CCM TAIFA ZANZIBAR WAMERIDHIA KUMUONGEZA MUDA RAIS ATAWALE MIAKA7 BILA KUPIGA KURA 2025

  Рет қаралды 3,642

Tifu Tv

Tifu Tv

Ай бұрын

TOA MAONI YAKO KWA KUTUMA SMS AMA KUPIGA KWA KUTUMIA SIMU NAMBA 0773 95 35 31 AU 0777 94 54 74 AU 0777 37 37 87 FACEBOOK PAGE TIFU TV ZANZIBAR ,TIFU TV KIJAMII ZAID.
#Tifutv #zanzibar #kijamiizaidi

Пікірлер: 44
@abdallahabdallah7580
@abdallahabdallah7580 Ай бұрын
Safi sana na ikiwezekana wangeeka uraisi bila kikomo
@muhidinimohd1470
@muhidinimohd1470 Ай бұрын
Kama maraisi waliopita wangeengezewa muda angepata uraisi 2020?
@abdallahabdallah7580
@abdallahabdallah7580 27 күн бұрын
Ingekuwa vyema mukampa uraisi wa milele
@mohdhaji6265
@mohdhaji6265 Ай бұрын
❤mbn njaa kali
@ashura-kp4fp
@ashura-kp4fp Ай бұрын
Mkiongezeana miaka 7 kumbe mnataka muvunje muungano kinyemela wao wachague zanzibar isichague
@KichwaKigumu
@KichwaKigumu Ай бұрын
Hii nchi haina mapinduzi ya kijeshi hatutaki usultani Zanzibar wapita raisi 7 hakuna ata m1 aloongezewa miaka kwa muujibu wa katiba wa Zanzibari haukubaliani nalo hilo
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 29 күн бұрын
atawale au aongoze!!!😢😢😢
@itzanzibar9536
@itzanzibar9536 Ай бұрын
Aongoze miaka yote bora maana si kwa mazuri haya aliyo tufanyia
@harithwhite589
@harithwhite589 Ай бұрын
Sio kumuongezea muda tu,akae milele
@jombadulla
@jombadulla Ай бұрын
dimwa oyeeee
@jombadulla
@jombadulla Ай бұрын
ofisi ya mawasiliano ikulu imepinga lkn,wamesema si kauli ya chama wala nin,sasa tuelewe vp
@Allybinamour
@Allybinamour Ай бұрын
na pia wazanzibar tunampenda mama samia tunapendekeza atawale tanzania hadi mwisho wa uhai wake. au dr dimwa hajaiona kasi ya mama? mbona yeye kamsahau?
@kuntaalkinte5415
@kuntaalkinte5415 Ай бұрын
Hongereni aongezwe tu mpendwa wetu. hao wanokataa wajinga tu.waosopende maendeleo.
@akaumbo9433
@akaumbo9433 Ай бұрын
Utatumbuliwa mda si mrefu DIMWA😂
@khatibcamara
@khatibcamara Ай бұрын
Sas akiongoza miaka 7 si itakuwa mshatafautiana kiuchaguzi na mabwana zenu sas itakuwaje itabidi mabwana zenu wakufuteni nyinyi haaaa ilo litawezekana mume kumfuat mke? Kam ni ajenda ya kuuvunja muungano bac tuko pamoj man nchi moj chaguzi tofauti sizani. Zanzibar hatuwezi mpk waseme mabwana sijui itakuwaje
@YusufAli-nc5cp
@YusufAli-nc5cp Ай бұрын
Kweli rais wa Zanzibar anastahili muda wa nyongeza
@wakwetu2444
@wakwetu2444 Ай бұрын
Naona wailichukua Fomu zaidi ya Darzeni ku Gombea urahisi.
@lusakaone7782
@lusakaone7782 Ай бұрын
Bado mnamdanganya Mh. Rais, siamini kama yy binafsi ataridhia
@suleiman6552
@suleiman6552 Ай бұрын
Hiyo ilikuwa ni Haki yake Wassibe kura Sasa wala asimwage damu tuone ka anapendwa ama ni kama mmi2
@mahmoudmzee-pr3vs
@mahmoudmzee-pr3vs Ай бұрын
Imepita iyo
@rashidomar2771
@rashidomar2771 Ай бұрын
Chawa wana mambo kweli,, Ni bora basi chamani kwenu msiweke ukomo hata mtu akigombea mara 10 mumpitishe lakini uchaguzi mkuu miaka 5 mbona inatosha sana,, Mukiweka hivyo kama ataendesha vizuri sawa,,akiwa dicteta je mtafanyajje au itakuaje , nyinyi chawa hamfikiri hilo,,mnaangalia maslahi ya uchawa wenu tu
@rushydahmed9179
@rushydahmed9179 Ай бұрын
Eti Dokta? udokta wa ccm wachefua moyo hadi kutapika..
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke Ай бұрын
Iwe ata 15
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 Ай бұрын
Haha 😂😂 nchi yakusadikika lol bora kue hamna uchaguzi
@delasdiego6537
@delasdiego6537 Ай бұрын
Tujiandaeni na vita sio uchaguzi hawa mapredator tuwatoe madarakani kwa nguvu shenzi zao tafadhal mhe omo usilikubali hili na ndio iwe kigezo cha kujitoa GNU WASHENZI HAWA
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 Ай бұрын
Nimeamini ccm ni chama cha watu wenye ubinafsi wa maandeleo na kujishibia matumbo yao tu
@MwigaAdam
@MwigaAdam Ай бұрын
Hhhhhhhhhhh weeeee
@YusufAli-nc5cp
@YusufAli-nc5cp Ай бұрын
Tena sio saba iwe 10 aswaa
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 Ай бұрын
Viongozi wa Zanzibar wacheni dhulma na kuwapa shida ya maisha Wana Wanchi. . Madaraka ni yakupita tuu .Wache tuone fimbo ya Mungu.
@NoufelSalim
@NoufelSalim Ай бұрын
Dimwa km unampenda mpeleka kwako,hahah munaogopa uchaguzi😂😂
@Mahirwazanzibar
@Mahirwazanzibar Ай бұрын
Wanaogopaa uchaguzi CCM 😂😂
@feisalkhamis9445
@feisalkhamis9445 Ай бұрын
Labda huyo dimwa na Hussein mwinyi waje tuwafire Kwanza halafu ndio turidhie
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Ай бұрын
Duuu
@seifhabib5987
@seifhabib5987 Ай бұрын
Oya unatafuta Mashaka watakuja kukunasa ao
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Ай бұрын
@@seifhabib5987 sio tu mashaka si vyema kutukana watu hao ni wazazi wa watu isifike huko kutukana matusi ya ajabu huo ni ujahili
@MahmoudDouchi
@MahmoudDouchi Ай бұрын
Subuhhanallah dah sio maneno ya kusema hayo
@user-zc4py3qj9o
@user-zc4py3qj9o Ай бұрын
😂😂😂😂😂Kweli waso akili wamo mitaani yaani aengezwe saba tena
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 Ай бұрын
😂😂😂😂 wanataka aengeze miwili manake bado kazi zake hajamaliza. Basi na Mama Samia pia aongeze na yeye mitatu😂😂😂😂
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 Ай бұрын
HAHAHAH. MIAKA 7? HIVI AKIAGA DUNIA WIKI IJAYO MTAMPUNGUZIA AU🤣🤣🤣👁️👁️
@ZaidSeifSuleiman
@ZaidSeifSuleiman Ай бұрын
Ndoto hata kama nyerere hayupo acheni maneno yasiokuwa na faida kwa umma
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Ай бұрын
UAMUZI WA WAZANZIBARA AU WANA-MKURANGA? Mama Samia atafanyiwa hivyo au atabaguliwa?
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 Ай бұрын
Hapo sasa 😂😂😂
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Ай бұрын
MUHANGA NA TUNZO Kila mwenye Uzalendo wa Kizanzibar na Akili timam, hatosahau Mauwaji 21 ya Waislam wa Unguja na Pemba kuwa Muhanga kwa Urais wa Zanzibar.
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 62 МЛН
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 35 МЛН
ACT WAZALENDO WAULALAMIKIA MFUMO WA MANUNUZI ZANZIBAR
4:42
Bi Mariam Hamdani, kichwa kilichojaaliwa mengi | GUMZO NA WALIMU
1:13:35
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 4,3 М.
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН