Sio tigo tu watakao umbuka hata hao police waliokuwa wanalinda hizo nyumba wameumbuka mungu hamfichi mnafiki
@HusnaKassiАй бұрын
Tig washenzii kumbee
@peterngada5307Ай бұрын
Tiago washenzi kabisa kamakweli wamehusika
@miltonjohn9779Ай бұрын
Tigo wapo kitigo tigo
@sebastianmacha569Ай бұрын
@@peterngada5307I will have a talk like this
@MektildaPeterАй бұрын
Pole sana
@johnmichael3883Ай бұрын
Pole sana ila mungu yupo
@JahSon-z5mАй бұрын
Mungu akulinde sana kiongozi watu Lissu
@mwashamleo9996Ай бұрын
Kumbe tigo waenge kias hiki nitahama mtandao mbwa nyie
@LamaLama-rf6xuАй бұрын
Good start baba lisu pole sana Kwa mateso makubwa ya risasi ktk mwili wako. Umenikumbusha machungu
@evansmtalo9406Ай бұрын
Simba lissu. Atawatoa kamasi.
@JeremiahlukumayАй бұрын
Mwenyenzi Mungu akulinde makamu mwenyekiti wetu,huu mwanzo wa haki kupatikana,asante Mungu.
@dorahy1579Ай бұрын
London imekutawala kichwa kwa hivyo hata wakiongoka maradi ni London basi ni big issue sana.
@jumakilinja6341Ай бұрын
Tigo pia ya wazungu
@evansmtalo9406Ай бұрын
MLIMJERUHI MBOGO😂
@JaphetPauliАй бұрын
Semaaa baba huuu ulifuu uishee
@DeboraNkya-gb1fhАй бұрын
Debora somi Hongera sana kwa kuwa hai mpaka leo.Mungu azidi kukulinda
@kyambokyambo5939Ай бұрын
Natupa line ya tigo kuanzia kesho
@DorisNgimbwaАй бұрын
Pole mugu atamlipa mmoja mmoja
@SamweliZaburi-fk3qjАй бұрын
Hongera sana mheshimiwa hakika mungu yupo
@batwelimahenge7850Ай бұрын
Mmmmm tigo❓❓❓❓
@MwajumaMsimuwilliamАй бұрын
Pole kwa misukosuko Lakini Mungu yupo nawe usiogope wala usifadhaike.
@dorahy1579Ай бұрын
Wa hana na Maghufuli alipenda na anapenda. Habari no kubwa kwako na familia yako.
@vicentbunzal7342Ай бұрын
Mimi ni mda kitambo sana nilishagaachana na line yao tena sitaki hata kuisikia.
@saifalhabsi4442Ай бұрын
Gazeti la uingereza gazeti la Guardian ni gazeti linalo support MASHOGA na wewe miongoni mwao.😂
@ChampioniMjelumaniАй бұрын
halafu unataka uraisi halafu hujui hatakuongea unaonge pumba tu
@AnnaFelix-p1zАй бұрын
We mujinga unataka aongeeje husikii anavyo ongea
@rumdeesonsoa1811Ай бұрын
Huenda ww ni mmoja ya walioshiriki kutaka kumuua sasa mmeanza kuumbuka
@wiza2309Ай бұрын
Huyu ni marehemu ila Mungu hakuruhusu kwa hiyo mpe nafasi tu na wewe kwa hili utapona
@George-jz3jgАй бұрын
Huu ndo ujinga wa wewe point zote hizi huzikii?
@laddymghana26 күн бұрын
Angekuwa baba ako alifanyiwa hivyo usinge ropoka ujinga kama.huu au na ww ulihusika kama ulihusika basi lazima utaathikika ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga jiandae hapa dunian na mbingun zote hizo panga utazilipa nyau ww
@josephmilandononi1096Ай бұрын
Mmh
@LaureanKajugusiАй бұрын
Hamia Burkinafaso uwaheshishie huko hoa waingeleza uone chamtema kuni.
@malongoDeusАй бұрын
Kama ni kweli tigo jeanamu itawahusu yetu masikio na macho😢
@edwinmwandete-7055Ай бұрын
hivi ndege wakizikamata kama unavyosema itakuwa hasala ya nani? niya Raisi au ya watu wa tz arafu watu wanapiga makofi
@ZakiaHassan-br9vhАй бұрын
Sasa we unapata hasara gani au kwasasa ambvyo hazijakamatwa unapata fungu au 🚮
@niariramrutu197Ай бұрын
Ni aibu serekali inayoongozwa na mwanamke inakalia kimya matukio kama haya
@NikasiMbuyaАй бұрын
Kumbe tigo ndo walivyo
@natressvayinga518Ай бұрын
Sasa Laini ya Tigo nachoma
@Lundege_HipsАй бұрын
Wangapi tunaanza kufikiria kuhama mtandao wa tigo????
@ErnestLaiza-f3lАй бұрын
Me hapa
@HusnaKassiАй бұрын
@@ErnestLaiza-f3l pia mie hapa nahama kwanzia leo
@hellenngwilla550Ай бұрын
Kabisaa
@FrankMwakatundu-cu6bdАй бұрын
MWACHE MUNGU AITWE MUNGU, HAKIKA NJIA ZA MUNGU HAZICHUNGUZIKI!!! MFANO WAKE NI JINSI NJIA ILIYOIIBUA SIRI HII KUBWA YA JAMBO HILI LA MH. LISU KUPIGWA RISASI KUJULIKANA BAADA YA MIAKA MINGI KUPITA!!!PAMOJA NA SIRI HII KUTOJULIKANA HUKO NYUMA, LAKINI MAZINGIRA YA ENEO LA TUKIO, TABIA NA MATENDO YA BAADHI YA VIONGOZI WA SERIKALI YA TANZANIA YALITIA MASHAKA MAKUBWA KUWA SERIKALI ILIHUSIKA KIKAMILIFU KATIKA TUKIO LILE!!!! KWA MFANO KUZUIA ISIVYO HALALI MALIPO YA GHARAMA ZA MATIBABU KWA MH. LISU, KUPIGWA MARUFUKU KWA TEAM YA PRAY TO LISU( TIMU YA KUMWOMBEA MH. LISU) ILI MUNGU MWEZA AMPONYE HARAKA, KUMFUTA UBUNGE WAKE ETI NI MTORO BUNGENI NAMENGINE MENGI YA AJABU YALIACHA UCHI SERIKALI YETU BILA WAO KUJISIKIA AIBU!!! HUYO NDIYE MUNGU ANAYEFANYA NJIA PASIPO NA NJIA!!! TUSIMWOGOPE MWANADAMU, TUMWOGOPE SANA MUNGU!!!
@getrudehenry363427 күн бұрын
Mimi taryari nishahama; sitakagi ujinga
@alphoncewilliam4325Ай бұрын
Sitaki kuamini wazungu wanaakili nyingi za kuvuruga afrika
@mwashamleo9996Ай бұрын
Hayo yapo wazi kuhusu Bashite tulikuwa tunasubir tu siku ifike useme mwenyewe hatimaye wanao msifia Bashite ndo wajue mtu wao ni gaid na muuaj
@severinimkini4116Ай бұрын
Wazungu tuliwachukia kwa ukoloni wao tu, lakini ndio hao hao pia walitijulisha kuhusu chenji, ya Rada iliyonunuliwa kwa RUSHWA. (Hapa kwetu viongozi wetu walificha uovu huo)
@NepporSabithАй бұрын
Mtandao huo siyo
@ulomirabiel6980Ай бұрын
You survived to tell the tale brother!! Watu wanaoua wenzao kwa kisingizio cha usalama wa nchi wakati lengo lao ni kulinda madaraka yao uovu wao hautawaacha salama.
@MasungaNekwaАй бұрын
Ni kweli haki haishind wi mr Lisu may the Lord the God of armies bless you.
@ConsalvaMumbaraАй бұрын
Kesho lingine litakuja,Akili ya mbayuwayu changanya na yakwako
@maspro6294Ай бұрын
WEWE UTABAKI KUBWAKA KAMA MBWA KOKO HAKUNA ATAKAE WAPA NCHI HII MAVIBARAKA WA MABEBERU
@dorahy1579Ай бұрын
Basi unajua ni nani waliokushambulia,usiseme watu wasiojulikana. It’s ongea mpaka siku unakuta lakini urais wa Tanzania hutspata. Pole sana kama ulishambuliwa na Maghufuli na Maghufuli. Sisi tunpenfa kuliko wewe. Hata I maiti wake pia bado tunampenda. Wewe andika kitabu mambo yaishe hata Kennedy aliuwawa . Ukitaka kubwa lazima ujitayarishe pia kufa.
@monicamwita7865Ай бұрын
Hata adipopata. Mbona uchaguzi mmeidha fanya watu wa goli la mkono.
@gracemima5234Ай бұрын
Namuonea huruma Lissu. Bado ana nawazo ya kikoloni. Ana Thamini na kuwaamini sana wazingu. Anashangilia London, wazungu. Amerika. Uingereza imekuwa jina kubwa kwa Lissu. Colonial mentality. Cochote cha wazungu ni bora kuliko cha mwafrika
@monicamwita7865Ай бұрын
Acha mawazo duni. Unamuonea hurum kwa lipi? Jionee huruma mwenyewe
@DjPPro-px9ohАй бұрын
Sasa kwanini mtu ambae amesha fariki anabaki anatajwa kwenye mauwaji? Je! Ni kweli yeye ndo kafanya ivo? Na kama ni kweli, wewe umejuwa je? CCTV Camera 📷 ndo inaweza kutowa ushahidi wa mwisho.
@monicamwita7865Ай бұрын
Statajwa sana kwani ni chanzo cha lisu kupigwa risasi
@omarymadamba812Ай бұрын
Hunajipya we london london tu unamuogopesha nani
@monicamwita7865Ай бұрын
Anakuogopesha wewe na chawa wenzako. Aibu sana
@simonyosiah3033Ай бұрын
Hiki chuma hua hakiogopi mtu! Yani ni watu wachache saana
@wiza2309Ай бұрын
Watu tumeomba sana hao wasiojulikana sasa wanaanza kuonekana bila usaidizi wa vyombo vya ulinzi na usalama wa Nchi. Wengine qamesha anza kujisema wenyewe... Mungu yupo
@merrynancesimon1562Ай бұрын
Viva baba pole kwa maumivu makubwa daaha pole sana😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@brendasamson2086Ай бұрын
Nachukia mtu anayepeleka malalamiko kwa wazungu shame on you!!!!!! Mnakuwa kama wakimbizi kwenye nchi yenu.Tuachieni amani yetu migigoro hii tatueni wenyewe
Clip Moja nimekusikia juzi baada ya kufeli mandamano ukisema Mama Abdul aache usumbufu ambiwe ajiulize mtangulizi wake Yuko wapi je tusaidie watanzania uchunguzi zaidi.
@aggreyenock1221Ай бұрын
Umeishia darasa la ngapi?
@gwajimagwajimaАй бұрын
Unaliwa ww adam
@limo_7Ай бұрын
Sasa mnakata kata clip tena wazee
@MaulidKhamis-hg7ygАй бұрын
Acha ujinga wewe ni mwanasheria mzembe unapopata majanga wewe ndio uende polisi ukalalamike sio unungunike ,maana IPO tofauti ya kulalamika na kunungunika sasa nenda kalalamike polisi Ili kesi yako iendelee upeleke ushahidi wako pamoja na hio kampuni yako ya simu hayo manunguniko yako hayasaidii kitu
@MaulidKhamis-hg7ygАй бұрын
Wewe mwenyewe umezoea kuwaitwa watu wenye kujiheshimu wajinga hii inaonesha kua umekosa malezi Bora
@bilalihaidary3650Ай бұрын
Ina mana huoni uhalisia au
@brendasamson2086Ай бұрын
Vibaraka wa mabeberu
@wiza2309Ай бұрын
Kwani tunavyoishi sasa unadhani nani Beberu. Shqme on you. Wewe ni mmoja wao maana huoni uchungu wa Mtanzania mwenzako kunusurika kufa
@mpefu_4936Ай бұрын
Mungu sio mwanadamu
@BarakaMdankuАй бұрын
downloard
@joojombi2341Ай бұрын
Kesha kosa issues za kusema but ni fatani mkubwa mmepigana wenyewe. Huna issues ufatani mtupu waongo wakubwa mafatani wakubwa. Mmekosa sera mmekosa pa kuanzia. Wacha kupotosha watu bhana wee
@aggreyenock1221Ай бұрын
Umeishia darasa la ngapi?
@rumdeesonsoa1811Ай бұрын
Uchawa wako kwa serikali utaisha siku serikali unayoishabikia itakapokudhuru. Leo yametokea kwa Lissu, kesho na kesho kutwa yanakutokea wewe au familia yako halafu tuone kama bado utaendelea na huo ushabiki wako maandazi
@gwajimagwajimaАй бұрын
Joojombi choko ww funga tuzi yako
@joojombi2341Ай бұрын
@@gwajimagwajima Maandazi wahed ndo mlicho jaaliwa matusi mitomoni kwenu makenge mmesha kosa sera na hoja sasa mnataka kupotosha uchunguzi wa Mnyika mmeanza kubwajaja hovyo. Kamtukane babako na mamako walokulea kenge wee
@joojombi2341Ай бұрын
@@rumdeesonsoa1811 mmekosa hoja wala sera ati Lissu ndo awe Raisi ati aikamate ndege ya TCL kodi zetu halafu ati awe Raisi c ataiuza Tzd nzima. Wacha kupotosha watu dogo kalime uendeshe maisha yako dogo
@KhamisFeysalАй бұрын
Ww lisu huna kz kwani hilo gazeti ndio mungu au
@scoutpwanimchangani6711Ай бұрын
Sasa tundu huu suhadhidi unapeleka makhakama ya Tanzania au hao mabeberu
@kassimrajabu7805Ай бұрын
Tanzania itamsaidia nn kama mpaka leo hawajachunguza kupigwa kwake risasi??
@aggreyenock1221Ай бұрын
Umeishia darasa la ngapi?
@MaryLee-sh4ndАй бұрын
@@aggreyenock1221msomi uyo. Siowewe matako
@rumdeesonsoa1811Ай бұрын
Kwn Tanzania si ndio waliotaka kumuua? Kwhyo jambazi aliyetaka kukua umpelekee tena kesi yako akufanyie uchunguzi? Kuna watanzania bado mpo kwenye kopo mnahitaji mfunguliwe
@evansmtalo9406Ай бұрын
Kuna watu wanakashifu na kutukana juu ya jambo hili lkn ukweli ingekuwa ni wewe au ndugu yako. Lazima ungetafuta haki. Mwacheni mtu atafute haki yake jamani.
@HoseaPeter-yu3qhАй бұрын
Mi sio ccm wala chadema but sipendi mtu wa kuleta wazungu katka maswala ya africa yaani nakosa raha kuona sis wa africa kuwategemea wazungu
@TwahaSheheАй бұрын
Wewe ulitegemea Kama Soo hao wazungu ungeyajua haya
@HoseaPeter-yu3qhАй бұрын
@@TwahaShehe bado ni ujinga ameshindwa kwenda hata south africa
@ulomirabiel6980Ай бұрын
You are talking Bullshit.
@NiazonBukokeАй бұрын
@@HoseaPeter-yu3qhwe pumbavu ,misaada mbona hamchukui SA
@SylvesterMakenzieАй бұрын
Lisu wew ni mzalendo wa nchi hii wapende wasipenda watajulikana tu
@hassanthabit3726Ай бұрын
UNATOFAUTI GAN NA TRAM ACHA UFARA UNAAKILI SANA LAKINU LEMA NA MBOYE WANAKUPELEKA PABAYA. KUWA MAK8NI
@kassimrajabu7805Ай бұрын
Kiazi kweli we jamaa,sasa hapo unapanic nn??angekuwa baba yako ndo kapigwa risasi ungeongea hayo?!
@hellenngwilla550Ай бұрын
Acha kuchezea maisha ya watu angekuwa ni baba ako ungefurahi alizaliwa vizuri watu wamemfanya awe kilema aise hapana 😢
@rumdeesonsoa1811Ай бұрын
Nahisi ww ni mmoja ya walioshirikiana kutaka kumuua Lissu sasa unaumia kwa sababu mmeshaanza kujulikana. Ubaya umeeanza kuwarudia. Naamini mnaenda kudhalilika na kupata maumivu makali zaidi kuliko hata Lissu mwenyewe mlietaka kumuua.