Hongera sana mawakili wetu Mungu awatie nguvu mwaka 2025 uwe wa baraka kwenu...
@UpendoEliya-i7l18 күн бұрын
Nakutukuza Muumba wetu kwajili ya hili u lilotenda kwa watu wako hawa!! Heshima, Utukufu, Shangwe 👏👏👏na Sifa nzuri zote tunakurudishia wewe!!. Hakika Uweza na Uwezo vi na wewe Muumba wetu 🎉🎉🎉🎉. 🎉🎉🎉
@JacobMavika18 күн бұрын
Ee Mungu kwa uwezo wako Leo umetenda ndg zetu wako huru uhimidiwe Mungu wetu
@sophiamalinga1818 күн бұрын
Asante Mungu
@RwechungulaBegumisa18 күн бұрын
Asante yesu Haleluya asante yesu
@FelisterBazil17 күн бұрын
Pole sana kamanda mungu ni kila kitu mshike sana mungu nae atafanya katoe shukrani kanisani umshukuru mungu
@helencyprian874518 күн бұрын
Asante Yesu hakika umetenda
@elizabethmapile128017 күн бұрын
Mungu mwema ❤
@adelinelyaruu303616 күн бұрын
Kila Wakati Mungu ni mwema
@asacconlinemedia534317 күн бұрын
Poleni Sana. Hili ni Kwasababu tu watu wasio na hofu ya Mungu wameshika madaraka
@jonahnaftal365218 күн бұрын
Ameeen Mungu atukuzwe
@mangashajunior24218 күн бұрын
Mawakili kazi yenu ni njema....
@VerryAttirio18 күн бұрын
Hakika Mungu ni mwema ametenda tena
@Bilioneabichwa33116 күн бұрын
Yesu ni Mungu
@ambitiousholyspirit39518 күн бұрын
Mungu akupe uhai tele na ukuinue zaid uzid kuwa sauti Kwa wasio na sauti
@eliasnganira766118 күн бұрын
Pole sana George
@King_Of_Everything18 күн бұрын
✌️👊✌️.
@RastaMany-p8x18 күн бұрын
Mungu ametenda
@HADSONPAUL-c1n15 күн бұрын
Mungu ni mwema ila hizi sheria bwana
@hamisimuhunzi791618 күн бұрын
utuikutufu kwa Mungu juu mbinguni na jina lake lihimidiwe
@cyprianpetetmbonde637418 күн бұрын
💪🏿🙏🙏🙏🙏
@dicksonkilupa225818 күн бұрын
SIJUI SINA MASIKIO AU? SIJAWAHI KUMSIKIA MTU WA CCM AKIONYESHA KUMTAJA MUNGU KWA HALI YA MSISITIZO ILA KWA CHADEMA NDO NIMESIKIA AMA NI KWA SABABU HAWANA JESHI NA MITUTU? MUNGU AMETENDA YAKE.
@MiriamKhalid-z6o18 күн бұрын
Poleni makamanda wetu
@Nyaboke-12317 күн бұрын
Huyu mama mara bandari, utekaji, nk. Kura tu ndo kikomo
@YohanaPetro-xv9tp18 күн бұрын
Ndomaana Mumetoka makamanda kumbe maombi nimengi
@isakhamisi892318 күн бұрын
Alipwe fidia huyo kwa muda wote alioupoteza akiwa jela kimaunezi.