"OCD ONDOKA NA MWENYEKITI" SAKATA LA NYUMBA ZAIDI YA 30 KUVUNJWA, RC CHALAMILA AAGIZA WAKAMATWE

  Рет қаралды 126,545

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 222
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 10 ай бұрын
Pole mwanangu maana hii D'salaam ina madudu mengi sana. Nyumba zilibomolewa viongozi walikuwepo wakanyamaza kimya. Chalamila Mungu aendelee kukutunza na kukuongoza baba yangu.
@robertempire9542
@robertempire9542 10 ай бұрын
Hongera mkuu wa mkoa umenena vyema..Nenda na viwege kuna migogoro sana pale serikali za mtaa kuna kesi ya walter mchome na wananchi tena wanalipishwa pesa bila mikataba ya kisheria....Ayo tv fatilieni au nitafute niwape taarifa kamili
@AwadhiMaturela
@AwadhiMaturela 10 ай бұрын
Salute mwamba mungu akulinde nimekupenda sana ww ni big brain genius
@anselmimarandu2293
@anselmimarandu2293 10 ай бұрын
Hongera kiongozi Mungu azidi kukulinda. Pigania haki za wanyonge. Msaidie mama samia. Kazi iendelee.
@AugustKisaka-qy7kl
@AugustKisaka-qy7kl 10 ай бұрын
Asante mkuu wa mkoa,pia wananchi wait ajira fidia ya unyasaji wa nafsi
@KoleYasini
@KoleYasini 10 ай бұрын
Ila mkuu wa Mkoa unakazi kweli kweli..pole sana.
@nurdinkassim
@nurdinkassim 10 ай бұрын
Chalamila uko vizuri wewe upo kwa ajili ya wanyonge mungu akulinde na mabaya yote
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 10 ай бұрын
Unatufaa kuwa Rais wetu wa baadaye maana unajali haki ya kila mmoja. Humuonei mtu. Hongera najua kuna wengine wanakuchukia lakini hao wanakuchukia hawataiona mbingu ya Mungu wataishia motoni. Hongera Baba.
@mwanaidmohamed5653
@mwanaidmohamed5653 10 ай бұрын
Hongera cna mh! Mkuu wa mkoa, Rais akufanya kosa kukuchagua kuwa mkuu wa mkoa
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 10 ай бұрын
Hongera sana muihishimiwa mkuu wa mkoa mungu akusimamie katika serekali yako mungu aipe hekima serekali yetu mola tusaidie tanzania
@selector728
@selector728 10 ай бұрын
Mheshimiwa sio muihishimiwa
@amanisaid9863
@amanisaid9863 10 ай бұрын
Mm sina mengi sana chalamila njoo morogoro maana makonda hakupita mkoa huuu,,la mwisho mama yangu Samia hakukosea kukuchagua Mungu ni mwema Mungu ibariki ichi yetu TANZANIA IWE YA AMANI WAOOOO NAIPENFA ICHI YANGU
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 10 ай бұрын
Leadership is always done by examples! You are a true Leader,Mr Regional Commissioner. Good job! ✊💪
@lameckmadeni
@lameckmadeni 9 ай бұрын
Safi sana mkuu wa mkoa bwana Albert Chalamila dili nao hao maharamia
@Lundege_Hips
@Lundege_Hips 10 ай бұрын
Kwa sisi Tunaomfatilia chalamila tunamfahamu sana big up Kiongozi
@shadrackmohamedi8765
@shadrackmohamedi8765 10 ай бұрын
Chalamila unapambana sana, una sehemu yako ya kupendeza huko mbinguni. Tuseme Eemeeen.
@majurakafumu9120
@majurakafumu9120 10 ай бұрын
Hayo ndiyo matokeo ya Sera za ccm kwa wananchi waliyo pita bila kupingwa kumbe Ni hivyo Sana tunataka Katiba mpya
@majurakafumu9120
@majurakafumu9120 10 ай бұрын
Kwa Nini wasije mchana ?Mwenyekiti ana husika na siyo huyo tu hata huku kwetu Makabe wapo wenyeviti wa hovyo sana
@letthedeadburythedead2148
@letthedeadburythedead2148 10 ай бұрын
Wewe ni mungu?
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 10 ай бұрын
Amen
@afreytonemajidi6909
@afreytonemajidi6909 10 ай бұрын
Apa Mama uteuzi wa mkuu wa mkoa dar ni sahhii100%
@sabokoMAILA
@sabokoMAILA 10 ай бұрын
Honger sana mh chalamela
@LwitikoMwaipungu-f1m
@LwitikoMwaipungu-f1m 10 ай бұрын
Na hiyo ndio busara, kiongozi bora huwa anasikiliza pande zote mbili ndipo anatoa maamuzi. Ubarkiwe sana RC CHALAMILA.
@AugustinoMpiluka
@AugustinoMpiluka 9 ай бұрын
Mwamba hongera kwakuwa jirani kusikiliza shida za wananchi mungu akupe baraka kwahicho unachokifanya kwa wanyonge Tanzania nchi ya amani.
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 10 ай бұрын
Hongera mkuu wa mkoa kwa kazi nzuri
@MO12-b1q
@MO12-b1q 10 ай бұрын
Mwishimiwa n MTU wawatu Sana Ugha Napendaga sana. mwamba uyu baba. Yupo vizuli sana kwa kaziyake kutenda Haaki
@josephkatembo6252
@josephkatembo6252 10 ай бұрын
Mungu akufanyie wepesi unasimama na sisi wanyonge
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 10 ай бұрын
Hongera kiongozi hakika machozi yananitoka unajua haki mbali na Sheria. Hongera kiongozi. Nakupenda kwa kuwa unajua na unasimamia haki. Huna para. Mungu atakulinda na kukusimamia kila lenye kheri nawe liwebele yako na shari iwe kwenye upofu usikuone, iwe kwenye uziwi usijisikie, iwe kwenye ulemavu wa miguu wasikie, iwe nyuma yako na isikutangulie. Kiongozi mmoja wewe kama raisi WA nchi mzima hongera Baba. Wewe ni mweledi. Mungu wetu atakusimamia. Simalizi ninavyokuona.
@hamishassan6784
@hamishassan6784 10 ай бұрын
Mh Chalamila Nakupenda sana Nakuombea sana kiongozi wangu. Hakika unamsaidia Mama Haswa
@mariethaadelinminja6429
@mariethaadelinminja6429 9 ай бұрын
Asante baba. Haki ya mtu haipote mungu yupo
@farajasallah2338
@farajasallah2338 10 ай бұрын
Hongera baba, kazi inaonekana
@JamesLoshilu
@JamesLoshilu 10 ай бұрын
Unafaa sana kua kiongozi,ungepewa uwazri
@saloomidd1084
@saloomidd1084 10 ай бұрын
jamaa nimemkubali sana ametumia akili nyingi sana na ameongea haki bila kupendelea upande wowote
@LilianKisumbi
@LilianKisumbi 5 ай бұрын
Kazi nzuri mkuu wa mkoa
@kelvinulungi230
@kelvinulungi230 10 ай бұрын
Mheshimiwa mungu akutangulie, katika hili. Safi sana
@JosephHaule-yg1cf
@JosephHaule-yg1cf 10 ай бұрын
Chalamila mungu akupekibar uwe raisi wainchi hii gombea mkuu tunakuchagua amini utashinda
@Mubarak552
@Mubarak552 10 ай бұрын
RC Chalamila hongera Sana kwa jinsi unavyotatuta mambo ya wana DSM
@Filbert-pe2xm
@Filbert-pe2xm 9 ай бұрын
Well said our regional commissioner
@frankmwakibingafm5266
@frankmwakibingafm5266 10 ай бұрын
Safi Mkuu wa Mkoa (Jembe)
@Aminamuhamed
@Aminamuhamed 10 ай бұрын
JAMANII💔 DHULMU mbaya KWA NINI BINADAMU WANANYANYASIKA KIASI HICHOOO BAADA YA WATU WANATABU ZAO NATENA YANAONGEZWA MENGINEEE HATA KAMA MTU NIHAKI YAKE KWANI HAKUNA SHERIA . ASANTE BABA CHALAMILA KWA KAZI UNAYOIFANYA 🤲MUNGU AKUWEZESHE NA AKULINDE NA AKUPE NGUVU.
@titusrobert5890
@titusrobert5890 10 ай бұрын
Katika mambo mazuri Mh Rais amefanya kwa umakini ni uteuzi wa Chalamila kuwa mkuu wa mkoa wa Dar na Jerry Slaa kuwa waziri wa ardhi vijana hawa wana uwezo mkubwa wa kuchanganua mambo, mungu awabariki sana wanaelewa mno kazi walizotumwa na Rais.
@knight6757
@knight6757 10 ай бұрын
Waandishi wa habari wafuatilie pia mgogoro huu haadi mwisho !
@shanelmbunga1301
@shanelmbunga1301 10 ай бұрын
Mkuu wa mkoa uko vizur
@pierremkelemi5548
@pierremkelemi5548 10 ай бұрын
Salute Mkuu 💪
@JumaShimende
@JumaShimende 10 ай бұрын
Ktk viongoz wanao msaidia mama haswa haswa kuwawajibisha viongoz wasio fata sheria na viongozi wazembe.hakika viongoz hawa waziri mkuu majaliwa na mkuu wa mkoa chalamila wanamsaidia sana mama kwakweli binafsi nawakubali hata watu comet zao utaona ni jinsi gani wananchi wanavyo wakubali.mungu awabariki na mzidi kumsaidia mana yetu kwakweli.
@mohdkhalifa8828
@mohdkhalifa8828 10 ай бұрын
Safi Sana kiongozi
@AkwilinaKisinga
@AkwilinaKisinga 10 ай бұрын
Hongera saaana Ajocha
@shabanihugo8332
@shabanihugo8332 10 ай бұрын
Safi sana uko vzur
@robertadolf562
@robertadolf562 10 ай бұрын
Mh. Challamila, kazi unayoifanya ilikuwa viongoz wako wa ngaz ya chin walishashughulika nayo ww ni kupewa taarifa na kutoa maamuzi kama final say. sasa mpaka muheshimiwa unafika hapo unhughulika nayo kuna haja gan ya uongoz uliokuwepo hapo kuendelea kubaki. timua wote mnahadhina kubwa ya watu. ifike mahala watu wasijihis kuwa ni wao tu hakuna wanaoweza kuchukua nafasi zao. uwajibikaji huleta heshima...
@saloomidd1084
@saloomidd1084 10 ай бұрын
Jamaa kwa hapa nimemkubali sana ameonyesha sifa zote za kiongozi bora,ameongea haki tupu bila kumuogopa mtu yeyote wala kupendelea upande wowote. Anajua kutumia mantiki vizuri sana
@kaliskaguzkalis4424
@kaliskaguzkalis4424 10 ай бұрын
Chalamila kwa ufasaha wa kuzungumiza nakupa saluti mzeee
@khalfanikimanta6663
@khalfanikimanta6663 10 ай бұрын
Huyu chalamila ana akili saana saana Mwenyezi mungu amuongoze
@laylayl5166
@laylayl5166 10 ай бұрын
Amiin yaarab
@nasrasalumu7005
@nasrasalumu7005 10 ай бұрын
Wakuu wamikoa wote wangekua kama wewe baba migogoro isingekuwepo kama wewe Tanzania lamda mko watatu tuu wengine wanajijali wao tuu hongera Chalamila unafaa
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 10 ай бұрын
Jery Slaa na Chalamila mnanyoosha mko vizuri mno...Kwenye Ardhi kulikuwa na Ukanjanja mwingi tangu ameingia Slaa haki na Mnyoosho uko wazi mno..mno mno mno
@MbarakAhmedAbdalla
@MbarakAhmedAbdalla 9 ай бұрын
Kabisa wachukuliwe hatuwa walotenda na wafunguliwe mashitaka yani wewe uko sawa yani wewe unafaa kua kiongozi waakika namungu akuongoze
@evarinenathaniel9838
@evarinenathaniel9838 10 ай бұрын
Mkuu wa Mkoa wetu Akili nyingiiiii.
@AlAl-sd9pl
@AlAl-sd9pl 10 ай бұрын
Ila namkubali Sana chalamila
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 10 ай бұрын
Hii yote sababu watu wana idharau hii serikali 😢😢 mwenye pesa ana wapa wahuni ela wana chukua sheria watakavyo
@PaskaliCharles-pz8ds
@PaskaliCharles-pz8ds 10 ай бұрын
Mkuu mkoa nakukubali sana hujawi kuficha ukweli
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 10 ай бұрын
CHALAMILA SAFI SANA SAFISHA JIJI JAMANI DUNIA INAENDA WAPI?
@yordanyona1234
@yordanyona1234 10 ай бұрын
wewe ni mentor wangu ...nakuelewa sana
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q 10 ай бұрын
Kama ni mkoa wa mkoa wa dar tunaye na anafaa sana mheshimiwa huyu
@majidimussa8678
@majidimussa8678 10 ай бұрын
mkuu wa mkoa uko vzr ki maswal
@pamfilmsofe1927
@pamfilmsofe1927 10 ай бұрын
Mtetez wetuwalalahoi usichoke tunakuombea
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 10 ай бұрын
Mh.RC wa Dares salaam Albert Chalamila katika nafasi yako,mengi uliyoyafanya yanabebwa na hili kwa namna ya pekee. Usikubali watumishi wa mamlaka wakakiuka sheria na kukosa kuwajibika vema wakati ninyi maRC ndio jicho linalomuwakilisha Rais wa nchi mikoani. Hapa Mahakama imekiuka, Polisi imekiuka,na serikali ya mtaa imekiuka na kuwaonea wananchi kwa kutumia mamlaka zao vibaya!! Wakati Serikali inachukua dhamana ya kuwarudishia makazi yao, Watakaobainika wote wakatwe sehemu ya mishahara yao bila huruma ili kufidia hasara hii ya mikono yao wenyewe ili iwe fundisho, na sio serikali ya mama Samia hata kidogo!.
@hassaniomari9407
@hassaniomari9407 10 ай бұрын
NATAMANI SANA HUYU CHALAMILA AJEKUA RAISI BAADA YA MAMA anafanya kazi kubwa sana
@amosmahona433
@amosmahona433 10 ай бұрын
Sifa moja wapo wa kiongozi bora ni kuwa na maamuzi /decision making safi kabisa MHeshimiwa.
@JosephHaule-yg1cf
@JosephHaule-yg1cf 10 ай бұрын
Hapoulipo namuomba mungu akusogeze mbele
@MwanakomboNassor-bw3by
@MwanakomboNassor-bw3by 10 ай бұрын
Mungu akulinde baba
@MussaJames-q7c
@MussaJames-q7c 10 ай бұрын
Ongera rc chalamila
@EvaKiswaga-j2o
@EvaKiswaga-j2o 10 ай бұрын
Wamepewa hela hao
@johnjoel5012
@johnjoel5012 10 ай бұрын
Kwa uonevu huu hadi namkubuka hayati Magufuli .
@awadhally1052
@awadhally1052 10 ай бұрын
Kwel kabisaa
@salimmalaka256
@salimmalaka256 10 ай бұрын
MBONA HYO MAGU NDIO ALIEWAVUNJIA WATU KIMARA?? AU HAMJUWI??
@kaliskaguzkalis4424
@kaliskaguzkalis4424 10 ай бұрын
Nani! Maghufuli!?
@ahmadamohamed1907
@ahmadamohamed1907 10 ай бұрын
Uonevu upi? Shule ni.muhimu ndugu yangu
@saidmabanga388
@saidmabanga388 10 ай бұрын
​@@salimmalaka256wee ndoo ujuii fala ww
@LilianKisumbi
@LilianKisumbi 5 ай бұрын
Mkuuuu kweli unasema kweli kabisajamani
@danfordkessy515
@danfordkessy515 10 ай бұрын
Magufuliiiii jaman kwann uliondoka??? Kwann umetangulia kabla ya watanzania haujawakomboa wote??? Mungu hana makosa ila Mungu Ni mwema
@mrsdeborahurio
@mrsdeborahurio 10 ай бұрын
Tutamlilia daima!
@EmmmaTembo
@EmmmaTembo 10 ай бұрын
3:05 OCD naye achunguzwe haiwezekani kwenye kesi mbaya kama hii Mkuu wamukowa amuite mara mbili alafu anajifanya haskii mpaka ananyooshewa kidole na askari mwenzake
@AlAl-sd9pl
@AlAl-sd9pl 10 ай бұрын
Yan chalamila anaongea points kuliko hata mkubwa wa dunia naogopa kutaja
@noelonesmo9946
@noelonesmo9946 10 ай бұрын
😂😂😂😂
@signecha_
@signecha_ 10 ай бұрын
mkuu wa mkoa wa MIKOA YOTE😇
@furahamandai6628
@furahamandai6628 10 ай бұрын
Mh hiv unapata muda wa kupumzika maana unapiga kazi duuu ongeraaa mkuu
@shebatimathayo8471
@shebatimathayo8471 10 ай бұрын
Kweli Rc kama huyu anajitambua hongera.
@crismtete8837
@crismtete8837 10 ай бұрын
RC wewe ni kiongozi halisi.. Mungu Akulinde..
@AberiChelesi
@AberiChelesi 10 ай бұрын
Apo mkuu wa mkoa una tenda haki nafrahia sana utendaji wako wa kazii nakuombaa uhakikishe haki ya watu wa majoe inapatkanaa
@clemencelisonga8261
@clemencelisonga8261 10 ай бұрын
Uyu jamaa anafaa kuwa Rais wa nchi hii anatosha kabisa
@AlAl-sd9pl
@AlAl-sd9pl 10 ай бұрын
Kweriiiiiiiiiii kabisa anafaa
@mwanumwanu1513
@mwanumwanu1513 10 ай бұрын
Jamani wenyeviti wana sumbua sana hata hapa bukoba mjini nishida
@mwanumwanu1513
@mwanumwanu1513 10 ай бұрын
Hata kata ya nshambya mtaa bunkamgo bukoba mjini ni shida
@MrMindsettz
@MrMindsettz 10 ай бұрын
Kuna majitu Yana roho mbaya sijui ni ma raia ya wapi ..ni WA Tanzanian kweli hao?
@khlafanmwassa
@khlafanmwassa 10 ай бұрын
Hii yote inatokea kwa sababu uongozi wa wa juu ni legelege ndio maana watu wanajichukulia sheria mikononi mwao bila hofu yoyote
@Mrmohadi.OFFICIAL
@Mrmohadi.OFFICIAL 10 ай бұрын
Atuhitaji ccm tena
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 10 ай бұрын
Kazi nzuri
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 10 ай бұрын
Mkuu wa mkoa uje na viwege
@zuberijuma7366
@zuberijuma7366 10 ай бұрын
Chalamila ameiva sanaaaa
@StellaLuambano
@StellaLuambano 10 ай бұрын
Majariwa angewepo apa au makonda ingefaa zaidi
@rerisamba
@rerisamba 10 ай бұрын
Waa l miss MAGU
@danfordkessy515
@danfordkessy515 10 ай бұрын
Magufuli angepata hilo hapo maamuzi yangetokea hapohapo maana viongozi wako wawilaya wapo hapo na mtaa Sasa wao hawahisiki vipi?
@Kharis-s4f
@Kharis-s4f 10 ай бұрын
Saivi watu wanahangaika lugha ya kuandika kwenye mikataba mana saivi Kila mtu msomi waliona kiengereza kinawasumbua watu tukaingia chimbo kiswahili ndio mwake sasa wanataka kuandika kijerumani hili watu watafute wakalimani.Safi sana mkuu wa mkoa kwa kweli lait nchi hii yenye mikoa zaidi ya 30 tungepata wakuu wa mikoa 15 kama wewe hao wengine mngewaficha mana wengi hawajibiki kwa kweli
@selector728
@selector728 10 ай бұрын
Ili sio hili
@edsonmganyiz9520
@edsonmganyiz9520 10 ай бұрын
Duuuh! Kumbe tumefika uku aseee Tz nchi yangu
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 10 ай бұрын
Ila hapa hata polis Wana shida mbona Hawa watu wameshawahi kwenda mpaka kituon lakin hawakusaidiwa
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 10 ай бұрын
OCD ondoka.na.mwenyekiti.safiiii. mkuuu tufutee. Machozii babaa
@clintonarnold6291
@clintonarnold6291 10 ай бұрын
Chalamila ni Maarufu kuliko Samia😅😅😅
@zuwenaabdallah7748
@zuwenaabdallah7748 10 ай бұрын
Yaan wilaya ilala migogoro ya ardhi ni mingi sana wenyeviti wanashirikianaga nao sana wanawakatia k8dogo
@AmedeusMbanda-gh4rj
@AmedeusMbanda-gh4rj 10 ай бұрын
Sawa mkuu🙆
@AntonyDova
@AntonyDova 10 ай бұрын
Siasa
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 10 ай бұрын
Sijaelewa hapa. Nyumba zimebomolewa usiku watu wakiwa ndani au nje? Vitu vimo ndani au vilitolewa.
@ondieckotoyo1143
@ondieckotoyo1143 10 ай бұрын
Pia ukasikilize ya nyakasangwe na vitendo vya uporaji ardhi
@ondieckotoyo1143
@ondieckotoyo1143 10 ай бұрын
Hayahusiki katika utekelezaji wa hukumu ya mahakama
@FranceChavala
@FranceChavala 9 ай бұрын
Pela gendelage uludodi chalamila oyee
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 10 ай бұрын
Hakuna kitu muhimu katika nchi kama viongozi kua na busara hekima huruma na haki nchi itapata baraka za mungu nahili ndio tunawaambia viongozi wawe wekwali nchi itabarikiwa na kila mtu afanye wajibu wake
@jenipherludovick5906
@jenipherludovick5906 10 ай бұрын
R.I.P Magufuli ingekuwa wakati wa Magu huyo mwenyekiti hapo angekuwa kishafikisha kituoni ila bado aliendelea kukaa hapo mbele.
Yay, My Dad Is a Vending Machine! 🛍️😆 #funny #prank #comedy
00:17
KINGWENDU AWAKARIBISHA WATU FUTARI UTACHEKA SANA HII
14:47
KINGWENDU OG TV
Рет қаралды 576 М.