CASSIAN AMUONYA NABII IPM NAMKEWE WANAVYO UWA NAKUTOA KAFARA EV PASCHAL CASSIAN

  Рет қаралды 7,873

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

Күн бұрын

Пікірлер: 162
@Franklajifaunuel
@Franklajifaunuel 16 сағат бұрын
Ubarikiwe sana P kassian umejitoa kwaajili ya huu ukwel Mungu akurinde sana kama chombo chake ❤❤❤❤
@SammyLaizer-s9u
@SammyLaizer-s9u 2 күн бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi cassian kwa kueleza ukweli na akutie nguvu na uwezo pamoja na ujasiri
@EstherAsheri
@EstherAsheri Күн бұрын
Ayubu 22 21 Mjue sana Mungu, ili uwe na amani; Ndivyo mema yatakavyokujia. Mungu akubariki mtumishi wa MUNGU Pascal endelea na kaz ya MUNGU
@Mwasame_Official1
@Mwasame_Official1 3 күн бұрын
Huyo ni mpotevu ,jeuri muislamu asiyejua thamani ya bwana yesu kristo,, ashindwe kwa jina la yesu kristo.
@beatricekannonyele9167
@beatricekannonyele9167 3 күн бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu Cassian.
@GeorgeNyambuya-t7x
@GeorgeNyambuya-t7x 2 күн бұрын
Umenifunulia kilicho jificha kwa IPM Mngu akubariki sana 🙏 anajifanya anavikiripu vya kuelimisha kumbe hamna kitu
@PastorNathanael-ex4co
@PastorNathanael-ex4co 2 күн бұрын
Hongera sana Cassian kwa injili nzuri ya kweli
@GabrielBoniface-pe3kc
@GabrielBoniface-pe3kc 3 күн бұрын
Hongera sana mtumishi wa mungu wakweli poster Cassian kwakututoa kwenye Giza nene
@BeforeZayekha
@BeforeZayekha 2 күн бұрын
Asante sana mtumishi wa Mungu paschal Mungu akutie nguvu na kutufundisha
@MichaelAbel-m5y
@MichaelAbel-m5y 3 күн бұрын
Hana Mungu! Hana neno wala Roho mtakatifu.Amen
@KevineKataka
@KevineKataka 2 күн бұрын
Makubwa 😢 kweli uyo ni shetani ataa mimi nimeshutukaaaa❌🇰🇪💘🔥
@StelaJohn-nj5yf
@StelaJohn-nj5yf 17 сағат бұрын
Mungu amrehemu maana hajui atendalo..
@mahomamahoma775
@mahomamahoma775 18 сағат бұрын
Nilikuwa sijui haya Kwa uyu jmaaa Asante sana kwatufungulia haya
@ancientg7329
@ancientg7329 2 күн бұрын
Huyu ni kiongozi kipofu, anawatumbukiza shimoni wote anaowaongoza. Pole yao.
@adieljoshua640
@adieljoshua640 Күн бұрын
HONGERA SANA Mtumishi unasema kweli wa neno na tunazidi kukufatilia tunaona nisahihi kabisa
@blenderforadvertisements5656
@blenderforadvertisements5656 Күн бұрын
sadaka za kuchinja zilikuwa enzi hizo, Ilifika kipindi Fulani Bwana Mungu Alikataa sadaka za Hivi. Kufanya hivi unatoa sadaka kwa shetani
@RosemaryJoseph-ub2fs
@RosemaryJoseph-ub2fs 6 сағат бұрын
100% true! Be blessed Mr. Cassian
@FloraMuro-y7c
@FloraMuro-y7c 15 сағат бұрын
Mungu akubariki sana
@dokasa9176
@dokasa9176 3 күн бұрын
Kwa kweli tusipojisomea Biblia wenyewe, Roho Mtakatifu akiwa kiongozi wetu,tutaangamia bure eti kutoa kafara si vibaya??? Mungu atusaidie
@NyotaBuhendwa-g7z
@NyotaBuhendwa-g7z 3 күн бұрын
Nipepo iyo sisi wengine tuliinuliwa na Mungu mbila kutowa sadaka yakafara
@MamiFeza-q9v
@MamiFeza-q9v 15 сағат бұрын
Pole sana mtumishi wewe bado ungalimisri kwahiyoajui kwamba yesu ndiye aliyejitolwakafara kwaajiliyetu
@brushisageni79
@brushisageni79 13 сағат бұрын
Ni kweli yesu amejitoa kafara ila jambo la msingi ni kwaajili ya dhambi zetu(za ulimwengu) utajiri ni na mengine ni ziada tu mtu wa Mungu.
@joycemasanja7955
@joycemasanja7955 14 сағат бұрын
CASSIAN Mungu aliye ndani yako ni mkuu sema ukweli tuponeeeeee
@josephwijengo8851
@josephwijengo8851 2 күн бұрын
Barikiwa sana Mungu azidi kuinua zaidi huduma yako dada etu Barikiwa mno
@annettemalechela7543
@annettemalechela7543 9 сағат бұрын
Sadaka kuu ni Yesu Kristo tu!!!!
@eliymanueljesus376
@eliymanueljesus376 Күн бұрын
2 Wakoritho 8:9 Maana mmejua neema ya Bwana wetu Yesu Kristo, jinsi alivyokuwa maskini kwa ajili yenu, ingawa alikuwa tajiri, ili kwamba ninyi mpate kuwa matajiri kwa umaskini wake.
@enosmnyasa
@enosmnyasa 2 күн бұрын
IPM, huo sio ukristo huo ni uganga wa kienyeji au ni agano la kale wewe humwadhimishi kristo.
@Mahershalalhashbazi-kf6xi
@Mahershalalhashbazi-kf6xi Күн бұрын
Naaam
@israelisponsor8755
@israelisponsor8755 21 сағат бұрын
Asantee mtumishi ❤
@RaulTech-pp3gc
@RaulTech-pp3gc 3 күн бұрын
Asante sana kusema kweli ❤❤
@RubuyaCrépin
@RubuyaCrépin 3 күн бұрын
Yesu Kristo kifo chake msalabani kimemaliza yote yeye akawa sadaka Kwa ajili yetu na pia yeye ndie Kuhani mkuu
@UfalmewaYesutv
@UfalmewaYesutv 3 күн бұрын
YESU KRISTO AKUTIE NGUVU KUSEMA UKWELI HUU AMINA
@danieljoseph273
@danieljoseph273 3 күн бұрын
Nakuelewa sana cassian Mungu akubaliki mtumishi wake
@hudsontz6975
@hudsontz6975 3 күн бұрын
Ameen ameen mtumishi lia naomba utuwekee pale tiktok ili wengi wabarikiwe na injili hii maana vijana wengi wanashinda tiktok🙏🙏🤝🤝
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 Күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 penda Sana mahubiri yako
@Misigaro8246
@Misigaro8246 3 күн бұрын
Mmmh damu ya Yesu inatosha
@EvahNyassa-xh2fo
@EvahNyassa-xh2fo 15 сағат бұрын
Hiyo mikafara Yesu aliimaliza pale msalabani
@uwimanadady6563
@uwimanadady6563 2 күн бұрын
Mungu akutiye nguvu
@grantmwakyoma5327
@grantmwakyoma5327 3 күн бұрын
Hizi ni nyakati ngumu,Yesu atusaidie
@JofreyMsigwa-ok7hv
@JofreyMsigwa-ok7hv 2 күн бұрын
Nikweli tuzid kumtafuta MUNGU
@GustaveAbedi-td9yv
@GustaveAbedi-td9yv 9 сағат бұрын
Merci beaucoup
@MiltonMsoma
@MiltonMsoma 9 сағат бұрын
Mimisimlaumu tatzo kaivamia bibilia kwa mbele, angetulia afundishe, kafara ishatolewa yesu amekuakafara yetu sisi
@loosyloosy3634
@loosyloosy3634 3 күн бұрын
Huyu ni wa kuzimu direct
@eliasmyamba4767
@eliasmyamba4767 2 күн бұрын
Kwakweli nihatari mungu atusaidie
@ChazMakavu-f9w
@ChazMakavu-f9w 2 күн бұрын
Huyo ni shetani anaongea kupitia kinywa cha nabii wake wa uongo amen.
@NeemaSamweli-t4c
@NeemaSamweli-t4c 7 сағат бұрын
Kweli ni pepo kabisaaa kutoka kuzimu moja kwa moja.
@DeboraNeno-s5o
@DeboraNeno-s5o Күн бұрын
AMINA
@Samuel_Yilakoze
@Samuel_Yilakoze 2 күн бұрын
NIMEKUELEEEEEEWA EV PASCHAL CASSIAN❤❤❤❤
@crishommsanii
@crishommsanii 2 күн бұрын
Usiukumu kuja naneno watu wengi awajuwi bibilia tuongee ukwili tunafaa tumupe mungu sataka sawanyama ndiyo sataka nzuri pesa aiwesi kumu kusamungu wanyama ndiyo sataka nzuri
@collethabilabaye3869
@collethabilabaye3869 2 күн бұрын
Acha Imani ya kushikiwa wewe!Yesu alivyokufa msalabani ilikuwa ni sadaka kubwa iliyotolewa ya kumwaga Damu ,sadaka za kuchinja zimebaki zinatumiwa na shetani
@israelisponsor8755
@israelisponsor8755 21 сағат бұрын
Jitafakari na uelewa wako
@agustinohizza1395
@agustinohizza1395 16 сағат бұрын
Wewe bado niwa shetani
@ombeniMassawe
@ombeniMassawe 3 күн бұрын
Ufunuo 5:9 Nao waimba wimbo mpya wakisema, Wastahili wewe kukitwaa hicho kitabu na kuzifungua muhuri zake; kwa kuwa ulichinjwa, ukamnunulia Mungu kwa damu yako watu wa kila kabila na lugha na jamaa na taifa , MTUMISHI umeongea kweli kabisa, nakuomba mtu uliye okoka usitoe sadaka kwa njia ya kuchinja wanyama hapo itakuwa umempa adui sadaka na si Mungu wa kweli, Toa sadaka mbele za Mungu kama shukurani mbele za Mungu na si kama kafara Mungu awabariki sana, Mtumishi songa mbele na kazi ya Mungu
@jamesherbalclinic7665
@jamesherbalclinic7665 3 күн бұрын
Hawa watu jamani Ni kuwa nao makini sana maana kwanza wanalisha watu vyakula vya zamani pia hawajui unabii hata kidogo
@elhudaainvestment4693
@elhudaainvestment4693 12 сағат бұрын
Mtumishi ,naomba umpinge kwa hoja mimi nakufatilia naona unabwata tu, maandiko hakuna tu,maandiko ya kupinga hili tupe utamu
@naigeorge7765
@naigeorge7765 3 күн бұрын
Yesu tusaidie
@RubuyaCrépin
@RubuyaCrépin 3 күн бұрын
Huu jama kumbe ni mpinga Kristo Hana Loho mutakatifu ndani mwake
@chanelirakoze8896
@chanelirakoze8896 Күн бұрын
Mataperi
@MichaelAksanti
@MichaelAksanti 19 сағат бұрын
Huyo siye nabii, ni mfumu ao mganga tunavyo ita kongo, mufumu
@ZababaEster
@ZababaEster Сағат бұрын
Kaka wambie ukwel huo ndio wito wako
@DeboraNeno-s5o
@DeboraNeno-s5o Күн бұрын
Hadi tunaogopa kwenda kanisani kuabudu
@bahatishitindi
@bahatishitindi 3 күн бұрын
Basi YESU ALIKUFA BURE
@davidkengambi491
@davidkengambi491 2 күн бұрын
HONGERA SANA MTUMISHI WA MUNGU..
@AnnPhillip-b3z
@AnnPhillip-b3z 10 сағат бұрын
Pastor lpm, some things are spiritual not physical,eve Witchers are doing that, like tuliokoka mambo yetu ni spiritual
@hxbbxb-g7i
@hxbbxb-g7i 2 күн бұрын
Da mngu atusamehe. Huyo mtumishi anasema yupo kwenye kiwanda kabisa jaman 2ombeni Huyo siyo mtumish kabisa
@martinahlighare6495
@martinahlighare6495 3 күн бұрын
Mwanae Mola alifanyika kafara kwa ulimwengu ila haipo kafara nyingine.
@LangiMwampamba
@LangiMwampamba 2 күн бұрын
Ingependeza ukihubiri YESU,WATU WAACHE ZAMBI UZINZI,WATUBU WAKIKOSEA,MOTO UNAKUJA NA WACHUNGAJI WAMEACHA KWELI WANAHUBIRI PESA,UNABII WA UWONGO.CASIANI KAZI NZURI
@collethabilabaye3869
@collethabilabaye3869 2 күн бұрын
Usiposema utadaiwa siku ya mwisho ,Mungu anasema ametuweka Kama walinzi, ukiona mwenzio anakosea unatakiwa kumrejesha, akikubali au akikataa Damu yake haiko juu yako Ila usipomwambia na akaenda jehanam utadaiwa siku ya mwisho
@RogateNyari
@RogateNyari 2 күн бұрын
Au ww miongon mwao
@SIMULIZIZONE
@SIMULIZIZONE 2 күн бұрын
Daah😢
@EstherOdindo-s4i
@EstherOdindo-s4i Күн бұрын
Uwee! Sio Roho na kweli?MUNGU WANGU NIKUMBUKE HUKU NILIKO KATIKA CHRISTO
@GladTolage
@GladTolage 2 күн бұрын
Jaman mwenzetu IPM hayo mafundisho ameyatoa wapi ni roho mtakatifu au pepo mchafu kwel Kila mtu mungu amempa uwezo wake wakufikil
@RogateNyari
@RogateNyari 2 күн бұрын
Hapo wew uelew nn au mwenzio
@EmmaroseJoseph
@EmmaroseJoseph 3 күн бұрын
😅DAMU YA YESU kazi yake ni Nini kwani kuwapa maskini nyama ya mnyama aliyechinjwa kawaida Kuna Nini. Waebrania 9:12 Wala si Kwa damu ya mbuzi na ndama, Bali Kwa Damu yake mwenyewe aliingia mara Moja tu katika Patakatifu,akiisha kupata ukombozi wa milels
@Tshambdidier-j
@Tshambdidier-j 3 күн бұрын
Yesu atusaidie Dunia iko mwishoni😅😅😅
@tinertv1382
@tinertv1382 11 сағат бұрын
Kafala ni Agano la kale Yesu alitoa Damu yake ndio ya thamani !
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire 3 күн бұрын
Wanasoma na hawaelewi, Wanasikia na hawasikii kinachostahili. Wanafundisha watu yasiyohitajika kwa kukosa maarifa ya mbingu. Neno la Mungu halifundishwi kwa fahamu za mtu. IMP( ibilisi mkubwa lenye Pepo ) Wana macho na hawaoni maana wanaona wanavyopenda na wala sio kile mbingu inachokitazamia.
@Zela-ngayPierre
@Zela-ngayPierre Күн бұрын
Siyo ivo
@EvangelistMwamuzi-hy8jg
@EvangelistMwamuzi-hy8jg 2 күн бұрын
Ni pepo huyu
@JILBERTDaniford
@JILBERTDaniford Күн бұрын
Upande Wa pili ukimchinja asieamini njia Yao Kuna swawabu sembuse kuwaaminisha WATU kafara za wanyama zinaleta utajiri!!!!
@ChiefAulelian
@ChiefAulelian Күн бұрын
Wemweu biblia imeandikwa na watu kama wewe Tena wazungu acha utumwa ipm alichoongea kibaya kipi pumbu wewe
@bernadetteshukuru9154
@bernadetteshukuru9154 2 күн бұрын
Uyu nipepo muzima kutoka kuzimu na ikowazi kabisa akuna kuuliza yoyote anamacho ya Kiroho amikwicha kutambuwa tayari Mungu atukumbuke
@estonmnthali3719
@estonmnthali3719 2 күн бұрын
Mbona braaaa
@joycemasanja7955
@joycemasanja7955 14 сағат бұрын
Kwani IPM hv unaifahamu vizuri bibliq au umekariri maana ht ibilisi naye husoma biblia km ww kwa upotofu.
@amonsekajingo6996
@amonsekajingo6996 3 күн бұрын
Mmmm!! Jamani! Jamani!!
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire 3 күн бұрын
IPM ( Ibilisi mwenye Mapepo na Pepo wachafu.
@Madina-u5g
@Madina-u5g 3 күн бұрын
Amen
@BallyGerard
@BallyGerard 3 күн бұрын
Mtumishi, naomba unisikiye kuusu ili:jikaze kuvaa nguo ya mikono ndefu...itakuwa vema nakuonya tu...
@DeboraNeno-s5o
@DeboraNeno-s5o Күн бұрын
Maskini pole Mtumwa
@JILBERTDaniford
@JILBERTDaniford Күн бұрын
HUYU ni ropo alietoka upande Wa pili anaejifunza njia za kupitia ili adanganye WATU na kupata pesa
@gidongailo7174
@gidongailo7174 17 сағат бұрын
Hahubiri Injili ya wokovu huyo
@JohnKaliagi
@JohnKaliagi 3 күн бұрын
Sasa ninakuamini,casian ubarikiwe
@goodlucksandytv3951
@goodlucksandytv3951 3 күн бұрын
Kazi ya Yesu ya msalaba ilikuwa ya nini Sasa?kama tunatakiwa kuwa na sadaka ya kuchinja?huyu ni mganga wa kienyeji
@Mwinjilist-samson
@Mwinjilist-samson 3 күн бұрын
Imp arudi msalabani
@RogateNyari
@RogateNyari 2 күн бұрын
Vp kuhusu ilo shati lenye hiyo nembo samahanini nataka kujua
@DeboraNeno-s5o
@DeboraNeno-s5o Күн бұрын
Makanisani mengine kuna makubwa mweee
@RubuyaCrépin
@RubuyaCrépin 3 күн бұрын
Huu mtumishi anamwamini Yesu Kristo kweri?
@Africasafarichannel
@Africasafarichannel 2 күн бұрын
Huyu IPM hamna kitu
@allythabiti8150
@allythabiti8150 Күн бұрын
Unamuitaje mwenzako shetani, je nan kati yako na yeye ni shetan.. ILA WACHUNGAJI NYIE BHANA😂😂😂. Kachinja ni ibada, na wakisikia neno kafara bas wanafikiria kama neno lenye maana fulan, shida ni lugha😂
@JasonMureke-u6o
@JasonMureke-u6o Күн бұрын
Ni pepo hili
@Africasafarichannel
@Africasafarichannel 2 күн бұрын
Huyu ni muislam kaja na mafundisho ya huko kwao
@danielkamau2987
@danielkamau2987 2 күн бұрын
Niliteta na mahubili yake wanjichunge nayo huyu Ipm jamaa wakati alikuwa kwa Simulizi
@HEFSIBA-gi5qs
@HEFSIBA-gi5qs 3 күн бұрын
😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
@NeemaSamweli-t4c
@NeemaSamweli-t4c 7 сағат бұрын
Damu nayo mnaipileka wapi maana ishu siyo Ile nyama Bali ni Ile damu? Lazima hapo kuna mapepo ambayo ndiyo yanakunywa Ile damu.
@MartinLaizer
@MartinLaizer 2 күн бұрын
Wakristo hatutoi kafara za kutekezwa, Zile kafara za Biblia ulikuwa ni kivuli cha Yesu kujitoa kafara kwaajili Yetu. Hivyo Leo sadaka za kuteketezwa hzina nafasi huo ni uganga
@aryanamendes8700
@aryanamendes8700 3 күн бұрын
Ipm nimekuelewa agano la kale lilifanya hayaya kuchinja na nDio ukweli
@RogateNyari
@RogateNyari 2 күн бұрын
Achaaaa sifa ujinga huo
@RogateNyari
@RogateNyari 2 күн бұрын
Mtafute YESU mapema kijana
@mwinjiristijacksontv
@mwinjiristijacksontv Күн бұрын
Ipm mvivu wa maombi na kufunga
@JoaquimdriveMicher
@JoaquimdriveMicher 2 күн бұрын
Mathayo 24:24
@RubuyaCrépin
@RubuyaCrépin 3 күн бұрын
Huu na pope wanamission moja ya kutopatia thamani Hagano jipya
@CharlesMisungwi-f8t
@CharlesMisungwi-f8t 2 күн бұрын
Yesu alitufia musalabani aukujitoasadaka kwa ajili hiyo nakufutakabisa huo upuuzi unao wadanganya au watu watuwanguvu zashetaniwenzako auwachawi unazungumuzia torati tofautikabiss naEnjli wewe rudi kwawaislamu ukaabudu huyo rusifana wafuasiwake halafu eti unajiamini nakujitukuza kamavile shetani anavyojitkuza ili hali he is empty set.
@DeboraNeno-s5o
@DeboraNeno-s5o Күн бұрын
Kaaa
CASSIAN MGEUKIA ROZI MHANDO NA BAHATI BUKUKU EV PASCHAL CASSIAN
1:24:35
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 1,1 М.
CASSIAN AWAGEUKIA ROZI MHANDO BAHATI BUKUKU MZIKI WA SHETANI NA WAKIROHO EV PASCHAL CASSIAN
1:24:35
If people acted like cats 🙀😹 LeoNata family #shorts
00:22
LeoNata Family
Рет қаралды 42 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 98 МЛН
FAHAM SIRI YA MAFUTA YA UPAKO NA MAJI YA BARAKA JUU YA KUZIM EV PASCHAL CASSIAN
1:06:31
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 1,6 М.
PAT5)FREE MASON WANACHUKUWA WENYE SIFA HIZI TU BILA HIZO HAWAWEZI EV PASCHAL CASSIAN
26:49
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 469 М.
SIO UCHAWI KUPAA NANGANI. HESHIMU MAKABULI.
2:12:20
IPM TV
Рет қаралды 7 М.
PASTA TON BADA YA KUZIKA BABA YAKE CASSIAN AMKUMBUSHA UJUMBE HUU EV PASCHAL CASIAN
1:28:27
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 6 М.
SHABOKA NA CASISIAN WAPIGANA MADHABAHUNI KISA MKE WASHABOKA  EV PASCHAL CASSIAN
1:47:04
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 2,8 М.
MUME WA ALIYEFARIKI CHUMBANI NA MWANAJESHI  MSTAAFU TABORA AELEZA MAZITO
16:22
STEVE NA NDARO WALIVO VURUGA NDOA UTACHEKA
16:04
Ndaro Tz
Рет қаралды 432 М.
Lissu Akijibu Maswali Magumu ya Waandishi Baada ya Kutangaza Nia
2:00:06