EXCLUSIVE KWA MARA YA KWANZA CARRYMASTORY AFUNGUKA KUJIFUNGUA/MTOTO WAKIKE/WEMA SEPETU

  Рет қаралды 38,008

Carrymastory

Carrymastory

Ай бұрын

CARRY MASTORY ATOA SIRI WEMA KURUDIANA NA X WAKE INDRIS SULTANI/KUACHANA NA WHOZU/HARMONIZE/POSHI QUEEN #diamond #WEMA #carrymastory ##comasava #carrymastorytv #wemasepetu #INDRISSULTANI #MASHA #auntezekiel

Пікірлер: 143
@Mohaa4309
@Mohaa4309 27 күн бұрын
Carry, na umbea wako wote ila ww itoshe kusema ww nmcute saana Wallah, Maa Shaa Allah ❤❤❤❤
@SharifaOman-bf1bn
@SharifaOman-bf1bn 28 күн бұрын
Mashaallah. Nimelupenda. Umependexa. Maziwa hivi sasa yannaonekana. Umekuwa. Mama. Umebadilika. Hongera. Kari mastori
@SaudaKhamisi-wm6xy
@SaudaKhamisi-wm6xy 25 күн бұрын
Hyu ana mtoto kweli angalia kifua hio
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 28 күн бұрын
Zari kakutukana umekonda sasa umenenepaaaaa😂😂😂🥳🥳🥳
@navokisembo
@navokisembo 24 күн бұрын
Haswaaa maana alizi na chuki kwa Zari wa watu
@shikoshania953
@shikoshania953 27 күн бұрын
Asante kwa kumpenda wema carry❤❤❤❤❤mmetoka mbali sana
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official 28 күн бұрын
Eti mastaa wanakaa ndani kwani wewe ni star 😂😂😂😂duh tz hata wakifungua duka inaitwa mall 😅😅
@ashuraomar4935
@ashuraomar4935 28 күн бұрын
Muulize hasa maana anaijiita star huyu nae,kwenye mastar wakiambiwa watoke hichi kituko nacho kitatoka kwelii looo😂😂😂
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 28 күн бұрын
Carry sio staa kwa vipi ndugu yangu? Huyu ni star kwa sababu ana mtandao huu wenye subscribers karibu 500,000 na anajulikana mjini tofauti na wewe 😊
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 28 күн бұрын
ANAJIKUTAGA SANA HUYU SHOMVI
@user-vq6iy4rf9m
@user-vq6iy4rf9m 27 күн бұрын
Mbona mall kwani unaugomvi na niffer 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@Chrisscherry
@Chrisscherry 26 күн бұрын
Sindio mwenye carry mastory media
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 27 күн бұрын
Nakupendaga sana cary mastory❤❤❤
@esterdoriye8377
@esterdoriye8377 27 күн бұрын
Mwanake kaa bana miguu bwana 😊😊😊
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 27 күн бұрын
Mashaallah hongera sana umekuwa mrembo aswaaaaaa
@MohamediKalanje
@MohamediKalanje 25 күн бұрын
Roja umekuwa kibonge aisee
@Zeanbo1234-pn8tg
@Zeanbo1234-pn8tg 28 күн бұрын
ww kunamtoto jaman. Mbona. Unakataa. Mtoto Tena wakike. Angalia. Hta ziwa. Lako jaman. Duh. Furaha umeitwa. Mama
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 28 күн бұрын
Najua kukupenda tu
@zeyounhabibty8587
@zeyounhabibty8587 26 күн бұрын
Wallahi sijategemea hata wewe ungedanganya Jamii dah kweli ulimwengu wa mtandao usimuamini mtu 😢
@sofiajumaa4538
@sofiajumaa4538 25 күн бұрын
Umezaa bwanaa Muongo weweeee toka zako hapaaa
@AfricaQueen
@AfricaQueen 28 күн бұрын
😏😏😏😏Huna haya wewe mbeya mkubwa Sema Ukweli Mtoto Tunamuona jirani yako unamjua Na mtoto wa kike kwendraaaaaa ndio umeumiza watu roho zao shenzi wewe peleka jiziwa hilo mtoto akanyonye Na sasa ndio utaona uchungu wa mwana wacha uchawa unaharibu maisha ya watu Na wewe umekaa kama jike dume nyoko wewe🫵🏾
@teddygabriel5662
@teddygabriel5662 28 күн бұрын
Heew
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 27 күн бұрын
Stresss ni mbaya. 😂😂😂sasa makasiriko ya nn😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@salhawaziri1668
@salhawaziri1668 26 күн бұрын
Khaaaa ni gongo umekunywa au ni roho mbaya unayo ,,kwanza walevyi wanaupendo..wew utakua mjukuu wa nyetanyahu
@AfricaQueen
@AfricaQueen 26 күн бұрын
@@salhawaziri1668 😏😏😏heri ya gongo kuliko wewe msago wa kutoana cheche kiboko yenu mange njambavu wewe mlevi wa kungu Na mirungi katafute mwenzio akutoe cheche mnamfurahi jibrilli mtoa roho za watu mwanamke wa kislamu shuahin kelp wewe muarabu koko😏🫵🏾
@AfricaQueen
@AfricaQueen 26 күн бұрын
@@salhawaziri1668 unaleta mambo ya kijijini hapa 🫵🏾😏haya karibu mjini mjiniii sura yako mbaya kama huyo mbeya wako wa mjini 😏😏😏😏🤪🤪🤪🫵🏾
@michilita2959
@michilita2959 28 күн бұрын
Kuzaaa kuzuri amependeza kweli
@KhadijaMbwana-kb8ib
@KhadijaMbwana-kb8ib 12 күн бұрын
Anatoto wa like huyo😂😂
@user-xy8kl9wd2i
@user-xy8kl9wd2i 28 күн бұрын
Kwani ukisema tu umejifungua utakufa🤔
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews 28 күн бұрын
Anaonesha amezaa
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d 24 күн бұрын
Ni kweli hata maziwa yanaonyesha labda wasiojuwa
@Official83640
@Official83640 28 күн бұрын
Ila kamwili kamekuja Maa'shaallah na ziwa limetoka bwana mtoto tunae hapo😂😂😂
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 26 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@zamzanimakundi2546
@zamzanimakundi2546 28 күн бұрын
Hujawahi kusema una mahusiano.pili una mtt nadhani mtt ana miezi 5
@beatricejohn1659
@beatricejohn1659 28 күн бұрын
Nyonyo tuu linatosha kuelezea kama umezaa😂😂😂 hongera sana
@alsam4881
@alsam4881 28 күн бұрын
Yaani kuna baadhi ya wabongo ni hvyo kabisa hawawezi kufanya kazi nyengine yenye maana na faida zaidi ya UMBEYA, UCHAWA NA KIKI na yote hiyo inatokana na kwasababu hawana maarifa na Uvivu umewatawala.
@user-fy9pw2zr8l
@user-fy9pw2zr8l 28 күн бұрын
acha kuduchanganya lokole hajawahi danganya umezaaa ebu tukia
@user-uf8lk9tv3r
@user-uf8lk9tv3r 28 күн бұрын
Hata mtu anaenyonyesha anaonekana
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 28 күн бұрын
Kiukweli Mariooo atakuja kujutaaa😂😂😂
@user-hm3qm2nf1v
@user-hm3qm2nf1v 28 күн бұрын
Paula anajielewa amekua sio yule wa raivanny yuko na marioo wanakaribia na miaka 2 na mtt wameshapata mwacheni jmn
@user-oq8vp6ie7n
@user-oq8vp6ie7n 26 күн бұрын
We nae
@alhamdullilla5108
@alhamdullilla5108 26 күн бұрын
Kweli kawa mama mashaallah amependezaaa
@zeyounhabibty8587
@zeyounhabibty8587 26 күн бұрын
Interview nzima swali la ujauzito basiii aghhh !
@mayungakisinza6090
@mayungakisinza6090 28 күн бұрын
Nilikutana na we tegeta uko na mimba hata maziwa yanaonyesha acha kutuona watoto
@shukurukitamuka6829
@shukurukitamuka6829 24 күн бұрын
Amejifunguwa ona ziwa bonge au katowamimba😂
@agyemma2874
@agyemma2874 19 күн бұрын
kwakweri na me nimeona
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 28 күн бұрын
HAYO MANYONYO UNASEMA HAUNA MTOTO 😢
@ferezaisaack9836
@ferezaisaack9836 26 күн бұрын
Maziwa yamekuwq makubwa hivyo kweli duh
@user-tp7bz9ep2l
@user-tp7bz9ep2l 27 күн бұрын
Umenenepa mashallah mpak umependeza kumbe mzur mashallah
@zahrababygarl1568
@zahrababygarl1568 28 күн бұрын
Mzuri jamani
@user-he2pk6io4d
@user-he2pk6io4d 28 күн бұрын
Hana nyonyesha maziwa yanaonyesha ananyonyesha 😂😂
@osmundmtavangu
@osmundmtavangu 20 күн бұрын
SEMA carrymastory hajawahi kuwa serious, ndio maana wanaume wanampotezea
@uwimana6533
@uwimana6533 28 күн бұрын
Tulikumiss sana carry mastor 😂😂 mambo yakapo 😂😂😂
@WendoJuma
@WendoJuma 28 күн бұрын
Tutamuuliza Dada Wa Mangekimambi..subiri tu
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 25 күн бұрын
Ndio ukaaji gani wakujichanua
@julianapeason6254
@julianapeason6254 10 күн бұрын
yaani 😳😳😳😳
@RamadhaniSaidi-wq8ym
@RamadhaniSaidi-wq8ym 26 күн бұрын
Hapo kwa Wema umesema ukweli kwa hadhi yake pale mwanaume hamna mm naumiaga Diamond na Wema ndiyo walikuwa wanaendana sana Sasa wamejikuta wako na mausiano Bora liende kipindi hicho mji ulikuwa wa moto
@aminaomary5567
@aminaomary5567 27 күн бұрын
❤❤ Hongera mama 🎉🎉🎉🎉
@SalmaMasoud-ry4pg
@SalmaMasoud-ry4pg 28 күн бұрын
🇰🇪🇰🇪 Mashaalha Menenepa wow ❤
@user-bx6so4de3n
@user-bx6so4de3n 26 күн бұрын
Umezaaa nawe unatupanga
@tungarazalaurent2602
@tungarazalaurent2602 24 күн бұрын
ILO ZIWA SIO LAKO ULIKUA NA VICHUCHU
@HamidaOmar-ub4kb
@HamidaOmar-ub4kb 28 күн бұрын
Mashabiki nawashangaa munatukana watu kweni munapata faida gani kweni ukitukana unajulikana😂😂😂
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 28 күн бұрын
Mmbea anahojiwa
@user-hm3qm2nf1v
@user-hm3qm2nf1v 28 күн бұрын
Kama mtu na mfanyakazi wake😅😅😅😅😅
@user-zu6pc1hu7d
@user-zu6pc1hu7d 20 күн бұрын
Maziwa yashatanguliya hayo ww wacha kusema uwogo
@agyemma2874
@agyemma2874 19 күн бұрын
nyonyo kubwa sana hzo halafu zime vimba vimba
@fausterkalinga6240
@fausterkalinga6240 28 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 28 күн бұрын
Karma store for life 🥳🥳🥰🥰🥰
@nancyg8664
@nancyg8664 28 күн бұрын
😂😂😂eh ndo nini
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 26 күн бұрын
​@@nancyg8664nakwambia
@nadhifamustapha7557
@nadhifamustapha7557 8 күн бұрын
She look like +
@shamiraabdallah3158
@shamiraabdallah3158 26 күн бұрын
Huyu dada nampenda.
@adelinabaitu3291
@adelinabaitu3291 28 күн бұрын
Wewe no sta??? Kwaheri
@lyidiajuakaly3335
@lyidiajuakaly3335 28 күн бұрын
Umejifungua bhana ziwa linajionyesha hilo
@vivianlucas6389
@vivianlucas6389 28 күн бұрын
@EstaDaffi-wg5cr
@EstaDaffi-wg5cr 27 күн бұрын
Kabisa
@fatmasayid8895
@fatmasayid8895 26 күн бұрын
umesema kweli ziwa dodo
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 26 күн бұрын
​@@fatmasayid8895😂😂😂😂
@user-cv4yx4uf8u
@user-cv4yx4uf8u 20 күн бұрын
Umbea wake ,mbona hamsemi alie mpa mimba
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 28 күн бұрын
Kariamstory kanenepa kapendezaaa😂😂😂😂🥳🥰🥰🥰🥰
@Carrymastory
@Carrymastory 28 күн бұрын
😍😍
@EmilyAlph
@EmilyAlph 28 күн бұрын
Eti star😂😂😂
@user-zu6pc1hu7d
@user-zu6pc1hu7d 20 күн бұрын
Naubaya zaidi hunasidiriya yaukweli
@allymdoka8634
@allymdoka8634 28 күн бұрын
Mtindi sasa
@user-gb5vz6wm2q
@user-gb5vz6wm2q 23 күн бұрын
Huyu dada Carry mastory ana akili sana.
@zuwenaabdallah7748
@zuwenaabdallah7748 26 күн бұрын
Halafu kanoga sana❤
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 28 күн бұрын
Nyonyo hiyo carry
@kidawajuma9597
@kidawajuma9597 26 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@nishgold4160
@nishgold4160 28 күн бұрын
Nilikua nimemiss storry za carry
@Zeanbo1234-pn8tg
@Zeanbo1234-pn8tg 28 күн бұрын
3:42
@starlily07
@starlily07 19 күн бұрын
Carry bana sie tuliopitia uzazi tukikuangalia tu tunajua wewe ni mzazi, nikiangalia kifua chako tu kinaonyesha wewe ni mzazi kabisa 😀, ila mi nakupendaga mwaya
@gwennipah9072
@gwennipah9072 25 күн бұрын
Carry wazungu hawana mpango wowote
@esterMahenge
@esterMahenge 24 күн бұрын
Kweli cary mmbea alafu sasa mkavu
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 26 күн бұрын
Mbona maziwa yanaonesha
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 28 күн бұрын
Kidumedume
@saumsaid1966
@saumsaid1966 22 күн бұрын
maziwa yamejaaa hivyo
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 27 күн бұрын
Kanenepa
@Mgema001
@Mgema001 28 күн бұрын
Kesho tegeta asubui sana😂😂
@Carrymastory
@Carrymastory 28 күн бұрын
🤣😂😂
@beatricejohn1659
@beatricejohn1659 28 күн бұрын
Mungu akiandika hakuna malaya wa kupinga..Zuchu na diamond platnums forever..Tuondolee wivu kanyonyeshe huko.utakuwa umezalishwa ukaachwa ndio maana unaficha 😂😂😂😂😂nyambafu mbea yamekukuta eeh
@husnaaaa703
@husnaaaa703 28 күн бұрын
Kapendeza sana
@khadijachacha3156
@khadijachacha3156 27 күн бұрын
Amekua kama masha manyonyo baada ya kuzaa ziwa limekuja kwa kasi 😂😂😂😂
@lucyjohn3537
@lucyjohn3537 27 күн бұрын
Alipewa ajira na mange sasa mambo yameyumba Kwa mange ndo anataka kurudi
@user-he2pk6io4d
@user-he2pk6io4d 28 күн бұрын
Wacha kudanganya huma wewe ni mzazi tulie zaa tunajua
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 27 күн бұрын
Carry umenenepa
@habibaraphael6583
@habibaraphael6583 26 күн бұрын
Kanenepa maziwa tuu
@BintChaula-yj2xw
@BintChaula-yj2xw 28 күн бұрын
Tutamuuliza mange kama huna mtoto
@Carrymastory
@Carrymastory 28 күн бұрын
Sawa 🤣😂😂
@BintChaula-yj2xw
@BintChaula-yj2xw 28 күн бұрын
@@Carrymastory 🤣
@user-pr4hb2yc9j
@user-pr4hb2yc9j 25 күн бұрын
Kila mfano unamtolea paula ndio Roll model wako?
@channyanjen9047
@channyanjen9047 28 күн бұрын
Zuchu na diamond wanawasumbuwa sana umbwa wewe
@user-ur8cq1ye3b
@user-ur8cq1ye3b 26 күн бұрын
We ndo unasumbuka mbwa mwitu mwambie aoleww asichezewe kenge wewe
@user-fy9pw2zr8l
@user-fy9pw2zr8l 28 күн бұрын
hibi sasa njo kuonekana mzazi maana ulikua kama mwanaume😅😅😅😅
@hemedyawadhi2935
@hemedyawadhi2935 28 күн бұрын
Kanoga
@MwacheoHanzada
@MwacheoHanzada 28 күн бұрын
Ila wakuzaa hajifichi maziwa yako full fat
@millymack1370
@millymack1370 25 күн бұрын
Amekua mrembo mno
@user-ur8cq1ye3b
@user-ur8cq1ye3b 26 күн бұрын
Ziwa limejaa
@YuzzoboiTz
@YuzzoboiTz 28 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@eestermos9933
@eestermos9933 28 күн бұрын
Kapendeza mno kanoga
@Anzalmidel
@Anzalmidel 12 күн бұрын
Kwa hiyo wacha umbea utapendeza zaidi
@user-pu6pr5jt4n
@user-pu6pr5jt4n 27 күн бұрын
Bbyshow tena😂😂😂ila alvonenepa kawa mbaya mijishavu
@Carrymastory
@Carrymastory 27 күн бұрын
Khaa ila wabongo nikiwa mwembamba nachambwa ukinenepa shida
@umfahad2609
@umfahad2609 20 күн бұрын
@@Carrymastoryumeona eeh.. binadadamu hawana jema.
@alhamdullilla5108
@alhamdullilla5108 26 күн бұрын
Diamond na zuchu 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 27 күн бұрын
😂😂😂😂Siku zote najuaga ni mwanaume
@ingabireshakira9631
@ingabireshakira9631 27 күн бұрын
😂😂😂
@annajoseph9955
@annajoseph9955 28 күн бұрын
Kanoga balaaa
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 28 күн бұрын
Munooooo😂😂😂😂😊😊
@ashaali7154
@ashaali7154 26 күн бұрын
Mungu anawalipa kwa kuwadhalilisha binaadam wengine. Mungu atawahukumu tu na bado kama hamna mashamba ya kulima mutakoma. Sasa tangazeni yenu wajinga nyie
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 28 күн бұрын
Yani for fan alafu unamchafua mtu kwer?? Yan bongo bwana...Yan upate wewe kwakumchafua mtu mwingine kwer
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 28 күн бұрын
Mhh. Wewe na hizo "kwer" zako unatuudhi
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 28 күн бұрын
@@Brunn-mh2bq kwer enhe🙆🤷🤣
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 26 күн бұрын
​@@Brunn-mh2bq😂😂😂😂😂😂😂😂
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 26 күн бұрын
​@@jamilaathumani5481jitahidi basi
@user-el7ut2qk4e
@user-el7ut2qk4e 22 күн бұрын
Wa2 bwana sasa paulla kakukuta kwenye game gani😂😂😂
@mwanahkombo9496
@mwanahkombo9496 28 күн бұрын
Ovyo hujawaho kumpenda zuchu ata dakika nyoko wee
@ferezaisaack9836
@ferezaisaack9836 26 күн бұрын
Kakatwa naye na Mdomo wote fyeeeeeee
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 19 МЛН
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 4,6 МЛН
BEHIND THE GRAM DIVA & SHEIKH - EPISODE 8
23:49
ZamaradiTV
Рет қаралды 10 М.
NDARO STEVE WE NI TAPELI   MSIKILIZE MANENOYAKE
14:35
Steve Mweusi
Рет қаралды 45 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
0:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 25 МЛН