Bora maana nilianza kulia kidogo yaani tumejipanga kweli kweli kwa hali mbaya ya inchi yetu Mungu tutangulie kwa hili maana naenda kudai.kiume haki za watanzania wetu
@reginas1832Ай бұрын
Mungu awalinde
@salehkhamis-ob8lnАй бұрын
Watanzania tusihadaliwa na viongozi wachochezi Wao familia zao Zipo nje ya Nchi.. nchi ikiingia vurugu wanakimbilia nje katka familia zao Tunabaki sisi tunateseka. Angalieni mifano ya nchi za wenzetu mpaka sasa wanatafta amani hawajaipata
@Ziggzoldyk1Ай бұрын
Maboya hao
@FredyMwamlima-p4kАй бұрын
ATA mm lazma niandamane maana hii 🇹🇿 niyetu wotee
@saumuabdallah198Ай бұрын
Binafc mm nimejitolea kwa ajili ya Tanzania yang na watanzania wnzng... tar23 nitaandamana 🕊🕊🕊☝️☝️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Tanzania is bleeding... enough is enough 🙌🙌🙌📌📌
Kiukweli kwa namna haki za binadama zinavyokiukwa hapa tanzania na namna serikali inavyofumbia macho kuna haja ya watanzania kufanya maamzi makubwa hata kama tutaumizwa lakin iwe ni kwa faida ya vizaz vijavyo
@allyshaban406Ай бұрын
Ile taarifa inamaneno wabunge wote, Chadema inawabunge?
@MashakamwakalukwaDancanАй бұрын
Lazima tuandamane
@SuolFatАй бұрын
Chadema vs polisi
@RashidiAlly-cl7foАй бұрын
Mbona hamukuandamana wakati wa JMP,ili hali Watanzania wengi waliuliwa na wengine kutupwa korokoroni bila ya kufunguliwa mashtaka?,nilikuwa wapi muda ule?.Wacheni upumbavu Chadema.
@abdalahgunda1319Ай бұрын
Kwahiyo maandamano yapo pale pale oo protesting still on track way chadema continue prapar protesting on the 23 this month but feliyer same of locel midia trying to lie on social media chadema are not going on protesting but was midia liyer chadema will continue preparation 23/09/2024 protesting in daresalama tanzania tomorrow
@VailetPiterАй бұрын
Wandishi wa habari wa tanz hawana tofauti na chupi ya bikini
@adiaygo8546Ай бұрын
Msisemee. Watanzania sema. Chadema watawaponza
@reginas1832Ай бұрын
Oneni huruma hizo damu samia na ccm wanazomwaga. Je angekuwa kaka yako au ndugu yako ungefurahia
@MICHAEL.C.E.O.4GngaАй бұрын
Hauna Akili mbuzii wew
@adiaygo8546Ай бұрын
@@MICHAEL.C.E.O.4Gnga Babako mzazi Mimi naweza kuwa mbuzi 😲
@adiaygo8546Ай бұрын
@@reginas1832 jichunguzeni Kuna watu watawatoa Katara kwenye Chama chako
@iamnormal8648Ай бұрын
MAAMDAMANO YANAANZIA WAPI, SAA NGAPI, YATAPITA WAPI, NA YATAISHIA WAPI? WEWE MTANGAZAJI BOYA KABISA USHAAMBIWA VIDEO NI YA 2016 BADO UNAULIZA TU SWALI HILOHILO KUHUSU UHALALI WAKE.