Yaani jamen kama chadema wameleta wagombea wachache lakin tena wanakatwa je watabaki wagapi ccm na polisi hamna huruma polen sana shetan alisha waingilia sana.
@JeremiahKaliwa-h1w2 күн бұрын
Wako wachache halafu wanawaengua ni hujuma tu MUNGU anawaona
@ommymsangi91822 күн бұрын
Acheni woga na unafiki wenu wa kijinga,kama wamesinamisha wagombea wachache mbona mnahangaika kuyaondoa majina ya wagombea wao!!!ccm kimesha jifia inayotumika sasa ni nguvu ya dola.
@kigongolevi5403Күн бұрын
Hivi hawa wasimamizi wanasali popote, na madhehebu yao yanawaruhusu kuongopa waziwazi, hawajui hii ni dhambi!!!
@AnnaFelix-p1z2 күн бұрын
Kata ya ulumi wameeguwa wote Tena aikuja mkurugenzi akawasisitiza watendaji kuwatowa wote na wamefanya hivo Sasa demokrasia ikowapi
@AnnaFelix-p1z2 күн бұрын
Mimi fom yainje iliobandikwa wamenibadilishia mwaka kwamba sijazaliwa wakati huo fom iliyopo kamtendaji wa kata IPO sahihi na nakala yangu IPO sahihi Sasa wame weka pingamizi Tena fom ziko sahihi ila mtendaji wa Kijiji ndo fom ya kwenye sim imejazwa mwaka 2024 kwanjia ya sim
@rebekakulwa61592 күн бұрын
Mafisiemu. Eti nayo. Yameenguliwa wanatuzuga wanaranya maigizo mafisi
@crisantisindani38302 күн бұрын
Chadema kelele zenu na maneno magumu
@majaliwamwampagama54062 күн бұрын
Mmm
@KudraWanguvu-em1xw2 күн бұрын
kuna chakuofia hapo niwayendaji tu vyama hivi haviko sawa hivi za upinzani
@colombanipaulo89532 күн бұрын
Hivi research zinafanyika kweli kujua kwann upinzani wana wagombea wachache? Unafikiri hakuna watu wa kugombea kupitia upinzani? Nina uhakika wapo. ila watu kutogombea kupitia upinzania kuna jambo wanalikwepa? Tujadili mm na ww.
@fabby11812 күн бұрын
Kama CCM wataendelea kukaidi mabadiliko ya kimfumo ambayo hayana sura ya vyama Mabadiliko ya amani yatatoka ndani ya CCM Vinginevyo natural course will implement the necessary change needed which may not be peaceful.
@crisantisindani38302 күн бұрын
Chadema watupishe CCM ni moto, chadema Uongo mwingi mwingi.