CHADEMA MMEZUBAA NA MAANDAMANO: DR SLAA KASHTUKIA MCHEZO CCM WAPO KASI UCHAGUZI 2025 KAIONYA CHADEMA

  Рет қаралды 3,910

Chanzo Tv Online

Chanzo Tv Online

2 ай бұрын

Пікірлер: 9
@ephraimkalanje7105
@ephraimkalanje7105 2 ай бұрын
Nitawashangaa sana Chadema kama hawafanyi zaidi katika kujiandaa na uchaguzi wakati wanapoandamana! Kwa maandamano wafanyayo wanazo fursa lukuki...Mikutano ya kuuza sera, kuongeza wanachama, kupanga safu za kugombea, kujulisha uovu uliopo na mapungufu yaliyopo katika utawala uliopo, kuelimisha na kubainisha mikakati ya namna ya kukabiliana na kuupiga vita utawala wa kiimla uliopo....n.k. Sidhani kama wapo kutembea tu mitaani! Nitawashangaa sana!
@masamakijames7837
@masamakijames7837 2 ай бұрын
Nakushukru sana kwa kuwashtua,ila asilimia kubwa ya watz wako makiniwa sasa si kama enzi zile unagombea
@beinafuu6219
@beinafuu6219 2 ай бұрын
Asante sana dr.wambie hao baadae wsnabak kisema wameibiwa kumbe uzembe wao.
@yosephatMasanyiwa-oh1rl
@yosephatMasanyiwa-oh1rl 2 ай бұрын
Safi Santa Dr. Slaa nakuomba uwashirikishe kwa hayo mawazo Yako.
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 2 ай бұрын
Wananchi Tukifikiri vizuri, tunaona wazi ccm hawana njia halali ya kushinda uchaguzi kihalali kwa kura za watu tuliopigwa na njaa na kila aina ya dhiki mpaka sasa,lakini watawanunua baadhi kwa fedha zetu wenyewe wanazokusanya kwaajili ya uchaguzi tu! Propaganda zipo nyingi mno hata Makonda kaokoka! ila watu tunalia,na tuna jambo letu, wasipotumia hila watasngukia pua tu!
@salummohamed2689
@salummohamed2689 2 ай бұрын
Tulishasema huenda uchaguzi ukawa mgumu sana Kwa wapinzani kuliko 19/20. "Zubaeni kwenye maandamano mkiwa na polisi wao mkaacha mikakati ya mapambano kipindi cha chaguzi".
@evelina9621
@evelina9621 2 ай бұрын
Kila.siku.pewe.na.mjumbe.kuwatembele.mara.kw.mara.mkiwawezesha
@evelina9621
@evelina9621 2 ай бұрын
Chade.ma.changamkeni.wakti.ni.huu.hamjachelewa.ccm.wataanza.kutoa.mlungula.hongo.watu.waonywe.nyerere.alishinda.alitumia.lugha.safi.mshikamano
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 2 ай бұрын
DR SLAA UNGEKUA UNAWASHTUA WENZAKO PALE UNAPOONA KUNA JAMBO AMBALO NI LA MUHIMU KULIKO KUJA HUKU KUONGELEA PLEASE
WATCH: Trump speaks at Turning Point USA event summit | LiveNOW from FOX
58:18
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 17 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 77 МЛН
KUHUSU KATIBA KABUDI AFUNGUKA MBELE YA LIPUMBA KUVUNJA KATIBA NI NENO ZITO
13:46
FULL REMARKS: RFK Jr. Speaks About Cryptocurrency At Bitcoin Conference 2024
44:25
Senator Onyonka Reveals The Cause Of Turkana Oil Closure
7:40
TUNDU LISSU AKIZUNGUMZIA MIAKA 60 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR
5:24
Mwanzo Mwisho Jinsi Hotuba ya Lissu Ilivyolitikisa Jiji la Arusha
49:01