Gari itawekwa kwenye makumbusho kwaajili ya Historia. Mungu ana kazi na wewe kiongozi.!
@GilbertJulius-vm3pk2 ай бұрын
Nakuomba ndugu lisu waombee Adui zako Mungu ndieatakae shughulika nao Sala zako na maombi yako nilana kwao to na kamwe hawazi kutoboza labda sio Mungu huyu wa kweli tunae muomba atajibu tu kwa wakati wake mwache Mungu aitwe Mungu hakuna wa kufananisha nae Amen.
@dominicksangu89344 ай бұрын
Tunajua Mungu anamakusudi na wewe mh,lissu love you lissu❤❤❤
@yohanamgulu45444 ай бұрын
ubarikiwe Sana mtunundu wa siasa Karibu mhamvwa. (mpwapwa)
@ThomasMwadia21 күн бұрын
Ubarikiwe mnyandughu waneeee
@dominicksangu89344 ай бұрын
Pole sana mh
@shabanadam44765 ай бұрын
Kaka lissu Hilo jacket umevaa ni kali sana respect 🙏
@ashrafuabdallah03764 ай бұрын
Mnyaturu one
@petermathias18495 ай бұрын
Haya mambo Samia hayajui kabisaa! Akiona pori pori hivyo anawaza kufukuza wakaazi ili auzie shoga zake waarabu tu. We need a Tanganyikan president, huyu mzanzibari hayajui maisha yetu watanganyika
@youngsachafurniture54825 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 chifu yule
@MiriamAbdallah5 ай бұрын
Samia 🚮
@PidasonNestory-tx6fl5 ай бұрын
Mbungu azidi kukutunza kiongozi wetu
@fadhilisawe4345 ай бұрын
Karibu nyumbani kaka tunaomba Hela kidogo tumalizie hizi nyumba kaka
@saturinimushi47465 ай бұрын
Hapo Umenena. Awazawadie Frem za Aluminium Profile pamoja na Vioo Vyake MAISHA ni Nyumbani.