Huu Wimborne daa mpaka machozi wangapi bado anausikiliza gonga like
@festomlowegypsum8214 Жыл бұрын
😢😢😢😢😢😢
@syliakusprimu805811 ай бұрын
@@festomlowegypsum8214ndio nausikiliza hapa
@Zubaiba10 ай бұрын
😭😭😭😭😭
@highthemetv785710 ай бұрын
Machozi kwan una ngoma ? 😮
@piusgadau63284 ай бұрын
hahahahahaha@@highthemetv7857
@halimayahya194810 ай бұрын
2024 listening baada ya 2071 kutakuwa na new generation 😢😢sisi WA Sasa tutakuwa R.IP
@syliakusprimu805811 ай бұрын
2024 still roll up with this educational song ..
@darviedeben1885 Жыл бұрын
2023 till listening to dis song
@JosephMoses-y5p10 ай бұрын
I was here 2024 RIP to me najua siwezi kufika huu mwaka 2100
@shikomefaustine695910 ай бұрын
Kamwe Tanzania hapatatokea mwimbaji mzur kama komba kwa nyimbo za siasa
@FikiriAbdalah-qe9ue4 ай бұрын
Nikweri Komba Sina la kusema kwenye kifo kama Kuna kuonana napenda kwanza nionane na baba yangu mzazi 😂
@innocentgeorge1117Ай бұрын
Kabsaaaa hakuna atakae tokea
@jastinmkobaАй бұрын
Rahasha Dunia bado aijafika mwisho
@innocentgeorge1117Ай бұрын
@@jastinmkoba sawa kaka lkn bdo
@swaleheismail462 жыл бұрын
Tumeacha kuskiliza nyimbo zenye maadili kama hiz tumebaki kuimbiwa nyege nyegezi na jeje duuuuhhh so sad
@innocentgeorge1117 Жыл бұрын
We acha tu kaka
@tabufredmakunga84363 ай бұрын
umeona ee
@nobertcyriacus47623 жыл бұрын
Dah! Huu wimbo naurudia-rudia lakini siuchoki. Ujumne murua mzee Komba; Rest in Eternal Peace baba!
@bazorooscar29493 жыл бұрын
Any one listening this ryt now
@maximilianrobert1953 жыл бұрын
Umevipiga vita vizuri mwendo umeumaliza. Endelea kupumzika Captain John Komba
@delaidelove87563 жыл бұрын
Magufuli wetu nitakukumbuka mno malaika wakupokee baba 👏
@lunilidaud38763 жыл бұрын
Kombaaaaa
@noeljames45303 жыл бұрын
Sasa magufuli kahusikaje hapo kwa mgeni 😃😃
@delaidelove87563 жыл бұрын
@@noeljames4530 😂😂😂kwasababu kipind n usikia huu wimbo ndio kipind magufur abatupatia moyo kuhus janga la corona
@wilfredmoshi65073 жыл бұрын
Huyu mtu alikuwa ni exceptional anasauti nzuri sana na mistari yake ilikuwa ni mistari iliyosimama sana.Kweli kizuri hakidumu.Mungu aiweke mahali pema peponi roho ya marehemu komba
@cevinmlimira63032 жыл бұрын
Kweli kabisaaaaa
@ChristopherManyenjeАй бұрын
Anyone listening in 2024?
@GloriaSizyaАй бұрын
Me
@habibachama57602 жыл бұрын
Allah Akupe kaul thabit captain 🤲
@evancebartlomeo Жыл бұрын
Rest in Peace ... Shujaaa wa Mziki wenye lafudhi Murua na Jumbe za Hekima ... Hatuna Ukabila Lakini Hongera Mngoni mbarikiwa 🎉
@Majambo_Duniani_Tv2 жыл бұрын
Komba ulikua na kipawa toka juu
@petermollel4413 жыл бұрын
Mungu Akurehem Captain Komba huko Uliko🙏
@wazirimikuimikui90842 жыл бұрын
Napenda Sana nyimbo hizi miaka yote ya maisha yangu
@PamelaMathew11 ай бұрын
Huu wimbo umenikumbusha mbali saaana, nilikua mdogo nipo primary, Amekuja mtu nyumbani kuomba cheti cha dada yangu cha form 4 mke wake akakitumie kuombea kazi kwenye kampuni moja, Sisi kuckia huu wimbo,tukaanza kumwimba mgeni huyu balaa..!!! Eeee MUNGU nakuomba Rehema zako,🙏🙏🙏
@mwanakheri1693 жыл бұрын
2021 still listening mgeni song😇😇
@edgarnandonde483 жыл бұрын
nimekuotea hapa 😆😆😆😆😆😆😆
@mwanakheri1693 жыл бұрын
@@edgarnandonde48 tunafahamiana mpendwa?🤔ila jina sio geni
@mtemimagema61762 жыл бұрын
@@mwanakheri169 2022
@salumrajabu-vq3bq5 ай бұрын
Kwakweli huyo mzee alijaaliwa kipaji cha pekee nyimbo zake hazichuji, Mungu ampokee
@PauloMelayeki26 күн бұрын
Nilikuwa darasa la mwaka 1999 kama kumbukumbu zangu ni fresh hata shule zilifungwa kipindi chote cha maombolezo yaani siku 30.Kapteni Komba alikuwa ananitoa machozi,wingu zito jeusi la simanzi lilitanda ktk ktk anga la Tanzania,Afrika na dunia pia.😢😢😢 Rest In Peace baba yetu
@deodarius85133 жыл бұрын
Jamani naitafuta ile nyimbo ya "Watanzania CCM yawina"
@seleman_nonga2 жыл бұрын
yimbo itakayo ishi milele
@neema90292 жыл бұрын
❤❤❤❤😭😭😭REST IN PEACE JOHN KOMBA HUU WIMBO NAUPENDA
@ezekielassey31339 ай бұрын
Mzee alikuwa mfano wa kuigwa. Kacha kipaji chake. Sema wanambania kusikika.
@mjusidreadstyle35114 жыл бұрын
Dah binafsi nikiusikilizaga huu wimbo mpaka machozi yanitoka uyu Mzee ameondoka na muziki wake
@juliuskawonga4504 жыл бұрын
Kweli kabisa nyimbo zake zinaisia
@uvccmmkoageita20774 жыл бұрын
Mziki mtamuu
@uvccmmkoageita20774 жыл бұрын
@@juliuskawonga450 huwezi kujua Ka hayupo
@juliuskawonga4504 жыл бұрын
@@uvccmmkoageita2077 duh pigo kubwa
@idrishemed22193 жыл бұрын
Sijui kama kutatokea watu wenye akili kama hawa,tumebak na kina diamond wanahamasisha ngono tu.
@AminaMajaliwa-y2w22 күн бұрын
Allhamdulliah ! Baki Allah
@momylaviel10 ай бұрын
Aki huu wimbooo unanitoa machozii
@stephanothadei21984 жыл бұрын
Inanikumbusha mbali sana
@charlesdismas75322 жыл бұрын
Ya kale ni dhahabu 🙏
@ivankivinge29873 жыл бұрын
Upupu 😄😄
@abeidwemba3853 Жыл бұрын
Kiukweli bonge nyimbo ili
@DenesMalisa23 күн бұрын
Mziki kama mziki
@aminaibrahim41483 жыл бұрын
Innalilah Wainna lilah rajioun
@rodgerstraseas95034 жыл бұрын
Aisee haya maudhui tufanyie kaz R I P Captain Komba
@kudramzee57692 жыл бұрын
John komba king of kwaya
@orastomapunda85592 жыл бұрын
Pumzika kwa amani mbunge wangu
@JakindaMabiki28 күн бұрын
Nakumbuka tulipo kuwa darasani shule ya msingi Basi mungu mwema
@HajiSalasini Жыл бұрын
YAANI HATUNA WATUNZI TENA WENYE NYIMBO ZENYE MAADILI NA MAFUNZO, KILICHOBAKI NI MATUSI TUU.
@juliuskawonga4504 жыл бұрын
Kweli mzee john corona kaingia
@AA-pd4pz3 жыл бұрын
Mpumbavu,
@mkhandimoody6963 жыл бұрын
Corona tusiifanye do chama flani kipewe madaraka kwa kuwa kina mwanasheria wa kipubavu anayekalisha matako kwa wanzungu hapati kitu hapa
@SaybathKassimАй бұрын
2024 ndio nmekuja kugundua kishwa cha habari mgeni kuwa ni UKIMWI....!!! Rest Internal Peace Captain Komba
@raphaelmwamakimbula96423 ай бұрын
Very nice song.Your songs are very sensitive and attractive.Make sure you remain in the Ccm main objectives including peace,right, equity and safely mantanance to each
@happystephano23074 жыл бұрын
Rest in Peace komba.
@samwelndunguru61112 жыл бұрын
Nzuri sana
@clementpius2083 Жыл бұрын
Likee kama upo 20233
@tabufredmakunga84363 ай бұрын
jmn nyei watu bado tunawakumbuka 😭😭😭😭😭😭
@MohammedSalumHamad28 күн бұрын
Yuko wapi siku hz huyu
@BlessMsigwaАй бұрын
Rip captain Komba
@WejaGamu Жыл бұрын
Alikua mwamba
@AmeirAbdallaАй бұрын
Jamani hii imeimbwa mwaka gani? Maana naulizwa hapa
@elihurumatunituni49182 ай бұрын
Kweli kabisa nyimbo zenye maadili
@abuadochuma47502 жыл бұрын
R.i.p faza ya mziki
@jerrycardo67702 жыл бұрын
Daaaahhh!!! Udongoo huuu!!😥😥😥
@patricnandonde Жыл бұрын
Your Song Still live R.I.P
@priahaule22393 жыл бұрын
Inasikitisha sana
@SeifselemaniMbogo2 ай бұрын
Jamani misomwana siasa ila kwa captain komba alikua ana nikosha nyimbo zake yani nisikiliz nyimbo hata za ccm ili tuu nisikie suti ya captain
@hadijajohn7434 Жыл бұрын
R I.P kapten utakumbukwa sana kwa mashahiri mazuri aridhi inameza jamani
@romanarosemedard2551 Жыл бұрын
Wstaimba ila kwako John hawatafikia mngoni uliyejaliwa Rest in peace
@aggreyluganolugano649 Жыл бұрын
Wow nice n sweetest song
@AlfeusMalkiadi10 ай бұрын
Rip wimbo wa kuenziwa kwa kweli
@geraldhaule35372 ай бұрын
Mwaka huu 2024 mtakaofika 2100 hakikisha maisha Yako unayoweka kwa mungu
@GloriaSizyaАй бұрын
Unamkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa Maisha yako hapo ni guarantee utaiona 2100....
@atupelejohnmwakangale32263 жыл бұрын
Duuuuh! R I P LEGEND,BADO PENGO LAKO HALIJAZIBWA HADI SASA JAPO NI MIAKA SASA. PENGO LINGALI WAZI KABISA! PUMZIKA KWA AMANI RAFIKI YETU ULIYEKUWA MCHESHI WAKATI WOTE NA MUWAZI KWA WAKATI WOTE.
@sesiliamassawe964 Жыл бұрын
Vfrriu
@Zubaiba4 ай бұрын
Make kwanza nicheke😂
@Zubaiba4 ай бұрын
Samahani ,namaanisha nilie😭😭
@CosmasCosam3 ай бұрын
Huyu komba alikuwa hatari hata kama n ccm lazima uinjoy na kazi yake mungu amlaze mahali pema
@FrenkMwaulambo4 ай бұрын
Sauti nzuri sana
@YamunguYb4 жыл бұрын
Mungu Amrehemu Kapten Komba
@MwajumaRashid-d3q2 ай бұрын
😢😢😢
@moviessummarized480311 ай бұрын
Dah imenikumbusha 2004
@EnockFesto-xp5pl5 ай бұрын
Kweli udongo unakula mola mlaze mahara pema komba
@bittemsigwa20315 ай бұрын
Daaaaa R l P
@simbamsonde4822 Жыл бұрын
tutakukumbuka sana father captain komba
@Zubaiba10 ай бұрын
Mungu akurehemu captein komba
@PriscaKihomwe-hi8xp7 ай бұрын
Daah am speechless na huyu mgenii
@matthewsiwingwa455710 ай бұрын
Rest in peace Captain
@godfreymbwillo38773 жыл бұрын
Legend Captain Komba
@mapesain3 жыл бұрын
continue rest in peace captain
@zakayojohn60563 жыл бұрын
Kept komba RIP legend
@mdqweqwe2512 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
@godwingerald40849 ай бұрын
Message full song 😔
@MwalukoMakomelo2 ай бұрын
Fesbook
@alexinano4812 Жыл бұрын
2023/01/17
@AhmedBeka-l3q10 ай бұрын
Daima tutakukumbuka
@josephSaruni-hn3wr Жыл бұрын
Rest in peace komba
@doctarhanda Жыл бұрын
❤
@mtemimagema61762 жыл бұрын
15-03-2022
@victoriamefya62876 ай бұрын
2024😢
@Th3_Moham3D11 ай бұрын
Reast easy captain
@sikandaPerfect15 күн бұрын
2025
@lastonsegula97711 ай бұрын
Anyone who can help with the video of the song, please. A link, perhaps.
@zawadishula Жыл бұрын
Rest in peace mzee wetu komba
@khadijasalumsalum33203 жыл бұрын
Haaaa
@aminaibrahim41483 жыл бұрын
Mungu amrehem capten John komba
@JosephMoses-y5p10 ай бұрын
2099
@barakamwasaga814110 ай бұрын
2024
@segolenasangawe48202 жыл бұрын
Video yake
@princerajeii43963 жыл бұрын
Rthg
@mariamupendo23983 жыл бұрын
Rip mwamba was kusini
@Mussamandanjegmail.comMandanje9 ай бұрын
Pumzika kwa amani captain John Komba
@hadijajohn7434 Жыл бұрын
R I.P kapten utakumbukwa sana kwa mashahiri mazuri aridhi inameza jamani