Epuka haya 2024 ili usinyimwe visa

  Рет қаралды 2,032

Jesse Vlog Swahili

Jesse Vlog Swahili

Күн бұрын

Пікірлер: 53
@JohnFocus-l8g
@JohnFocus-l8g 9 ай бұрын
Dadangu kama kwli unaitaji kutupa helimu yakutosho naupo goba TU hpo tupangie siku tualike popote maeneo ya goba nautupe helimu yakutosha zaid 🙏
@samwelirukondagwahula8211
@samwelirukondagwahula8211 3 ай бұрын
Dada yangu nakupongeza sana .wewe ni mkweli .mungu akubsriki sana .
@DavidSondela
@DavidSondela 3 ай бұрын
Uko sahihi kabisa
@Nuweraneves
@Nuweraneves 9 ай бұрын
Mamb tunashukur Sana kwa elimu unaotupa
@GabriellaMakatu-jf2lq
@GabriellaMakatu-jf2lq 8 ай бұрын
Nimependa mada zako ziko vizuri sana
@magrethsemindu8699
@magrethsemindu8699 6 ай бұрын
Barikiwa sana dada, naomba kuonana na wewe plz,nipo hapa madale
@tagomshana4032
@tagomshana4032 18 күн бұрын
Dada Mimi nipo Canada niliingia kwa barua ya mealiko lakini Mimi nimependa nitafure kazi uku je nafanyaje cna kitambulisho chochote Cha kazi lakini najua kukea wazee maana ata Tz nilikuwa nnafanya
@RirikGharib-rg9df
@RirikGharib-rg9df 9 ай бұрын
Dada upo vzr tunakuelewa
@Naomi-qj7fu
@Naomi-qj7fu 4 ай бұрын
Wengi matapeli
@Nuweraneves
@Nuweraneves 9 ай бұрын
Nimecheck coutry ingine ya UE ambae minimum of bank statement ni 14£ per day ni Latvia, kuna Italy pia si mingi kuna Iceland minimum ni 28.83£per day, kuna Finland pia per day ni 30£, kuna Netherlands nimeona ni 34£ per day, Poland pia si mingi ni kama Italy haraf Una zidisha na days zenye unataka kukaa
@jessevlogswahili
@jessevlogswahili 9 ай бұрын
Yes
@LameckMihayo-r3t
@LameckMihayo-r3t 9 ай бұрын
mm nimesomea Geology and mineral exploration level ya diploma, naomba kuuliza naweza pata kazi nikiwa huku .
@MariaMenasi
@MariaMenasi 4 ай бұрын
Sasa tutakuona wapi
@suzanajonhnyodwa1561
@suzanajonhnyodwa1561 9 ай бұрын
Sasnte kwa kutupa elim dada.much love from Tanzania❤
@MariettaNyoni
@MariettaNyoni 8 ай бұрын
Sasa dada ww unaalikaga watu mimi natak kuja huko Uk au canada au Us ila sina mtu yeyote wa kunipa mualiko wala sijui chochote
@janety1933
@janety1933 9 ай бұрын
Ahsant sana dada jesse ❤❤
@suleimanbalemba3348
@suleimanbalemba3348 7 ай бұрын
Dada ofisi Ipo sehemu gan Goba kubwa dada
@saidimwanyiro5147
@saidimwanyiro5147 8 ай бұрын
Unaweza kunisaidia host? Kwa canada
@jessevlogswahili
@jessevlogswahili 8 ай бұрын
Umeshapata Viza
@Jurbeg
@Jurbeg 8 ай бұрын
MiMi nimfanya biashala naishi DSM ilaniko South Africa jurbg niseme tuu wedada nimtumishi wa MUNGU sio bulee nimekupeda bulee 🙏🙏🙏🙏
@kibejaden3306
@kibejaden3306 9 ай бұрын
Sasa maxmam inatakiwa uwe na shingapi kwenye akaunt ili ucje kufeli
@raymondmsigwa4821
@raymondmsigwa4821 9 ай бұрын
Dada naomba unitumie namba za watssap ili tuwasiliane uniandalie Safari mwaka huu nahitaji kusafiri.
@gabrielzakaria2810
@gabrielzakaria2810 9 ай бұрын
Tusanue waanike hao matapel maan wametutapel san
@hamzamafita4025
@hamzamafita4025 5 ай бұрын
Sasa unapatikanaje?
@AkidaYazidu
@AkidaYazidu 6 ай бұрын
Sister habari...aisee aufichi kitu huko open kabisa tunaomba pia namba zako au maelekezo zaidi ukifika goba unapatikana vp please
@NavinIsike
@NavinIsike 9 ай бұрын
Dada na mm nahitsji ntakupataje kwa mawasiliano
@auni_tv
@auni_tv 9 ай бұрын
Upo goba sehem gan dada mana nataka ushauri kidog me nataka niende kusoma marekani ila now nataka kitengeneze travel history kwanza me nipo apa kawe kwa mwamposa na goba sio mbali nakupata je unielekeze 🙏
@jessevlogswahili
@jessevlogswahili 9 ай бұрын
Kwa awadhi
@auni_tv
@auni_tv 9 ай бұрын
@@jessevlogswahili email yako tafadhali
@octovinarichard7263
@octovinarichard7263 9 ай бұрын
Asante sana
@shemmsa4771
@shemmsa4771 9 ай бұрын
Naomba namba zako plz​@@jessevlogswahili
@NavinIsike
@NavinIsike 9 ай бұрын
Email yako dada nikucheki
@GabriellaMakatu-jf2lq
@GabriellaMakatu-jf2lq 8 ай бұрын
Naomba namba ilituyajenge
@MariettaNyoni
@MariettaNyoni 8 ай бұрын
Mfanyie ww mualiko
@mukhtarally5819
@mukhtarally5819 9 ай бұрын
Mungu akubariki sana madam i really appreciate but where can i found you ❤❤❤
@jessevlogswahili
@jessevlogswahili 9 ай бұрын
0788 734873
@NizzoboyGnako-pm7ns
@NizzoboyGnako-pm7ns 9 ай бұрын
Barikiwe sana
@MrishoMakenya
@MrishoMakenya 6 ай бұрын
Dada nakuomba nitumie sms kwenye namba hii nipate namba yako
@janethngowi8783
@janethngowi8783 9 ай бұрын
Jessy natamani kupata namba Yako Nije kuonana na wwe nipo mbezi nyuma magufuli stand ni karibu na wewe
@jessevlogswahili
@jessevlogswahili 9 ай бұрын
0788 734873
@victoriamaige2862
@victoriamaige2862 9 ай бұрын
Naomba namna ya kukupata ili unisaidie kujaza
@jessevlogswahili
@jessevlogswahili 9 ай бұрын
jessesarro85@gmail.com
@KheliToliso
@KheliToliso 2 ай бұрын
Dada wasap namba plz🙏🙏🙏au acount yyt nikutafute
@jessevlogswahili
@jessevlogswahili 2 ай бұрын
Namba ziko kwenye profile
@yakobomkristo872
@yakobomkristo872 4 ай бұрын
Ni Umri Gani Unaofaa Mtu Kusafiri Ughaibuni Kwa Lengo La Kutafuta Fursa Za Ajira ( Non Skilled Labour )?
@jessevlogswahili
@jessevlogswahili 4 ай бұрын
Hadi hamsini hakuna shida hata 60
@victoriamaige2862
@victoriamaige2862 9 ай бұрын
Email au no yako
@BarakahCostantin
@BarakahCostantin 9 ай бұрын
𝑰𝑮 𝒋𝒊𝒏𝒂 𝒏𝒂𝒏𝒊 𝒏𝒊𝒌𝒄𝒉𝒆𝒌 𝒔𝒊𝒔𝒕𝒆𝒓
@tagomshana4032
@tagomshana4032 18 күн бұрын
Dada Mimi nipo Canada niliingia kwa barua ya mealiko lakini Mimi nimependa nitafure kazi uku je nafanyaje cna kitambulisho chochote Cha kazi lakini najua kukea wazee maana ata Tz nilikuwa nnafanya
@raymondmsigwa4821
@raymondmsigwa4821 9 ай бұрын
Dada naomba unitumie namba za watssap ili tuwasiliane uniandalie Safari mwaka huu nahitaji kusafiri.
@jessevlogswahili
@jessevlogswahili 9 ай бұрын
0788 734873
@afsamandaly1656
@afsamandaly1656 9 ай бұрын
Samahan dada naomba kuliza ivo muda gani mpaka kupata Majibu ya kuwonana vizza asante
@yusuphndendya5269
@yusuphndendya5269 8 ай бұрын
​@@jessevlogswahilihello
Jinsi yakusafiri visa free countries document zinazotakiwa
12:40
Jesse Vlog Swahili
Рет қаралды 1,1 М.
Njia tano zitakazokusaidia kuingia Canada  Marekani  na ulaya
18:08
Jesse Vlog Swahili
Рет қаралды 1,1 М.
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 16 МЛН
I tricked MrBeast into giving me his channel
00:58
Jesser
Рет қаралды 24 МЛН
When mom gets home, but you're in rollerblades.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 94 МЛН
ЗНАЛИ? ТОЛЬКО ОАЭ 🤫
00:13
Сам себе сушист
Рет қаралды 3,6 МЛН
Dr. Chris Mauki:  Epuka makosa haya ili kuiponya ndoa yako
7:00
Chris Mauki
Рет қаралды 2,8 М.
7 Signs That Someone Dislikes You and is Hiding it | STOIC PHILOSOPHY
27:50
James The Stoic
Рет қаралды 1,1 МЛН
Mchongo wa Safari
3:18
SHIJA tv
Рет қаралды 502
Sababu kwanini watu wananyimwa viza Ubalozini
13:24
EBM SWAHILI
Рет қаралды 20 М.
MAMBO MUHIMU YAKUFANYA KABLA YAKUOMBA VISA
13:38
Jesse Vlog Swahili
Рет қаралды 1,2 М.
Jinsi yakujibu maswali utakayoulizwa airport CANADA
14:11
Jesse Vlog Swahili
Рет қаралды 8 М.
Jinsi Waafrika wanavyoshindwa kukaa Netherland
10:41
Jesse Vlog Swahili
Рет қаралды 1,2 М.
Dr. Chris Mauki: Ukiyaona haya, hata kama unampenda, mwache aende
10:14
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 16 МЛН