No video

Safari yangu kuja USA na kuishi miaka 15 (Njia niliyotumia)

  Рет қаралды 19,083

EBM SWAHILI

EBM SWAHILI

Күн бұрын

Safari yangu kuja Marekani na hadi kuwa raia wa Marekani haikuwa rahisi. Kujua njia sahihi na kuzifuata ni muhimu sana ili kuweza kufanikisha ndoto zako.
Hii ni moja ya sehemu kujua safari yangu ya ughaibuni
#ebmscholars #ebmswahili #ebm

Пікірлер: 77
@ElebertBoniface
@ElebertBoniface 4 ай бұрын
Hongera sana pia Asante kwa kutuhabarisha na sisi.
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim 11 ай бұрын
Nataka unisaidie kunijazia na Mke waaangu
@johnstoneolefa913
@johnstoneolefa913 2 жыл бұрын
Swahili was born in Tanzania. Thank you for spreading our native language from East Africa Community to the world through your channel. Ubarikiwe Sana
@Wayne111
@Wayne111 2 жыл бұрын
Hakika Mungu ni mkubwa ndugu zangu!!!__sijamalizia vidéo iyi na tayari nimesha furaiya mno
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim 11 ай бұрын
Habari yako Mheshimiwa Ernest
@Brentswifey
@Brentswifey 3 ай бұрын
This is very inspiring thanks. Mwaka huu nnaenda abroad amen
@kilianmalegea166
@kilianmalegea166 2 жыл бұрын
Huyo ndiye mhaa original
@mashulano4362
@mashulano4362 2 жыл бұрын
Boss hizi video fupi ndio nzuri sana, kuliko zile za masaa kama unaangalia muvi. keep it up..
@sumaiyerahmood6067
@sumaiyerahmood6067 2 жыл бұрын
1994 nilikua ndio nmezaliwa👌 hongera bro
@casillascicero7944
@casillascicero7944 2 жыл бұрын
Mungu akubariki, love from Kenya, Kilifi County
@pembemussa2804
@pembemussa2804 2 жыл бұрын
Shukraan sana kaka kiukweli anaetenga muda wake na bando lake la kuunga Unga kwa ajili ya ku kuskiza wewe wala hawezijutia Ubarikiwe sana..
@victornzebele3990
@victornzebele3990 3 ай бұрын
Merci beaucoup
@pennywilliams3151
@pennywilliams3151 Жыл бұрын
Because of this you got a new subscriber from Kenya.thank you sir
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim 11 ай бұрын
Unaozoefu wa haya mambo
@eduhchanzy5653
@eduhchanzy5653 Жыл бұрын
mungu ni mwema na pia ndiye mkuu .. ndio maana huwa unazilainisha point zako vizuri hivyo kumbe wewe ni mwalimu stadi... kongole kwa kazi Yako kaka.
@da2jamhuri418
@da2jamhuri418 2 жыл бұрын
Kiongozi pole na majukumu,tufanyie mlejesho wa canada tafadhali
@sukivlog885
@sukivlog885 2 жыл бұрын
Yani me elimu yangu high school kwasababu chuo nlishidwa kumaliza kwasababu ya Ada Natamani kusoma abroad lakini hata sielewi
@bivactanzania9642
@bivactanzania9642 2 жыл бұрын
Hongera Sana nakumbuka ulikuja kuniaga na uliniambia ndoto zako zinaenda kutimia
@bitotojafu9411
@bitotojafu9411 2 жыл бұрын
Kaka unasaidia sana jamii mungu akubarik na akuzidishie moyo huwo huwo inshALLAH
@J.chicksPoint-qn4ef
@J.chicksPoint-qn4ef Жыл бұрын
Halooo nimependa sanaaa na nimetamani sanaa
@annkamau2760
@annkamau2760 Жыл бұрын
Asante sana kwa kutumia lugha yetu
@reginaevance7175
@reginaevance7175 2 жыл бұрын
Mungu akuzidishie EBM🙏🙏ubarikiwe sana
@hamisitollah-ng9sw
@hamisitollah-ng9sw Жыл бұрын
God bless you more than your plans
@mosesnandi
@mosesnandi 2 жыл бұрын
Great video brother!
@peterswai391
@peterswai391 2 жыл бұрын
Nice fact kaka God bless more
@sydinemasibo
@sydinemasibo 2 жыл бұрын
I have really learnt a lot from that information God bless you 🙏. I pray that God grants me an opportunity to see that beautiful nation.
@kenndellatraveller3130
@kenndellatraveller3130 2 жыл бұрын
We learn from you you're our mentor 👌👌we follow you this is kenn della
@carenhilary8067
@carenhilary8067 2 жыл бұрын
Hakika Mungu NI Mwema ,Barikiwa
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim 11 ай бұрын
Nataka unisaidie kaaabisaaa
@mjmswahil6244
@mjmswahil6244 2 жыл бұрын
Shurkn sana Anko kuendelea kutu amasha Mungu akubariki sana 🙏
@movingwheels26
@movingwheels26 2 жыл бұрын
Always inspired. Asante.
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim 11 ай бұрын
Iyo Application
@HubertCubaka
@HubertCubaka 2 жыл бұрын
Great video...
@subiraabdalah5291
@subiraabdalah5291 Жыл бұрын
Hongera sana bro
@catherinebillsbrough6760
@catherinebillsbrough6760 2 жыл бұрын
Asante sana kwa ku share story yako!
@babyelephant5098
@babyelephant5098 2 жыл бұрын
Brother EBM mimi ni Tanzania nipo Arizona USA naomba email yak pls kuna story nataka kukupa nafikiri itakuwa video poa sana. Nashukuru
@gwaphamayemba5708
@gwaphamayemba5708 2 жыл бұрын
Asante sana kwa Material
@fiderebizimana319
@fiderebizimana319 2 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana nduyangu mimi Ni murundi niko South Africa kama kwasasa niko namywaka 15 na Pambana nguta futamaisha ila bando naomba usaidiwako ilaniweze gutoka namimi nashukuru Sana mungu akubariki
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim 11 ай бұрын
Natumikisha wifi
@iamjoseph795
@iamjoseph795 2 жыл бұрын
Vizuri mkubwa wangu.
@ramamrutu4914
@ramamrutu4914 Жыл бұрын
Kwa nini niende marekani ? Mwenye uelewa mzuri afunguke tujue
@abrahammwambije2769
@abrahammwambije2769 2 жыл бұрын
Hongera mkuu nime kuina ukiwa ume vaa kombati za kijeshi Nika jiuliza sana kwamba uli fikaje? Kongore sana mkuu
@mundhirothman9842
@mundhirothman9842 2 жыл бұрын
Je kama umeishia daresa la saba huna chet chochote unaweza vipi kwenda usa 🇺🇸
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim 11 ай бұрын
Mke nimemuacha Burundi 🇧🇮
@Iam_kim
@Iam_kim 2 жыл бұрын
Shukran!
@tomshiii485
@tomshiii485 2 жыл бұрын
Daah! Hiyo process uliyopitia ni kama mtihani wa mathe hadi nakata tamaa
@subiraabdalah5291
@subiraabdalah5291 Жыл бұрын
Niambie nitakupataje Ili tuongee kwa upeo
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 2 жыл бұрын
Mi ndoto zangu niingie Canada 🇨🇦
@Truly_Afrikan
@Truly_Afrikan Жыл бұрын
Go to Vancouver
@bwannuryshaban786
@bwannuryshaban786 3 ай бұрын
Samahan kaka hivi mnalipwa na hao wamalekani mpak mnatushawishi tuende or nyiny mnapata faida gan
@drtobias_
@drtobias_ 2 жыл бұрын
Kwa Niaba ya Channel Yangu na team Nzima ya Dr Tobias chini ya Eagles Production Nina wapongeza Kwa Kazi Nzuri,🇿🇦
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim 11 ай бұрын
Nataka ukija apa kenya nataka tuonane unisaidie kunijazia
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim 11 ай бұрын
Alakini ivi sasa naishi Nairobi
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim 11 ай бұрын
Ivi nataka nirudie tena kujaza iyo Application
@mosesjoseph730
@mosesjoseph730 4 ай бұрын
Matokeo ya Flta hutoka lini?
@JoyceakaJowi
@JoyceakaJowi 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥✍🏻✍🏻✍🏻
@lukelopatrick3187
@lukelopatrick3187 2 жыл бұрын
Asante
@beatriceemanuel1098
@beatriceemanuel1098 Жыл бұрын
2005 nipo darasa lasaba
@godaboveallchanell7033
@godaboveallchanell7033 2 жыл бұрын
Mutusaidie nasi pia tuwefikauko
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
@sharifasharif3978
@sharifasharif3978 2 жыл бұрын
Maashallah nimekuelewa sana broo je napataje namba zako? Pls pls kk nahitaji tuongee zaid kwa hisan yako
@NduguEzekiel
@NduguEzekiel 2 жыл бұрын
Hii nchi waafrika ni kwao sababu kila kitu kimejengwa na rasilimali za waafrika, mkuu hapo ulipo unakula matunda yako na sisi tutakuja kuishi ni kwetu huko
@Therevelation.
@Therevelation. 2 жыл бұрын
Kaka huyo mwalimu, mnunulie Tu hata kitambaa cha kushonesha.
@NdayisabaKarim
@NdayisabaKarim 11 ай бұрын
Email yako naitaka ndugu yetu Ernest Makuriro
@mikaayo336
@mikaayo336 2 жыл бұрын
MUNGU akutunze, ni watu wachache hupenda kuwasaidia wengine. Endelea kuwasaidia vijana wenzio
@subiraabdalah5291
@subiraabdalah5291 Жыл бұрын
Nataka namba yoko plz kaka
@paulkaruma5984
@paulkaruma5984 2 жыл бұрын
Wacha kudanganya watu. Nani akujui Unauza Mandazi kariako😂😂😂😂😂
@malakimollel6044
@malakimollel6044 2 жыл бұрын
Kuwa na Adabu bac..jiheshimu!
@abdulsalum8138
@abdulsalum8138 2 жыл бұрын
Uza naww
@honoreabel1058
@honoreabel1058 Жыл бұрын
Ukisha shinda green lottery ukisha fika marecan wenyewe wanakutafutia kazi
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI Жыл бұрын
Unatafuta mwenyewe
@marysabihi9931
@marysabihi9931 Ай бұрын
nakupataje kwa namba ya WhatsApp mbona sikupati
@tazonlineonline109
@tazonlineonline109 2 жыл бұрын
Nimekutumia sms whatsapp kujua utaratibu wa kupata visa ya Canada hujibu
@mchinamweusi610
@mchinamweusi610 2 жыл бұрын
Asante kwa somo
@abrahammwambije2769
@abrahammwambije2769 2 жыл бұрын
Hongera mkuu nime kuina ukiwa ume vaa kombati za kijeshi Nika jiuliza sana kwamba uli fikaje? Kongore sana mkuu
@NduguEzekiel
@NduguEzekiel 2 жыл бұрын
Hii nchi waafrika ni kwao sababu kila kitu kimejengwa na rasilimali za waafrika, mkuu hapo ulipo unakula matunda yako na sisi tutakuja kuishi ni kwetu huko
Top 5 Mistakes People do Inside the Visa interview Room|#f1, #b1b2, #j1, #m1 #visa
8:57
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 28 МЛН
Schoolboy Runaway в реальной жизни🤣@onLI_gAmeS
00:31
МишАня
Рет қаралды 3,6 МЛН
Tour around my house - affordable state (low cost of living in USA)
11:04
Mtanzania Daktari Bingwa USA 🇺🇸 aliyesoma Harvard University
12:55
Kujiunga na jeshi Jeshi la Marekani | Taratibu na faida zake
12:29
Why is anti-immigration sentiment on the rise in Canada?
13:00
The Guardian
Рет қаралды 1,9 МЛН
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 28 МЛН