mama Mwakimomo msamehe Mzee Wasira uzee unasumbua ni kweli muda wake wa kufanya kazi umemalizika
@SabinahMbomaКүн бұрын
Asante bawacha makam taifa. Kwakutusemea. Pia hongera Kwa uchaguzi.
@alphoncewilliam4325Күн бұрын
Sikiliza usisikiwe akili
@fabianmahenge301Күн бұрын
Kiongozi wa aina ya Amos Makala hafai kuwa mtumishi wa umma, ana sifai zote za ujinga
@MakanyangaNyamboto21 сағат бұрын
Mashav ya kodi zangu
@ThekingBuddarКүн бұрын
WEWE MAKALA USITUMIE SANA UBABE NA CCM AMTOBOI
@RobertKajegeКүн бұрын
Hongera sana kiongozi hakika mtu mmoja wenu ni sawa na kumi Toka upande wao kiufupi hawana hoja
@godfreymjuni342021 сағат бұрын
Kiburi cha uzima . Mwanadamu huwa anasahau kuwa kuna kufa
@esgardmmanyi118423 сағат бұрын
Ccm MNA hela au kazi yenu KUIBA hela YETU.
@monicamwita786514 сағат бұрын
Hela yeñu ipi?
@songombingo108Күн бұрын
Bichwa la Makala kama dafu😂😂
@fidelialucassamkhumbi2476Күн бұрын
No reform no election. Uwezi amini lakini ndio maamuzi ya watanzania
@ameirzapy1318Күн бұрын
Maamuzi ya chadema sio watanzania,, Kwan chama kimoja tu cha upinzani
@KanyawelaКүн бұрын
Ni kweli
@CleyKobelu-i6eКүн бұрын
Dada ni kweli chadema hatuna hela LaKini wao ni wezi halisi
@alphoncewilliam4325Күн бұрын
Pole
@HassanKibwana-h3w17 сағат бұрын
Ccm Mnatumia nguvu nyingi sana ipo cku mungu Atatenda
@HijaSaid-t6cКүн бұрын
Tatizo sio Mzee Wasira, tatizo ni mfumo,
@NicolasScaniaКүн бұрын
Hela ya chadema ipo kwawananchi ivi unakumbuka hap shinyanga shelembi alipewa gali nahela yamafuta Kila kampeni anapewa
@dennisungonella205Күн бұрын
Makala kwa hili asiweke siasa, tunataka mfumo wa haki kwa vyama vyote.uwazi ni muhimu kwenye uchaguzi
@MerkiorMwakalindile-d8wКүн бұрын
Makala hajielewi, ndio maana jimboni kwake waimnyima Ubunge na ukuu wa mkoa wamemtoa Kwa kuwa hajielewi
@aloycekomba1Күн бұрын
Huyu mama sio mpinzan anabembeleza kama madam chura
@shabanimohamed7353Күн бұрын
Huu upumbavu ndio inchi nyingi zinaingia ktk umwagaji wa damu barani Africa. Hela kitugani .!
@mathiaszakaria7052Күн бұрын
Makala kala mpaka amevimbiwa angalia mashavu alivyokuwa mkuu wa mkoa na sasa hivi,Asanteni sana Bawacha
@LameckSamweliКүн бұрын
Mabadiliko ni sasa wazee wameshindwa kutufikisha nchi ya ahadi wapumzike
@aminielyusufu4351Күн бұрын
AMINI MUNGU usiamini CCM. YUPO MUNGU EL-SHADAHI wa yasiyowezekana Mathayo 19: 26. MUNGU atawaaibisha kama Daudi na Goliath
@israelian-t5fКүн бұрын
Mungu akuzidishie neema hii ya kuona mambo kiroho zaidi na zaidi
@MchungajiNzelaniКүн бұрын
Unataka kutuambia nini
@FrankSanga-vk8lgКүн бұрын
Kweli kama wao wanataka uchagizi uwe vita sisi tutawacha ili tusije kumiza watu mana wanajinadi wanaweza ila awajiamini na uwingi wao
@michaelchombo8956Күн бұрын
Ingekuwa c.c.m. inapendwa wangekuwa wanatumia polisi kupora uchaguzi
@avitustibaigana941516 сағат бұрын
Mh. Makala😢 nimekupenda sana 😮. Eti SAFARI HII UCHAGUZI UTAKUWA HURU NA WA HAKI. ANGALAU KWA MANENO HAYO UMETHIBITISHA 😢 WIZI WA CCM😊😅😮. WASHENZI SANA NYIEE😮😢
@Meneja-m3c17 сағат бұрын
Etiii hawanq ela ?we unazo c ungeenda kaa kwako uachane na siasaa 😅aibu badilisheniii mfumo muone 🔥
@exaverysimon106420 сағат бұрын
SEMA KWEL CHADEMA NOW HAWANA HERA
@wiliamkatala21 сағат бұрын
Makala anasahau kuwa hela anazojivunia ni kodi za wananchi.
@yaronaWilliam21 сағат бұрын
Safi daini katiba, katiba si mali ya chama chochote cha siasa, katiba ni mali ya Watanzania.
Wananchi watawaelekeza na mtajua tu. Nchi si ya kwenu kama mnavyofikiri. Miaka yote maneno yenu ni yaleyale na matendo yana ni ya hivyohivyo
@odhiaodhia9898Күн бұрын
Tume huru ya uchaguzi tanzania ni ndoto
@ObadiahLicksonКүн бұрын
Kumbe makala ni punguani ovi
@ThekingBuddarКүн бұрын
CCM AMTOBOI
@ThekingBuddarКүн бұрын
KATIBA HIYO HIYO AWATOBOI
@luthermartin1098Күн бұрын
Viongozi wetu acheni vijembe inatakiwa mjibu hoja ya marekebisho ya uchaguzi ,chama kimoja kinauwezo wa kuelekeza maana ndio Chama Kikuu Cha Upinzani
@StephenMpallangeКүн бұрын
Wakurugenzi wasimamizi wa Uchaguzi ni walewale,Wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi ni walewale ambao ni Watendaji, na Walimu,ambao ndio wezi katika Uchaguzi,tumeona kwenye Serikali za Mitaa(TAMISEMI)kwa makusudi Wameharibu uchaguzi."NoReform,No Election" watanzania tuko pamoja kwa hili wala hatutenganishwi ni solidality.
@MosesOlemuta20 сағат бұрын
Mambo ya Hela niyao sii wakubali2 mfumo mpiya waone wakumbafu nyinyi Ccm wezi wakubwa
@HijaLuhumbaКүн бұрын
Ana faa yupi sasa lisu au makala
@godfreymushi6966Күн бұрын
Huyu kiboko yake ni Bulaya
@HijaSaid-t6cКүн бұрын
Kwani wao hizo hela ni zao au ni za walipa kodi
@GodwinSadick-l1vКүн бұрын
bila tume huru hatuingii kwenye uchaguzi ndio msimamo wetu chadema
@warakawayohana2896Күн бұрын
Wewe hata ukichuana na Mama utamkimbiza sana...Makala anaposema hakuna kupita bila kupigwa wakati wao walikuwa na fomu moja upuuzi kabisa
@BozaNassoroКүн бұрын
BUNGE AU ABUNGE LA CCM ONENI AIBU KAMA KWERI MNAPENDWA UNAOGOPA NN KATIBA MPYA CCM WAOGA WANAJUA KAMA WATANZANIA. WAMESHA WACHOKA KWAHY WANAOGOPA KATIBA MPYA WANAJUA WATASHNDWA UCHAGUZI
@AnnaMwanakatweКүн бұрын
Tukue kidogo mbona Chadema wako safi
@ErastoHumboКүн бұрын
Munsvyama vamfuko ni 20014 chadema ilijitoa mlisimama na chama gn kingine acha upuuzi huo makala wadaganye wa wasioelewa to
@daudimaembe3360Күн бұрын
No reform no election haihusu CCM inahusu serikali.Kwa hiyo wewe Makala kaa kimya acha CHADEMA wadeal na serikali
@hassannyalile2256Күн бұрын
Huna elimu yeyote kuhusu sheria, nyie kaeni ccm inaweza kuijenga nchi bila chadema
@StephenMpallangeКүн бұрын
CWatanzania tuko tayari na tuko radhi tumuongezee muda wa Mwaka mmoja mwingine Rais Samia tusifanye Uchaguzi Mwaka huu hadi mwakani,ili tuweze kupata katiba mpya na Tume mpya ya Uchaguzi iliyo Huru ndipo tufanye Uchaguzi ulio Huru na Haki.Kinyume na Hapo ni No Reform No Election"kama hakuna mabadiliko basi hakuna uchaguzi"habari ndio hiyo.
@melch3097Күн бұрын
Chadema njooni na solution kulia lia marauding kulekule
@japhetmajiba6299Күн бұрын
We chawa wa mama huna akili hata kidogo unakuza mashavu tu
@SalumChande-u9yКүн бұрын
No money No Election
@LoiteyoAmakoMako10 сағат бұрын
Kwani ccm wametoa wapi hela kama sio kuiba kodi za wananchi mpaka mnasahau kwamba kuna kufa rais amekuwa mungu wenu
@giovannir.restone182Күн бұрын
Sawa ..kama maisha mnajipangia basi tutaona. Mtajua hamjui!
@mayrfrimi4759Күн бұрын
Wanaposema chadema hawana hela, si bora nyie mnafanya siasa kwa hela za mifuko yanu kuliko wao wanavyofanya siasa kwa hela ya walipakodi, hawajui kuwa wao ni wanyonyaji kama wanyonyaji wengine, wanapata wapi ujasiri wa kuongea mambo ya hela na wao hawana hata cent tofauti na hela ya maskini wa tanzania yetu. Wanafuja hela , hata kuitafuta kwa jasho lao hawawezi.
@YOSHUAMWAMPETA22 сағат бұрын
HABARI ZA KUMSEMA MAGU KWAMBA UTAKUBALIKA NI KUJIDANGANYA SANA.
@dennisungonella205Күн бұрын
Kwa tume hii wapinzani nawaonea huruma sana
@MasungaNekwa20 сағат бұрын
Tujionee sote pamoja na wewe ugumu wa maisha Tanzania ni wa kujitakia nchi hii inakila kitu lakini maisha ya wananchi yanatosha watawala hawana uwezo tena kuibadilisha nchi hii miaka 60 tangu uhuru ni mingi mno
@StephenMpallangeКүн бұрын
Hebu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi atoe matokeo halisi ya Uchaguzi wa 2020.Yeye ndiye alikuwa Mwenyekiti mbona kashindwa kutoa Takwimu za Matokeo ya uchaguzi 2020?Halafu ati Tume ni ile ile ,watu ni wale wale wanaendelea,je kuna haki hapo?No Reform, No Election,ni kweli kabisa,kama vipi wateue Rais kama walivyofanya kwenye Chama Chao kule Dodoma,badala ya mkutano mkuu kuchagua mgombea,wao wameteuliwa mgombea ili wamshangilie kuwa ndiye aliyeteuliwa pekee.
Swali langu. Je ikiwa Mlisusa Mwaka 2019 UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA NA KWA MFUMO HUO HUO MWAKA JANA MUMEINGIA ILI IWEJE?
@kobelochamanga9757Күн бұрын
Makala mdomo umeponza kichwa
@MajiifandeКүн бұрын
Uongo ni mbaya sana
@kibbysaidi781321 сағат бұрын
CHADEMA pia mjifunze...Wasira sio mtu wa kumjadili...mpuuzieni. Huyo kawekwa tu Umakamu mwenyekiti wa CCM sababu ya sifa mbili. Ni MZEE asiyekwenda na mabadiliko ya dunia Na kwamba awapotezee muda wa kulumbana naye wakati hana lolote ndani ya CCM. Kwa wakati huu lumbaneni na Rais tu maana yeye ndio katiba, sheria na kila kitu nchi hii.
@BarakaMwazembe-s7dКүн бұрын
Makala inabidi upate elimu upya ya kujitambua ili ujue uhalisia wa mambo ukoje
@D.P.OКүн бұрын
Kumbe safari hii uchaguzi utakuwa wa huru na haki tofauti na miaka ya nyuma😂 nimenukuu jamani
@wiliamkatala21 сағат бұрын
Umewapa kama mm
@KamalaBuberwaКүн бұрын
CCM wanachezea shilingi chooni, people there tired
@NuruNurudinКүн бұрын
Wewe makala akili zako ziko mfukoni kwako na hiyo sokwe yenu wasilaa
@gasperpanga4422Күн бұрын
Vizee kama Wasira wapumzike. Halafu Makala awe na uelewa kwamba Raisi wa nchi siyo ccm tu, ni wa vyama vote.
@AmaniMollel-yj9voКүн бұрын
Tume akuna hiyo tunataka katiba mpya
@mbaralekutarasa7504Күн бұрын
Yaani ma ccm sijui wanafikiriaga kwa kutumia nini sijui au Kama alivyosema marehemu Masaburi, yaani makala anachokiongea hakifanani na wadhifa Wala umri wake eti hawana hela, Kama Dovutwa na Iyemba wanaingia kwenye uchaguzi CHADEMA itashindwaje? Acha kuweweseka amosi
@donaldbenedict5761Күн бұрын
CCM wamezoea kuiba kura kama kweli mnaweza ruhusuni tume huru na katiba mpya muone kama mtaongea tena hiyo mipasho yenu
@SengalaRajabuКүн бұрын
Nchi ya Siasa ya Mdomoni inabidi nanyi mtumiye Siasa baridi Mdomoni vinginevyo mtabwabwanya tu.
@ConstanciaShangaliКүн бұрын
Waaaaaambiee haoooo babaa🎉🎉🎉🎉😂
@usembiphonedar5632Күн бұрын
Haya mabumunda yanavyoongea utafikiri yanafikiria kwa kutumia Tumbo! Hivi unaweza kusimama kuwaambia wananchi kwamba Chama kimoja hakiwezi kuwapangia ccm au serikali! Siyo chama kinapanga bali ni wananchi tunataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi! Na madai kwamba chadema hawana hela ya uchaguzi,kwani siku zote huwa nani anawapa hela za uchaguzi? Ni ccm au ni nani!? Hayo ni maneno ya mfa maji! Serikali ikubali kuleta katiba mpya na tume huru ya uchaguzi! Hitaji la katiba mpya na tume huru ni hitaji la wananchi wala siyo chama kimoja! Acheni upotoshaji! Tunataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi! Hivyo vyama vingine ni ccm b tofauti na chadema hakuna chama kingine cha upinzani! Vyama vya ccm! Bila katiba mpya hakuna uchaguzi. Ni bora uchaguzi usogezwe mbele ili tupate katiba mpya kwanza.
@beinafuu6219Күн бұрын
Sssa hawa mbona mnachekasha.tume hipi.sasa uruhu wapinzan wapo hata mmoja vyama 18 vimesajiliwa kwenye tume yupo hata mmoja?????makara hata uwongo.weka hata waoinzan 10.kwenye tume ya ccm.uwone.usidanganye watu
@michaelmgwambe7256Күн бұрын
Hivyo vyama ni matawi ya ccm
@DanielMasubo-bv7zfКүн бұрын
CMM some time mnafiklisha sana nyie Mnasema Chama kikubwa Africa Mna wanachama Wengi kwanini hamtaki Mabadiliko ya Mifumo ya Uchanguzi Mnaogapa nini?
@jamaldaud-e4dКүн бұрын
Kikubwa katiba mpya ndiyo itatibu matatizo yote ccm wanajikuta sana
@AnnaFelix-p1z19 сағат бұрын
Wewe ni mjinga sana nilikuwa kwavile wewe ni mbaba utaongeza poiti kumbe wewe chawa shavu kama kijani ulioivaa