asande MUNGU BABA na MWANA na ROHO MATAKATIFU ameeeen Hongera Sana kazi njema nyote kila la kheri kwenu nyote barikiwa Sana Yanga shalom
@subiralema6 сағат бұрын
Sema pacome uchoyo wakutowa pasi kukosa bao la 5
@jumanneenos24818 сағат бұрын
Huyu kocha anafanya rotation tunayoitaka wana Yanga, kama mnakumbuka mimi nilikuwa simpendi kabisa Gamond maana alikuwa amekalili wachezaji hata kama wakisafiri na uchovu kutoka kwenye majukumu ya timu ya taifa wanafika na kicheza, haikuwa sawa
@fatmaomar83358 сағат бұрын
Kila la kheri inshaallah Alhamdulillah kwa ushindi wa Leo 🎉🎉daima mbele nyuma mwiko 💚💚💛💛