Mwenye Macho haambiwi tazama. Mwenye kung'amua na ang'amue. Thank you brother for this.
@emanuelpiniel52773 күн бұрын
Mzee nilikuwa nakuheshimu.sna na hoja zako pia ila Kwa hili umenunuliwa
@merumount59883 күн бұрын
Huna lolote..Kafie huko na lisu wako
@margarethsolomon98233 күн бұрын
@@merumount5988kima na ngedere ni mamoja, wote wanaishi porini, sio rahisi kuwatenganisha.
@rastheunique2 күн бұрын
Kishafika bei huyu 😂😂🍿🍿
@mamboshepea88882 күн бұрын
Hamjasema bado....mpaka msemeeeee!!!!
@brunomirambi8792Күн бұрын
Unapo msikiliza MTU usimsikilize ukiwa na upande wowote ukitoa majibu lazima yaegemee sehemu ile uliyo na mahaba NATO. HONGERA SANA NGURUMO NILIKUWA SIKUELEWI LEO NIMEANZA KUKUELEWA NA NITAKUELEWA MILELE
@jamesndora32633 күн бұрын
Mtu Smart sana Ngurumo Always. Lakini Leo ni kama umelishwa maneno.
@matalo05512 күн бұрын
Hakika...
@karakairasa21613 күн бұрын
Hongera kaka, umejenga hoja vizuri sana....
@juliusjohnii7823Күн бұрын
Hoja gani , na wenje je?.
@nasramusaro3 күн бұрын
Wewe ni mnafiki lisu ameweka wazi kila kitu
@samsonsamwel87822 күн бұрын
Cjui hajafatilia hilo
@matalo05512 күн бұрын
Anakurupuka tuu, Hana data za kutosha....
@kimalinganomhelela83773 күн бұрын
Hata Wenje amethibitisha kuwa jambo hilo lilijadiliwa Kamati na kurekodiwa.Lisu akaomba rekodi yote itolewe hadharani bila kuhaririwa ili ukweli ubainike.Bw.Ngurumo unataka kusema hayo yote hujasikia na lile alilojibu Lisu kuwa alichelewa kutangaza baada ya kuona Wajumbe wa Kamati Kuu wamekalia kimya taarifa yake juu ya jambo hilo na alifanya hivyo baada ya kufanya kukusanya ushahidi zaidi.Pia amesema mjumbe mmoja wa Kamati Kuu ambaye ni marehemu alithibitisha kuwepo kwa rushwa kwenye chaguzi za Chadema. Hujajitendea haki na hujatutendea haki mwandishi wa habari nguli.
@edgarmbegu19743 күн бұрын
Usihamishe hoja. Lissu akakuwaje na urafiki na Abduli na kupokea tuhuma za wenzake toka kwa adui, Abduli?
@JumanneKigori-fm1nn3 күн бұрын
Kuna clip ya kamati kuu wanashindwa kuitoa ipo siku huyu jamaa ataumbuka@@edgarmbegu1974
@samniza90152 күн бұрын
Thank you, he is just spinning.
@JosephIsrael-t6n2 күн бұрын
Tundu Lisu hajakaa kimya labda umesahau,alitangaza kwenye vyombo vya habari muda lkn hakuna hatua zozote zilizochukuliwa! Kwa hili unachemka umetumwa
@joshuaswai82032 күн бұрын
Mimi jamani Lissu ni mtu wa ajabu ananwabwaja hovyo kupita kiasi akiwasuta wenzake hasa M owe sio sawa anataka aongoze nani wakati amekiua chama je ataunganishaje tena chama hiki pendwa kwa watz? Ni sawa na mtu aliyeondoa magurudumu ya alafu apanda hilo gari eti anataka aendeshe gari bila magurudumu yaani amejenga uadui wa ajabu kwenye chama akiungana na rafiki yake msigwa na Dr silaa kwa ukweli chama kimeuawa na Lissu' niseme kweli nilikuwa nampenda kuliko watu wote wa Tanzania amenikosesha amani sana Mimi sijawahi kuiskia kampeni za kipumbavu namna hii huwezi choma nyumba yenu moto alafu msomi
@dianasamson93112 күн бұрын
Very smart Man Mr Ngurumo... Mwenye macho aambiwi tazama.
@abaatweve64283 күн бұрын
WANDEWA TUMESHANG'AMUA PROPAGANDA ZAKO, NA UPANDE UNAKOLALIA.
@levissanga88673 күн бұрын
Mchumbuzi nakusikiliza kwa umakini sana. Lakini naona kama unaegemea upande fulani. Ukiwa unataka uchambuzi wa wagombea wawili wenye ushindani mkubwa wachambue wote.
@mohamedturanardan8871Күн бұрын
100% correct
@AdamPeter-s8v3 күн бұрын
Salsa haueleweki kama zamani unaogea uchawa tuuu kwa more ludisha heshima yako
@abdulhalimjuma77863 күн бұрын
Mimi nilikukubali sana, kembe huna maana kabisa wewe ni mtu wa fitna
@MathewNathan-yb2bz3 күн бұрын
Ni mtu wa fitna kivipi
@edgarmbegu19743 күн бұрын
Kwa vile kasema mapungufu ya Lissu?
@BitaraWanjaraGondera3 күн бұрын
Huyu si mfitini tu bali ni kilaza
@mathiaszakaria70523 күн бұрын
Ni chawa wa Mbowe kajidhihirisha ni mwehu
@ezekielmwakyagi93303 күн бұрын
chawa tu uyo
@SNOWFALL923 күн бұрын
NILIKUA NAKUSKILIZA ILA LEO UMEPOTEZA CREDIBILITY YAKO YOOTEEE UMEONGEA UTUMBO NA HOJA MBOVU SANA UMERUDILIA HOJA AMBAZO KILA SIKU TUNDULISU KASHAZIONGELEA KITAMBO SANAAA HAUNA JIPYAAA NAKU BLOCK KUANZIA LEO BLADFAKENI 🤮🤮🤮🤮
@edgarmbegu19743 күн бұрын
Kumbe hujaelewa! Iweje Lissu amwamini Abduli kwamba kuna watu amewapa pesa? Anafanya urafiki na maadui wa chama? Kwa nini hakumwambia K/Mkuu aitishe Kamati Kuu ili waliokula pesa za Abduli watajwe? Jibu kwanza hayo
@dassustephen7313 күн бұрын
huyu Ngrurumo Anaongea ujomga mtupu siku hizi.Rubish tupu.
@FrancisThomas-jc8wq3 күн бұрын
@@dassustephen731na hautamuelewa maishani.
@Kiyama-g8f3 күн бұрын
AKILI YAKO NI YA KIAZI;HUJUI KITU;SIKILIZA HOJA USIENDE KISHABIKI;UTAFELI
@habibunguvumali33313 күн бұрын
Mzee upon vizuri sana nakuelewa
@JumanneKigori-fm1nn3 күн бұрын
Napenda unavyompigania Mbowe kila clip ila baada ya sanduku la kura itabidi utumie nguvu kubwa kujisafisha.
@merumount59883 күн бұрын
..hicho mnachotafuta hakitakuwa
@walidmgonja36442 күн бұрын
Lissu atashinda kwa kishindo humu mtandaoni lakini kwenye sanduku la kura hawezi shinda.
@stevenchundu93033 күн бұрын
Sasa hivi umekuwa mpiga kelele sio mchambuzi tena
@elikyusimsigwa66083 күн бұрын
Ni kwa vile hasemi unayo tapenade, angesema unayoyapenda Angelia mchambuzi?!
@margarethsolomon98233 күн бұрын
@@elikyusimsigwa6608Toka mwanzo alipochukua fomu Lisu, huyu chaali ngurumo aliumia saaaana, inaeleweka. Ila ajue tu kuwa Mbowe kachuja machoni na mioyoni mwa watu, akapumzike kwanza. Tunajua ana hela chafu za kuhonga wajumbe atapita tuuuu kwani ni CCM B,,,,,,,lkn chama kitakuwa kama cha Lipumba
@geoffreynghumba10292 күн бұрын
Ni kwa vile amejitoa ufahamu . Alijisemea Nyerere: "Mwenye akili akikuambia jambo la kijinga na wewe ukalikubali wakati akijua alikuheshimu kwa kuwa unaakili, atakudharau!"@@elikyusimsigwa6608
@Jumamaduka2402 күн бұрын
Lisu wako huyo unayedhani haambiwi ukweli. Tunza haya maneno kaa mwaka mmoja au miaka miwili uje usikilize
@tanzanianakupendaКүн бұрын
Ni mtu bias siku zote ila kwahili la Lissu ndio watu wamemuona wazi...unajua ku spin kitu kizuri kikaonekana kibaya na kibaya kikaonekana kizuri. Anaowapenda wakichemka anaongelea kuchemka kwa jicho la positive na anaowachukia anatuta mazuri yao na kuyaongelea kwa jicho la negative..ndio kipawa chako
@victorishengoma57243 күн бұрын
Abdul alienda kwa nia ya kumsaidia Lisu pesa....wazo la kusaidiwa lilitoka kwa Lisu ili apate hela yke halali sio kupewa hela isiyojulikana malengo yake
@MathewNathan-yb2bz3 күн бұрын
Hili pia ni kosa.Lissu na wenje wana makosa
@melch30973 күн бұрын
Uko sahihi, lisu kwa kutafuta attention ya kisiasa anajifanya kumpakazia mwenzie@@MathewNathan-yb2bz
@mkushioriginalsillo50743 күн бұрын
Mimi nilimsikiliza lisu.Siyo Lisu Aliyemtafuta Abdul .kimantiki hapakuwa na sababu ya lisu ya kumtafuta Abdul kwa sababu wakati huo Lisu alikwisha kukutana na Raisi Samia.Abdul ndiye aliye mtafuta Wenje ili kumfikia Lisu.
@FranksonMkumbwa-mb3pp3 күн бұрын
Ni mbinu za mwovu hizo ww
@hajimnubi45813 күн бұрын
Huyu ni mtu wa mbowe na anayasema haya kimkakati ...mbowe alipokua anazungumza na kukubaliana na Rais akiwa pekeake baada ya kutoka gerezani hakujua kama Rais ni usalama wa taifa? Na je ilikua sawa kwa mbowe kuendelea kufanya hivyo licha ya wenzake kuonyesha shaka
@samsonsamwel87822 күн бұрын
Bora wew unajtambua,Kwan alyemtafta mwenzie n nan
@geoffreynghumba10292 күн бұрын
Kachukua kitu huyu 😂
@goodluckjohnuiso-gt1fg2 күн бұрын
Sikiliza hoja na sio yuko upande upi! Tatizo la watz hawangalii hoja nakujifunza wanapeda kelele
@anthonymlyashimba81313 күн бұрын
Naona una ugomvi sana na Lisu maana unaegemea sana upande wa Mbowe
@juniorSamwali3 күн бұрын
Kwani anachosema Mr NGURUMO ni uongo??? point tupu
@MathewNathan-yb2bz3 күн бұрын
Lissu nae ana makosa ni kwa nini amtumie Abdul kupata malipo yake?
@FrancisThomas-jc8wq3 күн бұрын
Acha ukweli uwekwe wazi, kwa nini hamtaki lisu aguswe.
@rogathesarwatt3 күн бұрын
Nani alifuta mwenzake @@MathewNathan-yb2bz
@juniorSamwali3 күн бұрын
@@FrancisThomas-jc8wq wataelewa tu hata kama hawataki
@andrewmohere3 күн бұрын
Huyu mchambuzi simuelewi leo. Kwani Abdul alimwambia nini Lisu analosema Lisu alimuaminije? Abdul alitaka kumsaidia Lisu kutaka fedha na gari zuri, kitu ambacho Lisu alikataa na kumwambi kama alihitaji kumsaidia amwambie mama yake amlipe stahiki zake. Sasa hapa alimuaminije?
@merumount59883 күн бұрын
Rudia kusikiliza..
@Jumamaduka2402 күн бұрын
Kama humwelewi huyu Mzee basi Uchawi upo
@rastheunique2 күн бұрын
@@Jumamaduka240Mzee huwa anaeleweka vema sana ila round hii amini yamemkuta!! Yuko Bias tena bila aibu!!
@eliajimmy953 күн бұрын
LISSU alikataa kwamba hadaiwi chochote na Wenje. Unaonekana unabifu binafsi na Lissu
@mtumejosephgoliama61593 күн бұрын
Wewe kwenye suala la Lissu na Mbowe tayari huna moral authority kwasababu wewe ni mfuasi wa Mbowe . Vyovyote utakavyoongea tumeshajua Nia yako, wewe ni kipenzi cha Mbowe. Lakini ujue tu watanzania wanajua wanachotaka msipowapa wanachotaka watanzania basi CCM itawapa watanzania wakitakacho
@rebekakulwa61593 күн бұрын
Kwani lisu alimfuata abdul mafisiemu ndiyo yanawafuata chadema kuwahonga ila lisu hahongeki
@FranksonMkumbwa-mb3pp3 күн бұрын
Kwann amwamini Abduli ? Wakat ni adui wao
@azammaganga9101Күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@bonideodatus97953 күн бұрын
Lisu alisema akipewa hela zake za halali ndo atakuwa rafik yake lakini sio za kuhongwa halaf kingine mtu mkubwa Kama wenje ana ujasiri gani wa kumpeleka abduli kwa lisau na akasema wengine wengi tu kwenye chama wamepewa hela kuwa na subira kwa miez kwa kuchunguza uone chama kipoje mbona lisau kaongea broo nilikuwa nakuamini Sanaa Ila inaonekana unaegemea upande mmoja
@DavidDanken-uf7kp3 күн бұрын
Kadili unavyotafuta namna ya kumchafua lisu unapoteza mvuto na uchaguz ukiisha utapuuzwa ww ni mtu wa kupuuzwa
@merumount59883 күн бұрын
Utapuuzwa wewe mbwa koko..
@BoniphaceManyama-y2s3 күн бұрын
Lissu alikwisha sema ni zaidi ya mwaka mahusiano kati yao na Mbowe suti mazuri na sababu ni hizo hizo kukinzana ktk vikao ndani ya chama ndio sababu hawahalikei nyumbani Kwa Mbowe kama siku za nyuma .Hivyo Mbowe anetumika vibaya na serikal ya CCM ndio maana lissu hajapendezwa na Siri zimefichuka njanjanja ya Mbowe imefika mwisho tunaitaji kiongozi Mkweli na Mkweli ni Lissu .Mzee kama umetumwa na Mbowe kafie mbele
@PrinceHendry-hp8vv3 күн бұрын
Kaka kabila lako kama nilakaskazini ya Tanzania kuna jambo unalitengeneza kuhusiana na kabila hilo
@usembiphonedar56323 күн бұрын
Huyo ni Nshomire!
@rastheunique2 күн бұрын
Wala si kabila!! Nguvu ya muamala mzee!!
@songombingo1083 күн бұрын
Kuna mambo mengine acha yapite tu. Hakuna sababu ya kuendelea kuchokonoa mambo. Ungeacha Chadema waendelee na mambo yao ya Uchaguzi. Lakini kuendelea kuchimbachimba mambo hasa kwa kupitia Lissu tu ni kukosa weledi tu.
@norbertmbena58963 күн бұрын
Hutamwelewa Lisu unampenda Mbowe
@geoffreynghumba10292 күн бұрын
Wala Mbowe hampendi, angeongea kitambo siyo Leo. Naona sijui ameanza kwenda ki maslahi zaidi? Anadai Abdul eti Usalama wa Taifa 😂 Lissu mwenyewe alihojibkitambo, anapata wapi Abdul legitimace ya kwenda Uganda nchi ya nje kwenda kujadili Mikataba ya nje? Lissu aliyehoji ni mgombea Urais wa 2020, ni mwanasheria nguli wa kimataifa, Leo anahojiwa na kinyangarakata tu? Suala hili ni myama mkali kanasa mtegoni, kwahiyo ni la kuusogelea mtego kwa tahadhari! 😂
@kibbysaidi78133 күн бұрын
Unanisikitisha sana siku hizi. Ghafla umekuwa chawa wa Mbowe. Moja ya sifa za mchambuzi bora ni kubalance story vipi ww ukiamka Lissu, ukifungua mdomo.. Lissu. Sema ukweli Mbowe kakulisha asali gani maana sio bure. Sasa unajivunjia heshima... weka wazi kwamba unataka umakamu mwenyekiti mkifanikiwa kumtoa Lissu
@merumount59883 күн бұрын
Kwanza hakuna chawa chadema..pili mbamtumia lisu patina yeye kujua
@derrickmsa85052 күн бұрын
Leo umechemka...pole sana team mbowe!
@MsabahAli-d6u3 күн бұрын
Leo kaka umefosi sana kumkandamiza Lissu
@ericknganzi398Күн бұрын
Uchawa ni kazi nakwambia 😂
@Fred-Ma3 күн бұрын
Licha ya hayo yote umesema Lissu alikujulisha juu ya sakata lenyewe hili. Mbona haukumshauri haya yote? Patia picha mtu amekuamini kukupatia taarifa na ukashindwa kumpa ushauri huu unaomshangaa?
@MartineJoseph-u6i3 күн бұрын
Naww ni chawa unaongea vyeusi unajitoa ufahamu unajifanya ukusikia aliyoyasema lisu na aliyoyasema wenje
@jamaliddiin93573 күн бұрын
Mzee leo umechemka sana Au nawe usharamba asali ?
@tanzanianakupendaКүн бұрын
Kwa hasira anayoionyesha kwenye hii hoja hatuwezi kusema yuko nje ya mfumo
@ebitariho97203 күн бұрын
Uko bias sana. Tundu Lissu kaweka wazi mazingira yanayo onyesha Abdlu kutumiwa na mama yake kuhonga watu. Katika kuhonga huko Tundu kamuonyesha Wanje kama middleman wa uhongaji huo ndani ya chadema. Na Wanje kakili hilo kwa kusema anajuwana na watu wengi. Na mmoja wa marafiki wa wanje ni Abdul. Sasa wakumaliza yote ni abdul.
@MiriamAziz-z5t3 күн бұрын
KOMREDI NGURUMO....LISSU HAONGEKI! NA HAJAWAHI KUHONGEKA HATA HUKO NYUMA.
@drsumatz75393 күн бұрын
Nenda kweny point Ngurumo Half wewe ji msomi lakn huwez kuchambua upande mmoja tuu kwa udhaif wake Inamaana upande mwngine uko safi hundred percent !!!!???? Yawezekana unapoint lakn chambua pande zote weka mezani mazur na mabaya half sisi tutaona nani anafaaa kwa sifa zake
@eliajimmy953 күн бұрын
Pesa za Mbowe inaonekana wanakula wengi maana wanajitokeza machawa ambao hatukutegemea
Kaka kwenye hili jipange haupo sawa kabisa,hapa upo upande hujeng,angalia heshima kubwa baada ya uchaguzi huu mdogo,
@merumount59883 күн бұрын
..acha maneno yenu ya kipumbavu, kila kitu kimewekwa wazi, lisu anaaminije mtu ambae mama yake anawashambulia?
@MassoudMaghwaly-jo8sh3 күн бұрын
Usipotoshe Abdul hakunda ili kusaidia lisu apate pesa zake. Alienda ili kusaidia hali ya lisu kupata gari nzuri. Hapo ndio lisu akakataa kua hataki pesa za Abdul. Km abdul anataka kusaidia bas asaidie upatikanaji w haki ya lisu ( mafao). Na sio msaada w pesa zake mfukini. Lisu amekataa pesa z Abdul from his pocket.
@merumount59883 күн бұрын
Kwa nini lisu hakusema wakati huo huo..lini Abdul akawa rafiki, lini usalama wa taifa wageuke kumsaidia lisu..?
@usembiphonedar56323 күн бұрын
@@merumount5988Acheni uchawa! Tundulissu yuko wazi sana anaongea kila kitu wazi acheni kupotosha! Ukiona mtu hajamwelewa Tundulissu basi kwenye afya ya akili kuna changamoto!
@merumount59883 күн бұрын
@usembiphonedar5632 suala si uwazi, kwa nini anaamini kwanza kukutana na kusaidiwa na mtu ambaye anafahamu fika hawezi kuwa anawatakia mema yeye Lisu na chama chake, pili, anaanzia wapi kuamini maneno yake..tatu, alishindwa nini kutumia nafasibyake km makamu mwenyekiti kuraise hizo tuhuma aliambiwa za wenzake kuhongwa, yeye ni mwenyekiti wa kamati ya nidhamu ya chama..unaona dhamira njema hapo?
@simbozconsultancy3 күн бұрын
Kiongoozi huu mfupa huuwezi umeshindwa kujenga hoja Kabisa umekuwa dhaifu tunajua mgongano wa kimaslahi ya. Wazi
@Nyanda5063 күн бұрын
Ngurumo mbona unachambua tofauti ,Lisu mimi nilisikiliza vizuri sana ..wewe sasa leo unachambua tofauti 😅😅😅muuuuhhhh😂😂
@Mwakamele3 күн бұрын
Nilivyomwelewa Ngurumo, anasema kwa nini Lissu alikubali kukaa ana kwa ana nyumbani kwake na Abdul na kuamini maneno yake huku akijua Abdul anaendeshwa na usalama wa taifa? Iwe Abdul aliomba kukutana nae au Yeye Lissu aombe kukutana nae. Issue ni kwa nini ameyaamini maneno ya Abdul ambaye wanashindana kila siku
@rastheunique2 күн бұрын
Hayo maswali amuite Lissu kwenye channel yake hii amuulize live ajibiwe!! Vinginevyo abaki kampeni meneja wa Mbowe tu asitumalizie mabando yetu Kwa chambuzi Bias and rubbish!!
@saviomlelwa3 күн бұрын
Ulikuwa mchambuzi mzuri Sana lakini Sasa hivi mmmmh
@mosesmlogani8112Күн бұрын
Jamaa kapoteza haiba yake!!
@DAVIDESEKO3 күн бұрын
Umeonyesha hisia zako. LAKINi haimaanishi ndo ukweli. Je unajua Nini kiliongelewa kwenye kamati kuu baada ya kauli yake ya Mpwapwa?
@mathiasmavanza6053 күн бұрын
Mimi siamini kwamba Lissu anaweza kumsingizia mtu suala kubwa kama hilo. Hayo maswali yako wala hayana maana yoyote. Kutolisema mapema suala hilo linaweza kuwa na sababu nyingi sana. Nadhani hoja kwamba Abdul ni usalama wa taifa sio sahihi kabisa. Nakuona kama mpambe wa Mbowe na nia ni kum deliscredit Lissu. Wacha wajumbe wa mkutano mkuu waamue. Tutawasikia wengi walio chawa. Sisi tunamuona Lissu kama suluhisho la uhai wa chama na watanzania. Mbowe must go!!
@merumount59883 күн бұрын
Toa sabab kwa nini Abdul siyo usalama wa taifa..unaruka ruka tu km juha..toa sabab ya unachopinga
@MagdalenaNyakitale3 күн бұрын
Mzee mbona mnageuzageuza maneno mtu mzima wee nyie ndio wachonganishi wa tundu lisu na mbowe acha uongo wako
@tibbsminja25753 күн бұрын
CCM na timu nzima wana mkono wao hapo sio bure
@FranceKomba-sn3ui3 күн бұрын
kaka umeanza kupoteza uweredi kwa hoja zako
@mesharothuman24433 күн бұрын
Mzee this time unatuhadaa
@kamazimakyaruz12193 күн бұрын
Yaani tunge kuwa na uwezo wakujua kinacho ongerewa na mtu kabla ya kufungua kifurushi chetu, tunge okoa mb zetu nyingi, la.
@eliajimmy953 күн бұрын
Amenimalizia mb zangu bure tu huyu chawa
@BitaraWanjaraGondera3 күн бұрын
😅😅😅😅😅
@merumount59883 күн бұрын
Mpumbavu wewe@@eliajimmy95Katie huko ulikotoka..
@merumount59883 күн бұрын
@@eliajimmy95ujinga ulio nao utaelewa nini..
@merumount59883 күн бұрын
Huna lolote.. nenda kahongwe na hao ccm wajinga wenzio
@AllanKajembe2 күн бұрын
Huwa una uchambuzi makini, ila katika hili umeboronga. Nilikupa benefit of doubt kwenye ile ya kwanza lakini hapa ume prove kwamba una upande tayari. Wewe mwenyewe ndo unaamini kuna watu hawawezi danganya, hawawezi kupotoshwa etc. Endeleeni kuua chama chenu
@hamisimweta45053 күн бұрын
Leo ndio nimeachana na ww kumbe ww ni mnafiki mkubwa
@tanzanianakupendaКүн бұрын
Siku zote huyu ni bias. Hana jipya
@sonnyr18993 күн бұрын
Chawa wa Mbowe katika ubora wake
@AnaniaIsaya-z9g2 күн бұрын
LISSU HAJAWAHI KUWA MUONGO NA WALA HATEGEMEI KUDANGANYA Amenyooka ndo maana mafisiemu wanamuogopa.
@ericknganzi398Күн бұрын
Huyo ni chawa wa Mbowe hujagundua tu😂
@AntonyKawage3 күн бұрын
Aisee kumbe na wewe ni mnafiki ,tu kweli inchi imefika mahali ambapo kila mtu aelewe anavyoelewa na sio kumuelewa yeyote awaye
@ip_header3 күн бұрын
Kimsingi umejenga hoja vzr, ingawaje wewe pia umesha chagua upande wako, kwahiyo hoja zako nyingi ni dhidi ya mpinzani wa unaemtaka ongoze CDM
@noussommecapable75703 күн бұрын
Tumeisha kuelewa, wewe ni mtu wa mbowe, tafuta chawa mkichwa cha lisu hauwezi kupata izo ;
@nzeyyunus59903 күн бұрын
Mkuu tunajua ungekua mjumbe kura yako ingeenda kwa Mbowe
@RevocatusKitambi3 күн бұрын
Ngurumo wasiliana na Mbowe na Lisu waitishe kikao cha zalula kabla UCHAGUZI kufika
@rastheunique2 күн бұрын
Sidhani kama uwezo huo anao!! Ukishakuwa bias, unaanza kupwaya taratinu
@benny43453 күн бұрын
Mchambuzi yuko biased! Can’t talk about Mbowe. Kwa nini?! Ni chawa wa Mbowe and we all know that! Ngurumo: usipotoshe! Abdul hakwenda kwa Lissu kwa ajili ya kushughulikia madai ya Lissu. Madai ya Lissu ni matokeo ya kushindikana kwa Lissu kuhongwa! Get the facts right Lissu amekanusha kudaiwa na Wenje! Wenje angesemaje kuhusu kuhongwa wakati yeye ndo alifanya udalali?! Hakuna uchambuzi hapa Ngurumo!
@mbelechimakobola88353 күн бұрын
Kuendelea kusikiliza Chanel yako hii ni ujinga wa kiwango cha lami, zamani tulikuona wa maana kumbe bure kabisa
@MathewNathan-yb2bz3 күн бұрын
Tatizo hampendi kuwa nyutro.mimi lissu nampenda ila kwa hili naona alikosea.utamtumiaje mtoto wa rais?
@godfreymikmta50083 күн бұрын
Tatizo unapenda bila kutafakari
@merumount59883 күн бұрын
Kafie huko ulikotoka..huna lolote, fisi wewe!
@mathiaszakaria70523 күн бұрын
Hata mim nshamshtukia kamwe haongei madhaifu ya mbowe wakat chama kinazd kupoteza mvuto kisa staili yake ya kwenda ikulu kimya kmya
@artsonkimath29173 күн бұрын
Kwa hiyo mtu akimuunga Mbowe mkono hafai.......ila anayemuunga mkono Lisu anafaa.......acheni ujinga....box la kura litaamuwa
@jamesrobare5223 күн бұрын
Chawa Lisu jiandae kisaikolojia kushindwa tena na tena tukutane kwenye sanduku la kura litaamua jiandae kisaikolojia lkn 🏃🏃🏃
@melch30973 күн бұрын
Tena bila kuangalia kazi aliyoifanya chadema, ukweli kama huna pesa bongo huwezi kuendesha chama bongo, tundu alikua wakawaida chadema ikampandisha baada yakupata matatizo sasa anainyea
@1961nungwi3 күн бұрын
Ashinde Mbowe au Lissu, haibadilishi hali halisi. Msigombane. Yeyote atakayekuja, Mama ana mitano tena. Baaas!
@tanzanianakupendaКүн бұрын
Ukiwa mwandishi professional basi kuunga watu mikono na kuwapinga wengine kwenye makala zako inakua ni usanii na uchawa sio journalism tena
@BoniphaceManyama-y2s3 күн бұрын
Acha kuwa chawa wa Mbowe
@hafidhnzota21423 күн бұрын
MASWALI YAKO Hayana msingi wowote,wewe na wenje ni chawa wa MBOWE UNATUMIKA SANA HUWEZI KUJA LEO.ULISHASEMA PERSONAL ISSUE AMBAYO.CHAMACDM KILIWAHI KUIDAI SERIKALI PESA ZA LISSU?JITIHADA BINAFSI
@godfreymeagisa18713 күн бұрын
Siku hizi sikuelewi kabisa ndiyo maana uko nje ya Nchi,
@Jua_kusudi_lako3 күн бұрын
Ila we jamaa umeanza propaganda. TL hakumuhitaji Abdul na hakuwa na mawasiliano nae. Na lengo la kikao haikua malipo ya TL Hilo liliibuka baada ya abduli kudai kua atampa pesa ndipo akasema hataki pesa chafu anataka pesa halali kutoka kwa mama yake. Afu katika maswali unayojiuliza hapo, sioni swali gumu kama unavyosema Jitafakari broo, chambua bila kuonesha mlengo.
@jamesndora32633 күн бұрын
Aliyemleta Abdul Nyumbani kwa Lissu yupo na Mbowe Sasa kwenye kambeni zake, Wenje mwenyewe alisema anayajuwa yote, Mbona kaka, Mbona hatuchambuwi Wenje kuwa daraja la kupeleka Usalama kwa Mwana-chama mwenzao?? Wakati tunahoji kuhusu Lissu, tuangalie upande wa pili kwani kiunganishi ni Mwana-chama mwaandamizi tena ni Chawa wa Mbowe.
@merumount59883 күн бұрын
..anakubalije lisu kuletewa adui nyumbn kwake..kwan wenje alimshikia akili na utashi wa kukataa?
@DennisKahinda3 күн бұрын
Ww ni muhuni tu uliejificha kwenye mwamvuri wa uchambuzi maana kwenye hili umeshindwa kusimamia taaluma yako na kugeuka chawa wa Mfalme kutoka Hai.
@merumount59883 күн бұрын
Pinga kwa hoja usilete mipasho hapa..
@DennisKahinda3 күн бұрын
@merumount5988 unawashwa
@merumount59883 күн бұрын
@DennisKahinda hizo bangi za kuvutia matakoni usirithishe wanao..
@issiah43 күн бұрын
Kaka uchambuzi wako haujakamilika, maswali mengi unayotaka tujiulize TL ameisha yajibu yote. Naona kikubwa hapa unachotaka ni watu wasimuamini TL. Leo umeonyesha wazi kuwa wewe ni timu Mbowe which is okay but acha kurusha matope kwa TL.
@amos8783 күн бұрын
Wewe nawe kumbe ni kibaka🤔🤔🤔🤔
@muhsinissa70812 күн бұрын
Sijakuelewa uchambuzi huu fafanua vizuri kama unaegemea sehemu
@marthaswai11853 күн бұрын
Wakati maneno ni mengi, dhambi haikosekani, lakini yeye ambaye huzuia ulimi wake ni mwenye busara. Ulimi wa mwenye haki ni fedha iliyo bora, bali moyo wa mwovu una thamani ndogo. Midomo ya mwenye haki hulisha wengi, lakini wapumbavu hufa kwa kukosa ufahamu. Mithali 10:19-21
@GeraldBahegwa-rn3vb3 күн бұрын
Huwezi kusema alimwamini, kwani alifanya hivyo kutokana uadilifu wake, kwann usijiulize kwan kambi ya mbowe walipokea pesa hizo chafu? Nakushangaa sana.
@felixmluge32113 күн бұрын
Ngulumo ...binafsi nakuelewa....Sio wote watakuelewa kwa uchambuzi huu. Lkn Usikatishwe tamaa ...maana jukwaa hili sio kwa manufaa yako...bali ni kwa manufaa ya watu wote....ipo siku clip hii itaeleweka vizr kwa watu ata kama leo inaonekana kama umechukuwa upande fulani ivi....! Mungu akubariki brother!
@margarethsolomon98233 күн бұрын
sio kachukua upande fulani laaa!! ni kwamba Kavuta kabisa kwake
@tanzanianakupendaКүн бұрын
😂😂😂
@fredymwakikono15753 күн бұрын
Jinga kabisa, kuanzia leo sikufuatilii tena
@ZaidAKissinza3 күн бұрын
Lissu anasema kuna Ushahidi wa kufamtu
@tam52623 күн бұрын
Hii analysis inanikumbusha msemo "mchamba sana hutoa mavi" ..... Kwa kitu literally almost black and white
@usembiphonedar56323 күн бұрын
Ndugu mchambuzi siku zote napenda kukusikiliza na kukuelewa lakini kwa hili la leo unaonekana unaegemea upande wa Mbowe! Wewe ni chawa wa Mbowe. Hayo yote unayoyaongelea tayari Tundulissu alishayafafanua. Mbona huongelei mapungufu ya Mbowe?! Kila siku uko bize na ya Tundulissu tu! Ndugu,Acha uchawa tenda haki kwa watu wote.
@florencejohn64273 күн бұрын
Sijamaliza hii video. Na sitakaa nikusikilize tena
@merumount59883 күн бұрын
Kaambie waliokutuma..
@MsamiKimaro11 сағат бұрын
Yeye anakuomba umsikulize 😊
@rastheunique2 күн бұрын
Hivi ngurumo TUNDU Lissu yuko peupe sana kujibu maswali yoyote unayotaka kujua!! Kwanini hutaki kuona umuhimu wa kumuuliza kwanini hakufanya kama ambavyo ungetaka afanye!! Swali langu kwanini hutaki kumface Tundu Lissu face to face umuulize!! Chambuzi zako hizi Zina mashaka sana!! Sasa unawatetea watesi 😢
@warrenmgode18373 күн бұрын
Lisu anataka haki, kama unakumbuka lisu alisema hela yangu hata wasiponipa wajukuu wangu au watoto wangu watakuja kudai,anaamini sheliya Yuko vizuli tumuelew lisuu
@adenmwakalobo7603 күн бұрын
Ngurumo hujawa mkweli kumlinganisha Lissu na mareh. Mrema! Ukweli ukisemwa wazi, hasa kwa jambo nyeti ktk jamii yetu kama rushwa miongoni mwa viongozi, ni jambo la kupongezwa na si kubezwa kama unavyosema wewe! Ukweli ukisemwa hauwezi kuwa ndiko "KUCHAFUA VIONGOZI WENZAKE". Nahisi unajaribu kumnasua mwenyekiti Mbowe ktk tuhuma za rushwa zilizotajwa na Lissu; sidhani kama utafanikiwa kwa mazingira yaliyopo😂
@merumount59883 күн бұрын
Sikiliza uelewe..unainuka kuchamba bado unakunya..
@EstherSamwel-vk4wb3 күн бұрын
Wewa nawe mtu katangazwa dunia nzima inajua ni gaidiii imekuajeee toka gerezani aibukie ikulu😮😮😮😮😮
@adenmwakalobo7602 күн бұрын
Kama kweli Mbowe hahusiki na kashfa za rushwa zinazozungumzwa, kwa nini anachukizwa zaidi na Lissu aliyezisema hadharani lakini haoneshi kuchukizwa na Wenje ambaye dhahiri amekiri kujihusisha na pesa hizo chafu? Kwa nini anakaa nao wote wawili ktk vikao bila walau kuchukua hatua za kinidhamu/kimaadili dhidi ya mmoja wao au wote wawili??? Kama tunasema ccm haifai na iondoke kwa kulea ufisadi na kutowajibika, hivi mdadala wake atakuwa Mbowe na wenzake wanaotaka ufisadi unaosikika ndani ya chama chao na kati yao uwe SIRI YA VIKAO VYAO??? Nonsense! Rasilimali zinazofujwa ni za nchi, iwe zinamnufaisha Mbowe na wenzake ktk CDM au walioko CCM au kwingineko! Haitoshi kwa Mbowe kutuambia yeye ni mfanyabiashara si mbangaizaji, kwani twajua sote wahujumu na wapokea hongo wakubwa si wabangaizaji!!! Nahisi Mbowe na wenzake kadhaa ktk Chadema wamechafuka kwa uamuzi wao wa kutumia upinzani kama njia yao ya mkato ya kujipatia pesa kutoka kwa walioko madarakani! HAYUPO ALIYEWACHAFUA BALI WAO WENYEWE NI WACHAFU! Vinginevyo waiweke hadharani video ya kikao chao juu ya suala hili (inayosemekana wanayo) ili ukweli wote uwe bayana kwa umma-wachafu na wasiohusika wajulikane! Ni hatari kukaa na watu wakijidai wapinzani kumbe madalali watafuta pesa za mkato!
@adenmwakalobo7602 күн бұрын
Merumount5988 mbwa koko weye huna chakula chako! Chawa mkubwa!! Nimemaliza kunya njoo ule😂
@Jackson-Novat3 күн бұрын
Kumbe ulistahili kuishi uhamisho. Hovyo hovyo hovyo hovyo kabisa tena
@merumount59883 күн бұрын
Bora kukaa uhamishoni kuliko kutweza utu wako kutumwa tumwa km mbwa koko kuleta upotoshaji..
Mtampolish sana Mbowe, lakini, muda wake wabkistasfu ndio huu.
@Ntuli-o4w3 күн бұрын
Kuna Swali , la kusema Maneno hayo yalitamkwa , wakati wenje yupo! Naona hujachambua kwa Mkutadha wa Jito hilo pia ....kwamba majina hayo yanatajwa mbele ya kiongozi mwezio! Part 2 ! Angazia pia kwa Muktadha huo. Maswali yako magumu haywbalance pande zote mfano. 1.Kama lengo ni kusaidiwa kulipwa? Kwa nini mpaka leo hajalipwa? 2.Kama mwenye uhitaji wa kulipwa ni lisu, how comes anayekusaidia ndo akutafute wewe? 3.Majina husika yanatajwa mbele ya kiongozi mwenzio....How comes isiamini? 4.Lisu kasisitiza hana mkopo wowote anadaiwa na Wenje! Nb! Unajua elimu za kata zimefanya upeo wa watanzania kwa sasa uwe juu! Hivyo uchambuzi wako uko one sided ambapo kwa mtu yeyote aliye enda shule lazima aone uchambuzi huu c wa mtu huru! Etc
@Joe-tr2vk3 күн бұрын
Mimi pia simuoni Ngurumo kama mtu huru kwenye hili. Katika wakati wote wa sakata hili,sijamsikia Lissu akisema eti aliambiwa kuhusu wengine waliolambishwa asali na Abdul. Kwa nilivyoelewa mimi hayo maneno yalisemwa na Wenje ambaye ndiye dalali aliyekwenda na Abdul kwa Lissu. Labda kama kuna kitu kimenipita
@rastheunique2 күн бұрын
Ngurumo kala ndoano 💰💰 🪝 Amini nakuambieni! Saa hizi ana flow to kule kamba ya mvuvi inapovutiwa 🚮🚮
@YonaRajabu3 күн бұрын
Ngurumo Leo ananguruma tu haelewek
@saadaluvanga702411 сағат бұрын
Imeeleweka
@roypeters98293 күн бұрын
Umechoka we baba.. lisu ndie hatma ya uwepo wa chadema katika siasa kwa tunavyoelekea
@Byondorujulika173 күн бұрын
Mimi kwa hili kaka yangu sijakuelewa, huwa naupenda uchambuzi wako ila kwa hawa mafahari wawili umeonyesha upande wako, Mimi ni Mukongomani anaye ishi USA, ila namupenda Tundu Lisu kwa 59% na Mbowe 41%,
@kashindisimon52653 күн бұрын
Mimi nilikukubali sana chahali lakini kwa hili😂 na wewe umekuwa chawa akili yako😂kubwa hapa imetwawaliwa na akili😂ndogo umeonesha wazi wewe ni chawa wa mboe
@SangioNgoo3 күн бұрын
Du, jamaa wewe umepoteza direction kabisa. Naondoka kwenye channel yako. Nime-unsubcribe
@merumount59883 күн бұрын
Ulivyoingia ulitangaza? Sepa huko koko wewe!
@benny43453 күн бұрын
Ngurumo alikuwa Mhariri wa Tanzania Daima, gareti la Mbowe. Amebaki kuwa chawa wa Mbowe! Hamtasikia any negative analysis juu ya Mbowe pamoja na kwamba zipo sana!
@juniorSamwali3 күн бұрын
Hayo yako,sisi tunasikiliza hoja za msingi
@JosefuSwai3 күн бұрын
Chawa ni wewe mwehu
@MathewNathan-yb2bz3 күн бұрын
Ngurumo yuko sahihi
@simonnjovu5863 күн бұрын
Tena yuko sahihi sana. Wengi hawataki kusikia lolote hasi juu ya Lissu. Na hii ni bahati mbaya sana.
@SylvesterKameo3 күн бұрын
Ngurumo alikuwa Mhariri wa Tanzania Daima kama mwajiriwa. Je, kila mwajiriwa ni chawa wa mwajiri wake? Nafikiri umekosa hoja isiyo na mantiki. Kuna mambo mengi yanayohitaji majibu kuhusu mwenendo wa Lisu!
@ezekielmabwai4823 күн бұрын
Wewe ipo upande wa Mbowe. Nimeanza kukudharsu. PUMBAVU!!
@merumount59883 күн бұрын
Mpumbavu ni wewe..unatumwa tumwa km mbwa koko umelishwa makombo ukadhani ndio pepo!
@usembiphonedar56323 күн бұрын
Wananchi, wanachadema na wajumbe wote mtakaopiga kura kuchagua mwenyekiti wa chadema Taifa Tunahitaji mwenyekiti mpya na mabadiliko katika chama. Hivyo wajumbe msikubali kupokea rushwa kutoka kwa wagombea hasa ile timu ya Mbowe! Huu uchaguzi unaingiliwa na machawa kutoka nje ya chadema, kutoka ccm na kwingineko! Ndiyo hawa wanaompiga vita Tundulissu! Huu uchaguzi ni kama ule wa TLS Mwabukusi alipigwa vita sana kwa sababu yeye alikuwa ndiyo mtu sahihi kwa nafasi ili kwa wakati huu! Hivyo hata sasa Tundulissu ndiye mtu sahihi kuwa mwenyekiti wa chadema Taifa kwa sasa! Ndiyo sababu anapigwa vita kila upande. Tunamtaka Tundulissu kuwa mwenyekiti mpya chadema. Msisikilize machawa wana ajenda zao za siri! Ila hawatashinda kwa uwezo wa Mungu,AMEEENI.
@NuruJuma-zv3yz3 күн бұрын
Na kumbuka ulikua ukimkingia kifua sana, Sasa umeanza kuona mziki Wa lisu
@godfreymeagisa18713 күн бұрын
Mbona humzungumzi Mbowe?
@chachamachera28043 күн бұрын
Fact
@JohMarwa-e6h3 күн бұрын
Hapana hata wewe leo umefeli ukijenga hoja jenga isima pande zote mbili mbona umejikita sehemu moja uwanifu wako umeanza kopotea na ww ludi ufikilie ulicho nzunguza na ujiulize nilivyo siku zote tutaacha kukufatilia kama ndo mwenendo
@barnaba30373 күн бұрын
Ngurumo kalishwa mdudu😂😂
@merumount59883 күн бұрын
Wewe ndio umelishwa mdudu..
@adiaygo85463 күн бұрын
Mbowe hawi Rais wa Tanzania utakaa Sana huko chawa wa MBOWE
@csato94153 күн бұрын
Hata Lissu hapati urais kwa taratibu hizo anazotumia ni bure kabisa. Kwanza CCM hawatamwacha kirahisi kulingana wizi na mbinu zao chafu wanazotumia.