Wakulu genzi ndo wakwanza kutupa maumivu na watendaji
@IsmailKidongo6 сағат бұрын
Ccm inawazalau Sana wananchi tujiongeze kamakuongea tu imeshendikana
@StephenMpallange7 сағат бұрын
Achaneni nao majina ya wapiga kura wanayo wenyewe wakurugenzi na Police na walimu,na watendaji.Wao ndio hujaza majina na orodha Huwa wanajaza wenyewe,wanao wapiga kura wao.
@HajjiMohammed-t4s8 сағат бұрын
Wewe ni kenge usipokwenda nyinyi watakwenda wengine
@MwakaHappy8 сағат бұрын
Ndiyooo
@rebekakulwa61598 сағат бұрын
Pelekeni tu mawakala jamani hao mafisiemu wana mbinu chafu
@DandasiKundi8 сағат бұрын
Hivi Kwa nini tunapata shida mwenyezi atawahukimu tu dhuluma mbaya sana.