Hakika Mungu wetu Ni mwema.ccm inafafanulia wanaccm na wananchi kwa ujumla kuhusu Nini kinachoendelea baada ya kifo cha Rais JPM taarifa hutolewa kwa uharaka na kwa usahihi ( CETA CITO) Mama Samia chukua Wenyekiti na uanze speed na hata zaidi z aidi ya JPM uweke record histoia yako iko wazi.Mungu atakupa uweza ukimtumainia . AMINA