Miezi minne mnafanya uchunguzi? Je na yule aliyetuhumiwa na Sativa bosi wa polisi bado mnaendelea na uchunguzi?
@LoiteyoAmakoMako18 күн бұрын
Ukweli ni kwamba tutajilinda wenyewe bila hivyo tutaendelea kuawa na kutekwa Tanganyika sahivi hakuna kiongozi mzalendo wote ni machawa
@JLwamburaNyakazege18 күн бұрын
Inauma sana
@moxamedabdillahi382218 күн бұрын
Sasa huyu mkuu wa mkoa kawa igp Inaonekana yeye ndio kinara wa mauwaji
@Mjeda-q1m18 күн бұрын
Walioshukiwa kumuua afisa tra tegeta usiku walikamatwa muda mchache baadae lakini waluomuua mzee kibao mchana kweupe polisi wanaendelea na uchunguzi duu.
@adelinelyaruu303618 күн бұрын
How long will it take😮😮😮
@peterhelpeterluena919118 күн бұрын
Ndio kuna mtu hataki kuachia kiti. Ipo siku haya mambo yatakuwa wazi tu.
@aminimushi694518 күн бұрын
Mkuu wa Wilaya huko Iringa aliuawa,ndani ya muda mfupi wauaji wamepatikana,we mkuu wa mkoa hili si lako.
@ExaudLupenza-qu1xu18 күн бұрын
Kwa nini leo ? Mbona ilikuwa kimya
@johnmichaellukindo2118 күн бұрын
Wahalifu hao ni polisi!
@gidongailo717418 күн бұрын
Daaa nchi yangu Tanganyika😢😢😢
@MashakaMagesa18 күн бұрын
Basi gani lina kamera nchi hii
@daviddsouza73517 күн бұрын
Inasemekana kwamba porojo imetawala, lakini sio porojo la kawaida, porojo la kupotosha na kukatisha tamaa na kupunguza imani
@SandaliKhalifa17 күн бұрын
Pafikie mahali mjisikie aibu kama watu mlioumbwa na mungu m1 sisi ni wakubwa tunaelewa
@hiseja2418 күн бұрын
Utapeli mwingi sana huko mtaani
@ISACKITINDE18 күн бұрын
Mbona uchunguzi unachukua muda mwingi
@knight675718 күн бұрын
Watanganyika husahao haraka mambo
@dominicizengo976818 күн бұрын
Mheshimiwa na tukio la tundu lisu polis bado wanafanya uchaguzi? Bora ukae kimya kuriko kutujaza ujinga huu
@Patrick-w1j18 күн бұрын
TRA kafa kesho yake mmeshika watu kibao.. Leo Mzee Ali Kibao mwezi wa 3 hakuna aliyekamatwa ..Msituchezee nyie vibaka
@LemaliMeyasi-r4c18 күн бұрын
Ichi hii hakuna kitu saidi ya kufumbwa macho na watu kuwendelea kuuliwa tumutangulize mungu mbele
@AzizMangara18 күн бұрын
Nani anapaswa kutoa Taarifa. Ya tukio hilo, tangu lilipo tokea mbaka sasa kama lisha fanyiwa uchunguzi !!!
@salumuismahily18 күн бұрын
Hata mmoja hakuna mkuu tunaomba usiendele kupanga watu nyoyo yawatanzania unavuja dam.
@ymohammed96317 күн бұрын
Dah
@josephjohn211418 күн бұрын
Miezi yote imepita Leo ndo umejua kile kitendo kilikua cha kihalifu?
@TinPlatin-r8l18 күн бұрын
Damu imeanza kuwatafuna
@Amoschisunga17 күн бұрын
Vipikuhusuwalio mshambulia tundulisu
@PhilipoMwita-b2x18 күн бұрын
Tungeni drama zenu mkamate vijana muwasingizie kwamba ndo wauaji
@DavidSemu-gu6wp17 күн бұрын
Majibu ya uchunguzi yaje mapema, maana ndio hayo hayo yatakayo kuwa mzani wa matokeo ya uchaguzi mkuu mwakani maana amiri jeshi mkuu alitaka majibu ya haraka ya nani wahusika wa utekaji na mauji na mpaka sasa kimya hatujui kwa amri ile ya haraka kesha pewa majina na kaamua kukaa kimya au tuna subiriwa tusahau??? Ila tuta kumbushana wkt wa uchaguzi.
@TheodoraAnatory18 күн бұрын
Chalamila anajaribu kutuliza upepo baada ya kuona wananchi wameanza kujilinda wenyewe. WATU HAWATAKI POROJO.
@faizaannassir256818 күн бұрын
Si wa kwanza huyu na siwamwisho ccm watawala wametufikisha hapo. Wanadhani wa tz niwajinga . Na kiukweli wanatufanya wajinga . Tuondosha wakoloni weupe wamekuja weusi hakuna tafauti . Matendo niyaleyale
@RichardKosianga18 күн бұрын
Mmmmmmh
@YohanaMagembe-i6z18 күн бұрын
Mhuuuu
@salumuismahily18 күн бұрын
Wewe huna makosa baba mapungufu ulio nayo niyakibinadam tyu endelea kupambania miradi haya mengine tumuachie mungu.
@SandaliKhalifa17 күн бұрын
Sio inasemekana alitolewa kweny basi
@B23-i8p18 күн бұрын
Toka awamu ya 5 mpka leo hakuna aliyeshikwa
@amanijampion304517 күн бұрын
Anaongea kama nani sasa hapa. Hatutaki porojo
@gastonjohn53718 күн бұрын
Huyu haeleweki
@laninjeje829018 күн бұрын
Hahaha! Umeamua kumuiga Paul Makonda kuongea na waandishi wa habari japo Makonda ni jembe akiongea ana point za msingi sana😂
@geraldmbengwa638118 күн бұрын
Hana na hajakuwa na point bali wote wanaomshabikia na wapuuzi tu
@laninjeje829018 күн бұрын
@geraldmbengwa6381 chalamila 100 ni Makonda mmoja, chezea bashite, maji wataita umma
@mansooralaisri520018 күн бұрын
Mimi Nina Imani abiria walichukuwa Picha za tukio la kutokewa Kibao katika basi, ila wamekata do
@mansooralaisri520018 күн бұрын
Wamekatazwa kutowa hizo picha
@JosefuSwai18 күн бұрын
Kweli kama unaongea kutoka moyoni charamila MUNGU akilinde kwa hilo
@WilbertMalula-vv7ml18 күн бұрын
VITA YETU NI CHADEMA NA VYOMBO VYA DORA
@Globalpeace12318 күн бұрын
Mag maji haachi kutapatapa ccm mwisho wao umefika Kwanza serikali iliyopo madarakani sasa ni maboya kuanzia rais mpaka mawaziri na wabunge, wakuu wa mikoa, wilaya na wakutugenzi wote ovyo kabisa ni majizi number 1 hayana hata soni