kwann mnakimbilia nchi za watu jmn mm Nina mjomba wangu aliendaga 2002 ajawahi kurudi bongo tena amekuja kurudishwa 2019 amekufa yaan kwetu haina maana kabisa mtu ukizamia nchi za watu sababu ya pesa ukasahau kwenu ni kama umekufa tu huna tofauti na mtu aliyekufa maana ndugu zako hawakuoni tena hata kama huko nchi nyingine unaishi. Please mkienda nchi za ugenini mkumbuke kurejea kwenu mapema sio mnarudishwa mmekufa
@Mpakauseme2 жыл бұрын
Sasa si mjomba wako na akili yake mbovu wewe unafikiri watu wote wana akili kama ya mjomba wako
@jovovichmedia94242 жыл бұрын
😂😂😂😂
@kulwarichard48492 жыл бұрын
@@Mpakauseme 🤣🤣🤣
@hamzamafita40252 жыл бұрын
The great makulilo katika kitu ulichonifurahisha ni kutusaidia kwa malipo kidogo ya kutujazia DV lottery 2022 october.endelea kutuelimisha.
@NduguEzekiel2 жыл бұрын
We bado mdogo tulia
@NawalarafatraisArafatraisАй бұрын
Mmh
@bonifacejames24312 жыл бұрын
Brother ahsant sna kwa kazi yako nafuatilia sana kazi yako Ila nilikuwa na swal kwamba unaweza kupita immigrants visa Bila green card lottery
@safijeanne62232 жыл бұрын
mimi niko marekani nataka kum Katie mume wangu viza nifa nyeje
@NcabukorokaMsafir Жыл бұрын
Ebm naomba kuliza je kama hauna mashamba wala nyumba itakuaje kwenye mahojiano ubarozin
@godfrey68842 жыл бұрын
Kaka mfano unataka kuomba visa kuja kwenye mkutano wa dini inakua na nguvu kwenye kuomba?
Kwa hiyo huko wanaenda wanaojiweza tu Mbona wao hawafanyiwi hivyo
@bizimanasaid8952 жыл бұрын
Mimi nikazi waRwanda ila naomba ufafanuzi Nina kijana amesoma kamaliza should sasahivi Ni driver waroli he anapitia njiagani
@Nutritio-z8v2 жыл бұрын
Birthday 🎉😃😃😃
@MS.independent89342 жыл бұрын
Kwelii kigoma tunatoka watu wenye akilii haswaa ahsate my kaka 🙏🏼🙏🏼
@stanslausmteme84552 жыл бұрын
Sioni chochote cha msingi hapa
@davidkihiga35312 жыл бұрын
@@stanslausmteme8455 mpe analostahili na umtie moyo . Wengine tulikuwa hatujui . That's great pal keep it up
@sharonshioni77372 жыл бұрын
Nauliza ukishinda green card ya kuja marekani,je,sehemu utakayo kaa na air ticket watafuta mwenyewe?
@farikkaqueen23672 жыл бұрын
nope you got pay it!
@farikkaqueen23672 жыл бұрын
mommy paid me and the of my families.
@BarakMoo Жыл бұрын
Mr Ebm wee umekaa km Baloz mwenyw ,Hongera san Mr Mudi From Zanzbr
@jonathanofficial73502 жыл бұрын
Nivizuli saaan
@JohnMwakulima Жыл бұрын
kiongozi habari ya uzima mimi naitwa john mwakulima mkazi wa dar es salaam nilikuwa nomba namba unayopatikana nikutafute ili unieleweshe vizuri kunakazi nataka sasa hiyo nataka tuongee in box samahani lakini
@Mpakauseme2 жыл бұрын
Wazungu watawapaje waafrika visa kilahisi kama vile wao wanavyo kwenda africa kama wanakwenda kariakoo 🤣 Hawawezi kukupa visa kilahisi kazi yake ni kubwa pia na ni bahati sana kupata, labda upate ndoa lakini si kwamitindo mingine yakutubu
@petermichaelmshana86002 жыл бұрын
Endeleeni kuelimisha watu na ikiwezeka mtuunganishe na sisi kwenye hizo nafasi
@farajalaizer47072 жыл бұрын
BIRTHDAY 😳😳😳 😂😂😂😂😂
@bizimanasaid8952 жыл бұрын
Nilifatilia wewe nimwanaume nakazi unazizifanya zakusaiidia watu mungu atakulipa
@kabhikachambala33922 жыл бұрын
Hahaha
@kingkendrickk2 жыл бұрын
Umewapa points za msingi
@husseinpacha34622 жыл бұрын
Kaka nikiwa nimeowa mwanamke wa marekan yeye yupo uko marekacan nachukuwa viza gani nikaish uko