JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV. KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.
Пікірлер: 24
@alfoncekasanyi658421 күн бұрын
Muda inazidi Keisha Hadi sasa tumetangaziwa usajili wa mchezaji mmoja tu.Usajili wenyewe una utata.Thank you inaonekana kuwa kipaumbele kuliko usajili.Tulipaswa kuanzia na usajili halafu ndiyo tuje na thank you. Muda siyo rafiki
@prince78321 күн бұрын
Apo kwa mzizie nimekuunga mkono hata mechi ya hisani juz nimemuona
@alfoncekasanyi658421 күн бұрын
Kama viongozi hawafiki uwanjani na Kuangalia wachezaji wanavyocheza hawawezi kujua ubora wa mchezaji Wala ufhaifi wa mchezaji.Chama kwenda Yanga Ni sawa na kumuuzia adui silaha.Tusiruhusu Hilo litokee tutajilaumu baadaye.Hizo thank you zinazofanyika Kabla ya kupata wachezaji Bora mbadala Tutakuwa kujuta
@osumsafi209514 күн бұрын
Wewe jamaa unajua sana mpira mkuu
@bakarimmbaga234421 күн бұрын
Simba wamekuwa na maneno mengi kuliko vitendo! Wanatamani wachezaji maarufu lakini inapofikia kwenye maslahi hawafiki bei, sijui ni ubahili, wivu, roho mbaya au ni suala la maskauti kutaka cha juu?
@HABIBHASSAN-wf5mr21 күн бұрын
HUYU NI MTU MKWELI SANA ..NI MCHAMBUZI MKWELI..YUKO WAZI SANA SANA
@user-qi3wv8sf5j21 күн бұрын
WEWE SIO MBUMBUMBU,ANI UNAJUA BOLI
@user-qi3wv8sf5j21 күн бұрын
MMETISHA
@vumiliamgendi14821 күн бұрын
Usitudanganye mchome sio Simba ni mamluki
@errydeo886514 күн бұрын
Acheni kunukuu watu vibaya! AZIZ hakuna popote aliposema Prince anaenda Yanga( au kizungu ndo shida?) alichokisema angependa,angetamani kucheza na Prnce!Na wachezaji wengi sana huongea hivyo! Kwani AZIZ ndo anasajili yanga? Stop misquating people na kusema uongo! Rejea hiyo clip yake,u will understand what Ki said!
@ismailhassan520921 күн бұрын
MO nakuonea wivu mwisho wa musimu inshaallah utafanya makubwa,
@salimmalaka25621 күн бұрын
AZIZI KI MKATABA WAKE UMEKWISHA YANGA NA KUMSAINI HAWAWEZI MPAKA WALIPE PESA ZA WATU WAFUNGULIWE NA FIFA VP WAMESHALIPA???
@salimmalaka25621 күн бұрын
MATOPOLO WAMEZUWIWA NA FIFA KUASAINI WACHEZAJI MPAKA WALIPE PESA ZA WATU VP WATAWEZA KUMSAINI CHAMA??? MSITUGEUZE WAJINGA SISI.
@salimmalaka25621 күн бұрын
JANA MSEMAJI WA SIMBA AMESEMA CHAMA BADO YUPO SANA SIMBA WEWE LEO UNASEMA CHAMA KESHA SAINI MWAKA MMOJA YANGA INA MAANA MSEMAJI WA SIMBA NI MUONGO?? AU VP