Mchungaji hongera sana! Kimsingi ulitakiwa kutoka zamani, maana Aina ya Chakula unachopika, watu wenye upeo wa chini wa uelewa , hawawezi kukuelewa kabisa!!
@AngelOutfit4 күн бұрын
Sku Zote Kama unatembea na roho wa mung huwez kutoka sehem kwa kukurpuka lazma umtii Mungu mpaka atakapo kwambia toka hata Kama Ni sehem ya hatar vp
@yohanakissu481916 күн бұрын
Asante mzee kwa Maamuzi yako magumu bila mgongani. Kanisa ni mwili wa Kristo, fanya ulichoitiwa ili usipingane na Mungu
@brysonsabun465714 күн бұрын
@@yohanakissu4819 Hakuna maamuzi hapo alishapanga kujiondoa na kutengeneza drama more than 10 years ago. Mwanadamu hawezi kuchukua nafasi ya Mungu ktk kuhukumu. Tunashindwa tu kutumia logic kidogo tu na kujiuliza, protestants walioondoka kwenye madhehebu yao na kujiunga T.A.G nao walipaswa kufungua media na kuwadhihaki, kuwashutumu/kuwatukana sana wachungaji/mapadre wao kabla ya kuhama madhehebu? Yesu anatufundisha kuwa wanyenyekevu.
@pst.bravida5343 күн бұрын
Kanisa au TAG halitakupeleka mbinguni mchungaji,,, mtumainie mungu na ufanye kazi ulioitiwa kote ulimwenguni,,, mungu akutie nguvu🙏
@theresiamanyanda112510 күн бұрын
Ubarikiwe sana Baba Mchungaji Magembe utappanzisha huduma tujulishe na tutatoa sadaka ili kusaport kazi ya Mungu...kanisa ni mimi na wewe
@MchPeter16 күн бұрын
Mungu akubaliki Bishop songa mbele wachie duka rao tunaohitaji injili ihubiliwe yakweli kama umeondoka naomba mawasiliano yako mimi ni Mchungaji nipo mbangara kalibu mbagala utulee
@SaimonNyakunga15 күн бұрын
Hizi kweli ni siku za mwisho
@SaimonNyakunga15 күн бұрын
Lakini ukweli utabaki palepale
@emmanuelkiwango663815 күн бұрын
Mmegeko unaendelea mpaka mwisho
@bonifasiemanueli2111 күн бұрын
Ungekuwa Kigoma ningejiunga n'a wewe
@dativaswai68747 күн бұрын
Umetambua ukweli mchungaji.
@janegachanja425416 күн бұрын
Mungu awe nawe. Umekua ukifanya kazi nzuri sana. Hayo maamuzi ni ya busara.
@zablonlissumangu196310 күн бұрын
Hallelujah Hallelujah Hallelujah! Wewe ni Mtumishi wa MUNGU anenaye kweli yote kadri MUNGU alivyokuwa akikutimia isipokuwa tu kwa sasa watu wako kibiashara zaidi wamemwacha MUNGU wa kweli, Miradi SI dhambi ndani ya Kanisa isipokuwa Miradi iwe na Baraka za Bwana, MUNGU akupe Nuru kuu moyoni mwako akubariki kazi ya mikono Yako kiuchumi na kifamilia kwa ujumla wake!!!
@valenakomba768617 күн бұрын
Bwana akubariki sana. Usihangaike na kanisa, Kanisa unalo mwenyewe ndani ya moyo wako . NA USUFANYE HILI JAMBO LIKAWA KAMA SIASA WEWE NI MTU WA MUNGU, NA TENA NI MWANAUME KWAHIYO UKIKUBALI WANAHABARI WAKUFANYE WEWE KICHWA CHA HABARI. LET LOVE LEAD IN THE BODY OF CHRIST.❤❤❤❤❤❤❤❤
@qulasulle-hp1ni16 күн бұрын
Kama mtumishi wa Mungu mwenye wito NDANI yake hawezi kunyamaza kimya wakati anaona kanisa linakufa halafu eti yeye kwa kuwa analo kanisa NDANI yake lililosalama akae kimya tu, huu siyo utumishi wa Mungu Kwa wengine bali ubinafsi.Ukisoma Ezekiel 3:16- 21 utaona Mchungaji Magembe Yuko sahihi kwa kuwa amejua uovu wa kanisa TOFAUTI na wachungaji wenzake ambao wanaona ni SHWARI NA AMANI WAKATI UKWELI NI KWAMBA KUNA GIZA YA DHAMBI NA MAUTI YA KANISA LA TAG LA SASA. USHAURI WANGU KWAKE NI KWAMBA AIMARISHE MISINGI YA KIMUNGU AMBAYO IPO NDANI YA BIBLIA (makatazo ya bidhaa za Yezebel- mapambo ya mwili na mavazi ya kikahaba NDANI ya kanisa)
@LangiMwampamba16 күн бұрын
Kanisa ni mtu au jengo analo tumia kumwabudia Mungu hili kanisa linajengwa na mtu mwingine aliye juu kiroho
@robbysartproductioncompany530616 күн бұрын
@@valenakomba7686 KWAHIYO UNAMPIGA BITI MZEE SIO...HAA SEMA KWAHIYO UNAMUWEZA AU UNAJARIBISHA KAMA NGUVU ZIPO?
@bahatimshali273116 күн бұрын
Kanisa la Kristo haliwezi kufa wala milango ya kuzimu haiwezi kulishinda
@rachelmuhehe778910 күн бұрын
Kanisa ni mtu, ni nyumba ya ibada ya wafuasi wa Yesu Kristo, ni kundi la watu wanaomwamini Kristo Yesu. Neno Kanisa halina maana moja kama unavyodhani.@@LangiMwampamba
@EnthusiasticFencers-rg2td10 күн бұрын
Mungu akutumie nguvu wewe ni mtu wa kweli wa Mungu awe nawe nakupenda sana wewe na mahubiri yako
@nyotaphina816716 күн бұрын
Ukweli ambao wenaofanya kazi ya Mungu kwa mazoea hawakubali. Hongera Mchungaji. Mungu anapaswa kuabudiwa katika roho na kweli. Huwezi kumuabudu huku umejaa maswali moyoni.
@MaryKibani13 күн бұрын
Mzee uko sawa. Mbinguni hakuna dhehebu. Mwamuzi na Hakimu ni Kristo tu. Lazima Injili ya kale ihubiliwe. Lazima tuwasikilize Wazee wetu waliotutangulia kuwadharau ni kukosa nidhamu.Mungu akubariki baba. Tupo tunaopenda mafundisho yako tutaendelea kukuunga mkono na kukuombea.Mungu akutie nguvu.
@damarisemango31924 күн бұрын
Ubarikiwe sana baba, ukweli utatuweka huru. Endelea kubarikiwa mpakamafuta wa Bwana MUNGU
@KanaufooKweka16 күн бұрын
Baba mungu akubariki na akulinde popote utakapokua endelea na kazi ya Mungu kama alivyokuitia
@mwasimakenge575213 күн бұрын
Baba yangu mpendwa Mzee Magembe, siku zote unaelewekka sana sana kwa kile Mungu amekiweka na ku invest ndani yako. Hongera sana kwa kuisikiliza na kuitii sauti ya Mungu. Songa mbele km Musa alivyo ambiwa asonge mbele na wana wa Israel. Siku zote mti wenye matunda ndio hupopolewa. Simama na Mungu wako tu, wanadamu ni wanadamu tu, it is better to focus with Godly calling rather than looking at human nature calling (wito wa mishahara). Yesu anarudi hakoka utavuna kwake, nasi tupo nyuma yako tukikuombea kwa saburi. We pray for divine protection and preservation upon your ministry, upon you and your family, May God lay His right upper hand upon what you're doing in the mighty name of Jesus Christ the Son of the living God we pray.
@apostelgodwin15 күн бұрын
Amen Amen twendeni mbele kwa kasi ya ajabu tukaihubiri INJILI ulimwengu kote ..Amen Amen tupo wengi sanaaa ...tumelike hili
@FrankMwakalinga-k9y17 күн бұрын
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu Hio ndio injili ya paulo
@kalaghog357415 күн бұрын
Ninakukubali sana Baba Mchungaji. Huo ni uamuzi mgumu sana, lakini yote haya ni kwa faida ýa mwili wa Kristo, na Mungu azidi kuķuongoza.
@OlgaNderingo-co5cj10 күн бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa BWANA. Endelea kuihubiri kweli ya Kristo popote
@johansenf.mrengimrengi705016 күн бұрын
Asante Yesu! Umekuwa Mf. Mzuri hasa jinsi ulivyotoka na Mungu azidi kukutunza ktk Jina la Yesu! Nakuombea!
@sylvieomary729413 күн бұрын
Barikiwa sana Baba mtumishi natamani wachungaji wote wangekuwa namahamuzi kama haya kuliko kuvuruga nakuhachanisha watu Amen
@PhilemonKageleja16 күн бұрын
We need persons like you father Magembe.
@celestinabwemlanda5612 күн бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Bwana! Mimi nimekuelewa vizuri sana. Ubarikiwe sana.
@apostleschurchaustralia289612 күн бұрын
Barikiwa Muchungaji imani yetu nihiyo hiyo simama uzipinge roho chafu hata dunia itakuchukia bali Mungu atakulinda.
@rosemathias428813 күн бұрын
Aminaaaa umenyooka sana mzee Wangu , mungu akubarikii sanaa mhubili kristo yesu.
@PiliMasibuka8 күн бұрын
Asante Mtumishi kumekucha twendeni tukuhubili inji ya milele Kwa yesu kumenoga
@mawazomacleanmwangobola680617 күн бұрын
Ushauri wangu kwa mzee Magembe. Mungu akusaidie sana,umefanya maamuzi magumu sana na mazuri. Namshukuru Mungu pia aliye nitoa kwenye dhehebu.Kutoka ndani ya dhehebu sio tatizo ila tatizo linaweza kuwa unatoka unaenda wapi.Ikiwa Mungu ndiye aliyekutoa huko basi najua hawezi kushindwa kwa kukupeleka. Dhehebu haijawahi kuwa njia ya Mungu na haitakuja kuwa njia ya Mungu,huo ni mlango wa kuzimu.Mungu hajawahi kufanya kazi na dhehebu (mfumo) ila Mungu hufanya kazi na mtu binafsi.Yesu Kristo alipoanzisha kanisa na yeye mwenyewe kuwa kichwa cha kanisa basi shetani alianzisha kitu chenye sura ya kufanana na kanisa yaani dhehebu.Hii ndio njia ambayo ingeweza kuwapoteza yamkini hata walio wateule. Mzee umetoka kwenye dhehebu basi nakushauri,usije ukaanzisha tena dhehebu.Lakini nina imani kuwa,Ujumbe na mjumbe wa kizazi hiki unamjua.
@AlbinMsechu17 күн бұрын
William Marrion Branham!!! Malaki 4...Mungu amsaidie mzee wetu huyu
@simonmwandu221417 күн бұрын
Leta maandiko ya yesu alianzisha kanisa
@ramahzedon668816 күн бұрын
Akili kubwa sana hapa
@mozesamizi93116 күн бұрын
Point
@AlbinMsechu16 күн бұрын
@@simonmwandu2214 alivowaita wale 12 ulifikiri alikua anaanzisha nin? Maana ya kanisa unajua kwanza?
@judithisaya01615 күн бұрын
Mungu akubariki baba jipe moyo, duniani watu wa kweli wa Mungu hawakubaliki! Lakini wewe ni shujaa wa Yesu baba yangu
@jekoniarubeni460915 күн бұрын
Kwahiyo hajakubalika TAG.....HUYU ANATAKA KUANZISHA KANISA LAKE KWA SABABU ANA WAFUASI WENGI SAHIVI MTANDAONI NDIO MAANA KILA KINAZUNGUMZWA MTANDAONI
@theresiamanyanda112510 күн бұрын
Amen amen lazima injili ya kweli ihubiriwe....Baba Tupo nyuma yako...🎉
@brysonsabun465715 күн бұрын
Mungu atabakia kuwa Mungu na mwanadamu atabakia kuwa mwanadamu. Kwa Mungu hakuna mkomavu kila siku neno la Mungu ni jipya mwanadamu ataendelea kubaki kuwa mwanafunzi.
@JansanMokiwa16 күн бұрын
Huyu mzee hataki mizengwe kwenye kazi😢😢😢
@AlpheusCharisma5 күн бұрын
Wengine hawawezi kujua kanisa limekufa kwasababu na wenyewe wamekufa😅😅 Keep it up baba fundisha ukweli watuwapone
@salimajosephine167311 күн бұрын
Mungu akubariki sana huu ndio muda wa injili yakisu kutumikiya Mungu kibinafsi wewe na Yesu pekeyako
@DicksonJaphet-fq7ov15 күн бұрын
Hongera Sana Bishop Magembe 🎉
@fredsichula717116 күн бұрын
Sawa mzee wangu ,maneno yako yapo vizur ila mm nayaweka hazina moyoni mwangu tumuone Mungu na kusudi lake kwako ,kulijenga kanisa la uwamsho mpya .na sisi tutapona .ila mimi naami baba umetusariti .
@BARNABAHALAMA-l8k13 күн бұрын
Amina pastor mungu akutie nguvu
@NuruMwambapa14 күн бұрын
Mwe ! pole sana mzee kutumiza kusudi la Mungu inahitaji maamuzi magumu sana
@agnessbulegu9962 күн бұрын
roho ya udini bye bye, UFALME WA MUNGU KARIBU KAZINI... Huu ni mwanzo tuuuu. Haleluya aaaa.
@mbomapadon15 күн бұрын
AMEN MCHUNGAJI WANGU SONGESHA INJILI MPAKA KIELEWEKE TUNA KUKUBALI SANA
@MichaelMathew-j3f16 күн бұрын
Mimi kwa upande wangu sioni tatizo kwasababu, huyu Moses Magembe ni wale watu wachache wa Bwana Yesu. Huyu mchungaji huwa ni mkali sana anataka watu waingie Mbinguni leo hiihii!!! Safi sana mchungaji!! Kila andiko lenye pumzi ya Mungu lafaa kwa mafundisho na kuwaonya watu makosa yao. Makanisa ya leo ukiwaonya kwa neno la Mungu huwa wanakwazika vibaya. Mchungaji, waache, nenda zako ukafungue kanisa lingine. Twende mbele hadi tufike kwa Bwana Yesu. Amen 2Timotheo3:16. Amen.
@goodluckkayoka435211 күн бұрын
Barikiwa sana mzee wangu Mungu azidi kukutunza na kukuongoza. Like na sema Amen
@ayubutivai265612 күн бұрын
Mtumishi wa mungu simamia ukweli uli usidaiwe damu za watu mungu Mimi nimelishuhudia ni kweli kanisa la TG limekufa kiroho ni pastor Ayubu from Kenya mzaliwa wa Arusha
@gabrielmwashambwa549117 күн бұрын
mungu akujalie na akupe neema zaidi mtumishi magembe
@healingclinic69816 күн бұрын
Safi sanaaaaaaa hivi ndivyo inavyotakiwa umeonesha ushujaaa kama wa Moses Kulola
Ba2 yangu ,Umefunza Watu wengi ,Kwa tendoo hii piya tume jifunza mengi ,Musalaba wa Kristo ni nzito kabisa .ila tuna shukuru Ba2 ,Mungu akuwezeshe .Tuki ngali na Haja yako baba
@KulwaElias-c7h5 күн бұрын
Umeamua vizuri mtumishi,,,, Mungu yupo nawe
@GeofrayKijana6 күн бұрын
Wakati wa Mungu ukifika hakuna uzee fanya kazi ya Mungu 🙏🙏🙏🙏 Mungu yuko na wewe
@amosfabian832613 күн бұрын
Roho mtakatifu azidi kukuongoza kwani umeichagua njia sahihi ambayo kiukweli makanisa mengi ya kikiristo hayaifahamu bali wamebaki na mafundisho ya kidunia kupitia utawala wa Roma Injili ya kweli ihubiriwe kwa nguvu YESU Yuko mlangoni mwenye sikio na asikie 👏👏👏👏💪
@TussaMbilinyi16 күн бұрын
Limekufa kweli,kanisa la Kristo,sabb walokole saivi wanatenda dhambi kma wengine tuuu,Yan hatuna tofaut!😭
@niccoelias388916 күн бұрын
Ila kanisa halijafa, maana alie ndani ya Kristo ana uzima wa milele, ametoka mautini ameingia uzimani
@ProsperMwakasungura16 күн бұрын
Songa mbele MZEE Magembe. Siku Moja nilishangaa sana. Kuna mtumishi mmoja pale Dar. Naamini wote mtakumbuka. Alihubiri UKWELI. Kumbe ule UKWELI uliharibu masilahi ya viongozi wake. Si mnakumbuka walimtenga. Aliamua kujitenga na UKWELI na kuwaomba msamaha waovu wakamrudisha kazini. Ndio nikashtuka kuwa wengi wapo kwa masilahi yao sio MUNGU tena.
@AtuganileGodson15 күн бұрын
Ni kweli ameamua kufanya alichoambiwa na Mungu maana Mungu amemtoa mbali.We kumbuka vita aliyokua nauo Moses Kulola enzi zake maana hakutaka watu wafanye mzaa na Mungu.
@JacobNebot12 күн бұрын
Nakumbuka mzee kimaro
@ProsperMwakasungura12 күн бұрын
@JacobNebot Eeeee ndugu, acha kujilipua.
@Sedeckia15 күн бұрын
Watu wanatakiwa waelewe kati ya kufa kanisa, kanisa nitofauti na thehebu! Kanisa ni mm binafsi na moyo wangu, Mungu akutie nguvu ukweli unaumaaaaaaa sanaaaaa! Tupe dooooooooz tupone hata kama ni kali.
@AlfonceFilipo11 күн бұрын
Nakuelewa mchungaji Mungu akutunze endelea kusema kweli baba
@joshuamwakipesile929316 күн бұрын
Ni sahihi mtumishi anachozungumza, nyakati hizi kanisa haliko kama miaka ya nyuma. Lakini ujumbe huu ulipaswa kuwa ndani ya kanisa ili lijitengeneze mbele za Mungu. Kwa mtizamo wangu ujumbe wa namna hii ni faida kwa kanisa lijitengeneze. Pia ni faida kwa shetani endapo atausikia ambae hamjui kristo, au mchanga katika wokovu. Amina.
@RynRobert15 күн бұрын
Shida ya viongozi wakuu hawataki kujihoji na kukubari matengenezo wanachofikiri wao ndo hicho hicho, kubadirika tag ni ngumu .
@BarakaWeeding15 күн бұрын
Ubarikiwe mtumishii piga injiri mungu yupo pamoja nawewe ..
@pasteurstephanoakilimalifr441611 күн бұрын
Ubarikwe baba piya ulindwe n'a Mungu aliye kuita kwanza.
@sallyeliya521314 күн бұрын
Mzee injili uliokuwa unatoa ilikuwa ni lazima wahuni waondoke kanisani aidha wewe ujitenge na kanisa na kwakuwa nyumba za ibada leo zimejazwa na wahuni hivyo ilikuwa ni lazima wewe ujitenge,ispokuwa nikukumbushe kuwa makanisa yote sasa yamejaza wahuni kuanzia kichwa hadi kidole cha mguuni🎉🎉🎉
@ErickLuvanda-n6g16 күн бұрын
Baba Mungu yupo nawe upande wako na huyo anaongea Roho mtakatifu Amen
@AlexNestory-h5u13 күн бұрын
Baba maongozi na mafundisho yako yanatujenga endelea kusonga mbele kuhubiri injili ya kristo isiyoghushiwa maana ni kweli kanisa lina Hali mbaya, Mungu akutie nguvu
@YahayaMeshinya15 күн бұрын
Wakati wa matengenezo linahitaji hekima sana kwa wale ambao Mungu ameziamusha Roho zao kujenga mahali palipobomoka . Wawe na hekima na unyenyekevu Ili washirikiane na viongozi waliopo Ili wajenge mahali palipobomoka Ili kanisa lipate kukua sana
@LuganoJimmy14 күн бұрын
Mungu azidi kukubariki mtumishi wa Mungu, wanaokushutumu waelewe kwamba dhambi inakemewa siyo kuipaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
@lusekelokajigili456411 күн бұрын
Hongera sana biblia inatutaka tuende na vitu viwili Sheria zake (amri) na ushuhuda wake neno lake mwanzo hadi ufunuo) isaya 8:20. Maana hiyo ndiyo kweli yohana 17:17 zaburi119:142. Kama hatusemi sawa sawa na vitu hivi 2 kwetu hapana asubuhi (Yesu)
@edgarmhavile769510 күн бұрын
Nimesilikiliza kwa Makin sana nasemaje shikamooooo mchungaji na Mungu akulinde sana
@innocentkituma271415 күн бұрын
Endelea na uamsho mtumishi wa Mungu na Mungu akusaidie
@binmarshal822612 күн бұрын
Mzee Magembe Mungu akubariki sana. Uliyoongea yanatosha hata ukiongea sana hakuna ataye kuelewa bali.Mungu tu. Tunatamani kuongozwa ktk injili hai isiyo na human dominant power bali Roho mtakatifu. Sajili tu huduma yako ili uwe huru kumtumikia Mungu. Tupe Mawasiliano baba hicho tumekisubiri sana tumeimiss TAG ileeee! Turudini huko.
@timotheostanley146916 күн бұрын
Asnt umeeleweka baba Mungu yupo upnde wko tupo nyuma yko
@yohanakinyunyiКүн бұрын
Uko vizuri mzee
@alphonceprot826416 күн бұрын
Mungu akutangulie mzee wetu,unafanya kazi uliyotumwa
@JoelNjole-u5u9 күн бұрын
Amina pasta mungu yupamoja nawewe
@EmanwelinaAlistides5 күн бұрын
MUNGU akubariki mtumishi wake na azidi kukutumia kwa viwango vya hali ya juu ....
@AuleriaMwajombe2 күн бұрын
Hongera mchungaji namngu akutangulie
@EricTrillz16 күн бұрын
Ulikosea sana kutoka upande wa Moses kolola.Wewe mwenendo wako ulikua kama wa Moses kolola.Injili yenu ilikua ya Yesu Kristo.Mungu akusaidie
@bahatimshali273116 күн бұрын
Unawaonaje walio chini ya Moses Kulola? Watu ni watu tu, hata ukihama watu watabaki kuwa ni walewale. Kuna mambo mengine ni mtazamo na sio Biblia
@tuikezeezra131516 күн бұрын
Amehamia dhehebu gani huyu!??
@donking-d4t12 күн бұрын
Wanadamu wote tunatakiwa kua kama Yesu Kristo na mienendo kama Yesu Kristo na si vinginevyo,,
@JeftaBudaga13 күн бұрын
Mtumishi wa Mungu alie hai, uko sawa Mungu akutangulie katika msimamo ktk kuusema ukweli
@GesongoBoaz16 күн бұрын
Wewe ni shujaa kama akina martini ruther waliopinga maovu yaliyokuwa yakiendelea katika kanisa la Romani mungu akuongoze unapoendelea kulionya kanisa YESU AMEKARIBIA usiogope.
@DafrosaNyamwiza11 күн бұрын
Acha kuropoka tofautisha kati ya kuasi na kutoka au kujiuzuru! Kwanini wafuasi wa ruther waliitwa protestants. Baba huyu ana busara jifunze kutoka kwake
@audifansisafari55878 күн бұрын
Huyo martin Luther kafa Kanisa KATOLIKI Bado lipo
@ErastoMwita16 күн бұрын
Mtumishi siamini sana kwamba ulikotoka syo salama na sikubaliani sana kwamba ulikohamia ndiko salama kwani mtu ni mtu na watu ni watu kama tatzo ni watu hata huko wapo watakao kuudhi tafakari mungu anasema Nini kwaajili yako
@JoelinaPatrick7 күн бұрын
Wachungaji wa kweli wameshaisha wamebaki wachahe nao ndo kama ivo wanalazimika kuwazima Mungu yupo pamoja nanyi Ili sisi tupone Mungu akiwa pamoja nasi ni nani aliye juu yetu Mungu akutie nguvu Baba,!!
@yohanakinyunyiКүн бұрын
Simama na Mungu baba hali ya kanisa ni mbovu sana tena sana
@YohanaRichard-e6p16 күн бұрын
Baba magembe KAZI yako ni njema Tena yesu amekuridhia kuwa mteule wake.
@jacquelinesangu152110 күн бұрын
Nikweli makanisa mengi yamekufa maana tumeacha kumfuata Mungu wakweli tumefuata njia zetu binafsi Mungu atunusuru sisi na vizazi vyetu,Mungu akulinde
@gyanglory-qr7qyКүн бұрын
Hongera Sana magembe
@GoodluckAmos13 күн бұрын
Huyu Mch Magembe ni vile nipo mkoani na mbali ningehamia kwenye kanisa lake mafundisho yake ni ya kweli na yamenyooka.Lakini roho yangu i pamoja nae tufundishe kuzikimbia dhambii Yesu yu aja 🥹.Nijarie mwisho mwema eeh Yesu wangu
@judithmwamakula653515 күн бұрын
Mungu akulinde baba. Mimi binafsi ninakuelewa sana. TAG watakukumbuka.
@josykogei16 күн бұрын
Amen amen twende kwa yesu
@jacklinemwita417311 күн бұрын
Muombe Mungu akupe huduma yako, kanisani ni mwili ya kristo na yesu hakuleta udinivalisema yeye ni njia ya uzima na mkate wa uzima
@mozzkamaru15 күн бұрын
This is okay sir . Its Time to Raise an endtime army that will see True Gospel Preached to the ends of the world
@VailethKivike16 күн бұрын
Yesu akutetee msema kweli siku zote anamaadui wengi fanya kazi mungu ulioitiwa
@EdwinMotto-v4g17 күн бұрын
Uko sahihi baba simama na kweli ya mungu haijalishi wangapi watapinga
@PauloArogo4 күн бұрын
Wewe uko sawa baba makanisa ya kipentacostal yamepoteza ile nguvu ya roho Mtakatifu iliyoshuka sikuile ya 50 ya pentecostal
@silvesterjoshua767914 күн бұрын
Umeandikiwa ole , piga kelele usiache ukiwaonya na kuwafundisha watu wa Mungu makosa Yao, bila shaka ..... Uvumilivu na kuyachunguza maandiko katika roho na kweli , kunaitajika , hasa neno kweli zidi kuichunguza katika maandiko nawe Mungu hatakuacha.
@Precious242513 күн бұрын
Mungu aendlee kukutunza mtumishi wewe umesimama katika kweli ya Kristo
@PaulJoseph-wl2si16 күн бұрын
Fanya kazi uliyoitiwa mtumishi, hii ndiyo khari iliyopo ktk nyakati hizi. Kristo anarudi, uamsho uhubiliwe!
@CharlesMgunda2 күн бұрын
Huyo ni mungu anaanza kuponya watu wake wawe salama kiroho zidi ya mazingira hatarishi ktk siku za mwisho.
@emanuelkilinga919616 күн бұрын
Wachache sana watakuelewa. Many shall be called but chosen are few
@adammatambo855516 күн бұрын
Mungu akusaidie kama ni kwa kusudi lake🙏🙏
@NoelElikana8 күн бұрын
Hujakosea yesu ni yuleyule amina
@suleimanmarcelo28716 күн бұрын
Mcheza ngoma mzuri anjua mda wakutoka stejini
@mangashajunior24217 күн бұрын
Hongera baba Tag ni zamani enzi ya kina askofu.kolola lazaro na kina rogathe swai....sasa hivi ni Tag maslahi.....
@sadocksungura17 күн бұрын
Hongera KUTOKA T.A.G SIYO DHAMBI TANGAZA UAMSHO MBINGU ZIMEKUELEWA NA DUNIA IMEKUELEWA. USIOGOPE SONGA MBELE
@brysonsabun465715 күн бұрын
Mmh😢
@JacksonMbites16 күн бұрын
UKWELI NI KWAMBA T .A. G WALIKUFA KIROHO KITAMBO WAMEBAKI NA MATAMBO MAJIVUNO NA KUJIONA WAMEFIKA WALIZIMA ROHO MTAKATIFU KITAMBO...MZEE MAGEMBE ENDELEA NA KAZI YA KULETA UAMSHO AFRICA 🌍 🌍 MASHARIKI NA AFRICA KWA UJUMLA...
@latestfunnyvideo218714 күн бұрын
Kitambo
@HeiOutfit15 күн бұрын
Mungu tusaidie sikuhizi wachungaji na maasikofu wanasutana kumbe shetani anaingiliaa kati ili kanisa lihalibike maama wakigomana watawezaje kuomba kweli ya mungu(tutaombaje Sasa)
@ThekraJanga16 күн бұрын
Hapo ndo kuna mda waga nawakubali ndugu zangu..wakizingua unahama kanisa 🙏
@bellingtonlyimo646716 күн бұрын
Nyakati za kipindi cha "giza totoro" hasa baada ya anguko la "Kanisa la Mitume" na kuzaliwa kwa "Roman Catholic" giza lilikuwa kubwa kiasi ambacho ilimlazimisha Mungu kumuinua "Kadinali Martin Luther" pamoja na wengine ili kulirudisha kanisa kutoka kwenye giza. Mungu aliendelea kuwainua watu wengine na kuwezesha kuzaliwa kwa upentekoste . Na tangu upentekoste ulipoasisiwa mpaka nyakati zetu kumekuwepo na ushahidi wa kutosha wa makanisa ya kipentekoste kuondoka katika nafasi zao na imefikia hatua ya kushindwa kutofautisha kati ya makanisa ya kipentekoste na yasiyo ya kipenkoste. Na mbaya zaidi imefikia hatua makanisa ya kipentekoste kuitwa: "ukatoliki uliochangamka". Kwa mazingira haya Mungu hawezi kukaa kimya na ni lazima atawainua watu ili kuyaonya makanisa ya kipentekoste. Mchungaji Moses Magembe ni "Martin Luther" wa leo katika wakati ambapo makanisa ya kipentekoste yamepoteza mwelekeo. KINACHOTAKIWA NI KUMUOMBEA SANA MCH. MAGEMBE PAMOJA NA WENGINE WENYE MSIMAMO KAMA HUU ILI MUNGU AWAWEZESHE NA KUWATIA NGUVU ILI KUSUDI LA MUNGU LA UAMSHO LIWEZE KUKAMILIKA: (WATUMISHI WENYE LENGO LA UAMSHO HUPIGWA VITA SANA: REJEA HISTORIA: HATA NYAKATI ZA MARTIN LUTHER ALITAFUTWA ILI AUWAWE: MCH. MAGEMBE ANASTAHILI KUOMBEWA SANA KULIKO KULAUMIWA. YEYE NI BINADAMU MADHAIFU HAYAKOSEKANI: HAYO MADHAIFU YAWEKWE PEMBENI NA TUJALI ZAIDI KUSUDI LA MUNGU NDANI MWAKE.