Changamoto nilizokutana nazo na Air Tanzania - Haya yabadilike

  Рет қаралды 22,057

EBM SWAHILI

EBM SWAHILI

Күн бұрын

Пікірлер: 223
@rosemuhandoofficial5676
@rosemuhandoofficial5676 2 жыл бұрын
Hata Mimi nilijibiwaga Kwa dharau sana na wahudumu wa ndege , airport dar nikienda Rwanda nikaripoti Kwa police waliopi pale wawaonye hao wahudumu,nashukuru walinisaidia sana
@silverdavid6200
@silverdavid6200 2 жыл бұрын
You have said it all Brother,wewe ni mzalendo na mpenda maendeleo kwa kuweka wazi changamoto ulizokutana nazo katika huduma za Air Tanzania ni wazi una kiu ya kuona Shirika letu linaendelea zaid na kuwa bora zaidi.
@barakamshiu7146
@barakamshiu7146 2 жыл бұрын
shirika lenu na nani ? au hiyo namba jamaa anayoisema ni ya kwako nini?
@jn_mustonez7842
@jn_mustonez7842 2 жыл бұрын
Me nimekuelewa Sana lakini, itu ninachokiona wizi umeshaanza, halafu watu Sasa hawaogopi kutumbuliwa, hii nchi imeshakuwa ya hovyo, hakika namkumbuka Sana uncle magu
@BongoCryptos
@BongoCryptos 2 жыл бұрын
Air Tanzania wana huduma za KIPUMBAVU sana, hayo yaliyo kukuta ni chamtoto tu, kipindi cha JPM angalau kulikuwa na huduma bora.
@laninatwaha3850
@laninatwaha3850 2 жыл бұрын
U said it well, me walisha nibadiilishiaga tarehe ya kusafir nafika airport na mizigo yangu naambiwa tarehe yako ya kusafir sio leo.
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 2 жыл бұрын
Wanazingua sana Air Tanzania mm nilifika airport pale Nyerere airport muda niliofika nimewahi nikaambiwa kuwa ndege imeshaondoka wakanibadilishia siku baada yakuondoka jumamosi nitapigwa penati nikaondoka jumatatu kiukweli air Tanzania wanazingua sana huduma zao
@salumbujjo2320
@salumbujjo2320 2 жыл бұрын
Daah Tanzania mpaka sasa haiyeleweki kama ni nchi au mji system zote za mambo muhimu ziko kiubabaishaji sana mpaka aibu
@mawazoaliselemani8909
@mawazoaliselemani8909 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@saidimasudi6450
@saidimasudi6450 2 жыл бұрын
Uko sawa brother
@kambamazig02024
@kambamazig02024 2 жыл бұрын
Hata mimi nimewahi kuelezea kuwa inasikitisha kama kampuni ya Air Tanzania inaendelea kufanya kazi kama ilivyokuwa zamani, hasa ukataji wa ticket za ndege yaani bado ni shida sana, mtandao umewekwa kwa ajili ya ki-wizi wizi tu maana utaambiwa ticketi zimekwisha, full booked. Ukienda ofisini unakuta tickets kibao, wao siku hizi wanasema ati ni kwa ajili ya wakala wamechukua ticket in blocks. Tumesafiri kutoka Dar kwenda Kilimanjaro ambapo kwenye mtandao ilisema ndege imejaa cha kushangaza ndege ilikuwa nusu tupu hakuna abiria! Inasikitisha, kama ni uhujumu wanafaa kuwekwa ndani.
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 2 жыл бұрын
Hizo ni hujuma....ndugu yangu nchi yetu ni nzuri sana lakini ina watu wasiojielewa!!!
@victorgaramangala4964
@victorgaramangala4964 2 жыл бұрын
Kwani Tz ni nchi ama mji
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 2 жыл бұрын
@@victorgaramangala4964 kwani wewe unaonaje???!!!
@jan6703
@jan6703 2 жыл бұрын
@@victorgaramangala4964 a very inept observation. Very asinine 😠
@ludobudege1662
@ludobudege1662 2 жыл бұрын
Magufuli baba tutakukumbuka sana air tanzania Kuna Yale majipu yasiyo na usaha
@Boyfromtanzania
@Boyfromtanzania 2 жыл бұрын
Precision Air is the best, kutokana na experience yangu..
@simonmwandu2214
@simonmwandu2214 2 жыл бұрын
Wagem_DC hivyo vindege vinajoto na kelele kama umepanda dalala ukishuka masikio yameziba dah..! Tzania hakuna ndege nzur
@Boyfromtanzania
@Boyfromtanzania 2 жыл бұрын
@@simonmwandu2214 😂😂😂😂 Ni kweli kabisa mkuu, ila sasa no way bola inayokupa ukiziwi kwa mda kuliko wanao hairisha safari sometimes kwa sababuzao binafsi..
@zozokulwa1627
@zozokulwa1627 2 жыл бұрын
@@simonmwandu2214 😂😂😂
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Mimi sisafiri na iry tanzania oman eya bass
@gaudencekalyalya3107
@gaudencekalyalya3107 2 жыл бұрын
Customer service ya air tanzania ni mbovu sana , ndege zinachelewa na muda mwingi hawaoni sababu hata kutowa taarifa, similarly namba ya air tanzania mbeya ni jina la mtu binafsi tu na ndiko pesa zinaenda . Most of the time ndege zinaenda tupu , huku wakielezq ndege imejaa, kama system imewashindq kutumia watafute njia ingine ambayo system itaruhusu bookings zote kuwa wazi at least 24 hrs before na zinazofanyika within 24 hrs ziwe na instant payments
@glorysungura3180
@glorysungura3180 2 жыл бұрын
Air tz nitatizo sana kigoma. Hata mimi nilikutana na tatizo hilo mwezi wa 12 mwaka jana. Nilitoka Dar kwenda kgm, nilikata tiketi ya kwenda na kurudi. Wakati wa kutoka kgm kurudi Dar kidogo nibakie. Kuna watu wengi walibaki. Air tz wabadirike, vinginevyo watapoteza uaminifu.
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 2 жыл бұрын
Mimi 2021 December nilisafiria Qatar airways kutoka Marekani kwenda Qatar hadi Dar es salaam na mwisho wa safari ulikua Kigoma. Nilipofika dar process kwenye airport umepitiliza kua mrefu. Covid 19, harafu unapitia immigration, harafu baggage check up, kuna pia karatasi unajaza, na nilipokwenda kutaka kuchukua ndege nikakuta imeniacha. Na nikiwa Nakata ticket niliweka Insurance. Lakini wakasema kua natakiwa kukata ya next day. Nikasema kwanini nisipewe nyingine pasina kulipa? Wakasema kwakua sijakatia kwenye Airtanzania. Niliamua kukata nyingine. Kwahio kama patakua na ndege nyingine siwezi kupanda airtanzania Tena. Kwakua sijui tumerogwa na nani wa africa
@ahz6907
@ahz6907 2 жыл бұрын
Nafikiri ni hapa kwetu tu.na mambo yanayokuwa chini ya serikali huwa hayaendi sawa na muda. Fast jet was my best airline on local flights.
@tumsifushoo6400
@tumsifushoo6400 2 жыл бұрын
ni kweli ndugu airtanzania mnatakiwa mabadiliko..mimi nilitoka Adiss Ababa na mzigo wangu Wa kuweka chini kwenye ndege ambao huwezi kuwa nao kwenye cabin, ulikuwa kg 25...kumbuka Ethiopian air line wanaruhusu kg 30..nilipofika Dar nacheck in kwenda Kilimanjaro naambiwa mzigo umezidi itabidi ulipie kg 2...nikaomba sana na nikawambia nimekuja na international flight ambayo inaruhusu zaidi ya hizo kilo...hawakunielewa..ikabidi nilipie kg 2..nadhani ilikuwa 16,000tshs...najiuliza kwa nini wasitenganishe abiria wanaokuja Wa international na Wanaosafiri ndani ya nchi? je hata wageni wanalipa hivyo kama wanasafiri ndani ya Tanzania ikiwa wametoka Marekani au kwingine kokote? mimi niliona huo utaratibu kama sio mzuri..je ukifika huna hela na mzigo ni 30kg unawaachia uliyozidi au? kwa kweli inakatisha tamaa.. siku ingine itabidi nipate ndege ya moja kwa moja kwenda KIA na mzigo wangu..vinginevyo Sitatumia airtanzania maana ni kero
@amanintaho6928
@amanintaho6928 2 жыл бұрын
Naimani kubwa sana huu ujumbe wameupata vyema. Na mimi video hii naipeleka direct kwa wale watu ninaofahamiana nao wanaokata tiketi za Airtanzania. Hili litakuwa somo kubwa kwao. Big up Makulilo kwa kufikisha hiki kilio cha wengi
@mustafajuma2214
@mustafajuma2214 2 жыл бұрын
Tupo pamoja brother
@dyakinyamadyaki8908
@dyakinyamadyaki8908 2 жыл бұрын
Kaka ukiona watu wanapply Dv program , maana yake ndio hyo Sasa😀 pole sana Kaka EBM
@jescaedwardkurumela4333
@jescaedwardkurumela4333 2 жыл бұрын
Ni kweli, mi siku hiyo nimepangiwa kusafiri na air Tz siku ya kwanza sikujua baadhi ya utaratibu. Ila nilipowafuata baadhi ya wahudumu ili wanipe maelekezo wanajisikia wanijibu vyovyote wengine wananitazama tu nilikuwa na mgojwa hakika nilijisikia vibaya mno, wanaona watu weupe ndo wanawachangamkia(ovyo), Duuu nilitamani nigeenda tu mbezi kituo Cha mabasi maana watu wa mabasi wanakupokea na maelekezo mazuri juu Ukalimu katika kazi tuzifanyazo Ni muhimu haijalishi uko juu kiasi gani kumpita mwingine sio lazima kila mtu ajionyeshe Yuko level gani. Wajirekebishe kweli
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 2 жыл бұрын
Air Tanzania ni bure bure bure tena ni bora kusafiri kwa basi. Safari zao hazieleweki ni sawa naza daladala. Hawana customer care, wanaongea kwa dharau na kiburi na majivuno. Wanajivunia uniform tu kazi hawafanyi nikuburuza miguu. Walinitenda mara mbili nimetia akili. Precision Air is everything.
@simonmwandu2214
@simonmwandu2214 2 жыл бұрын
Tatizo siyo air tanzania tatizo waafrika ndiyo tulivyo hta maofisin mtu unakuta sehem yakaz yake anakuringia utafikilia unataka msaada
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 2 жыл бұрын
@@simonmwandu2214 Bure kabisa. Ndio maana wanabakia chini tu kimaendeleo.
@zackariamtunguja9435
@zackariamtunguja9435 2 жыл бұрын
Hata hao Precision walishanifanyia the same, ndege haijafika naambiwa siwezi ku check in
@sarahmero4561
@sarahmero4561 2 жыл бұрын
Kwa kwl mimi sibadilishagi ndege air Tanzania 😒
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 2 жыл бұрын
@@simonmwandu2214 Hakuna cha Waafrika, ni ujinga wa watu tu bna kujificha kwenye kivuli cha uafrika😂😂😂.
@isaacmbuna8898
@isaacmbuna8898 2 жыл бұрын
Hii aibu sana aisee
@benedictormwalugaja5314
@benedictormwalugaja5314 2 жыл бұрын
Ushauri mzuri sana kwa maendeleo ya biashara za taifa letu wahusika waupokee on positive view na wafanye marekebisho Pia ikitokea siku mtu ameona marekebisho au hawajafanya pia n vizuri liwekwe waz kwa mara nyingine
@mawazoaliselemani8909
@mawazoaliselemani8909 2 жыл бұрын
mawe!😂 kuna atakayepokea huo ushauri,watu wana mifereji yao ya kupiga cha juu.
@lifestylelove9207
@lifestylelove9207 2 жыл бұрын
Ni kweli kabisa kaka Air Tanzania wahudumu wake wanakuwa kama wanalazimishwa kufanya kazzi
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 2 жыл бұрын
Wengine wanafanya kazi kwenye hayo mashirika ya umma lakini mioyo yao haiko na hayo mashirika na mostly kila mtu anaangalia michongo wake.na hai watoa huduma wana nia ya kuua kbs mali za umma pengine wanajua ni kwa faida gani.yaani hakuna uzalendo ni huzuni tuu.Mungu tusaidie
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 2 жыл бұрын
Asante sana kwa kuliweka bayana ili serikali ilione na kulifanyia kazi haraka. Wakuwajibishwa wawajibishwe haraka na kama ni kuwafukuza kazi .. wafukuzwe haraka ili wasiendelee kutuletea hasara
@bajagihaji8923
@bajagihaji8923 2 жыл бұрын
Huduma nyingi Tanzania zina tabu usumbufu tu
@Veni584
@Veni584 2 жыл бұрын
Mtagundua mengi mwamba ameondoka, RIP JPM
@clausemsemwa297
@clausemsemwa297 2 жыл бұрын
This is Africa.....
@jaquelinesumary7167
@jaquelinesumary7167 2 жыл бұрын
Tanzania ni mda wa kubadilika sasa
@benedictaustard5583
@benedictaustard5583 2 жыл бұрын
Karibu kwenu Africa!. Hapa hatuna Wazungu!.
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 2 жыл бұрын
Lkn si mnapokea wazungu? Basi zungurukeni ati🤣🤣🤣
@MRST_1662
@MRST_1662 2 жыл бұрын
T.I.A Kaka, it like nakutafutia sababu zisizo zisizo make sense sounds like nipe ni kuleta 😜😂 I have my own experience with flights I will share soon as I can lol. It like you have to argue them!🥵
@mrfestomsyangi1305
@mrfestomsyangi1305 2 жыл бұрын
Wanazingua sana
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Mtihani
@Africa-in-ME
@Africa-in-ME 2 жыл бұрын
Ila wabongo jamani, uhuni mpaka kwenye mambo ya msingi yanayohitaji umakini, kweli Tanzania kuendelea itakua ngumu sana
@chrispinboniface3329
@chrispinboniface3329 2 жыл бұрын
tanzania huduma nying ni za kiboya sana sijui tutabadilika lini daaaaaa
@deogratiustimoth4070
@deogratiustimoth4070 2 жыл бұрын
Mama Alisha sema ana jaza watu pesa maana yake wapo kugwana na kutujazia sisi mikodi na mitozo Kila Mahali na wanaacha vitu vya msingi
@FMercuryEA
@FMercuryEA 2 жыл бұрын
Unbelievable ! Wow,...
@danieltungira3837
@danieltungira3837 2 жыл бұрын
Lakini asante kaka kwa kuja kwenye public ili sisi walipa kodi tuwe aware juu ya mashilika yetu
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 2 жыл бұрын
Tanzania ni nchi ya ajabu sana,,kila mtu mwizi, na wakubwa hawawezi kusema kitu kwa sababu hata wao ni wezi,,nchi ina laana,,,imepigwa laana,,kwa sababu mlipokonya watu mali zao,,kwa upumbavu wa Azimio la Arusha,,na bado Tz itabaki hivyo hivyo kwa dhulma
@abumasoud1996
@abumasoud1996 2 жыл бұрын
Air Tanzania inachongamoto nyingi rushwa inanuka sana
@itsnotthatserious2291
@itsnotthatserious2291 2 жыл бұрын
Sio air Tanzania tu, ni serikali kiujumla. Huduma zote za serikali ni fyatu fyatu sana. Poor operations, na hakuna accountability.
@benjamindenice53
@benjamindenice53 2 жыл бұрын
Daaaah nmeumia mno mpaka nikawaza waliokuwa wakisema ndege kuwa zilinunuliwa mbovu napata mashaka na hzo udhuru za ndege
@justinealone8683
@justinealone8683 2 жыл бұрын
EBM mimi pia mda Huu nipo hapa Bukoba AirPort nimewahi dakika 45 na ndege imechelewa kutoka nusu saa nzima mbele lakini nimezuiliwa kabisa ku board kiukweli huduma kwa wateja kwenye hii ndege ni Changamoto sana
@williammatata2611
@williammatata2611 2 жыл бұрын
Hii bongo yetu changamoto sana
@stanza4857
@stanza4857 2 жыл бұрын
Hii unampigia mbuzi gitaa, hakuna kitakachobadilika. Umepoteza muda wako bure na sauti yako bure. Serikali ina nia nzuri kulifufua shirika na kuliboresha, lakini kilichopo ni mvinyo ule ule kwenye chupa mpya. Kuzungumzia professionalism ya ATCL customer service inabidi ufikiri kwelikweli.
@robertmasagasi6407
@robertmasagasi6407 2 жыл бұрын
Kwakweli customer service ni mbaya,nilizuiliwa kupiga picha kuna ubaya gani??yaaani mgao wa korosho ulinipita🤸🏻😁,pia wahudum they're not humble
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 2 жыл бұрын
Tanzanian bado sana2 yaan nomaaa kila mtu anasemaa tz hakuna hudumaa ya ndege kk
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 2 жыл бұрын
Asante sana...ni aibu ni aibu aibu tupu
@christianmwebeyo6669
@christianmwebeyo6669 2 жыл бұрын
Pole sana kaka, nadhani mamraka husika zichukue hatua kwa Hilo,
@sirnunda3758
@sirnunda3758 2 жыл бұрын
SHIDA NI NO HARRY IN AFRICA. MUNGU ATUSAIDIE SANA WE ARE LAGGING BEHIND IN EVERY ASPECT OF LIFE
@queentz8314
@queentz8314 2 жыл бұрын
Mungu wangu Hii ni aibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu kubwaaa
@itaelmanang2968
@itaelmanang2968 2 жыл бұрын
Mwabongo ni wabongo tu mzee
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 2 жыл бұрын
Watembembelee nchi za Qatar, Emirates, Egypt, Ethiopia na mashirika mengine makubwa,wajifunze,tofauti na hapo mtapoteza wateja,na hatutaendelea 🤷😵🤔
@fredycrobi475
@fredycrobi475 2 жыл бұрын
Duh! Pole sana.
@bernardmongella657
@bernardmongella657 2 жыл бұрын
Kama ni kweli hizo ni tuhuma nzito sana. Zinapaswa kuchunguzwa na hatua kuchukuliwa dhidi tuhuma nzito.
@drtobias_
@drtobias_ 2 жыл бұрын
Kwa Niaba ya Channel Yangu na team Nzima ya Dr Tobias chini ya Eagles Production Nina wapongeza Kwa Kazi Nzuri,🇿🇦
@danieltungira3837
@danieltungira3837 2 жыл бұрын
Hakuna mwenye shida na na hili shilika ndo maana zinakujaga ripoti za hasara kumbe sababu si biashara bali ni wasimamiz kugeuza kitega uchumi chao ambapo capital ni selikal
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 2 жыл бұрын
Shirika halina shida,,,,tatizo ni wanaofanya kazi hapo,,nikikwambia tokea magu afe, kuna madudu kwenye hilo shirika
@jhecfoundationtanzania2891
@jhecfoundationtanzania2891 2 жыл бұрын
Daaahh Hadi aibu Sanaa, watu weusi ifika 2050 wajukuu wetu wataamini kuwa mtu mweusi alitokaba na sokwe
@mbarukunzige5742
@mbarukunzige5742 2 жыл бұрын
Walifilisi Shirika la awali kwa kuiba na Hili nalo litafilisika soon
@ancytarimo1103
@ancytarimo1103 2 жыл бұрын
Honestly haifurahishi kabisa.Toa huduma nzuri mahala pako pa kazi .
@nasseralhabsi1483
@nasseralhabsi1483 2 жыл бұрын
Karibu Bongo bro., Air Tanzania bado wako nyuma sana kiutendaji, hawawezi kushindana hata na Pricision Air. Je, tutafika?.
@ludovickmutalemwa4915
@ludovickmutalemwa4915 2 жыл бұрын
yaani tz jamani daaa Mungu atusaidie maana daa nashindwa kueleza
@mgongolwajoseph6901
@mgongolwajoseph6901 2 жыл бұрын
Niujingaaaa mkubwa wanania ovu kuiangusha serikari
@zclassichb9614
@zclassichb9614 Жыл бұрын
paka akitoka.. panya hujitawala RIP JPM
@wahidaabeid5712
@wahidaabeid5712 2 жыл бұрын
Sio air Tanzania pekee matatizo yako sehemu nyingi sana watu kujifanya mungu watu na uwongo ndio umeshamiri na rushwa tufike time tuachane na mambo yalikuwa na manufaa kwetu tujirekebishe watanzania lini tutakuwa na msimamo thabiti
@sheagraphics269
@sheagraphics269 2 жыл бұрын
Kuna namna watanzania bado hatujatimiza wajibu wetu Kama wamiliki wakuu na wasimamizi wa Mali zetu za umma na nchi yetu jukumu la kuiwajibisha serikali ni la mwananchi na sio serikali kuiwajibisha wananchi, haiwezekani watu wachache wanakula mabilioni ya pesa na kuhujumu Mali za Uma ambazo zinatokana na Kodi za watu wa Hali ya chini bila kujali
@abdallahkamilagwa9655
@abdallahkamilagwa9655 2 жыл бұрын
Hii habari kwa kweli inachoma mioyo yetu WATANZANIA,Kodi zetu wanazifinyangafinyanga Kama hivyo.Hebu serikali fuatilieni hili jambo halina afya kabisa ktk usimamizi wa Mali za umma😭😭😭😭😭
@joasitz9559
@joasitz9559 2 жыл бұрын
I wish our president asome hizi comments. Hope she can do something to save the mentioned company. It's very sad 😔
@denismugisha2
@denismugisha2 2 жыл бұрын
Airtanzania jitokezeni hapa mjibu maugoro yenu msituzingue
@felixuduo5324
@felixuduo5324 2 жыл бұрын
Yaani brother umeongea point, kilicho kutokea na Mimi kimenitokea Hapo Dar, Ndege kuondoka kabla ya muda ambao Abiria wame book ticket, nikitu ambacho kinasikitisha sana na kina fedhehesha sana, sijawahi kuona Ndege kuondoka kabla ya Muda, hua ina chelewa lakini sio kuondoka, Serikali inabidi iangalie hichi kitu kwa kina sana au kampuni za watu binafsi ambazo ziko serious na biashara wazi ruhusu zifanye kazi, huu ujinga umeniudhi sana kabisa yaani, na ukuuliza kwanini Ndege imeondoka kabla ya muda Hawa kuambia, sasa imebeba mizimu? Mbona Abiria karibu wote tuko hapa, aaah inasikitisha, kama wameshindwa kufanya biashara, waache kuliko kuasumbua Abiria.
@dennishyera6127
@dennishyera6127 2 жыл бұрын
Rushwaaa tupuuu.
@pembemussa2804
@pembemussa2804 2 жыл бұрын
Sema ukweli japo itawachoma baadhi ya wa husika ila kiukweli Tz ni kwetu ila janja janja bado ni janga la Taifa zima Endelea kuwachanua #Timeisnow
@edwardouma1630
@edwardouma1630 2 жыл бұрын
Waelemishe wahache utapeli by Fosill nikiwa jijini Nairobi Kenya
@msalikemedia
@msalikemedia 2 жыл бұрын
Huu ndio Upigaji wa pesa za watanzania iweje Namba ya cm iwe ya mtu binafsi??
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 2 жыл бұрын
Heheheh iyo tanzania yani sasaiv shamba la bibi😀😀😀
@cynthiamcguire1495
@cynthiamcguire1495 2 жыл бұрын
Asante kwa feedback. I will avoid Air Tanzania like a plague.
@haikamsechu8039
@haikamsechu8039 2 жыл бұрын
Asante kutoa hii habari. Tulikuwa Tanzania mwezi wa saba tulipata tatizo hilo la kubadilika kwa muda wa kuondoka Kilimanjaro- Dar. Tulishangaa sana kuona muda ulibadilishwa ndege inawahi kuondoka masaa manne kabla ya muda uliopangwa. Naelewa ndege kuchelewa kuondoka ila kuwahi. Ilikuwa mara ya kwanza kuona. Hii ilikiwa Precision Air tarehe 30 july.
@gilbertmathias7594
@gilbertmathias7594 2 жыл бұрын
Wale sio kama hawajui wanachofanya wanaelewa vizuri bali wanatumiwa na watu wanaotaka kuwekeza kwenye usafirishaji. Kwa ujumla ni wahujumu uchumi.
@brianbrayoo1590
@brianbrayoo1590 2 жыл бұрын
Aibu sana
@BenjaminHenry
@BenjaminHenry 2 жыл бұрын
Yani bro ndo maana mimi sijawahi kupanda ndege tangu nizaliwe kwasababu huduma zao ni mbaya mno poterea mbali taendelea tu kupanda bajaj na baskeli.
@mweusiasili8345
@mweusiasili8345 2 жыл бұрын
Dah wapo kimichongo michongo tu wao ili wapige pesa
@valenakomba9218
@valenakomba9218 2 жыл бұрын
HATUBADILIKI SISI .
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 2 жыл бұрын
Poor customer service utafikiri mlisafirishwa Bure. Ndio tunataka kwenda uchumi wa kati kweli? Hapo viongozi wa Shirika wapo wanapiga tu hela, no one cares. Walipue, labda watabadilika. Big up for a good job you are doing for our country 👏 👍 🙌
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 Жыл бұрын
Tatizo kama hili haliwezi token kama kuna management nzuri iliyo serious. Hapo tuna poor management na dawa ni kupiga watu chini na kuweka management mpya.
@basitbasit2281
@basitbasit2281 2 жыл бұрын
Mimi kabla ya kuja tz huwa nina book online kuepusha urasimu na ni cheap zaidi ya ukienda office zao
@GEORGEOUMA1
@GEORGEOUMA1 2 жыл бұрын
Myself i have bad experience with AirTanzania, costomercare is zero. They act as if it is a family business. They need to learn from other countries.
@jamesmichuki5804
@jamesmichuki5804 2 жыл бұрын
Hie EBM. Plse I would like to talk yo you over a certain issue I need assistance.
@taagiza1159
@taagiza1159 2 жыл бұрын
Hawa mikundu Air Tanzania si ndio wanasema wanapata profit kila mwaka
@bilalwaziri3422
@bilalwaziri3422 2 жыл бұрын
Nsiyona TUI BLUE HOTEL nyumayako
@saidasimba9979
@saidasimba9979 2 жыл бұрын
Tanzania maigizo tunaweza sana
@zariadunia6328
@zariadunia6328 2 жыл бұрын
Tukimkumbuka magufuli wanachukia hilo tena sio shirika lakutusaidia mama anatukatisha tamaa sana
@jumaabas6837
@jumaabas6837 Жыл бұрын
Hakuna shirika hapa ni ubabaishajiiii tuuuu
@jeromeshirima2053
@jeromeshirima2053 2 жыл бұрын
Bongo ujanja mwingi watu hawafuati maadili
@iska9160
@iska9160 2 жыл бұрын
Mkuu hzi experience tunakutana nazo sana .... na hakuna kinachofanyiwa kazi,upigaji tu ndio unaoendelea na sio Air Tanzania tu,maeneo mengi ni tatizo.Kiukweli nipate tu green card nihame hii nchi maana Burundi tulipoambiwa tuhamie napo ni yale yale.
@conganyoyo3195
@conganyoyo3195 2 жыл бұрын
Kaka unajua kujieleza,naomba uwatag wote wenye mamlaka Kama haya waelewe mapema na wakupongeze kwakuyaona haya
@ezekielmabwai4614
@ezekielmabwai4614 2 жыл бұрын
Mbona mimi nilikata online wakati naenda Mwanza? Acheni uongo!!! Pia wakati wa kurudi sikupata tatizo?
@abdulsinga2464
@abdulsinga2464 2 жыл бұрын
Haya mambo yapo..pengine wewe hujakuta nayo....ndugu..
@bennyngoye8707
@bennyngoye8707 2 жыл бұрын
Kikawaida changamoto hazikosekani hata kwa makampuni ya nje,delays na cancellation zinatokana na sababu nyingi tu za kibinadam.
@nathanimo4
@nathanimo4 2 жыл бұрын
Duh #airtanzania wana chelewesha ndege kila mara 🙄
@joycejuliusmihayo5712
@joycejuliusmihayo5712 2 жыл бұрын
Mbona nimeona wamejibu alafu comment yao imepotea tena?
@robertsangito9215
@robertsangito9215 2 жыл бұрын
Selikali imejaa matapeli ambao tunawaita viongozi
@bakarirajabu3783
@bakarirajabu3783 2 жыл бұрын
WATU WANA HUPIGA MWINGI MZEE SHIRIKA LETU LA NDEGE BADO SANA PAMOJA NA JUHUDI ZA MZAKENDO WA WATU KUJIKONGOJA KUHIWEKA NCHI KWENYE RAMA LKN WATU HAWALIONI HILO.
@mawazoaliselemani8909
@mawazoaliselemani8909 2 жыл бұрын
😂😂😂😂cheka unenepe hii bongo bhana..
@sengiyumvajeannete4641
@sengiyumvajeannete4641 2 жыл бұрын
Kitu kikubwa ujui Wa Tanzania wana uaminifu
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 2 жыл бұрын
Kama wameshindwa business wawarudishe fastjet Mana ndo walikuwa wanapiga pesa ndefu Sana na garama zao nafuu kinoma Kama vipi waludi asee
TUNDU LISSU AFUNGUKA SABABU ZA KUGOMBEA UENYEKITI CHADEMA TAIFA
28:23
HAKUNA TRAVEL BAN YOYOTE ILE KWA TANZANIA NA HAITOKUWEPO
27:36
EBM SWAHILI
Рет қаралды 4,9 М.
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 53 МЛН
Lamborghini vs Smoke 😱
00:38
Topper Guild
Рет қаралды 65 МЛН
Hatua na mafunzo ya kuwaTRUCK DRIVER Marekani
1:17:10
EBM SWAHILI
Рет қаралды 7 М.
Mhitimu wa UDOM toka Zanzibar atoa siri nzito iliyopo UDOM
4:18
UDOM AMBASSADORS
Рет қаралды 4,9 М.
Safari yangu kuja USA na kuishi miaka 15 (Njia niliyotumia)
15:34
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 53 МЛН