Allah akupe maisha marefu mzee wetu ngurumo, watanzania wengi tulio upinzani tunakuombea
@charlesshitobelo68702 ай бұрын
Ujumbe huu umfikie Mh. Lissu. Baadhi ya kauli zake zinatafsiriwa vibaya na kuuaminisha umma kwamba Chadema kuna mgogoro na hasa kuhusu Mwenyekiti wa Chama taifa Mh. Mbowe. Hongera sana Mh. Mbowe kwa kuchunga kauli zako. Nimshauri Makamu M/kiti atafakari huu ushauri wa Mr Ansbert Ngurumo. Hakika unamhusu zaidi kuliko ulivyo kwa Mbowe.
@josephmakutano70672 ай бұрын
Wewe umemuonea mh lissu ebulejeeni hotubazake zawakati wote
@prochesytesha80402 ай бұрын
Mkuu kama vile tupo pmj
@JohnMabustar2 ай бұрын
Asante sana mzee Gulumo kwa darasa huru apo ulipo sema kumetoka wapi tuko wapi na tunakwenda (Vipi) tunakuzingatia saaana 😊😊
@bernardngomano621510 күн бұрын
Mzee Ngurumo wewe kweli ni MWANDISHI WA HABARI MWANDAMIZI
@Tumosafarini2 ай бұрын
Mr Ansebert ubarikiwe kwa ushauri bora ulioutoa. Binafsi nimekuelewa sana.
@joyceharris20932 ай бұрын
Umeongea vizuri sana i wish hao viongozi wangeiona hii clip ingewasaidia sana.
@davidpallangyo1142 ай бұрын
Hongera Sana Mzee.Ngurumu,Hakika Wewe ni Kiongozi Bora Kabisa,japo huna cheo Lakini Heshima Uliyo Jijengea Ni Kubwa Kuliko Ya Wenye Veo Wengi Sana.
@charleskuyeko16602 ай бұрын
Ujumbe huo ni mzito sana. Ni ushauri mzuri sana kwa CHADEMA ambao tunaanza kuona viashiria vya kukosekana umoja miongoni mwao. Ndiyo wanaotakiwa kujitafakari.
@PaulRPaul-z1q2 ай бұрын
Well said Mkuu Gurumo. Stay blessed.
@bishopmosesmagadula75722 ай бұрын
UBARIKIWE NDUGU ASBERT GURUMO KWA USHAURI MAKINI SANA MAANA MIMI NIMESHUHUDIA NGUVU ZA MREMA NA UDHAIFU WA MREMA MWISHO WAKE ULISIKITISHA SANA MREMA ALIKUWA ANATIA HURUMA UMAARUFU UNAPITA
@Mwakamele2 ай бұрын
Nimeelewa, anachosema Ngurumo ni kuwa Lissu ameanzisha kampeni ya kushutumu wenzie hadharani kuwa wamepewa hela na Abdul. Lakini hata juzi wameeneza uvumi kuwa Mbowe amezuia mkutano wake na akamkemea hadharani ingawa hajamtaja jina. Kuhusu karama ya kujenga chama nimeelewa kuwa ukimlinganisha Mbowe na Lissu, Mbowe ana uwezo, mbinu, mikakati na nyenzo za kukijenga chama zaidi kuliko Lissu. Lissu kama alivyo Mbatia ni mzuri wa kutoa hotuba tu. Na hotuba peke yake hazijengi Chama
@denisnjaila21822 ай бұрын
Kichwa sana
@isaackmwakapala86632 ай бұрын
Hivi watu Kama ww wako wangapi nchi hii? Ukiondoa akina Nyerere, kaunda, D Tutu, Rumumba na wengine. Ubarikiwe Sana kwa kutupa farja, hata mgonjwa anafarijika.
@FrankMwakatundu-cu6bd2 ай бұрын
Hongera sana Ndugu H. Ngurumo kwa HEKIMA KUBWA!!! Adui mkubwa wa watu kushindwa kuuzingatia USHAURI WAKO BORA NI UBINAFSI WALIO NAO VIONGIZI WENGI!!!
@SurprisedPotluck-ph6ii2 ай бұрын
Asante Sana kwa somo Zuri Sana la Kutembea pamoja Kama viongozi.nimejifunza kitu kizuri Sana.
@filbertkye20842 ай бұрын
Asante Mungu akubariki sana nimekuelewa.
@danielezekieldaniel3652 ай бұрын
Hongera sana kwa hoja nzuri
@ajmstationery61572 ай бұрын
Safi sana, nimeelewa unamsema nani, hata mimi huwa ananisikitisha sana. Amejisahau.
@louisnyaki19362 ай бұрын
Nimekuelewa Sana mkuu, ukishakipa chama mgogi na kukiacha chama Kwanza jua ipo siku utajibomoa mwenye.
@TheresaZenda-c2o2 ай бұрын
Hongera sana Kwa Mang'amuzi
@angeloeugene60912 ай бұрын
Hongera sana Kaka Ngurumo the analysis you made is wonderful. Be bless kaka.
@hezekiamtera35592 ай бұрын
Labda ndani kwenye vikao vyao kuna kutokukubaliana kuhusu mambo fulani yanayofanya na baadhi ya viongozi kwa siri.
@allysaimoni69292 ай бұрын
Mzee, Mungu akubariki saaana kwa ufunuo huo , wazee kama wewe wako wapi? Vyama vya siasa tumieni busara za huyu mzee
@malinzirutta33912 ай бұрын
Chadema kuwa makini msikilize Ansbert anayowaambia
@ChristerKoku2 ай бұрын
Somo hili,ni zuri sana kwa watanzania wote,kwa vyama vyote.Tumeelimika ebu viongozi tembea na darasa hili tutaliokoa taifa .
@BishopJohnSaidi2 ай бұрын
Umefanya sehemu yako, kaka. Mungu akubariki sana.
@King_Of_Everything2 ай бұрын
👍👊✌️.
@MathewNathan-yb2bz2 ай бұрын
Ngurumo uko sahihi sana.
@antipasmkude37892 ай бұрын
Yeyote mwanachama wa CHADEMA, atakayeona clip hii, amshirkishe mwingine, Na awaonyeshe viongozi wa juu. Kuna viashiria vya kutengana kwa wengine kujiina maarufu ndani ya chama.
@driss49572 ай бұрын
Well said, Busara zako Zinahitajika muda. Wote..UBARIKIWE SANA..
@pmt792 ай бұрын
POWERFUL!!!!!
@joyceharris20932 ай бұрын
Wanaowachonganisha Mbowe na Lisu ni club house kibaya zaidi Lisu anawasikiliza anayabeba.
@safiyaalharthy63822 ай бұрын
Well said 👏
@salathielmbengale13652 ай бұрын
Asante sana mweshimiwa mie nimekuelewa
@orestsanga62942 ай бұрын
Umesomeka vyema
@hoffmanlupaya57282 ай бұрын
Ahsante sana. Uko sahihi.
@prochesytesha80402 ай бұрын
Mjomba upo vzr watu wapokee ujumbe mzr sana
@yaronaWilliam2 ай бұрын
Correct!
@ChrispinMashauri2 ай бұрын
Upo vizur sana
@VitalisMmassi-oh4jbАй бұрын
Ngurumo tumekuelewa sana Lisu ndio anarudia makosa ya mrema sasa.
@verdianabanabi22052 ай бұрын
Mwenye masikio na asikie.
@MiltonByemsАй бұрын
Lissu ni nyoka aliyejipanga siku nyingi, kimya kimya kubomoa CDM. Watu wanamchekea lkn ni mtu hatari sana.
@ChristerKoku2 ай бұрын
Darasa safi kama mmesikia msikie,rudini muwe pamoja,kubalini kkuwa kitu kimoja pia waaminifu aminianeni ziba mianya yote yenye mafarakano.
@AminielKombe-c1t2 ай бұрын
Lissu huyo jana,, kaulizwa uliyoongea ni kauli ya chama? Alivyojibu sasa haha
@GodfreyMubyaziАй бұрын
Natamani Madini haya yaandikwe kama sehenu ya Kitabu kiitwacho JIFUNZE KUTOKA KWA ANSBERT NGURUMO
@KassimAlly-xp4dz2 ай бұрын
Tundu lissu kaskia lakini hatofata ushauri akiamini yy ana wa2 kumbe hajui tu
@gowekogoweko58032 ай бұрын
BIG BRAIN
@KalicKaguz2 ай бұрын
Du! Kuna watu vichwa bwana, hatari sna
@malinzirutta33912 ай бұрын
Lisu take note of this!
@The1979bornagain2 ай бұрын
Honestly, sisi wapenzi na wafuasi wa CHADEMA ili tuendelee kuiamini taasisi hii muhimu, ni lazima wawe wazi Sasa watuambie kuna shida gani ndani ya chama hususani kwa viongozi wetu wa juu M/kiti (Freeman Mbowe) na Makamu Mwenyekiti wake (Tundu Lissu). Ni tofauti ambazo hazikuwa wazi sana lakini kidogo kidogo zinaanza kuwa wazi kabisa. Mkutano na waandishi wa habari wa Tundu Lissu kule Singida leo na kusema ambayo yalipaswa kuwa ni kauli ya chama iliyokubaliwa na wote ni ishara ya wazi kuwa kuna tofauti kubwa miongoni mwa viongozi wakuu wa chama na vikao vyao vya maamuzi ndani ya chama. Ni wazi kuwa Tundu Lissu ana jambo kuhusu Mwenyekiti wake Freeman Mbowe lakini halisemi kwa uwazi ila kwa mafumbofumbo. Hii haipendezi hata kidogo na mtaweza kukiua chama hiki ambacho ni tehemeo la wananchi. Tundu Lissu kama ana tofautiana na Mwenyekiti wake, ni lazima atumie approach mzuri kumaliza tofauti zao kuliko njia hii anayotumia ya kumnanga Mwenyekiti wake kiaina. Alifanya juzi kule Same - Kilimanjaro juu ya tuhuma tu kuwa Mwenyekiti wake Freeman Mbowe eti ali - conspire na CCM kuzuia mkutano wake wa hadhara huko. Maneno aliyoyatoa Tundu Lissu kujibu tuhuma hizo huko Same, yaliunga mkono tuhuma hizo kabla hata Tundu Lissu hajawasiliana na Mwenyekiti wake. Kauli yake ilionesha wazi kuwa hakuwasiliana na Mwenyekiti wake kwanza kabla ya kutoa kauli ile. Hapo Tundu Lissu alikosea na wenye akili tulijua amechemka. Ajirekebishe, vinginevyo Yeye ndiye atakuwa shoka la kuiua CHADEMA!!
@yosephatMasanyiwa-oh1rl2 ай бұрын
Hapana umenena tofauti. Kaa utilize akili uone Lissu ana tatizo Gani hapo. Fikiria juu ya hekima zote za Lissu.
@damiandaniel64682 ай бұрын
@@yosephatMasanyiwa-oh1rlkuna mengi nyuma hatuwezi kuandika yote
@asungwilemwaifungapenginei23852 ай бұрын
Mimi naamini, kwa jinsi ninavyoifahamu Lissu si mwoga. Sidhani kuwa kama ana jambo la kumwambia Mwenyekiti Mbowe anaweza kuogopa kulisema ndani ya vikao vya chama. Ninaamini Mwenyekiti anatumia mamlaka ya cheo na pesa zake kuwapuuza viongozi wenzake. Watu wakipuuzwa ndani ya chama chao watasema nje. Haizuiliki. Wananchi wanataka kuona matokeo ya upinzani si kudanganywa kwa pipi. Mbowe amewahi kusema yeye binafsi anasimamia maridhiano mpaka mwisho. Kiko wapi leo? Kuna maridhiano yoyote? Imani hii ya Mbowe kwa Samia inamfanya Mwenyekiti msaidizi wake Lissu asimwelewe. Amesema yeye Lissu ataendelea kupigia kelele pesa chafu popote atakapokuwa. Which is right . Nilidhani Mwenyekiti Mbowe angalijua wa kwanza kuchukua kwa jinsi alivyoingizwa mkinga na Samia kwa mambo yote waliosems wanaridhiana lakini wakati wakati wa uchaguzi hatuyaoni. Wanataka baada uchaguzi waje na maridhiano mapya. Huu utakuwa ujinga
@PhilipoMwita-b2x2 ай бұрын
Ngurumo lissu yupo sahihi
@ChristerKoku2 ай бұрын
Ansibert wasaidie hata kwa faragha hawa wa Chadema,watulize akili.
@stevenmshomi36022 ай бұрын
Umezungumza kweli kubwa sana kiuchambuzi ila kwa hekima umeacha kumtaja dhahiri Lisu anavyokosea na Dr. Slaa anavyojitahidi kubomoa. Lisu anaenda kuua umaarufu wake na kuiua CHADEMA kwa kukosa hekima.
@willymgaya76182 ай бұрын
CHADEMA, MMEUPATA UJUMBE HUO. KUWENI MAKINI.
@asungwilemwaifungapenginei23852 ай бұрын
Umoja, urafiki usiowafikisha kwenye malengo hauna faida yoyote. Umoja unaokisaidia CCM kutawala kwa ujanja ujanja, huu hauna ma ana yoyote. Umoja unaogopa ukweli bora uvunjike turudi nyuma tujijenge upya. Hakuna maana kuendelea na safari huku ukijua kuwa unakokwenda siko ulikokusudia kwenda
@PhilipoMwita-b2x2 ай бұрын
Ukweli lazima usemwe
@dismasmtui7292 ай бұрын
Lisu anatakiwa kujifunza siasa za kuvumiliana na kushauriana!. Mbona Mbowe hana tabia ya kuita vyombo vya habari na kuanza kutuhumu au kulaumu!?.Au Lisu anajiona yeye yuko perfect sana!.
@frankcharles39802 ай бұрын
Mboga Mboga bhana hamjawah kua na akili
@yosephatMasanyiwa-oh1rl2 ай бұрын
Kawashauri Wana ccm wenzako
@festokemibala58322 ай бұрын
Hii ndiyo inaonekana kushadidiwa na macahwa waliokata tamaa wa CHADEMA ambao bila kujijua wanaanzisha chokochoko ili kukiua chama chao. Hawajui kuwa adui wao anafurahia huu ujinga pasi kujali kama kwake naye ni moto unawaka anafunika hata na magunia lkn wapi nje tunaona mashi!! Kaeni chonjo
@JohnBosco-d3g2 ай бұрын
Wakati mwingine unakubali kudanganywa heeeee😢😂😂😢😢😅 HAPO MSHAURI TUFAFANULIE!!!!!
@geniusplus85862 ай бұрын
Huwezi kuelewa kauli hii hadi utakapooa na kuwa na watoto ndani.
@JohnBosco-d3g2 ай бұрын
@geniusplus8586 😂😂😂
@ShedrackFaustin2 ай бұрын
Mhh,, kumekucha,, ccm washapanda bomu
@josephlorri4312 ай бұрын
Lissu ajitahidi kuwa na hekima katika kunena na kutenda
@PaulRPaul-z1q2 ай бұрын
Stand up with justice being witnesses for God. And then even if it is against your own people. (Quran 4:135)
@MohammedAwadh-gq9si2 ай бұрын
Wewe mwenyewe ni mnafiki mkubwa huwa unachonga saaana hata kama sio cha kweli ! Ngoja uyaone kwenye Sacco's yenu kaa kimya Lea vijukuu huna jippya
@joseph-fc6ry2 ай бұрын
tatizo ni lissu
@malinzirutta33912 ай бұрын
Ujumbe mkubwa sana kwa vyama na hasa .....
@selemaniigosha2 ай бұрын
Tatzo la mbowe lilianzia pale alipotoka gerezan na kwenda kukutana na mama, alikatazwa maafikiano yao yeye akaziba masikio. Sasa mama amemgeuka na waliomwambia mbowe kipindi hicho hakuckia na sasa wamekuja juu wakimlaumu kwa mkataba wake na mama ndo maana wana waswas pengne alilamba asali!!
@Kiva16102 ай бұрын
Ukitaka mbowe asizungumze na Rais? mbona enzi zaKikwete walikuwa wapinzani wanaenda ikulu mara Kwa mara na Hamkusema kitu kuonana na Rais wa nchi Yako sioni sababu ya kupiga kelele ni jambo la kawaida kabisa
@gowekogoweko58032 ай бұрын
UMOJA NI NGUVU. UTENGANO NI UDHAIFU MKUBWAA
@godfreymikmta50082 ай бұрын
Nimeyasikia mengi .illa nilikua nasubirib ufafanuzi wako .MUNGU AKUBARIKI. unafafanua bila mihemko bila kutaka umaarufu .umefafanua kwa maslai ya umoja
@joshuaswai82032 ай бұрын
Lissu unaua chama fikiri ulikotoka unamsikiliza yule dr alianiriwa kuwaangamiza ninyi unajisikia sukari sana unajiona wewe malaika kumbe sio unamsikiliza yule mchungaji aliyesepa ni hatarisana kwa chama tumia akili yako sawasawa br
@louisnyaki19362 ай бұрын
Ningepewa platform hapa SK ningeandika makala ambayo pengine ningalibainisha haya yote
@festokemibala58322 ай бұрын
Ndo inavyofanyika kwa waandishi wengi hata wakati mwingine kichwa cha habari kutofautiana na maelezo ya habari yenyewe! Leo tu rais kateua watu wawili tu eti ni uteuzi mkubwa serikalini!! Mabwege wanakera!! Wanashindwa kutulwtea habari kuhusu mtafaruku anaotulwtea Mchengerwa kuhusu hatima ya nchi hii kwa watoto wetu!! Sijui tuwaiteje, kunguni au mdudu gani mchafu?
@ndaro.a.j2 ай бұрын
Ume nena vyema sana.
@malinzirutta33912 ай бұрын
Ngurumo call Lisu and talk to him....
@MsabahAli-d6u2 ай бұрын
Mh lissu usiwe kma lipumba
@marysichinsambwe77082 ай бұрын
Mbowe must go.
@RahimMallya-fh9zc2 ай бұрын
Lissu mboe alikusimamia kwenye magumu yote ulio pitia, mogope Mungu jua watanzania chadema ndio tumaini letu,mboe mshike mikono 2 chama kiwe 2, acheni umimi jalin chama sana
@nyembobea72852 ай бұрын
Kichwa chako cha habari kimenithibitishia kumbe wewe ni chadema sasa jipange maana mnawekeza nguvu kubwa kuichafua serikali na mimi furaha yangu chadema ife kabisa maana ni mamluki wa wazungu
@williamgeorge-hd2tn2 ай бұрын
Lissu namkubali ila ananikata moto sanq
@bishopmosesmagadula75722 ай бұрын
Mimi nilikuwepo naelewa VIZURI SANA.. CHADEMA wawe MAKINI wasibomoe chama MAANA ndicho chama PEKEE tunachokitegemea KWA SASA vingine VYOTE hakuna KITU CHADEMA ilindwe..
@Ligida-572 ай бұрын
Nadhani Hawa jamaa wameingiliwa na vilusi. Wawe makini
@MmbagaMmbaga2 ай бұрын
Picha ya tukio sio kinachozungumzwa inakera sana
@JosephSanga-j4q2 ай бұрын
Kaka Ngurumo una akili kubwa sana,we ni moja ya watu muhimu sana ktk tasnia ya habari na pia ni hazina kubwa sana CHADEMA,umeongea neno kubwa sana na somo kubwa kwa viongozi wa upinzani
@nedlly22 ай бұрын
Lissu mhemko umemzidi! Anamsikiliza Dr. Slaa ambaye ni saa mbovu! Alitupoteza 2015 kwa ubinafsi wake, sasa anajifanya kutoa ushauri!
@Globalpeace1232 ай бұрын
Lisu alitakiwa aongee na viongozi wote wa Chadema akiwepo mwenyekiti kama anaona mapungufu yako wapi ili wakae kama chama na sio yeye kipeke yake anaitisha press halafu anaongea I hope ataipata hii clip na asiwe na kichwa ngumu.
@willardbarongo50762 ай бұрын
Sasa kwa hiki kinachoendelea ktk uchaguzi huu wa serikali za mitaa na vitongoji tunahitaji kuona viongozi wakikaa kimya bila kujitokeza na kukemea vitendo hivyo?
@willymgaya76182 ай бұрын
MBOWE NA LISSU KAENI CHINI ILI CHAMA KISIBOMOKE. CHADEMA KAMA CHAMA TUNAIPENDA. NINYI MKIWA CHADEMA TUNAWAPENDA , MTAKAPOKUWA NJEE MMMHHHH !!!!!! SIJUI.
@yosephatMasanyiwa-oh1rl2 ай бұрын
Sisi hatuyajui hayo. Yaani ni kama inzi kuangukia kwenye maziwa siwezi kuyamwaga. Migogoro ipo tu kila sehemu yataisha tu. LISSU hana ubaya wowote kwa mwenyekiti wake labda shetani tu anataka kuingia.
@StevenGendo-vx9jo2 ай бұрын
We nilipumbavu
@AnyosTemitope2 ай бұрын
Ngurumo uishi milele
@rosekessy59682 ай бұрын
umeongea vizur pasipo kumtaja mtu,Japo nimekuelewa unamzungumzia Mboye na Tundu lisu.Tundu lisu ameanza kuwa kama mrema
@DiwaniMwafongo2 ай бұрын
Moshi unaofuka CHADEMA kutokana na ubinafsi wa Mbowe ndio chanzo Cha hayo Kaka...? Mke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe na mwenyekiti mpumbavu wa chama hukiua chama chake kwa mikono yake mwenyewe!!
@MiriamAziz-z5t2 ай бұрын
CHADEMA....CHADEMA....CHADEMA....VIONGOZI WAKUU WOTE MSIKUBALI KUGONGANISHWA....WATANZANIA WANA IMANI SANA NA CHADEMA....CHAMA MBADALA WA CCM KWA SASA.
@1961nungwi2 ай бұрын
A desperate lament from afar!
@kamazimakyaruz12192 ай бұрын
Nyosha maneno, umezunguka Sana, mda ni Mali, hata kukusikiliza kwa mda mlefu hiyo nayo ni Mali, weka wazi una maanisha nini? Mimi nikati ya watu ninao kufatilia Sana.
@SHIJADAVIS2 ай бұрын
Huwezi kumuelewa maana inaonekana elimu Yako ni ndogo. Kujua Hilo ni maandiko yako.
@GeazKatabi2 ай бұрын
Kaka Ngurumo umenena vyema sana Mimi nasema kweli ulichokimanisha Tundulisu ajitahidi kwenda na wenzake hata kama anaongea vilivyo sahihi ila aende na taasisi yake
@driss49572 ай бұрын
MBOWE ANAKAAA KIMYA SANA,UONEVU UNATAMALAKI, YEYE KIMYA TUUUU, SSSM KWA SASA HAWATAKI BUSARA WALA DIPLOMASIA...WANATAKA UNDAVA UNDAVA, UMEONA PRESS YAKE MOJA, KINA NCHIMBI WAMEJITOKEZA NA KUTAKA WALIOENGULIWA WARUDISHWE...MBOWE KAMA VIPI AMPISHE LISU,AMSAPOTI KIROHO SAFI...LISU ANMHESHIMU SANA MBOWE....NI HOFU YAKO TU..
@AnsbertNgurumo2 ай бұрын
We! Press conference zote zilipagwa kabla ya leo. Sisi wafuatiliaji tulishajua uamuzi wao kabla ya leo. Jifunze mambo haya!😂😂
@joshuaswai82032 ай бұрын
Lisu ameota pembe zikatwe ,Mbowe uko wapi br mmempa ccm sauuti awaangamize Dr slaa funga mdomo mnafiki mkuu
@illomowerner76902 ай бұрын
@@AnsbertNgurumobarikiwa sana,ishi maishi marefu Kwa neema ya Mwenyezi Mungu kwa tija ya busara ya kizazi chetu na baadae, binafsi ninakuombea uione, uiishi na uwe sehemu ya washauri madhubuti wa serikali hiyo Kwa tija ya umma, nimekuwa mfuatiliaji wa hotuba zako for so long, hujawahi kuwa mfukoni mwa yeyote Kwa sababu yeyote, daima hujawa na rafiki wala adui wa kudumu, umekuwa na ukweli wa kudumu, nwanadiplomasia NGULI wa siasa....Aluta continua.