MUNGU amekutoa mbali😢😢na anakupeleka mbali kwa uwezo wake asante kwa ushuda wako niwakutia nguvu barikiwa sana mtumishi wa MUNGU aliye hai 🙏
@BeforeZayekhaКүн бұрын
Pore sana mtumishi MUNGU akulinde sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@MussaChauyaКүн бұрын
Bado mungu anakupenda sana mtumishi wa mungu na anataka kukutumia kwa viwango vya juu kuifikisha injiri duniani kote
@EdinaRuben-l2k2 күн бұрын
Daaa mungu nimwema Kila wakati kwako mungu azidi kuku Linda daima mtumishi wa mungu
@tagomshana4032Күн бұрын
Looooooh pole sana mtumishi mungu amekutoa mbali na azidi kikutunza mtumishi wetu
@FurahaRwakatare2 күн бұрын
mtumishi wa MUNGU ubarikiwe sana kwa ushuhuda wako,nikisikiliza ushuhuda huu huwa nazidi kusonga mbele na kuzidi kumwamini Mungu kwa viwango vikubwa
@ShallyCyttra2 күн бұрын
May God help us greatly on this journey to heaven, we are in the last days, may God have mercy on us.😢
@navokisemboКүн бұрын
Pole saana mtumishi wa Mungu aliye hai
@felixBenosКүн бұрын
Mungu muweza wa yote akupe maisha malefu uzidi kulitangaze neno lake.
@ShallyCyttra2 күн бұрын
The servant of God is just so blessed, if humans were the only ones in control, the rest of us would not even be alive, but God is always greater.
@Reginamueninzuki2 күн бұрын
Woi ndugu mungu alikusaidia sana kama ulikuwa hivyo mungu amekutoa mbali barikiwa sana from kenya
@Visionofeagle96892 күн бұрын
Yesu Kristo ni Bwana Aminaaaaaaaa
@estherbugumba2 күн бұрын
Pole sana mtumishi wa Mungu,ulipitia magumu sana,kupitia ushuhuda huu umenitia moyo,barikiwa Paschal,
@NeemaGrace123Күн бұрын
Mungu ni mwema kila wakati 🙏
@ChamezimanachantalChantal-h2e2 күн бұрын
Sujaa wetu mungu alituletea nakupenda mno
@AgnesMussa-t7r2 күн бұрын
Umeitiwa wito mgumu sana mungu akutie nguvu
@barakaelias11162 күн бұрын
Sasa ndo natambua kwamba kwann Pascal cassian anakuwa mkali mno kwenye injiri na Hana mbambamba Maan ameokolew na Mungu kwa tabu san LA mtumishi tunakuombea Maan una wito mgumu sana.
@Visionofeagle96892 күн бұрын
Ndo ujuwewe sasa kama hakuna mjadala.
@EstherCharo-lc3md2 күн бұрын
😂😂😂😂kabisa
@monicasimpilu62572 күн бұрын
Kwa kweli nimeumia sana japo mm ni nesi. Usije mwacha Mungu alie hai. Maana alikupitisha ktk wakati mgumu.
@daudimichael73382 күн бұрын
Pole kwa kupita kwenye bonde la uvuli na mauti, Mungu alikuvusha. Ni ushuhuda kuwa Mungu anaponya kwa Neema yake mwenyewe
@Pendopasilika2 күн бұрын
Pole sana mtumishi japo moyo unauma unapojua kusudi la adui yako ni kukwangamiza upotee kabisa ktk dunia lakin kusudi la MUNGU ni kuijenga Imani thabiti kwa wengine ni wengi sasa tunamwamini MUNGU kupitia shuhuda zako
@Glo-k4xКүн бұрын
Pole sana mutumishi wa mungu hautakuga Bali utaishi mungu ipo pamoja nawe😢😢😢
@Glo-k4xКүн бұрын
Ulipitia mengi kweli mungu ni mwema sana
@protasdmassaweКүн бұрын
Pole sana mtumishi
@DotoS122 күн бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi
@BeforeZayekhaКүн бұрын
Pore sana mtumishi wa Mungu umepitia mateso sana
@Priscakeneth2 күн бұрын
Hakika Mungu anaishi na kusudi lake litasimama hallelujah
@RubazaReuben2 күн бұрын
Mungu ana ku ona mpendwa wa Mungu
@DicksonMwakibingaКүн бұрын
Pole naongera sana yesu ndio dk mkuu
@EstherCharo-lc3md2 күн бұрын
Mungu akulinde uingiapo utokapo😭😭😭🙏🙏
@chongeranzeimanakabaziroКүн бұрын
Asante Yesu
@ChamezimanachantalChantal-h2e2 күн бұрын
Pole sana casiano pole sana casiano uliteseka sana , nataman nikuone , pole pole sana cassiano inauma
@ChamezimanachantalChantal-h2e2 күн бұрын
Sitaogopa ncuti yanje mungu akubaliki
@ChamezimanachantalChantal-h2e2 күн бұрын
Ameeeena sifa kwa yesu
@TshambyDidier2 күн бұрын
Mtumishi ubarikiwe Sana
@jovettedenise25912 күн бұрын
Mungu azidi kukupa nguvu ukamufanyiye kazi
@vivianempawenimana93672 күн бұрын
Mungu ni mwema sana
@EstherCharo-lc3md2 күн бұрын
Huyu mtumishi ni jicho la Mungu kwa hiyo wanao pigana na huyu wanapigana na Mungu
@philipsaleh2 күн бұрын
Pole sana mwinjilisti
@SarahWilson-g2u2 күн бұрын
😢 inauma sana pole mtumishi
@naikekangele71172 күн бұрын
Inauminza sana kama mungu amewapa watu vipawa ili wawahudumia watu alafu wanashidwa watalipwa hapahapa duniani
@AnnahAberi2 күн бұрын
God is good all the time 😢🙏🙏
@GeorgeNyambuya-t7x2 күн бұрын
Pole mtumishi kwa kupitiya majalibu ya namna hiyo
@martinahlighare64952 күн бұрын
Mungu alikua nawe.
@motowayesumotowayesu2 күн бұрын
Duuuu aiseee mpaka nimeumia yani pole sana ila Mungu anampango na wewe na anakupenda
@EvangelistLusekelo2 күн бұрын
Dah Kweli naomba MUNGU aniongeze Imani maana usingekua na Imani ungevunjika moyo naomba bwana aendelee kukulinda
@DeniceMusebula-j3b2 күн бұрын
Mtumishi Bwana akuweke maana nabarikiwa sana na jumbe zako! Ila nina tatizo la kuota mara Kwa mara ndoto zinazousiana na nyoka kila nilalapo nisaidie mtumishi.
@alphonceseleph84112 күн бұрын
Duh inauma mno,
@thehopetv29302 күн бұрын
Daaah aiseee
@allymwashambwa59202 күн бұрын
Siku zote MUNGU ni mwema sana kwa waliowaaminifu kwake
@BarakaSenior2 күн бұрын
Glory to God
@kmotivation11302 күн бұрын
Mtumishi acha kulaumu ww samehe , fanya kazi ya Mungu
@mwaminimwangaza2 күн бұрын
Ndugu hii sio kulaumu wengine wanatiwa moyo na kuona ukuu wa Mungu na wema wake
@RogateNyari2 күн бұрын
Hapa anaushuhudia ukuu wa MUNGU na siyo kulaumu anamwaibisha SHETANI
@stevenkipara931019 сағат бұрын
Vijana kwa Kweli tuwe makini na na hizi mari za haraka haraka maana gharama yake utakuja kulipa nikubwa kutoka uko.