Chadema wapasuana Lissu na Mbowe,sugu,mnyika,kigaila waungana na mbowe,HECHE ,Lema Lissu waungana

  Рет қаралды 12,231

Linconmedia

Linconmedia

Күн бұрын

Пікірлер: 90
@brightergermanus2163
@brightergermanus2163 Күн бұрын
KATIKA KWELI YA MUNGU NA HAKI YA MUNGU ANAYEFAA KUWA MWENYEKITI WA CHAMA CHA CHADEMA NI MH' LISU TUU KWA JINA LA YESU KRISTO AMIN AMIN
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Күн бұрын
Hello sisi ambao ni neutral.Tunafuatilia tu.Hongera sana kwa kupambana na kuaibishana😢😢😮😊
@CretusMwalongo
@CretusMwalongo 2 күн бұрын
Lissu is the best
@josephatkajange8714
@josephatkajange8714 2 күн бұрын
Lisu anafaa
@evancemwaky7425
@evancemwaky7425 2 күн бұрын
Lisu lisu lisu awe mwenyekiti
@wiliamkatala
@wiliamkatala 2 күн бұрын
Lissu mwamba sana.
@PelagiaKayunga
@PelagiaKayunga Күн бұрын
Lissu just juu zaidi
@HatibuSenkondo
@HatibuSenkondo 2 күн бұрын
Mbowe apewe thenk you
@BARAKAKinana-n4y
@BARAKAKinana-n4y 2 күн бұрын
mpeni lissu
@MsouthMakindi
@MsouthMakindi 2 күн бұрын
Lisu
@admaumsengi4230
@admaumsengi4230 2 күн бұрын
Naenda na Lisu
@mpembakisari7146
@mpembakisari7146 2 күн бұрын
Lisu ndo anastahili kuwa mwenyekiti chadema
@elikyusimsigwa6608
@elikyusimsigwa6608 2 күн бұрын
Kura ziamue, anadiwe kwa hoja, ili zipimwe kwa ulinganifu.
@meritokibaasa3268
@meritokibaasa3268 2 күн бұрын
Anayefaa ni yule atakayechaguliwa na wajumbe katika uchaguzi huru na haki.
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 2 күн бұрын
@@meritokibaasa3268 ni kweli LAKINI pia wapiga kura wanaweza kuchagua kwa ushabiki uhusiano au mahaba walionayo kwa mgombea hata kama hana viwango
@Peterchipemba
@Peterchipemba 2 күн бұрын
Tuseme na ukwer,,kwa sasa lissu anafaa,,kwa siasa mpya zenye mvuto,,kwa mbowe hatuta pata kipya zaidi ya siasa zilizo zoeleka na ccm,,namuombea lissu ashinde
@ElinaMbura-h7w
@ElinaMbura-h7w 2 күн бұрын
Mhe Lissu anafaa zaidi kwa mapambano dhidi ya Dola na Chadema maana ccm haipo tena kwa sasa
@MariamDilla
@MariamDilla 2 күн бұрын
Wa-tz wanahitaji Mh. Tundu A Lissu kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa sasa. It's time for Hon. Tundu A Lissu 💐💐💐💪🏾👏👏👏👏🇹🇿💪🏾
@LupakisyoKandonga
@LupakisyoKandonga 2 күн бұрын
Lissu anafaa mbowe apumuzike kwaeshima✌️✌️✌️🇹🇿🇹🇿👏
@elikyusimsigwa6608
@elikyusimsigwa6608 2 күн бұрын
Kura ziamue hiyo ndiyo demokrasia
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 2 күн бұрын
Ingawa sikufurahi Mbowe kugombea LAKINI mchuano huu ni mzuri na unakitangaza chama nilitamani mchuano uwe wa Lisu na Heche HALAFU MBOWE asimamie kuhakikisha uchaguzi wa wazi huru na haki wangepaisha chama zaidi sijui nini kimempata Freeman Mbowe akashindwa kuangalia upepo wa siasa za Tanzania kwa sasa
@johnngassa8179
@johnngassa8179 2 күн бұрын
LISU TUNDU
@jaywi5681
@jaywi5681 2 күн бұрын
Nimeamini Lissu anakubalika
@RenathaEmmanuelSiwingwa
@RenathaEmmanuelSiwingwa 2 күн бұрын
lisu wetu
@Samuelmanga-r7z
@Samuelmanga-r7z 2 күн бұрын
Naenda na lissu
@EratoMhanga-k2e
@EratoMhanga-k2e 2 күн бұрын
tundu lisu anafaa kuwa mwenyekiti
@khalidmamdadi1072
@khalidmamdadi1072 2 күн бұрын
Lisu tunamtaka
@MathiasRevelian
@MathiasRevelian 2 күн бұрын
Risu
@josephmantago2837
@josephmantago2837 2 күн бұрын
Mh Lisu akishinda chama kitapata afya zaidi kilko mh mbowe
@KeregeKitonga
@KeregeKitonga Күн бұрын
Lisu namba moja augustino kutoka kerege bagamoyo
@PeterIdd-d3c
@PeterIdd-d3c 2 күн бұрын
Lisu ashinde
@BenjaNetanyahu
@BenjaNetanyahu 2 күн бұрын
Lisu ndie anafaa kua mwenyekiti, ni mtu mahiri sana, na ataifanya chadema kua na nguvu sana.
@CretusMwalongo
@CretusMwalongo 2 күн бұрын
Mbowe msenge sana ni mbangaizaji anaishi kwa hela za card tunazotoa,kwani hatujawahi somewa mapato na matumizi
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 2 күн бұрын
@@CretusMwalongo huna adabu inaelekea hukupata malezi mazuri matusi ya nini hivi hujui ni kosa kutukana mtandaoni au unadhani siyo rahisi kujulikana hata kama huweki jina lako kuwa makini tumia lugha ya staha
@MwakaHappy
@MwakaHappy 2 күн бұрын
Lisu apewe kura zote za ndiyooo kwa tundu lissu naomba kura zote za wajumbe
@BrownMalasusa-o5t
@BrownMalasusa-o5t 2 күн бұрын
Lisu anafaa zaid
@jumakilinja6341
@jumakilinja6341 2 күн бұрын
Lisu chaguo la wengi
@AffectionateIsoscelesTri-yz7li
@AffectionateIsoscelesTri-yz7li 2 күн бұрын
Mbowe sio Mbaya, Ila kwa Sasa Lisu aongoze tena
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 2 күн бұрын
Umesema kweli isiyokuwa na kupinda
@JumaJuma-t6t
@JumaJuma-t6t 2 күн бұрын
Mbowe apumzishe huu niwakati tundu lisu kuwa mwenyekiti wa chadema
@EmmanueNzilano
@EmmanueNzilano 2 күн бұрын
Kwenye jambo hili Muhimu la uchaguzi huu mimi naomba🙏tuache ushabiki usio na Matumaini tumchague lisu' ni mwanga mwanga mpya na jibu kwa wa Tanzania wote Ccm itapiga yowe lisu akiwa Mwenyekiti Wanaogopa sana na hii itakua ni nafasi kubwa sana sana kwa chadema kufanya mambo' yake💪🙏✌️
@halimamasai2234
@halimamasai2234 2 күн бұрын
Wacha upuzi wewe kwani Lisu ndo nani upinzani ulianza mwaka 1995 Mpaka leo CCM ipo madarakani sasa Lisu nani wacha kujitoa ufahamu tena lisu ni msema ovyo 😂😂😂
@EmmanueNzilano
@EmmanueNzilano 2 күн бұрын
Asa upinzani ulikua Toka 1995 una nini jmani Hauna kitu Watu tunajitolea tu Hela zetu mbowe aachie madaraka tunataka Cha ma kiwe na wabunge wengi madiwani wengi pengine Chama kitapunguza kuganga njaa Kila siku tumaini pekee la wananchi saizii ni Lisu Elewaa💪✌️
@josephmagige874
@josephmagige874 2 күн бұрын
Lisuu is the best au umetumwa na na Mbowe aliye semwa gaidi​@@halimamasai2234
@DeogratiasLekariro-w9m
@DeogratiasLekariro-w9m 2 күн бұрын
Upinzani wa Sasa unahitaji wagumu kama Lissu! Mbowe amefanya kazi nzuri kwa wakati ule. Lakini Sasa upinzani unahitaji watu aggressive na wenye uthubutu kama Lissu. Namuunga mkono kwa % mia.
@hectorgold147
@hectorgold147 20 сағат бұрын
lisu anafaa
@EratoMhanga-k2e
@EratoMhanga-k2e 2 күн бұрын
lisu akichaguliwa ataongeza wanachama
@ReginaldMwegweno
@ReginaldMwegweno 2 күн бұрын
Lisu anataka kuongoza
@YohanaSanga-t8d
@YohanaSanga-t8d 2 күн бұрын
Risu nibora zaidi
@MaliLaizer
@MaliLaizer 2 күн бұрын
Lisu tosha
@benedictluena6507
@benedictluena6507 2 күн бұрын
Lisu anafa kuwa mwenyeki
@GodfreyMalima-f7i
@GodfreyMalima-f7i 2 күн бұрын
Mboe kachoka atupishe
@JumaJuma-t6t
@JumaJuma-t6t 2 күн бұрын
Tundu lisu ndiiye sahihi
@elikyusimsigwa6608
@elikyusimsigwa6608 2 күн бұрын
Mumnadi kwa hoja zenye nguvu, sio maneno tu.
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 2 күн бұрын
Chondechonde mbowe mwachie lisu utakigawa chama
@elikyusimsigwa6608
@elikyusimsigwa6608 2 күн бұрын
Hakuna kukigawa chama, mpigieni kampeni Mnaye mtaka ili ashinde, hakuna cha bure.
@KiungaMushi
@KiungaMushi 16 сағат бұрын
lissu apewe chama babu pumzika mzigo huuwezi tena kuwa mpole
@YohanaSanga-t8d
@YohanaSanga-t8d 2 күн бұрын
Mbowe akishinda nihatari sana kwa chama
@MSAFIRIBERANO
@MSAFIRIBERANO 2 күн бұрын
Mbowe umefanya mask kubwa tunakushukuru lakini Sasa tunakuomba mwachie Tuundu bwana kuongozwa pia no demokrasia dear
@elikyusimsigwa6608
@elikyusimsigwa6608 2 күн бұрын
Sio amwachie, mpigieni kura ili amshinde kwenye uchaguzi
@shukurukihwelo3084
@shukurukihwelo3084 2 күн бұрын
Chadema kila mwaka wanapo karibia uchaguzi mkuu huwa wanacherewa kwenye malumbano badara ya Kujenga chama ,hamta weza kushika dola hata siku 1
@FridayMwakaehalile
@FridayMwakaehalile 2 күн бұрын
Wote wakopowa
@benardsamizi-qo4yp
@benardsamizi-qo4yp 2 күн бұрын
Kwa Kauli ya wengi Lisu ameshinda. Lisu ni mwanasheria aliyebobea. Polisi wa kumkamata Lisu inabidi akasome kwanza sheria vinginevyo itabidi augue ghafla mahakamani.
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 күн бұрын
LAKINI WATU HAWAJUI KUCHAGUA, LISSU AGOMBEE URAISI SIO UWENYE KITI, TUSIFATE USHABIKI . LISSU ANAPENDWA ILA MBOWE ANAFAA UWENYEKITI KISHAPAMBANA NA MENGI NA ANAJUA MENGI MPAKA CHAMA KUFIKA HAPO KILIPO
@elikyusimsigwa6608
@elikyusimsigwa6608 2 күн бұрын
Hakuna ushindi wa mitandaoni,
@tryphonet.sagilo-vm1gs
@tryphonet.sagilo-vm1gs Күн бұрын
Lisu Anafaa kuwa m/kiti wa chama hicho. Ili kuwa na fikara mpya zinazoendana na wakati tulio nao hivyo wajumbe wa mkutano mkuu tunawamba kumchagua A.Lisu Kwa sasa akijenge chama upya. Maana kumbukeni chama mpaka sasa kina Mbuge Moja tu na hii ni hatarii Kwa chama hicho. Wajumbe muwe makini maana mamuliki pia huwepo.kuvuruga Uchaguzi.. Mh. Mbowe kama kweli waipenda Demokrasia ungejitoa na kuwa Mllezi Mkuu wa chama.( Mshauri mkuu.)Heshima Yako itabaki palepale..
@johnalexandermushi6720
@johnalexandermushi6720 Күн бұрын
Hawa asili yao ni kupingana.Upi nźani moto moto.😂
@LuckmanMiraji
@LuckmanMiraji 2 күн бұрын
Lisu mwamba Hana MFAno
@charlesphilipo3533
@charlesphilipo3533 2 күн бұрын
@@LuckmanMiraji vichaa wengi humu bado kula mavi tu
@chalokalunde9429
@chalokalunde9429 2 күн бұрын
Mbowe akishinda chama hakitakuwa na nguvu tena! Wapinzani wenu wataanza kula kuku kwa mrija asubuhi hadi jioni. Tutaona.
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 күн бұрын
Kwani mpaka hapo kilipofika, alikufikisha Nani?
@ExaudLupenza-qu1xu
@ExaudLupenza-qu1xu Күн бұрын
Mtanzania wakawaoda na mpiga kura wanchi Tuleteeni lisu nje uahapo tutaamini nosacops ya mitu hivyo thamani ya siasa zetu zinaenda kupolomoka tuwaachie ccm tu hakuna jipya
@AthumaniAbeid
@AthumaniAbeid 2 күн бұрын
Lisu must go oooooooo
@elikyusimsigwa6608
@elikyusimsigwa6608 2 күн бұрын
Kura ziamue, hiyo ndiyo demokrasia.
@EdwardLutema-ez7yq
@EdwardLutema-ez7yq 2 күн бұрын
Mbowe anafaa Kwa sasa lisu hapana
@samwelnevele7796
@samwelnevele7796 2 күн бұрын
Kwa hekima ya taifa mbowe mwenyekiti mpeni kura kulinda amani ya nchi yetu
@aidankakulu398
@aidankakulu398 2 күн бұрын
Kwa jicho la kimakinikia Lisu anakurupuka sanaaa hivyo kwa kukurupuka kwake anaweza bomoa chama asee
@NgowiMiwani
@NgowiMiwani 2 күн бұрын
Mbowe
@NgowiMiwani
@NgowiMiwani 2 күн бұрын
Pamoja na kuhitaji mabadiliko sio kumwaga damu ya Watanzani siasa za Lisu hazina afya sana kwa Watanzania bora Mbowe😂
@charlesphilipo3533
@charlesphilipo3533 2 күн бұрын
Amini usiamini,,,wachaga watakitosa chama endapo lisu atambwaga mbowe ,,,ya nccr mageuzi yanakuja na kimbunga,,,,laana ya kumtuhumu askofu Shoo inawatafuna Chadema
@janeshija6638
@janeshija6638 2 күн бұрын
Lissu HAFAI. Aanzishe chama chake na naungane hao WANAHARAKATI wake. Wawaachie wanaopiga KURA. Hata mkimpigia debe uamuzi uko kwetu wapiga KURA.
@musasojamwamengo8220
@musasojamwamengo8220 2 күн бұрын
Lisu Anafaa
@salummussa9871
@salummussa9871 2 күн бұрын
Lisu
@mussamkunyi1463
@mussamkunyi1463 Күн бұрын
Lisu anafaa
@Renatusbatale
@Renatusbatale 2 күн бұрын
Lisu
@FelisterBazil
@FelisterBazil 2 күн бұрын
Lisu
@JuliusTluway
@JuliusTluway 2 күн бұрын
Lisu
@YOHANECE
@YOHANECE 2 күн бұрын
Lisu
@dynamicmwakibinga4371
@dynamicmwakibinga4371 8 сағат бұрын
Lisu
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
BADO SIELEWI. KWANINI TUNDU LISSU ALIMWAMINI ABDUL WA SAMIA?
29:41
SK Media Online TV
Рет қаралды 22 М.
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН