Рет қаралды 51
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA jimbo la Iringa mjini , Frank Nyalusi, amefanya Mahojiano na Nurudigital kuhamasisha Wananchi kushiriki katika zoezi la Kujiandikisha katika orodha ya wapiga kura utakao anza siku ya kesho 11 Oktoba 2024 kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajia kufanyika hivi karibuni.
#nurufm #Nurudigital