AGIZA KUTOKA OMAN chat.whatsapp.com/FQUw0VkjQBx76clgHWbOJJ
@RevanimadesituMsungu3 күн бұрын
Chado naomba kuigiza
@princeliy11753 күн бұрын
😂@@RevanimadesituMsungu
@MorataLouis-s5h3 күн бұрын
Achana na mambo ya kuagiza chado movie yako nzuri sana Ila unaipeleka vibaya niulize hata kwa Gmail nitakujibu kaka mimi director wa movie upo sawa Ila kuna makosa kidogo uwaga ayakosi Ila nimeyaona kwenye season ya 1 mpaka hivi bado nayaona
@johnphilipo87433 күн бұрын
Kiongoz uko vizuri
@Lameck-q6i3 күн бұрын
Reoumewahi mpakalaha😂😂😂😂😂
@ifaanifalay56513 күн бұрын
Wew unaesoma ujumbe huu mungu akubariki❤
@AnnaLema-fg1he3 күн бұрын
Ameen🙏🙏🙏
@kenedyGoodruck-v4q3 күн бұрын
Amina❤❤❤❤ my love
@IssaSheva3 күн бұрын
Amini nimekupenda pia
@BintalyB3 күн бұрын
Amiin kpnzi 🙏🙏
@SelinaDorcas3 күн бұрын
Amin mamaa
@FatumaChizi-m2n3 күн бұрын
Leo naraa nmemuona najma wangu nkupenda buree dadangu n Mungu akuzidishie maisha marefu
@abdallahassan63783 күн бұрын
Mwenyezi Mungu awatunze wt mnaoangalia hii move mvuke mwaka huu salama🙏🏻👏
@PeterKisaila-d1b3 күн бұрын
Amina
@AbraSony-ip3bh3 күн бұрын
Amina
@SalamaTaura3 күн бұрын
🎉
@SocrateKatembo-ln4vc3 күн бұрын
Amina
@MussaNyaki-n3g3 күн бұрын
Amina
@Ellesillah3 күн бұрын
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Yani mimi mkongomani ata sija Pata ata like moja, kwanini tusijuane jamani? Ata 10 tu Yana tosha
@DeboraLufingo3 күн бұрын
Waoooooh chadoo leo mapema mnoo mpaka lahaaa kitu kinaitwa mission imposible❤❤❤❤ waliofurahi kama mm gonga like🎉🎉🎉🎉
@RebeccaBoniphasi3 күн бұрын
Umeiona me mwenyewe nime furahi sana 😊😊😊😊
@AnnerYusufu-cl8gd3 күн бұрын
Mi ndo I like❤
@boxdad3 күн бұрын
Mr manyongaaa
@SalamaTaura3 күн бұрын
🎉
@JustinaWilliam-nq8ft3 күн бұрын
Kitu poa sana ❤❤❤
@AbubJOfficiel3 күн бұрын
Duuuh ngwengwe master nyosha manyonga kaka 😂😂abouba j froom Bujumbura Burundi ❤❤❤ nadai link 100 allah awabaliki sana jaman
@Zebuu-kp3 күн бұрын
Ya leo ya moto sana kama unamkubali chd usipite bila kuweka alam Tim chd weka apo alam ya upendo na sapoti zenu muimu sna 🎉🎉🎉🎉 gwegwe kampa babake fundisho ya maana
@AminaBakari-fk3pp3 күн бұрын
Ww nawee tumechoka na comment zako kp wa mchongo😂😂
@AntoninaNeema-e7d3 күн бұрын
Chado sana
@LizzyBeb-m6s3 күн бұрын
Pia wee harakisha yako🎉🎉
@adamubahati81263 күн бұрын
Umoja ni nguv uko mbele tupat ladha ya kp na chado au mnaonaje
@NasrahMoses3 күн бұрын
@@AminaBakari-fk3pp😂😂😂 mwenyewe namshangaa kila movie yupo kuomba like tuu kp mkosa Kazi🤣🤣🤣🤣
@DicksonNassary-pg4tq3 күн бұрын
Wanao mkubali chado gonga like hapa tusonge mbele jamani tangu hii move ianze sijawahi pata ❤ please mamii naombeni ❤
@GetrudaMbilinyi3 күн бұрын
Ila wazazi tunaumia sana,mtoto unamlea kwashida,baba hana msaada akishakuwa eti namtaka baba,baba nae namtaki mwanangu ,,,pole sana Hanifa wangu,namm nimepitia km ww ivyoivyo najuwa unauchungu kiais gan,wakat mwingine unakubali ad kulala namwanaume ambaye si level yako ilimradi usikose maitaji yamtoto,alf mtoto akikuwa anamfata baba wakat ww ndoumeteseka kumlea,nyie watoto kuna mda nataman kumwambia babako amekufa man wakishatuxalisha kulea awatak,watoto wakikuwa eti libaba linakuja namtaka mwanangu,,wakat nateseka kulea ulikuwa wap,ase inauma san yan ad machozi yananitoka kwauchungi
@DidaSalumu3 күн бұрын
Pole sana kipenz maisha ya uzazi na malez yana changamot sana
@LuluMachicho3 күн бұрын
Daah so sad ni ukwel mtupu wanawake weng hupitia hayo Hadi kuolewa na mtu so level zako kwakuwa anakipato cha kumlisha mtoto wako loooh pole dear..😥
@MarryMartin-u1m3 күн бұрын
Najiwazia Mimi pia 😭
@ComfortDamson3 күн бұрын
😢😢nitalia kama anifa jmn nalea kwa shida na raha hajali Wala Hana utofauti na manyonga
@aminamzuri99333 күн бұрын
Kumbuka hanifa anaigiza pole na ww yamekukuta kweli
@HawaShekhe-b8m3 күн бұрын
Jmn hii ya ngwengwe nimeipenda sana lkza manyonga ajambe cheche😄😄😄😄
@NajmaHamady-n4g3 күн бұрын
😂😂😂 huyu mkak anaechmb wat ananifurahish km na ww umemkubal gonga like hap😂😂😂
@Yopeboe3 күн бұрын
😂😂😂😂
@Mwarrabuu3 күн бұрын
Jaman mnachamba huyu
@BlessilaKastory3 күн бұрын
Nguo zinaviraka kama kombati za jeshi😅😅😅
@ZenaAbdallah-zj1qx3 күн бұрын
Uyu ni dokta kumbuka kabisa pacha wake😂😂😂😂
@ShakiraRichald3 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@Stephano-j5p3 күн бұрын
Hahahahahhaa Yan ngwengwe kudadek zako vunja glas ukimaliza vunja moyo wa ba ako 😂😂
Ila cheusi jamaniiii umbea utakuja umuue huyu kaka nyieee😅😅😅😅😅😅
@AgnesJohn-f1r3 күн бұрын
😂😂😂 wanaokubaliana na mimi huyo jamaa anaemchamba mjomba ni doctor kumbuka mtupu tujuane
@Yopeboe3 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@HadijaVinyu3 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@biommy67003 күн бұрын
Umeona eeh mwanaume yuwasema
@AayshaAyash3 күн бұрын
Mpaka mwaya
@NaomiRaymond3 күн бұрын
Yan kwel kabisa skt kumbuka
@LizieTopsha-2543 күн бұрын
😂😂😂😂daah huyu jamaa wa kuchamba mbona kafanana Steve Mweusi
@raziakongani3 күн бұрын
Alhamdulillah mwenyezi mungu kwa kutujalia siku ya leo, ulinde familia zetu, utupe afya njema , utuepushe na shari za dunia wal akhera, wagonjwa uwape afya njema ya Allah, Amiin yaaraby
@FatmaNoor-ig8iy3 күн бұрын
Ameen❤
@raziakongani3 күн бұрын
@@FatmaNoor-ig8iy Amiin thummah amiin
@ZuleikhaShaaban-h3r3 күн бұрын
Amiin kwa sote inshaallah 🤲🤲
@kibibiabdul53123 күн бұрын
Ameen
@MasuuSaid3 күн бұрын
❤❤❤
@MwanaashaJuma-m9r3 күн бұрын
Kwan kinuka mkojo yupoje😂🤣😂😂 ila cheus ana vituko sana😂❤
@JumaNdume3 күн бұрын
Asante sana atimae kidogo nimewai kabisa daah ila vp naona hawa jamaa wako vzur eti hawajawai kubowa ata sehemu moja aise mwamba chado masta yupo vzur xan pamoja na timu yake🔥🔥🔥🔥🌹🌹🌹🌹♥️♥️♥️
@salmamzee17543 күн бұрын
Mrefu kama tamthilia ya isidingo😂😂😂😂😂😂😂 huyu jamaa anaweza balaaaaa nimenpenda bureeeee😂
@FaridYusuph-u5x3 күн бұрын
Nmeiangalia juzi tu nmekubali wow nice work from us 🇹🇿🇺🇸 likes kwake wanaoikubali hii kazi
@PetroElishaКүн бұрын
Enheeeeee''' jaman haka ka wimboo ka ''YANIUE'' Kaimba nanii vileee😊😊
@mohammedkidody5618Күн бұрын
Chine
@rizmarramadhan14833 күн бұрын
Uyu mkaka anachamba kama doctor kumbuka ..mmmh sio kwa kichambo icho mjomba umechambwa mpka basi😂😂😂😂😂
@neemamabena-xx5er3 күн бұрын
😀😀😀😀😀
@Deloveally-o8g3 күн бұрын
Ad xaut anataka kufanana nae
@BlessShirima-h4u3 күн бұрын
😊😊
@umumohamed80323 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@martha2843 күн бұрын
Yaani NIkumbuka kapata mwenza 😂😂😂😂😂😂
@kinglongoiofficial85533 күн бұрын
Matajiri wenzangu ...wa mwakani wapi like zetu ..... Twende tukafanikiwe kwajina lake yesu,,,,,
@winniesidi46083 күн бұрын
Fanya kazi kwa bidii mjomba😂
@kinglongoiofficial85533 күн бұрын
@@winniesidi4608 sawa Anko nawew ufanye kwa bidii,,,,, tufikie malengo
@TheHanscana-l9h3 күн бұрын
Wakwanza Leo from Mozambique 🇲🇿 nipe like zangu angalau 20 tu bass
@MarthaMagwaza3 күн бұрын
Nyie mim sjui ni spirit ya umalaya et nampenda solo kijicho wooiii😂😂😂....alaf cheusi usingembeba jojo ungeacha wagombane chado akute wote wameumia napenda ugomvi balaa😂😂😅
@BijumaMbwana3 күн бұрын
Yaani ugomvi ndo I like hyo😅😅😅
@mohammedkidody5618Күн бұрын
😂😂😂
@ZahraYahya-i9l3 күн бұрын
Hii Mali mpya humu inachambaaa hadi rahaaa😂😂😂😂tupeni jina lake jamanii
@AyshaAbuubakar3 күн бұрын
Anaitwa bwana Emma
@MarhajaIddi3 күн бұрын
Teena tungeshitaki kwa afande kikofia😂😂😂
@TALLUBOY3 күн бұрын
cheusi media unajua kinomaaa siku nikikutana na wew ntakupatia laki moja taslim mzee wangu unajua sana mzee unaibeba movie kinoma
@moreenmethew31563 күн бұрын
Mpaka hapa sijaimaliza 😂😂😂😂😂😂😂😂ilaa cheusi shoga Angu unayatimbaaa😅😅😅😅
@givenmgaya88893 күн бұрын
Et shogaangu😂😂😂😂msenge sana we nyau😂😂
@SalamaTaura3 күн бұрын
😅
@SakinaMujib3 күн бұрын
Cheusi media😂😂😂😂
@Mishikiondo3 күн бұрын
cheusi umbea anauweza akilala yupo hoi
@MargaretAwinja-ls7hx3 күн бұрын
@@Mishikiondo😂😂😂😂anayo bidii
@ReinerEmpress3 күн бұрын
Uyu kaka michambo yake iko 🔥 🔥 nmempenda 😂😂😂😂great work guys ❤❤
@BeatriceMussa-y4b3 күн бұрын
Mmhh kuna huyu mbaba anawachamba diwan na mjomba😂😂😂 yani nachekaga mpaka badae😂
@ErickJonhfredy3 күн бұрын
Mimi mwenyew ananichekesha so poa sema wanajua Sana kuigiza awa watu jmn
@mohammedkidody5618Күн бұрын
@@ErickJonhfredyDah kabisa😂
@ashurakafango3 күн бұрын
Juma lokole ana,nikosha sana.😂😂😂 Kamchamba diwani mpaka 😂😂
@SalmaMohamedi-bm2ul3 күн бұрын
Wow Leo nmewah jmn naomben like zenu please Tunaomkubali chado gonna like
@LuluHamisi3 күн бұрын
Yan kidemu jau ni mimi kabsa siogopi ata ukiwa na mwili gan sikai kinyonge kbs nkishndwa ata jiwe nakupga,vjitu vyembamba atupendi dharau😂😂😂😂
@mohammadmusa3283 күн бұрын
Utafaa bsi ww😂
@aishaomar96213 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@mohammadmusa3283 күн бұрын
@@aishaomar9621 ama wasemaje 😂
@SalamaTaura3 күн бұрын
😅
@mohammadmusa3283 күн бұрын
@@SalamaTaura mushafika watatu nani atakuwa kidem jau wangu😂
@fridaymjwanga3 күн бұрын
Nilimisiii sana hii movie bada ya sim angu kupasuka hatimae nimeludi tenaaa 🎉🎉🎉 ngwengwe Master hahah
Jaman mapema yan ndo mana chado nakupenda bure kwa burudani yako tu❤ nakukubali
@ThomasKibutwa3 күн бұрын
Ngwengwe safi sana, bado mikojo na mavi kabisa kwenye mashuka yake, fanya kweli huko kitandani, naye aone raha ya kulea, pumbavu.
@Barackjumah3 күн бұрын
Habari zenu ndugu , Leo sina mengi ila 2 kw wale wanao mkubali soloo mfanyikazi wa Manyonga maprosoo 😅 like tukisonga alaf mama ngenge anahuzunisha kwli😢
@ScholaMalale3 күн бұрын
Hahaha huyu kaka kiboko sio kwakuchamba huko mama ngwe ngwe pole dada angu naisi na mm litanikuta
@RayaAlly-m2e3 күн бұрын
Nmejifunza ktu kwa kweli mtto ata awe mtundu kias gan utamuombea balaa kila sik ila siku ukimkosa nyumban kwako ndo utajua thaman yake na huwez kuelew thaman ya ktu hadi kikutoke 😢😊
@GiftAlfred-cw5mm3 күн бұрын
Muone halivyo mlefu kama tamsliya ya isidingo 😂😂😂 nimempenda bure huyu kaka😂❤❤🎉
@SalomengandiNzungu-it5ph3 күн бұрын
Jaman nimewai leo nipeni likes wa huyu bwana kichambo waaaah mauwa yako upewe bwana ww🌹🌹🌹🌹
@harinichiduli27503 күн бұрын
❤
@brianmathu12523 күн бұрын
Chado... kenya tunakutambua kazi nzuri braza ..tuko nyuma Yako🔥🔥🔥🔥
@MussaSuleiman-op4ob3 күн бұрын
Mashaalah mungu abariki tasnia yako unajua kitengo respect
@HamisiMadongo3 күн бұрын
Eti kitako Cha pasi kumbe pasi Ina kitako😂😂 Ila Cheusi Noma zaidi ya Mm'bea
@Marry-u8m3 күн бұрын
Usijali mama ngwengwe ata rudi tuu mwanao 🎉🎉🎉❤❤❤❤wacha ede aka jue baba yeke yukoje kwaza juu uli mwabi haku amini 😢😢😢
@corehajonnh3 күн бұрын
Mmi kiukweli naangalia hii move jamani kiukweli cheusi unajua mbakaa unaboa....Leo nimecheka sana jamani cheusi nakupenda buuule❤❤
@IbrahimOthman-f2v3 күн бұрын
Nisome kama taharirinho kutoka zanzibar kijichi mzee wa misumari times ❤😂😂😂😂
@EmmanuelJames-e2v3 күн бұрын
leo cameraman umetufelixha mbn hazionekqn frexh🙏xaw ila nawapenda xana team chado🎉🎉
@hanifahkhamiss84853 күн бұрын
Leo mapema mashallah ❤❤❤video queen unazingu sasa kupewa nafasi kidgo tu unataka kujimilikisha chado wetu😂😂😂😂
@QuteZani3 күн бұрын
Atuachie chado wetu kwa da naji
@EmmanuelChoma3 күн бұрын
We cheusi wewe mbona upo Kama Mimi. Gonga like Kama unamkubali cheusi
@ZainabuOmari-yk8fb3 күн бұрын
Alhamdulillah kwakila kitu 🙏 nikiwa pande izo🇴🇲🇴🇲nawapenda woteeeeeee kwaajili ya allah niwatakien Kila lenye kheri tunainjoy San nachado master
@ZuenaIbrahim-u6e3 күн бұрын
Alhamdulillah kumbe na ww upo huku
@ZainabuOmari-yk8fb3 күн бұрын
@ZuenaIbrahim-u6e nipo uku my dear
@KezakimanaNaishi3 күн бұрын
Weka like wenzangu wallah ❤ inshallah allah atuvuche huu mwaka
@Shakirairakoze3 күн бұрын
Wakwanza kutoka Burundi 🇧🇮🇸🇦🇸🇦 nawapenda sana team chado ❤❤❤
@JanethAnania-w3s3 күн бұрын
Ima naomba unifundishe kucha sio kwaubaya maana sio kwakuchamba huko 😂😂😂😂😂😂❤❤❤🎉
@NataliaMaxcimillah-f5k3 күн бұрын
Watching From Lebanon 🇱🇧, kazi safi sana chado master na team yako,big up😊😊😊😊😊
@RjRj-p3e3 күн бұрын
😂😂😂😂 nilijua Tu ngwengwe ataniwakilisha vizuri 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@NyotaByaeseFrancisca3 күн бұрын
Bendera imepandisha tena njooni uku kwa Chado Master 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@BoeChusseh2 күн бұрын
Jaman kidem jau mim pacha wako mpaka mtaan kwang wananiita kidem jau sabab nmefanana na wew kam unabisha angalia nani mkweli ipo youtobe❤😂
@MASOKAVENESIA-r6z3 күн бұрын
0:15 wa Kwanza Mimi apa ata like 50 tu Nita shukuru❤❤❤🎉🎉🎉
@JohariYahya-q1x2 күн бұрын
Mission impossible yaan mpka nchi za jirani wanaangalia. Hongereni kwenu jamn 😀😀😀
@moneyfollowme7372 күн бұрын
Mm niko Zambia
@EstherMzungu-b4n3 күн бұрын
Ila huyu kaka mgeni anachamba kweli kweli 😂😂😂😂
@mwanapilijumwa-fc2ps3 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@IreneMacha-g8o3 күн бұрын
Hilo kwapa au bawabaa😂
@SalamaTaura3 күн бұрын
😅
@tecklarndune2333 күн бұрын
Kichambo cha mkaka kimeenda shule😅😅😅
@NasraMwakyoma-s2p3 күн бұрын
😂😂😂kichogo Kama kitako chapasi
@AishaQeen-q2b12 сағат бұрын
Hakika ngwengwe leo umenifurahisha kama umefurahishwa na vituko vya gwengwe😂😂😂😂 kwa babake naomba like aisha from burundi
@mckenyacomediane92823 күн бұрын
From Kenya 🇰🇪🇰🇪 Chado nakukubali mwanangu 🎉🎉
@HappinessMorara-th1lu3 күн бұрын
Zakayo hakosi mahali popote 🤣🤣🤣
@IreneMuronji2 күн бұрын
@@HappinessMorara-th1luNakwambia tupo Kila mahali 😂😂😂😂
@gseh92773 күн бұрын
Mapema tuuu❤❤❤❤❤ nipo hapa Team kidem Jau natamani Video Queen apigwe na Kidem jau maana kazoea kuiba wanaume wa wenzake alimuiba Bhailam wa Naomi sasa anataka kumuiba Chado khaaa huyu dada ndo mana hanenepi 😂😂😂yuko mbiooo sana
@KisyampuMlumba3 күн бұрын
Kabisa yani
@Diyankurze2 күн бұрын
ila mchambaji eti mtazame kichwaaa Mpaka kuskitika anaona Aibuuu😂😂😂😂🤣🤣🤣🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 eti kwapa Bawaba 😝😝😝😝😝😝😝 nyieeee nyieeeeeeee huyu jamaaaa kamshinda mpaka kumbuka sa kwann anachamba hv mpaka kula zote atataka kuhesabu yeye 😂😂😂😂Duniaaaa🙌🏾🙌🏾🙌🏾 nimerudia hiki kipande mara 5
@SaumuNyale-s6h3 күн бұрын
Ila ngwengwe kazingua kinoma kaamua kuacha mmake pekeyake katika maisha yote hayo walio pitia daaah 😢😢😢 ....Nimelia n mama mangwengwe 😢😢
@SalamaTaura3 күн бұрын
😢
@SalomeSiwiti-b7h3 күн бұрын
Amna huenda ngwengwe anajua baba ake anachotaka kufanya na yeye kwenda kwa baba ake ni kumkomoa tu huoni matukio anayofanya😂😂
@SaumuNyale-s6h3 күн бұрын
@@SalomeSiwiti-b7h wacha tuone kutaenda vp sio kwa vituko ivo 😄😄😄
@DollaIbrahimDollaIbrahim-ro7yq3 күн бұрын
Hapo amenifurahisha huyu kaka kumwambia mwezake we baba unachambaaaaa ili kwapa au bawaba duuuh huyu kaka Atari anayemkubali agonge like apa👍🤣🤣🤣
@ZaynabHamadNondo3 күн бұрын
Mapema leo kazi nzur chado🎉🎉
@judithsijaona98753 күн бұрын
Chado anavowindwa na madem zake 😅😅😅😅
@lovelySandraHussein-s4o3 күн бұрын
Leo wa nimewayi gonga like apa vipenzi vya chado masta nakupenda kutoka saudia Arabia ❤❤❤❤
@AminaIddy-o6h3 күн бұрын
Huy kaka anaechamba big up xanaaaaaa
@AlliMakwanguКүн бұрын
Acha tamaa
@mohammedkidody5618Күн бұрын
Kabisa😂
@AsmaAsma-og6ul3 күн бұрын
Yan chado mim nakupenda hpo kak unajal San kazi yko na sis pia mungu akubariki San wew pamoj na familia Yako yote
uyo ndo ngwengwe bana utamrudisha kwao we subiri😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤
@DABBIE3 күн бұрын
Lahahulahhh!!!! Ngwengwe😂😂😂😂😂
@black-ym5di3 күн бұрын
Huyu lokoke tumewekewa humu ananifurahisha kuchamba Ila ngwengwe leo umenichekesha tuvunjie moyo wa Mr manyonga😂😂😂 kama unaipenda hii kqzi weka like❤
@NeemaMzur3 күн бұрын
Dahhhh. Leo nimekuwa wa kwanza toka nianze mishen imposible...ila staki like zenu😅😅😅😅😅😅😅😅
@HajraIddy3 күн бұрын
Sema tyuu wataka like usijitiee hutak ila ngoja tyuu nikup ila Kwan like Zina saidia nn embu nambie kipenz
@NeemAbdully2 күн бұрын
Uyo ndo bwana ima utamu wote huwo utakutana nao kwa chado masta wee uwogopi❤❤❤
@ThomasWilliam-k5h3 күн бұрын
Wakwanza leo nimewahi kama wengine bado mme lala endeleeni kulala nitakuja niwasimulie 🎤🎤🎤🎤🎤
@NasrahMwenda14Күн бұрын
Kaka anachamba huyu makali ya wembe tenaaa,😂😂😂😂mrefu kama isidingo😂😂😂😂
@AlbertJr-u8q3 күн бұрын
Nani anaamini ngwengwe ataiba ela kwa baba yake ampelekee chado alafu chado apeleke kwa video quenn , wamalizane ili najma na chado wabaki kuwa huru . Kwene penzi lao 🙌🏃
@FahimaMohd-b9s2 күн бұрын
Kijan namkubali anaweza
@Dorcasse-y6h3 күн бұрын
Chado please family. Wangu inataka [11] season 2 please baba Chado tunataka sn please please 😢😢😢😢😢😢😢😢😢❤❤❤❤❤❤Napenda sn kazi yako baba please nifanyeeje baba Naipenda movies Chado masta fIlm ❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢🎉🎉🎉
@FredyMayuya-i1x3 күн бұрын
Mzee baba salute naona watoto size ta ulefy unene sawa alafu wanapishana njia ya mlango uchoki nyama izo
@RehemaChimwenje3 күн бұрын
Yani huyu mkaka hamezi pia mate cheusi yuaongea ila hapa kwahuyu mkaka umeoga bila sabuni cheusi😂😂😂😂😂❤❤❤