Waziri mkuu Rishi Sunak akubali kushindwa akitaja uchaguzi huo kama wa kihistoria. Keir Starmer anatarajiwa akuwae waziri mkuu mpya. chama cha labour kimepata idadi kubwa ya wabunge.
Пікірлер: 3
@sohrabtajadin340223 күн бұрын
TUJIFUNZE KWAO. AMEKUBALI PAPO HAPO, KAZI INAENDELEA . HAMNA KIHEREHERE.