Clear penalty Mexime fundisha moira acha ujinga wa kulalama
@anastahiliutawala3879Ай бұрын
Kumbe hujaona
@ramadhanmahongole9293Ай бұрын
Salamba ni kinyesi fc siku zote hawezi kuisifia simba yeye Muda wote anapenda kusifia vinyesi fc aka utopolo
@bernardmkilima7809Ай бұрын
Endelea kukazana kufanya vizuri kwenye mechi zijazo tuone Kama utatoboa umezoea kuikazia Simba mbona unapocheza na timu yako X hulalamiki.
@SalvatoryMtungaАй бұрын
Kwa hiyo salamba awe anawashangiliai mikia hata kama si sahihi ? Makolo mna uelewa duni sana. kwa hiyo kila kizuri ni chenu, kibaya ngw'eeng'weee.
@ElyMinjaАй бұрын
Mech ya pili ya yanga kule mbwa walibebwa watu kimya Kuna goli watu walinyimwa
@erickprotace9463Ай бұрын
Mmmmmh! Umechambua mpira leo, ungekataa hii basi hata ile ya alahal Tripol ningesema ulichambua uongo. Naenda katika mfuatano wa uchambuzi kuona kama unchambua kwa hisia au la!!!!!!