CHAMA: Kwa mara ya kwanza aelezea UTOFAUTI wa Simba SC na Yanga SC.

  Рет қаралды 55,375

Salamba tv

Salamba tv

Күн бұрын

Пікірлер: 61
@kolosii4351
@kolosii4351 2 ай бұрын
Tunakuamini chama ukitulia unaweza fanya makubwa sana. Cha muhimu usisikilize makelele ya nje yatakupoteza. Msikilize Coach Gamondi na wachezaji wenzako ili kutengeneza uwiano mzuri utakaoleta radha tamuu ya mpira ndani ya timu yenu. Keep it up!
@kareemibrahim1892
@kareemibrahim1892 2 ай бұрын
Utopwakiswiii mnapat tabu 😂😂😂 hay mpen ushuzi chama
@naliakafatuma9870
@naliakafatuma9870 2 ай бұрын
GOD is good all the time and all the time and all the best chama good work be blessed shalom
@ushiwamarandu7433
@ushiwamarandu7433 2 ай бұрын
tupe hiyo tofauti ambayo hawa ahmed ally anaijuwa hahahaaaaaa...!
@ShaniKuveta
@ShaniKuveta 2 ай бұрын
Big up the brain ukwel unajua tu
@mwansasujonny3536
@mwansasujonny3536 2 ай бұрын
Maestro...
@amaniomar1755
@amaniomar1755 2 ай бұрын
Triple C
@julianagowele9163
@julianagowele9163 2 ай бұрын
Nakuamini sana Chama. Subiri uwaonyeshe
@adamgwila3395
@adamgwila3395 2 ай бұрын
Unamwami n mungu wako wewe
@julianagowele9163
@julianagowele9163 2 ай бұрын
@@adamgwila3395 kwani wewe mimi nikimuamini unaumia na nini. Huko kwingine ni kuwashwa tu na comment za watu
@adamgwila3395
@adamgwila3395 2 ай бұрын
Hongera utopole chama ndio ndoto yenu
@rosenyoni6426
@rosenyoni6426 2 ай бұрын
Ulikuwa unauza mechi
@NasibuAlban
@NasibuAlban 2 ай бұрын
Muulize ana miaka mingapi
@EsterKindoli
@EsterKindoli 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@molenicharles9107
@molenicharles9107 2 ай бұрын
26😂😂
@Kabeya410
@Kabeya410 2 ай бұрын
Muhimu kitu kutoka miguu yake miaka utaijua tarehe 8 akipiga chuma 2 peke yake
@WatuShazi
@WatuShazi 2 ай бұрын
Mkifunngwa mech imeuzwa mpira unamatokeo ya ajabu kuwa mtu wa soka
@mossesmohd5170
@mossesmohd5170 2 ай бұрын
Apo mwisho nimeskia amesema nguvu moja
@LeylaSaria
@LeylaSaria 2 ай бұрын
😂😂😂daima mbele nyuma mwikoooooooo
@errydeo8865
@errydeo8865 2 ай бұрын
And then?!
@BenjaminiMathayo
@BenjaminiMathayo 2 ай бұрын
Hata huku uliko hatuna imani na wewe
@EMAALAY
@EMAALAY 2 ай бұрын
Siku zote kile apandacho mtu huvuna tu
@tujifunze8369
@tujifunze8369 2 ай бұрын
bye bye C C C sad to see you leave
@JoshuaPaulo-n2u
@JoshuaPaulo-n2u 2 ай бұрын
Kwenda uko msaliti mkubwa wewe😮😢atutaki sifa yako
@azizymachadeson3577
@azizymachadeson3577 2 ай бұрын
😂😂😂 Ka inauma katika isikuchubue
@HabibuMuhunzi
@HabibuMuhunzi 2 ай бұрын
Mbn Ujamuuliza umri wake
@revocatusawadhi6550
@revocatusawadhi6550 2 ай бұрын
Kwn ww una umri gn?
@HajiAliSaid
@HajiAliSaid 2 ай бұрын
Unataka kuolewa nae mpaka unauliza umli
@revocatusawadhi6550
@revocatusawadhi6550 2 ай бұрын
@@HajiAliSaid ww n mkundu makasiriko ya nn matako ww
@EsterKindoli
@EsterKindoli 2 ай бұрын
​@revoca😂😂😂tusawadhi6550
@marthastephen6600
@marthastephen6600 2 ай бұрын
Umezidiwa kidogo tu na mzamiru na shomary kapombe na zimbwe kama kifungashio
@HussainMaula-tz8dh
@HussainMaula-tz8dh 2 ай бұрын
Unajua hata aliemuua hamza simba wa uislamu ndie mtu aliekuja kumuua kubwa katika makubwa ya ukafiri.kwa io wana simba tusimuhukumu chama siku zote wakati ndio utaamua.
@AsifuSule
@AsifuSule 2 ай бұрын
Chama waonyeshe uwezo wako makoloo wazid kukuchukiaa
@rosekwayu
@rosekwayu 2 ай бұрын
Hatuko hivyo sis ww ...
@ElizabethEmmanuel-nj1oi
@ElizabethEmmanuel-nj1oi 2 ай бұрын
Waliokua wanakucheka wew Mzee Leo unacheza kwao sijui watakubadilishia jina la uzee ama yetu macho
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 2 ай бұрын
Ashakua kijana uzee mwisho Simba ukija Yanga ni Young hujui hilo
@errydeo8865
@errydeo8865 2 ай бұрын
Ukija Yanga surppliments nyingi,kuanzia za akili mpa kimwili! Subirini atakavyo watifua
@AgnesJoshua-y5j
@AgnesJoshua-y5j 2 ай бұрын
Tulisha kutema hauna mana tena
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 2 ай бұрын
Tunaisubiri Thank You. Ili Nassisi Tumalizie Very Mutch.
@SuzanIkwabe
@SuzanIkwabe 2 ай бұрын
Tunae na tunatamba nae ccc🎉​@@nurdinmfamau3493
@bantujunior9549
@bantujunior9549 2 ай бұрын
Mbona imetoka na machungu ivo
@AlphonceYona
@AlphonceYona 2 ай бұрын
Huna ishu tena
@StevenTambi
@StevenTambi 2 ай бұрын
Mmetemwa nyinyi
@RosemaryMarube
@RosemaryMarube 2 ай бұрын
Ila chama ulichokifanya kama hakina ubaya basi ubarikiwe lakini kama kuna unafiki ndani yako natimu yako nadhani hamna kitu utakachokifanya kifanikiwe
@AnuaryBoimanda
@AnuaryBoimanda 2 ай бұрын
Exactly 💯💯💯
@frankJonas-du5he
@frankJonas-du5he 2 ай бұрын
Achen roho mby football biashar nyie hamuogop
@errydeo8865
@errydeo8865 2 ай бұрын
Maisha ya mpira ni mafupi kwa hawa wachezaji kumbukeni wengi hawajaenda sana,mpira ndo kila kitu! Maisha ya mpira yakiisha basi! So,maslahi yao ni muhimu! Hakuna mchezaji siku hizi eti ana mapenzi na club! Maslahi kwanza! Hizo dua za kuku wekeni PEMBENI
@NasibuAlban
@NasibuAlban 2 ай бұрын
Simba walikuokota ukiwa na rasta chafu hujitambui ulikua chokoraa leo umekua msaliti muuza mechi wewe tamaa zimekujaa tunakuchukia tunaomba uvunike mguu ulifiwa na mke wako simba wakakusitiri na utavunjika tu mguu subiri uone
@marthastephen6600
@marthastephen6600 2 ай бұрын
Sisi tulivokua tunaongea kwa fei na mayele mlituita washamba vipi leo imekuaje tena si nyie ndo mmemuacha had kaja yanga akiwa ni free agent amewasaliti kwa lipi mlitaka azeekee hapo😅
@marthastephen6600
@marthastephen6600 2 ай бұрын
Mliwachukua morrison niyonzima gadiel na kakolanya yanga ikiwa inajitafuta mkafurah wenyew leo vipi tena ndugu zetu😅
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 2 ай бұрын
Alikuwa ndio muuza mechi na kuongoza migomo ya kimyax2
@SamweliMango
@SamweliMango 2 ай бұрын
Na wew ukianza ushabk wa simba ulikuwa unanuka mavi....pumbavu
@muhsiniamiri9310
@muhsiniamiri9310 2 ай бұрын
huyu nimchezaji so anatfut maisha so wachezaj hawan tmu mashabik nd wanatmu tusiwajaj
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,1 МЛН
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 79 МЛН
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 10 МЛН
Simba SC 1-5 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 05/11/2023
12:02
UTV Tanzania
Рет қаралды 1,8 МЛН
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,1 МЛН