CHADEMA YAMDAKA KIONGOZI ALIYENUNULIKA NA CCM, KAMATI YAKAA, WAMTIMUWA ASUBUHI KWEUPE

  Рет қаралды 20,315

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

Ай бұрын

Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE KZbin Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram

Пікірлер: 96
@MuhojaMalicho
@MuhojaMalicho Ай бұрын
❤❤❤❤❤ ccm wametuludisha nyuma sana biashara ya utumwan kununua watu
@JesuinaBabili
@JesuinaBabili Ай бұрын
Safi kabisa Makamanda 👍🏽
@Enugundani8299
@Enugundani8299 Ай бұрын
rushwa ikiisha nchini CCM.itakufa na pia CCM ikifa rushwa itaisha nchini Tanzania
@gaagwasaugustino2584
@gaagwasaugustino2584 Ай бұрын
Huo ndiyo ukweli ndugu!
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Ай бұрын
Huu ni usenge wenu! Mtu akienda ccm amenunuliwa na akija chadema amependa mwenyewe! Mjinga mkubwa ww! Na msigwa je! Mpumbavu mmoja ww. Huna akili kabisa basi hata ww utanunuliwa
@issacklyandala7023
@issacklyandala7023 Ай бұрын
Safi sana, hatutaki Malaya Malaya wa siasa
@eliasmedutieki7578
@eliasmedutieki7578 Ай бұрын
Safi sana wasaliti wote waondoke hongereni kibamba
@user-fe8tx5bo2f
@user-fe8tx5bo2f Ай бұрын
Pamoja sana kiongez
@peterfedrick6459
@peterfedrick6459 Ай бұрын
Safi makamanda akafanye biashara nje ya chama
@mathewtesha3139
@mathewtesha3139 Ай бұрын
Safi sana
@odoieriasmonga6591
@odoieriasmonga6591 Ай бұрын
kazi nzuri
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 Ай бұрын
Kwenye msafara wa mamba na kenge wao
@DandasiKundi
@DandasiKundi Ай бұрын
Viongozi msiwe na viongozi wasio na tamaa wenye njaa hamwezi kudanganya mtu wapige kura wawanue tu acheni njaa jaman mpaka wazee ni hatari, je najiuliza chama kinachonunua watu ni hatari kuingiza watu ambao si sahihi. Asante san a
@joshuac.mashida1378
@joshuac.mashida1378 Ай бұрын
Vyama Kama vilabu vya mpira kilabu kikiona kunamchezajizuri co mbaya kununuliwa ,ila watengeneze tu mfumo wakununua nakuuza co mbaya ndg zangu chadema kina hazina kubwa Sana ya viongozi makini kiendelee tu kuzalisha ,ccm na vyama vingine wakalinisheni tu wake wanunue viongozi makini kutoka chama shupavu m4c
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 Ай бұрын
Safi
@gallegalleson4427
@gallegalleson4427 Ай бұрын
Upendo na mwenzake silinde walinunuliwa jumla jumla na ccm!! ni tabia umalaya malaya wa siasa
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Ай бұрын
Ww unasubili nn?
@iddynjonjo
@iddynjonjo Ай бұрын
Safii sana
@deogratiusmaila676
@deogratiusmaila676 Ай бұрын
Very Good
@edsonkahesi8603
@edsonkahesi8603 Ай бұрын
Sisiemu ni adui wa demokrasia ya nchi yetu, TAKUKURU najiuliza huwa hawayaoni haya kwann wanayafumbia macho tu..
@deogratiusmaila676
@deogratiusmaila676 Ай бұрын
Kesi ya nyani mpelekee gedere😁😁😁😁
@januarysungura8119
@januarysungura8119 Ай бұрын
takukuru ndio ccm ,we huoni ya CAG nini wamekifanyia kazi.CCM wanatuchezea sana nchii hii na ukiwafuatilia ni walewale wachache ndio wanaotusumbua wakigawana vyeo kama mavazi.
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Ай бұрын
Chadema mna demokrasia gan? Mbowe miaka 20 madarakani
@josephmantago2837
@josephmantago2837 Ай бұрын
Wajue nje ya chadema hawana thamani tena. Wapuuzi wakubwa
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza Ай бұрын
Nasikia ni za DPW lakini sasa hivi watu wote wameamuka😊
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza Ай бұрын
Asante sana kiongozi timua timua iendelee sehemu zote. Hizo pesa wameiba wapi.
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 Ай бұрын
Wasaliti wote kimbiza,iundwe "Oparesheni tokomeza wasaliti wote"
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 Ай бұрын
Na bado!!! mtaisoma namba mpaka chini juu
@batwelimahenge7850
@batwelimahenge7850 Ай бұрын
Safi sana
@clemenceparokola
@clemenceparokola Ай бұрын
Safisha kengewote,na vinyonga ndani ya chama
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq Ай бұрын
Hao wanachukua rushwa fukuza na ccm atakajifanya amekuja chadema akae benchi maana wanatumwa kutuvuruga mitego Yao awamu hii watakalia kuti kavu
@rev.livingstoneelihuruma-fk7es
@rev.livingstoneelihuruma-fk7es Ай бұрын
Mtu anayenunulika SI Kiongozi halisi,hata Kama angekuwa na ushawishi kiasi gn, ni sawa na mke anayeweza kuchukuliwa na Mwanaume yeyote mwenye Pesa Hali ya kuwa ameolewa.huwezi kusema huyo mke ni mzr au Bora. Vyama vya Siasa Lzma mjifunze kuchuja Viongozi. Kufaulu ktk Harakati za Ukombozi kunategemea Viongozi Imara waaminifu ambao hawanunuliki.
@melch3097
@melch3097 Ай бұрын
Welldone
@LastonKatwanga
@LastonKatwanga Ай бұрын
Yaaani ni sawa na kuuza utu wako
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Ай бұрын
Huwezi toka upinzani uwende ccm ueshimike kwa watanzania ni kwenda kujiuwa kisasa ktk chama tawala
@dionismutayoba3542
@dionismutayoba3542 Ай бұрын
Hamna lolote unaongea pumba,Katambi,Silinde,Naibu waziri wa Afya,Ntatilo Kitira Mkumbo nk.Unataka heshima ipi kama hao wachache waliotoka upinzani wana nafasi nyeti serikalini?Tafakari hoja yako
@nelsonshillah6618
@nelsonshillah6618 Ай бұрын
​@@dionismutayoba3542hajasema hupati cheo ccm
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru Ай бұрын
@@dionismutayoba3542 lakini hawana heshima kwa wananchi hilo ndilo tunalosemea na wote hawana hoja za mashiko kwani Mungu hapendi wizi wa kura na usaliti Biblia inasema kura huondoa mashindano na hukomesha watawala
@leahmgunda4154
@leahmgunda4154 Ай бұрын
Achana na hilo kubwa Jinga.
@user-cx1xz2is5d
@user-cx1xz2is5d Ай бұрын
Mzeee anakuwa malaya malaya aende akafie mbele
@amanmwalyambi1416
@amanmwalyambi1416 Ай бұрын
Safi sana mtu anafukuzwa yupo hapohapo
@ChristianMkumbo-ix2ke
@ChristianMkumbo-ix2ke Ай бұрын
Safi sana ayede akakaye na wajinga
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Ай бұрын
We ndyo mjinga hujui hata kuandika
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku Ай бұрын
Mngemchapa viboko
@user-we5px7gp2r
@user-we5px7gp2r Ай бұрын
Ukisoma comment za watu wengine unsgundua nchi yetu ina matahaira mengi sana
@VITUSPROTUS-wh4mn
@VITUSPROTUS-wh4mn Ай бұрын
Good Good 👍
@beinafuu6219
@beinafuu6219 Ай бұрын
Wanapata wapi pes?. Luzuku yao unaijua ni bei gan kila mwezi? Sema lingine lakin pesa hipo.
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 Ай бұрын
Safi saaaanaaaa na majimbo mengine yafuate nyayo
@RespichTryphone
@RespichTryphone Ай бұрын
Kiongozi WA staili hiyo hafai nibora wabaki hata wachache walio sahihi
@VITUSPROTUS-wh4mn
@VITUSPROTUS-wh4mn Ай бұрын
Fukuza kunguru hao
@sifamushi1747
@sifamushi1747 Ай бұрын
Ivi uwa HAMUEZI KUONGEA BILA KUPAYUKAA? APO TU NDO UWA ATUPATAG JIBU....
@MohammedAwadh-gq9si
@MohammedAwadh-gq9si Ай бұрын
Mnanunuliwa nyie mmekuwa mizigo ? Nyie wenyewe mnajiuza! Kawaida ya mashoga ni kuuzwauzwa! Sasa mjiulize kuna nini chadema?
@JacksonFrances
@JacksonFrances Ай бұрын
HII NCHI NI HATARI SANA SIJUI NI LINI TUTAKUJA KUPATA VIONGOZI WAZALENDO WENYE NIA YA DHATI YA KUWATUMIKIA WANANCHI BILA TAMAA YA RUSHWA NA KURUBUNIWA😢😢 VERY SAD😔 😔 "
@paulmabena5684
@paulmabena5684 Ай бұрын
Ongea seraaa wananunuliwa wana njaa mtawapa nini ??
@MosesMnyantope-zw4ed
@MosesMnyantope-zw4ed Ай бұрын
Duh
@user-we5px7gp2r
@user-we5px7gp2r Ай бұрын
Binadamu unanunulika umekuwa mfugo? Hii ni aibu sana
@jovitadaniel7161
@jovitadaniel7161 Ай бұрын
Ndugu usishangae maana hawa wanaonunuliwa ni nyumbu wa serengeti bora hata mfugo!
@JohnKuyumbe
@JohnKuyumbe Ай бұрын
Aende huyo akale ccm yake
@MnyamaTolu-kd5ct
@MnyamaTolu-kd5ct Ай бұрын
Takukuru mkowap
@HijaSaid-xd7fg
@HijaSaid-xd7fg Ай бұрын
Vp na yule papa anaewahadaa anaekulaga kurosho,ambae ni kada wao alie jificha Chadema
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 Ай бұрын
Unajitambulisha sana nenda kwenye point
@abdallahkihanza482
@abdallahkihanza482 Ай бұрын
Upendo hajanunuliwa kaenda CCM kwa njaa yake
@joshuaswai8203
@joshuaswai8203 Ай бұрын
Upendo naye ni mlafi wa pesa za ccm eti hajanunuliwa uongo
@ErastoHumbo
@ErastoHumbo Ай бұрын
Jamani kumbukeni sum haiuwi malambili wascheni
@nelsonshillah6618
@nelsonshillah6618 Ай бұрын
Mbona huyo mzee haonyeshwi
@abdulhakeem959
@abdulhakeem959 Ай бұрын
Jamaa mbona unavuta kamba sana.aisee nenda kwenye point
@severinimkini4116
@severinimkini4116 Ай бұрын
Kama kweli kauli inayotoka kwa kada huyu wa Chadema ni sahihi kwamba wana-Chadema wananunuliwa na CCM, je wao CCM hawauziki na kununuliwa nchi za nje ?
@januarysungura8119
@januarysungura8119 Ай бұрын
wewe unaweza kununua mali feki huku ukiwa unaijua?
@moseskusamba431
@moseskusamba431 Ай бұрын
Msigwa mmefanya nini?
@bukurunestory3540
@bukurunestory3540 Ай бұрын
😂😂😂
@samsonmwijage1869
@samsonmwijage1869 Ай бұрын
Kwa hiyo akina Zito Kabwe na Said Kubenea walipohama chadema na kwenda ACT wazelendo nao walinunuliwa pia?
@jovitadaniel7161
@jovitadaniel7161 Ай бұрын
Wale walihama hawakununuliwa maana nchi hii mnunuzi ni mmoja tu!
@alliancemugane1589
@alliancemugane1589 Ай бұрын
Afadhali nyie mnamaamuzi lakini hapa Jimbo la Bunda mjini kuna viongozi wa Jimbo karibu 95% wanamuunga mkono Mbunge wa zamani aliyefukuzwa uanachama na kamati kuu ya Chama cha Chadema . Wanaendelea kuwaaminisha wanachama na wananchi wa Jimbo kuwa Mbunge huyo anarudi kugombea kwa tiketi ya Chadema. Nashindwa kuelewa hivi uongozi wa juu hawajui upotoshaji huu? Mbona hawachukui hatua?
@KamwandaNzowa-eo4ur
@KamwandaNzowa-eo4ur Ай бұрын
Hata hawo wanaonunuliwa ndiyo wajinga sana Tena hawafaii kabisa
@paulmabena5684
@paulmabena5684 Ай бұрын
Huoni akina tundu na mboww hawaongeii nyamazaa wewee
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Ай бұрын
Haifi mbona Mbona Kanda ya Nyasa rushwa ilitawala kumtoa Msigwa abaki Sugu ili Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti wakati wanachama wamemchoka
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Ай бұрын
Kwani nyie hamuwanunui nyie Wasaka Tonge
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 Ай бұрын
Chadema kwani nichams chakutetea wananchi au nigenge lawahuni wameungana kwa maslahi yao .mfano huu chadema wamepewa ruzuku ya bilioni2.7 za wabunge wa viti maalumu huku wanadai viongozi wachadema kuwa wabunge waviti maalumu sihalali ila ruzuku au pesa nihalali ..
@hassangasaba4565
@hassangasaba4565 Ай бұрын
Wamepewa lwasababu wanambunge mmoja.
@dionismutayoba3542
@dionismutayoba3542 Ай бұрын
Haki yao sio hisani Sena lingine
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru Ай бұрын
Clemence ruzuku haitolewi kwa wabunge wa viti maalum bali mbunge aliyepata kura za wananchi na idadi ya kura za urais wabunge wa viti maalumu hupatikana kwa idadi ya wabunge waliopata kura za kwenye sanduku ukiangalia idadi ya wale wanaosemekana ni wa viti maalumu 19 ni wengi kuliko ambavyo ilitakiwa iwe kwani chadema wana mbunge mmoja tu
@januarysungura8119
@januarysungura8119 Ай бұрын
alafu kama hujui kitu bora utulie na hawa ndio wana ccm uelewa mdogo ndio maana nchi inadidimia.
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki Ай бұрын
Genge la wauni mwambieni lisu akalee wajukuu kura no 2025
@januarysungura8119
@januarysungura8119 Ай бұрын
wee mchumia tumbo tupishe
@The1979bornagain
@The1979bornagain Ай бұрын
Kuna problem la "communication skills" kwa kiongozi kamanda huyu. Maneno mengi yasiyo address hoja kuu. Mfano, umeitisha PC Ili kumfuta uanachama mwanachama kwa kosa la usaliti na rushwa. Tulitegemea kabla ya kutangaza kumfuta uanachama huyo mzee, ueleze amepokea rushwa gani? fedha? Kama ni pesa, shilingi ngapi? Kutoka kwa nani na wapi? Ni ushahidi gani unahalalisha adhabu yake hata kumtangaza mwenzenu kuwa ni mla rushwa na msaliti? Lakini wewe kamanda hapa ulikuwa unalalama tu na maneno mengi yasiyo ktk mpangilio kiasi cha watazamaji kutopata picha kamili ya tukio zima
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru Ай бұрын
Hayo ni kazi ya TAKUKURU na mahakama hawa wametoa taarifa kama hajapokea rushwa anaweza kukanusha au ashtaki kwa kudhalilishwa huwezi kuongea kila kitu huko mbele kwenye sheria utashindwa kwani ushahidi waweza kuvurugwa
@laurianmodest7372
@laurianmodest7372 Ай бұрын
Unaongea pumba tu. CCM haijashindwa kitu unapayuka çhini ya serikali ya chama cha mapinduzi. Uhuru ulio nao wa kuongea, kupinga kelele ni Kwa sababu ccm imesimamia amani na utulivu ungekuwa DRC ungepayuka hivyo
@clemencelisonga8261
@clemencelisonga8261 Ай бұрын
Ulishawahi fika kongo au umekariri unafikiri wakongo wako kama Tz
@JustinMbilinyi-vz8ud
@JustinMbilinyi-vz8ud Ай бұрын
Makuzi
@donaldmaziku7915
@donaldmaziku7915 Ай бұрын
Wewe unaona ccm ndiyo inakusadia sawa, na anayeona haimsaidii pia yuko sawa. Kila mtu ana haki ya kuwa na mtazamo wake
@godfreymushi6966
@godfreymushi6966 Ай бұрын
We fair and open electiona mkuu uone kama.chi chi eem inapendwa au la simply nad clear acha hasira
@januarysungura8119
@januarysungura8119 Ай бұрын
kama unadhani nchi huu kuna amani basi aliyekufundisha juu ya tafsiri ya amani alikosea ana au hukumwelewa kwa sababu ya uwezo wako mdogo. Undhani mtu mwenye njaa anapata wapi amani? vipi mtu mwenye tozo lundo na kila aina ya kodi kuzidi hata za mkoloni anapata wapi amani? usione kobe kainama ,ipo siku tutawafundisha tafsiri ya ukimya na amani.
@karushakamusa5525
@karushakamusa5525 Ай бұрын
Safi
@gabrielnjiapanda3710
@gabrielnjiapanda3710 Ай бұрын
Safi sana
@bajagihaji8923
@bajagihaji8923 Ай бұрын
Kujitetea kila leo
Box jumping challenge, who stepped on the trap? #FunnyFamily #PartyGames
00:31
Family Games Media
Рет қаралды 19 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 56 МЛН
FULL SPEECH: Donald Trump speaks before the NABJ in Chicago
36:28
FOX 32 Chicago
Рет қаралды 381 М.
Box jumping challenge, who stepped on the trap? #FunnyFamily #PartyGames
00:31
Family Games Media
Рет қаралды 19 МЛН