Pole sana ndugu yangu mwenyezi Mungu alionyesha kwamba you were Inocent na hukuhitaji ulipwe kifo kwa kutetea haki zaWatanzania na watu wako
@cyprianboniphace-oz5lw12 күн бұрын
Mungu akulinde na akupe maisha marefu Tundu Lisu
@MohammedAbdallahSaid10 күн бұрын
Ni utamaduni mzuri ktk maisha ya kiafrika, hata Mimi na familia yangu tunafanya hivyo, mungu akupe umri mrefu wenye manufaa Kwa watanzania wote na watu wote wanaopenda haki duniani
@rajababrahman436513 күн бұрын
Taifa letu litasimama na ww lisu Na 2025 Tutakutawaza kuwa Rais na Utatuondolea dhuluma ktk nchi hihi Mungu akubariki
@reginamwendwa670913 күн бұрын
Pole sana ndugu yangu mwenyezi Mungu alionyesha kwamba you were Inocent hukuhitaji malipo ya kifo kwa kutetea Nchi na watu wako Damu ya YESU ikufunike
@happyjeremiahmhuli404312 күн бұрын
Familia la kisomi sana hongera sana FAMILIA. YA LISU.
@juliusphaustine8 күн бұрын
Napenda sana hoja za chadema ilah kaka mtu ameupiga mwingi
@nabimanyafesto501413 күн бұрын
Mungu anakupigania mwenyewe, wala haina haja ya kukimbizana nao hata sasa walisha shindwa na Mungu anakupa hii nchi.Amina.
@oliviaseth465213 күн бұрын
Mungu ni mwema kwa kweli
@mussaabraham14754 күн бұрын
Hongereni san wazee wetu
@KelvinKimambo13 күн бұрын
Kamanda umesha shinda fita mpaka hapo tuombe uzima
@user-yi3jk5vd8l12 күн бұрын
Mungu.ni mkuu. Kwakilajambo. Mubarikiwe sana
@ummySheikh7212 күн бұрын
Wamefanana sura mpaka sauti mashaAllah
@florencejohn642713 күн бұрын
Jamaa wanafanana. Hata kwa kuongea
@Brunn-mh2bq13 күн бұрын
Kweli
@eveliynejoseph794411 күн бұрын
Yaan afu anaongea kwa busara
@stefanomasolwa897910 күн бұрын
Naipenda sana hii Familie
@johngibson308913 күн бұрын
Asanteni sana Lissu family. MUNGI aendelee kuwa nanyi
@Samwel-kz4nq11 күн бұрын
Pole sanaa bwana tundulisu na ongera sanaaa shujaaa
Mungu wa Israel ni Mungu wetu. Hatutakufa bali tutaishi na kuyasimulia matendo ya makuu siku zote.
@NdeshaPaul-uz9bw13 күн бұрын
Tumwombe Mungu atujalie uwe rais wa Tanzania. Inaonesha mmekulia kwenye maadili meme na mna ushirikiano mzito. Kama mnavyoshirikiana ndivyo tungetamani taifa letu lisshirikiane. Inafaa kuwa kiongozi Bora kwa kuwa umekulia kwenye maadili ya upendo, HAKI, nidhamu na maadili mema. Mungu akubariki sana wewe na ukoo wako na hatimaye akufanye chaguo lake kwa Watanzania.
@adamlubawa128113 күн бұрын
SIFA ZA KUWA RAIS WA NCHI HANA SABABU NI MLEMAVU SIO KWA TANZANIA BALI NI DUNIANI KOOOTE
@Commentsplus13 күн бұрын
Umeongea pumba futa haraka sana haraka futa
@elimringimoshi59013 күн бұрын
Wewe mwenyewe ni mlemavu ni huruma za Mungu tu zinakulinda ndiyo maana unapata nguvu zakuropoka
@gadisonmichael780513 күн бұрын
mlemavu mwenyewe muombe mungu msamaha hujui uliongealo unaishi kwa neema2 kesho yako huijui
@kisinza607712 күн бұрын
@@elimringimoshi590kama yeye ni Kwa neema anaishi, wewe unaishi Kwa pmbu za Mzee wako?
@aminaomary556712 күн бұрын
Waone watu hawa walivyofanana hadi sauti. Kaka yake ana busara nyingi sana❤❤❤❤
@AnneNdabila-uv2qh13 күн бұрын
Polen sana tunaumia lakin hatuna namuna lissu baba yeti tunampenda na mung anampenda ndo maana yupo anaishi mung aendelee kumpa neema zaid
@francismomo706713 күн бұрын
Mnaweza kujifunza jambo hapa. Huu ukoo n mkubwa. Ukoo mkubwa n ulinzi na mafanikio makubwa...vijana oeni msiogope kutunza familia.kwan Babu zetu waliwezaje na sisi tunashindwaje?
@user-vh7ll3vp7w12 күн бұрын
Amina' Kaka....
@kasimkassam956512 күн бұрын
alafu mababu zetu waliowa wake wengi sisi mmoja tu noma
@punguzauzitofurahiamaisha13 күн бұрын
Huyu Ni Mwamba Kwelilweli. Mungu Aendelee Kumtunza
@HamisMghuna-fj3vz13 күн бұрын
Wajifia myampaa Alutree,mughwai, Allah akuhifadhi na mdogo,ntundu L mghwai,
@mussaabraham14754 күн бұрын
Safi san
@subilagalyimo991712 күн бұрын
Mungu wetu wa ajabu, anampenda sana Lisu, kamtendea mambo makuu. Huwezi amini baada ya kumiminiwa risasi zote hizo akamjalia uhai hiki ni kutu cha ajabu, naamini ana jambo kubwa naye. Tunakushukuru Mungu wetu,mjalie Maisha marefu
@natafutamatatizo438213 күн бұрын
MWIGULU NCHEMBA NDIE ANAEWAJUA WALIOMSHAMBULIA LISSU, MAANA MWIGULU NDIE ALIEKUA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI NA NDIE ALIYEAMRISHA ULINZI KUONDOLEWA KTK BUNGE!
@MuhidiniLebba12 күн бұрын
ALIYEKUWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI KIPINDI LISSU ANAPIGWA RISASI NI KANGE LUGOLA
@faustinombilinyi980910 күн бұрын
Kaka alikuwa Cirro sio kangi logola alikuwa saimon Cirro na kumteka MO ALIKUWA HUYO HUYO CIRRO NDUGU YANGU.. NA ALITOLEWA NA MAMA KUMPELEKA UBALOZI
@chrisphabyevents782613 күн бұрын
Ila ujumbe umefika.... Mungu ndiye mfariji na mtetezi mkuu
@malkavoice257013 күн бұрын
Tundu ni mdogo sana lkn ndiye anayeunganisha huu ukoo
@rabsonchisumo664013 күн бұрын
Amina
@Boniphaceshayo513 күн бұрын
Kwaiyo mzee anakes maliasili😢 ya kuua simba
@prospermalala663613 күн бұрын
Hakika utukufu wa Mungu unaotembea kupitia MH Lisu Mungu ndiye muweza wa yooote ktk maisha ya mh Lisu
@bonifacemeela524713 күн бұрын
Ukoo Bora Sanaa na Makini Hakika Mungu Amewabariki
@King_Of_Everything13 күн бұрын
👊✌👍.
@DamasAmos13 күн бұрын
Mbalikiwe kuwawamoja mungu awabaki san muwe naupendo uwouwo
@dominicksangu893410 күн бұрын
Good family❤❤❤
@dechardavid255511 күн бұрын
Nimeipenda sana wazee wameshikilia vinywaji wanawaka
@user-hj3ky9zy6y13 күн бұрын
Hongeren Sana mungu awatunze muishi miaka 10000 na risu akiwa rais tz
@nikkimbishiunju240211 күн бұрын
Unaona na unajua anaitwa LISSU bado unakuja kuandika Risu....Vilaza wengi sana
@petroyohana112613 күн бұрын
Kweli mungu yupo jamani ❤
@adelinelyaruu303613 күн бұрын
No doubt about it
@FrancisThomas-jc8wq12 күн бұрын
Mungu ni mkuu na mwema kwa mja wake
@petroyohana112613 күн бұрын
Amazing family 🎉
@benedictmrisho180013 күн бұрын
Advocate kweli anaongea ki uanasheria.
@judithtitomalyeta400013 күн бұрын
Heeee wanafanana hadi sauti
@sadinimtinangi-zt4pv13 күн бұрын
Unaonekana n ukoo wa walevi😂
@yassinm6912 күн бұрын
😂😂😂😂 kabisa upuuzi mtupu
@mathiaslyamunda252611 күн бұрын
Pole Lisu
@lasteckmmary974113 күн бұрын
Hizo bia sasaa?
@user-uo9tq8cc7q10 күн бұрын
Mungu ni mwema aliyebariki jambo Hilo mungu ameshamuhukumu mheshimiwa lisu aliyepigwa risasi 16 bado anadunda kwani hamjiulizi walinzi waliondolewa na nani ?pia hamjiulizi kamela ziliondolewa nanani?na kwa idhini ya nani?mtawalaumu polisi kutofanya upelelezi lakini wao pia wanafuata maelekezo hakuna binadamu anaependa kulaumiwa cha msingi tukubali yaishe maana mungu alishachukua hatua ndio maana .mheshimiwa lisu Yuko hai lakini mheshimiwa?????mungu alishachukua hatua
@josephatmakuka486012 күн бұрын
Hakika mbarikiwe sana
@Mshuta13 күн бұрын
Familia ibalikiwe
@EmanuelMwambu11 күн бұрын
Nimeona Mambo yanafanywa fanywa hapo kwenye gari,waliofanya kitendo hicho wakaombe msamaha mungu ni mweme.
@nyerere12599 күн бұрын
Advocate uko vyombo
@ebitariho972013 күн бұрын
Kabisa Hilo Gari lijengewe makubusho. Na itangozwe siku ya tundu lissu day.
@kisinza607712 күн бұрын
Hawa jamaa hatari lakini salama🤣🤣🤣🤣
@wemaMichael-fr4th13 күн бұрын
kaka ake lisu mzuri
@ZaidAKissinza13 күн бұрын
Mzee Alute inaonekana umekunywa mma.
@user-vh7ll3vp7w12 күн бұрын
😅😅😅😅
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps13 күн бұрын
Kufananaje huko
@frowinmgimba85139 күн бұрын
Anasauti kama ya lisu
@romanamassawe81413 күн бұрын
Tundu lisseu unakunywa Nini hapo ?. Naona Kuna kitu unakunywa kwenye kikombe
@dallasmusic646511 күн бұрын
Wamefanana Hadi sauti aiseeee 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ziadasalimu173010 күн бұрын
Sana wamefanya mpaka sauti
@benedictmrisho180013 күн бұрын
Mzee advocate Alute.
@muniraahmed62412 күн бұрын
Polenii
@happyjeremiahmhuli404312 күн бұрын
Huijui Tanganyika.wewe
@azavelilwaitama197512 күн бұрын
Kweli gari hilo lenye risasi zilizolenga kuondoa uhai wa Kamanda Tundu Lissu lazima libaki kumbukumbu kwa vizazi na vizazi kuwa uovu haulipi na daima watu wema wasiruhusu uovu ulipe.
@user-ij6eo6pq6z13 күн бұрын
Mnafanana sauti Sana kaka mtu
@faustinebahenobi341213 күн бұрын
Yaani siku lissu akifa Tanzania aitokaa atokee mtu shujaa kama lissu na mwana siasa nguli kama uyu sijawai ona mtu makini kama lissu kwanza ametufundisha mambo mengi ktk taifa hili siku zote ccm na serikali nzima nikusema uongo tuu .Tumuombe Mungu lissu awe Raisi wetu
@jogechi210510 күн бұрын
Lisu ni Maasai?
@HenryKasaje-on4xq10 күн бұрын
Nakama polis wako makin upelezi nimiaka mingi atakama walizuiliwa kiongozi mkubwa saiz wakamatwe hao ila kwakua ccm inamfumo mmoja shida
@allymwanga10 күн бұрын
Hivyo vikopo
@AmiriNkungu-po7dy11 күн бұрын
Jembe letu bad lunadunda
@yasiniabdallah241212 күн бұрын
Mungu Alisha lips zamani alietenda hicho kitendo Alisha tangulia
@davidmziray204813 күн бұрын
Baba anapiga kill beer 🍻
@sharoshine998413 күн бұрын
Kila k2 ni lisu m2pu
@user-sl1ko9me7u12 күн бұрын
MWENYEZI MUNGU MTUKUFU AWABARIKI WOTE...FAMILIA YOTE NA UKOO WA COMRADE LISSU.
@dominicksangu893410 күн бұрын
Polesana bro lissu
@odoieriasmonga659113 күн бұрын
Familia kubwa yenye baraka tele tena kumbe tunashea BABU yaani MURO
@liberatusjackson504511 күн бұрын
Watanzania wengii hawaaminiii kujenga nyumbaniiii
@YahayaKishakwi13 күн бұрын
Usinge mpa pole tu
@Skomi-0nedayyes13 күн бұрын
Zidaiwe Footage za mitaa na majengo ndo upererezi uanzie hapo kama zilifichwa na mtu basi awajibishwe, na pia itabidi sasa serikali inayotawala iweke cctv cameras mitaani kwa ajiri ya usalama maana wanao miliki silaa mtaani ni wachache na wengi wao ni watu wa serikali ambao Raia atuna imani nao kwasababu nchi aiko huru kwa sasa matukio ni mengi.
@bilakawaboynew9789 күн бұрын
Wapo wanakula vitu
@frankremishoy57787 күн бұрын
Kawsida sana.wacha watu wale vyitu maisha mfupi mno
@qudraismail516013 күн бұрын
Wanafanana sana
@user-yw1rq3xj1q12 күн бұрын
Wamefanana adi kuongeaa😂
@rashidkihunga293812 күн бұрын
napenda hilo gar awe anaendanalo popote aendako ila matundu asiyazibe iwe onesho kila kona kwa mwananch mpigania uhuru.kama maonesho ya kila mwananch popote awapo
@MathewNathan-yb2bz11 күн бұрын
Naunga mkono hoja
@user-xc7qj7ze7m13 күн бұрын
Na wanaxhuxhia ka kuli safiiii
@edsonmnego403013 күн бұрын
Lisu hyo chuma usiiache tengeneza v8 hyo mazeee
@SundaySteven-bz4yq13 күн бұрын
Kweli bwana mungu ni mwema amemuokoa na mauti mtetezi ,,msemaji wa wanyonge na waoga wa taifa letu la Tanganyika mungu akutie nguvu na sisi watanganyika tunaojitambua tuko pamoja AMINNA
@africosimonmattogoro698610 күн бұрын
Wakili Msomi Tundu Lisu, Sadaka yako ni kubwa Mbele za Bwana..Mtegemee Mungu wako kwa kila jambo. HADI KUFIKA HAPO NI MUNGU KASIMAMA NA WEWE. HAUTAKUFA , BALI UTAISHI ILK USIMULIE MATENDO MAKUU YA BWANA
@MihayoMageta12 күн бұрын
Naona wazee wananyonya kirauri tarrrrrratu😂
@andersonnyahove286712 күн бұрын
Nnahakika serikali inajua Kila kitu kuhusiana na Mpango dharimu wa kuondosha maisha ya Mh. TL hata wanapoyaskia haya wanaona aibu. Hii dhambi haitawaacha huru au nchi hii haitatawaliwa kwa utulivu lazma ccm na ukoo wenu wote mtapitia moto daima pamoja na kumiliki Kila kitu mtakula na kuishi kwa taabu kwa dhuluma zenu halaf mbaya zaidi bado mnahangaika kumchafua Mh Lissu mtakufa vibaya kama walivyotamgulia mamia ya viongozi waandamizi tangu baada ya mlichomtendea Mh. Lissu
@malkavoice257013 күн бұрын
Kiukweli wanyaturu tunaoipenda pombe huwa tukiipata hatufanyagi ajizi tunaipa za uso live
@MaryCaroly-zl1eiКүн бұрын
😂😂😂😂😂
@leothardngonya484212 күн бұрын
Magaidi ninyi nendeni kwa watu wenu huko wakopumulisha.
@user-qb1jv2dy2d6 күн бұрын
Walaaniwe walaanika wale na wapumbavu wapuuzi waliofanya uhovyo ule wa kutaka Kumuua Mtu Muhimu na Ambaye ni Zawadi Kutoka kwake Mwenyezi Mungu. Na Hakika Wao na Vizazi Vyao Damu ya Haki ya Ndugu Tundu Antipas Lissu.
@aminaomary556712 күн бұрын
Lissu njoo Ccm. Huko chadema wanakunyanyasa. Ukiludi Ccm chukua Jimbo lako bungeni.
@user-ie2sr4fi4k13 күн бұрын
Atali tupu
@user-qy4vk2qp9t13 күн бұрын
Mwamba anapiga kilimanjaro taratiiiibuuu
@ShedrackMaji11 күн бұрын
.
@bensenlukumai469111 күн бұрын
Mbona wanakunywa bia sana 😂😂😂
@vedastusmlavumba11589 күн бұрын
Wanasherehekea sikukuu ya kukutana na ndugu yao, pigeni bia mpaka kieleweke, natamani kuzaliwa ktk ukoo huu❤❤❤❤❤❤❤❤