Haya ni Maneno adiimu sana kuyasikia. Mwabukusi piga kazi, una watu wengi sana nyuma yako.
@ngamugamahonzelosanga3316 Жыл бұрын
Hongera ndugu Mwabukusi kwa ufafanuzi mzuri hakika bunge la sasa hakuna lolote kila kitu ni ndiyooo
@emmanuelsitayo1977 Жыл бұрын
Ooh my God. I love this speech. It's exactly what we experience with these elections. Imefika wakati mgombea akihujumiwa apige kelele sana. Syo ku kaa kimya kama mazezeta. Enzi za uzombi na uzezeta zimeisha.
@mesharothuman2443 Жыл бұрын
Brother unachoongea ndio uhalisia,mungu akubariki sana you are truly and honestly.Watanzania tunaumizana wenyewe kwa ubinafsi wetu hatuna umoja.
@eliassumila81735 ай бұрын
Uko vizuri sana wewe.Nimekuelewa haswaaaaa.
@aphonceedward678411 ай бұрын
Nakuelewa sana kaka uko sawa kabisa
@pueblo148 Жыл бұрын
Brain,smart,highness intelligent💕
@thomaskiponda6079 Жыл бұрын
MUNGU WANGU KWANINI USITULETEE WATU WAWILI WATATU KAMA HAWA? WASIOJALI VYAMA?❤❤❤❤❤ I LOVE THIS MAN OF GOD.❤❤❤❤
@illomowerner76909 ай бұрын
Great speech hon.Mwabukusi, Viva kaka Thomas
@renomori4255 Жыл бұрын
Asante sana kamanda
@JohnPallangyo-k9n5 ай бұрын
Kaka mwabukusi Mungu wngu akusaidie usibadili kwenye misimamo yko na usimame kwenye kweli na kweli hiyo itakuinua zaidi, mm niko pamoja nawewe
@adenmayala9298 Жыл бұрын
That's true
@MeenaHassan-fd9vv Жыл бұрын
mwambukusi big brain
@oscarkasalile3966 Жыл бұрын
Mimi nakuelewa Sana mzalendo namba moja Tanzania nakuelewa mnooooo.
@pidiusDominick-qi7nl Жыл бұрын
Tunahitaji watu kama hawa katika taifa letu
@mesharothuman2443 Жыл бұрын
A truly and honestly.Wow whaya speach
@bicorugina1452 Жыл бұрын
Big up
@mosesmacha1080 Жыл бұрын
Brain Smart, our Speaker🎉🎉🎉
@samwelmohonge45735 ай бұрын
this is the turning point, viva MWABUKUSI THE HEROE
@hilujuma4869 Жыл бұрын
Mwabukusi akiungana na LISSU unaweza kuilata Tanzania ya amani ya kweli na siyo hii ya mchongo.
@omarali797 Жыл бұрын
Hata hujui unacho andika. Yeye hapo anapingana na akina Lissu na wanasiasa wote kisa wanashiriki chaguzi
@samsonkatigiri23445 ай бұрын
Lisu ni maneno mengine kaka hata mwambukusi anamkubali lisu na mbowe,huu ujasiri kajifunza kwa hiyo miamba,lisu na mbowe ni magreda yaliyotengeza barabara ya lami sasa magari ya akina mwambukusi yanatereza tu😂😂😂
@MjuniLaulian Жыл бұрын
Watu wenye akili timamu kama awa uwa awacheki wala kuimbiwa nyimbo wala kusifiwa wakute wajinga mapambio sifa za kijinga mpaka wanakuwa na frash cd mfukoni za mchiliku anawajua wasanii wate wa singeri watashinda mungu yuko nanyi nasisi wachache tutaamasisha wezetu tulikomboe taifa
@jamesmfinanga171711 ай бұрын
Jipange tena bra ela utapata kwa wananchi ... katukamatie hawa ... na hapo katiba itapatikana ...
@jesaminzo Жыл бұрын
Ni kweli hata majambazi yamekimbilia bungeni kwa sababu yamegundua bungeni kunalipa!
@StephanoMbwambo4 ай бұрын
uko sahihi mhe mwanukusi.wabunge wengi wakitanzania wamekua wakijisahau kutekeleza majukumu yao kulingana na sisi wananchi tulivyowatuma. wabunge eenge wamekua wakitusaliti sana sisi wananchi.
@LoitushulYamat4 ай бұрын
Mungu akulinde mtu muhimu sana.
@GodsonMwasha4 ай бұрын
Nakukubali kwa kupenda Haki wakili wetu.
@emmanuelmasele95854 ай бұрын
Hongera sana Mh.Mwabukusi.
@Tanzaniayangu-g8v Жыл бұрын
Siku zote ninaamini amani ya taifa hili imeshikiliwa na wapinzani, maana wanafanyiwa vitendo vya kikatili ambavyo laiti kama wasingekuwa wazalendo watu wangekuwa wanauana hovyo kwa kulipiza kisasi..na mambo hayo wangekuwa wanafanyiwa sisiemu kusingekuwa na amani.
@FrankMwakatundu-cu6bd Жыл бұрын
Uko sahihi ndugu CCM NI HATARI SANA!!!! Kiss TU MADARAKA NA MALI!!! WAMESAHAU KABISA KUWA YAKO MAISHA BAADA YA HAYA TENA NI YA MIKELE.
@StephanoMbwambo28 күн бұрын
mhe mwabukusi asante sana hiyo ni point.
@WingodEpafra-dl1cd5 ай бұрын
Barikiwa mkuu
@MiriamAziz-z5t Жыл бұрын
COMRADE MWABUKUSI.....MZALENDO WA KWELI WA NCHI YETU.....WATANZANIA KWA MAMILIONI TUNAKUELEWA SANA.
@DausonShensherwa4 ай бұрын
Mkuu nakukubali mungu akutunze
@EMANUELMUSHI-kk4df5 ай бұрын
Aisee naomba nirudie kuiangalia, huyu janaa wa moto mbaya🔥🔥🔥🔥🔥
@George-jz3jg Жыл бұрын
Yaani Ndugai alifukuzwa kama kibaka kisa kakosoa matendo ya serikali na rais wake
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
George sasa limebumbuluka alichosema kuwa nchi imeuzwa jubu ni kweli Bandari zote Mbuga za wanyama zote loliondo nk sasa ni aibu tupu
@illomowerner76909 ай бұрын
Pia naye alilipwa mshahara wa dhambi yake kushirikiana kwa hila kuumiza upinzani contrally kabisa na taratibu za kibunge. Mara ku-approve wabunge fake
@salumntulo15894 ай бұрын
Hakika what's goes around comes around
@frankremishoy5778 Жыл бұрын
Well don bro a very slow lanner can also know the concerpt
@MichaelPaulo-i7m4 ай бұрын
Akili kubwa sana huyu mzee
@johnmalembo6464 Жыл бұрын
Unafaa kuwa speaker wa bunge tz
@sampaconnector2845 Жыл бұрын
Nchi ipo gizani sana na sababu ni hawa CCM.
@wiza23094 ай бұрын
Ndiyo maana wamekuchagua kaka yangu, Mungu amekuweka kwa kusudi maalum na amekupa Ulinzi
@daudisalum9574 Жыл бұрын
Uyu jamaa kwanini asiunganishe nguvu na lisau
@smarty1064 Жыл бұрын
Duh! hakuna haki kbs
@jumaally2469 Жыл бұрын
Mm nawashangaa sana hawa CCM wao wanajinadi kua ni chama pendwa kwann wanaogopa katiba mpya
@JustineYohanes Жыл бұрын
Huyu jamaa yupo vnzr lakini na shindwa kuelewa ni chama gani kwaa wakati huu Ccm chadema
@STEVENKAJUMBA Жыл бұрын
Sauti ya watanzania..
@OmmyJames-xn7ji Жыл бұрын
@@STEVENKAJUMBASAUTI YA TEC 😢😢😢😢😢
@bickosichula98615 күн бұрын
acha uwongo mjinga ww.huyo ni nccr mageuzi.na ubunge aligombea kupitia nccr @@OmmyJames-xn7ji
@bickosichula98615 күн бұрын
@@STEVENKAJUMBAnccr mageuzi
@mustaphabussinescenter4127 Жыл бұрын
😂😂😂 spika kafukuzwa kama muuza bamia nani uyo
@JamaldaudlulyehoJamaldaudlulye5 ай бұрын
Jobu Ndugai
@jeremiahblazio47814 ай бұрын
TLS stand up, dear tulia,....😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@wallacemngoma794 Жыл бұрын
Mhe. Mwabukuzi aungane na Mhe. Lissu waongeze nguvu kupapambania haki ipatikane Tanzania na kuiondoa CCM madarakani.
@StanslausLwambusha4 ай бұрын
Hao wanaoambiwa wapo dunia hii kweli? Kwa nini haya mambo bado. Jamani mwambukusi wanameikia kweli jamani statement hii ni Kali kweli. Jamani tusome alama huko.mbelr za haki mtashindwa kuongea mkiulizwa na mungu/muumba.
@willisonTheonest Жыл бұрын
Mwanadamu atakuchelewesha lakini mungu kwake akuna kuwai wala kuchelewa, wewe ni mbunge jimbo atakalokupa mungu mtetezi
@MkJj-m7g Жыл бұрын
Unaongea vema, kundi kubwa la wasomi wa Tanzania ndio wanaouymiza nchi hii.
@V24hrs Жыл бұрын
Huyu jamaa akiungana na ZITTO KABWE watakuwa wamefanya Bonge la Kolabo.
@mesharothuman2443 Жыл бұрын
Zito Kabwe yupi huyo mwenye price tag no please.
@OmmyJames-xn7ji Жыл бұрын
@@mesharothuman2443SABABU SIO MGALATIA 🥳🥳🥳🥳🥳💯💯💯💯💯
@renatusmatungwa2508 Жыл бұрын
Zitto kabwe hamna kitu acha kumkosea heshima Mwabukusi
@simbahmsini Жыл бұрын
Zitto ni tunu ya Siasa za Tz,hakurupuki,anafanya tafiti na hata anayefikiria kupinga hoja zake anajiuliza mara mbili mbili ni mtu smart sana Kinachoponza na kumponza Zitto ni kuwa na akili nyingi kuliko wanaomchukia
@renatusmatungwa2508 Жыл бұрын
@@simbahmsini Zitto kabwe siyo mtu wa msimamo ndo haaminiki siyo kwamba anachukiwa
@PhilibetLadislaus Жыл бұрын
Jiamini kwanza unaweza kupambana na CCM.Akina fulani hatunao sababu ya red carpet Mang'ula mungu bado anaye.
@mfwimiekayuki8692 Жыл бұрын
Hadhi ya haipo.Imekwisha kabisa
@PhilibetLadislaus Жыл бұрын
Spika ulishika muhimili wa kumtetea wanyonge toka uondoke au kuachia ngazi umeshuhudia jinsi nchi inavyoliwa na wajanja ,KwaSasaMaoni yako ni yapi.
@alphoncejmrema79124 ай бұрын
Mwabukus umesoma had umepita Elimu yenyewe respect Rais wa TLS
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Mwabukusi wakili msomi kuishinda Ccm ni kazi sanaaaa hyo mpaka Katiba mpya tu
Kwa kweli wizi wa kura ni ushenzi sana. Watu tunaachashuguli zetu , tunapanga foleni halafu ni juani na njaa,, halafu MIPUMBAVU inatudhihaki.
@fredrickmwakalinga6390 Жыл бұрын
Jimbo la kawe kwa gwajima police walikamatwa na kura kibara za ubunge na urais zimepiwa tiki za ccm walikamatwa lakini hawakufanywa chochote
@OlemegiroriPalasalau Жыл бұрын
Sawaaa
@fidelishasia4799 Жыл бұрын
Nimekuelewa
@RevocatusSebastian-c8o4 ай бұрын
Daa nimecheka😅 eti viungo washambuliaji hongera mwabugusi ila hiki chama chakijani kikiona unawazidi wanakununua ukikataa wanakuwekea sumu kwenye maik au wanakusababishia lolote baya
@JoyceKabula-in1sh4 ай бұрын
Nikufananishe na nani sijui we ni kiboko mungu akulinde tu mwamba ukosawa kabisa
@YakubuChambo Жыл бұрын
Vibaraka WA ccm utawaona tu kwenye comment zao kama huyu mayallays wewe ni malaya
@FellaMbogela8 ай бұрын
Upo sahihi KAMANDA pigs kazi
@JohnMahombwe4 ай бұрын
Kumbe ni nini kinachowafanya kutumia fedha yote hiyo? Jamani dah.
@samsonkatigiri23445 ай бұрын
Mwambukusi kachukue katibu mkuu chadema,mnyika awe naibu katibu mkuu,pale mbowe,kule Tundu Lisu,hapa mwambukusi,ukaongeza kina Heche,Lema,John mrema,kina kigaila n.k😂😂😂😂 utapenda hii safu hata kama hutaki
@muharamijuma1569 Жыл бұрын
Unapoteza muda Rudi Mahakamani CCM ni chama Pendwa kwa Watanzania 12:48
@AlbertMlangalila3 ай бұрын
Nimekuvulia kofia raisi mwabukusi .kwa kuwa mkweli na kuipenda nchi yetu. Unataka inyooke . Kinachosikitisha ninajiuliza kwa yote haya yanayojitokeza yanayoashiria labda kuna waovu wameingia kwenye utawala wa nchi hii kuwa hakuna hata kiongozi ambaye amejitokeza kujitoa kwenye shughuli za serikali aidha kwa kutokuwa mshiriki na haya mabaya yanayojitokeza au kutowajibika kwake kama kiongozi. Yaani yote haya ni sawa tu. Hii hali inatisha sana
@matiredms917 Жыл бұрын
CCM inafanya uharamia ktk uchaguzi. Ni kazi bure kukubali Sheria na Katiba mbovu ambazo zinamweka juu ya Vyombo ambavyo vinapaswa kufanya kazi kwa uhuru na haki.
@JoyceKabula-in1sh4 ай бұрын
Hahahaaaaa du kuanzia leo nawabatiza nyi ni pacha lisu kulwa mwabukusi doto kibatara shija madeleka kashinje
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm5 ай бұрын
Wabunge mnasikia?
@jimmyluhende54174 ай бұрын
Elimu ya Uraia bure kabisa !
@eliasnicolaurobath68644 ай бұрын
Duu kaka yangu wewe ni una maono sana ninacho shangaa taifa retu wasomi hawapewi nafasi ya kuliongoza hiri taifa spika wetu alilalamika tu madini taratibu akatukanwa kama nyani sasa kinacho endelea ni aibu kubwa kwa taifa ndani ya selikari hakuna hekima ni unyanyasaji tuu
@emmanuelmasatu5 ай бұрын
Nakuunga mkono kaka %100.
@nixonjohnson490810 ай бұрын
Yaani safari hii watu wa tume wajiangalie watakufa wakileta ujinga na shangwe la kutosha.. kifo chake..
@estachengula39024 ай бұрын
Tunaomba mwabukus aungane na lisu mbowe na wengine vichwa tuikomboe nchi inapoteza mwelekeo
@TitoJeremia-g1t4 ай бұрын
Mwambugusi Rais TLS kwanini mnatumia garama ZOTE hizo ml 40 mpa 50 yanini Hicho NI chanzo cha rushwa.
@Samwelianaseti7 ай бұрын
Mwabukus ongea machache wasije wakakigeuka😂😂
@NtamamiloGibson5 ай бұрын
😂😂😂
@HamidMnyau4 ай бұрын
Hivi TLS ni chama cha upinzani? Au chama cha wana sheria
@GABRIELGAVU-vf7cn5 ай бұрын
Fomu za wagombea chama tawala huelekezwa na kusahihisha na maafisa wakishirikiana na wakala. Halafu wapinzani hutumika hayo makosa kuengua wagombeya.
@charlesphilipo35334 ай бұрын
Huyu ni chadema WA kupakuwa ila anatia aibu kwa Spika Tulia wewe ni takataka kwake kwani speaker Kuna mahala anaingia wewe mpaka kama huuingii ,,,,Mbeya hatuna watu WA kila siku kulalamika kama kule wewe siyo Nnymbala bali ni ,,,,,,,
@Werema3760 Жыл бұрын
2025 Mungu saidia. Maama sipati picha.
@adelinelyaruu3036 Жыл бұрын
Haki huinua taifa. Tuiombee nchi yetu sana
@knight6757 Жыл бұрын
👀😩
@Tanzaniayangu-g8v4 ай бұрын
Speech ya karne hii..haichuji na kinachoifanya isichuje ni uhalisia na ukweli mtupu uliozungumzwa.
@GOTRIPMLELWA Жыл бұрын
Nimekuelewa na nimekubali ndio ukweli na uhalisia
@daviddsouza7354 ай бұрын
Kumbe kuna million 50 zinahitajika kwaajili ya kushinda? Anayetafuta hii hela anaitafuitia wapi na baada ya kushinda anailipaje? Rushwa na mambo mengine ya chini chini yataisha?
mahakama aipo huru hata kwa mvuta bangi au kibaka tume hii ni majizi wote
@StephenLetta Жыл бұрын
Wewe ni mtu uliyejaliwa akili na ambaye unaonea fahari kufikiri kwa kutumia ubongo.
@AllyMandunda-tj9jc5 ай бұрын
Justin meabukusi ni C hadema
@peterdaimon-ug6fd4 ай бұрын
Watu wamekata tamaa kupiga kura
@yassinrajabu6511 Жыл бұрын
kaka mwabukusi kwani comenti zangu uwa auzisomi kilasiku nakushauli kama elimu unayo kaanao ccm muyajenge wakupe kitengo ule keki ya taifa kwa sababu dalasa unalo fundisha wanafunzi wako hawakuelewi wote wapo kwenye kombe la mapinduzi zanziba pigania masilai yako watanzania vigeugeu wanao kusifu leo ndio watao kutukana kesho
@JoyceKabula-in1sh4 ай бұрын
Njoo ugombee jimbo la shinyanga mjinibos
@JumaMkiji5 ай бұрын
Maneno mazito Sana niyakuyatafakali si kukimbilia amani
@lazaromshamu3521 Жыл бұрын
watanzania tumesha anza kuamka ss,ushindi wala hauko mbali
@ChachaZablon-p4j4 ай бұрын
Mkomboz wa taifa letu mung akubaliki baba
@LoitushulYamat4 ай бұрын
Ukinyanganya ushindi utanyanganywa mapigo ya moyo yako
@nixonjohnson490810 ай бұрын
Katuni wa serikali et Tulia jamani ..kwa sura ile roho itakuwaje sasa..hamna kitu pale
@FridayMwassa8 ай бұрын
Sura ndiyo inafanya kazi,mbona magufuli hakuwa handsome kama jakaya lakini kazi yake hakuna mtanzania hakumuelewa
@NtamamiloGibson5 ай бұрын
Acha kutukana. Pamoja na sura mbaya kichwani yuko vizuri.
@meryshekoloa96110 ай бұрын
Sijui tufanye nini binadamu hawa waingie bungeni target ni ngumu Sana
@lindajohansen92204 ай бұрын
Ndio maana hesabu za kura za ushindi wa rais zina tarakimu zisizo eleweka
@simonmwasile437710 ай бұрын
Ningependa kila atakapogombea tulikuwa na wewe ugombeee papoose hapo ili tumnyoshee nyang'au huyu
@SuzieMavoco-ju9iv4 ай бұрын
D
@bakariiddy53875 ай бұрын
Watu wanamnahiii walindwe
@isaliisu3408 Жыл бұрын
Kufukuzwa hajaaza spika zanzibar tulichaguwa Rais jumbe bara mkamfuka mkamuweka kigamboni mpk kafa tukaenda kuzika zanziba