Hongera sana mtangazaji una utulivu, huna mbwembwe, sauti yako iko vzr, umetulia na sautt yako. Watangazaji igeni style hii, mnaboa sana una mhoji mtu halafu ww mwenyewe ndo unakuwa na maneno mengi
@khadijahomankweliyamjahaya74213 жыл бұрын
Sana
@shyfettymtunda19283 жыл бұрын
Aisee kametoka bomba.Hongera sana wazazi wake. Kwakweli bwana Mwapamba kaliwakilisha Taifa vizuri.😄
@yasodishonest97923 жыл бұрын
Umetokea bomba sana nusu china nusu Tz❤❤
@fatimambaruku18333 жыл бұрын
Kweli kabisa
@sudymgeni7013 жыл бұрын
Tusinge kua nazo izo ndege ingekuaje.MUNGU ilaze mahali pema peponi mwanzilishi wetu .pombe magufuli.. AMENI
@uhurunyereremusa85923 жыл бұрын
kwani kabla ya hizo ndege watu walikuwa wanakwendaje China?? hakuna cha ajabu
@subirajohn7283 жыл бұрын
Amina.
@subirajohn7283 жыл бұрын
@@uhurunyereremusa8592 Walikuwa wakenda na ndege za watu sasa tunazo za kwetu tunajivunia Magufuli Mwenyezimungu amrehemu uko alipo amjalie pepo isiyo na mwisho! Amina.
@jenyyusuph49733 жыл бұрын
Eee kelele wivu tu kabla ya Magufuli yalikua yansnufaika mataifa mengine uelewe
@jenyyusuph49733 жыл бұрын
Kama sio juhudi zako magufuli na mindege tungeipata wapi Tena magufuli aka endelea kusema UWIII! KWELI NIKIONDOKA IKITOKEA MUNGU AMENICHUKUA MINDEGE ITA NUNULIWA? PUMZIKA KWENYE HERI DADDY FROM TANZANIAN
@luganomwaigomole88493 жыл бұрын
Mnyaki km Mnyakyusa Respect kwa Baharia mwenzangu... Karibu Mbeya kijana.. We Proudly as well For Our Nation... The Blessed Land.
@caltongenmercantile46513 жыл бұрын
Mwandishi hongera sana , unajua kuhoji kukidhi maswali na uhitaji wa watazamaji wako - keep it up brother
@rajabuhondo49733 жыл бұрын
Chuma Ali fanya kazi Allah 🙏 msamehe mabaya yake
@stephanominja89273 жыл бұрын
Nimemkubali sana. Kwani anajiamini!! Big up ton mwampamba,
@blandinamyinga94893 жыл бұрын
Nyakyusa boy🔥🔥🔥
@cliffordrighton35983 жыл бұрын
Anaitwa Ton Mapamba na sio Mwampamba
@cliffordrighton35983 жыл бұрын
Huyu ndugu namfaham na baba yake anaishi Tukuyu kijiji cha ushirika karbu na Shule ya Msingi Masebe.
@kimmchepeweb23443 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@المهلهلالحراصي3 жыл бұрын
@@cliffordrighton3598 ndo umwelekeze sasa
@mimimoop26173 жыл бұрын
JPM Safi Sana japo Wana,ipo davlkn zinawafaa upumnzike kwa amani amen
@dothomwandaliw40573 жыл бұрын
Hakuna km maguu mungu ailaze mahali pema peponi
@plujorilugano94893 жыл бұрын
Una uelewa sana dogo, umuhimu wa nia yako ya kutaka kumjua baba, hongera sana
@salummuhija44353 жыл бұрын
Jpm forever. Hatuna jinsi kwa sababu wewe mungu ndio muweza wa mambo yote I wish ungetuachia jpm tumalize nae miaka kumi tu tungekua mbali sana.
@kawiche49113 жыл бұрын
Mwana mwema wa Afrika daima TUTAKukumbuka . Shujaa wa Afrika John Pombe MaGufuli. WALIOKUPIGA VITA HAWATAFANIKIWA DAIMA TUTAKUTETEA ALUTA CONTINUA. . RIP JPM. MUNGU AILAZE ROHO YAKO MAHALI PEMA PEPONI
@omarmatuta77093 жыл бұрын
Umemalza kumuombea dua mwendazake
@ruthmaeja63403 жыл бұрын
Huu mchanganyiko uko pouwa kabisa yaani Handsome Mungu fundi🙏🏾
@saralusinde532 жыл бұрын
sana hb
@ELIZABETH-uz6dv5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@darajalakidatukilomgi23623 жыл бұрын
Safi sana ATCL, maendeleo hayo, kwa sasa biashara kutoka China kuja Tanzania imerahisishwa, Kikubwa mlinde sana mizigo inayotoka na inayoingia tusije kuletewa mabomu ya mbalimbali, na mizigo inayotoka mchunge mali zetu zisiondoke kiholela
@mambachagulaga72343 жыл бұрын
Ni kweli kuweni makini siyo kila kitu yes!
@rahmazahor43333 жыл бұрын
Wowww this Tz/Chinese guy is very smart
@ELIZABETH-uz6dv5 ай бұрын
Nice mix 🇨🇳🇹🇿 from 🇯🇵❤❤❤❤❤
@derrickmutuma71853 жыл бұрын
Congratulations Tanzania. Love from Kenya.
@adam_speech-languagepathol113 жыл бұрын
Love you too.... Hapa kwenu, K.U.
@briansancedo93363 жыл бұрын
Safi Tony mapamba karibu Mbeya Tukuyu
@basilisamsaka84693 жыл бұрын
Kweli Tanzania hakuna Corona.
@faidanblack62503 жыл бұрын
Ughonile nkamu ghwitu
@irakozejclaude78693 жыл бұрын
Full popo eti China wananita muafrica nikija Africa wananita Mu China😂 Safi sana brother mapamba Hio nayo fursa kichina na kiswahili utapiga pesa
@slemansleyoum94003 жыл бұрын
Hahaha
@yusuphkapilimka3 жыл бұрын
Ni Mwampamba mnyakyusa
@precioussilungwe73653 жыл бұрын
Huyo kashindwa kutamka jina lake halisi ni Mwampamba. Very smart young man
@samwa94962 жыл бұрын
ni mwambapa china hawana mwa
@Jenniferspace3 жыл бұрын
He looks like Filipino or Thai❤️👍🏾
@zannachrischen7913 жыл бұрын
Yes ur right he so handsome
@estheremmanuel31983 жыл бұрын
Exactly
@husseinramadhani13452 жыл бұрын
Sure, i was wondering the same
@johnkigina16962 жыл бұрын
Kweli kma filipino
@amigodossantos41293 жыл бұрын
Duuh Tanzania yetu iko forward na Ndege straight to China
@malopemaliyamungu52433 жыл бұрын
Mweee..mweee... Mwampamba. Wanyakyusa hoyeeee. Na sisi tupogo kimataifa.
@deusoden36143 жыл бұрын
😄😄
@juliusjohn94532 жыл бұрын
Hongera sana Tonny Zhang (Mapamba) You have tracked your origin.
@tuterlakapo20163 жыл бұрын
Powa Sana.. inafurahisha mno kuona kijana wa kichinatanzania.. ambae ni mchangamfu mno wa kujitambua/kujinasibu kuayeye ni MtanazChaina.. hkk inapendeza sna na kufurahisha inastahil.
@josephinanikwelimdacki33303 жыл бұрын
I love jpm walio sema ndege hazina aibu sasa wa naona aibu tuna muitunze nchi yetu mlioko madarakani
@rosa6293 жыл бұрын
Anaongea kiswahili kizuri sana chaaa...
@King_Of_Everything3 жыл бұрын
Very interesting i love it. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
@phillipmatola69643 жыл бұрын
WANYAKYUSA noma... Watoto mpaka China duuuh
@ahmadseif72413 жыл бұрын
Hahahaha
@richardmwandali77223 жыл бұрын
Mwanetuu hojo mwaisa
@عباسعباس-ش9ه4ت3 жыл бұрын
Magufuri atakuwa kapewa kazi za kuwaongoza malaika maana kila kukicha nikuongelewa mazur tu mungu amsamehe baba yetu
Uwaambie kwamba tunajua wao wanachotaka kwetu ni kutuchuma tu awana urafiki ni watu wabaya ikiwezekana ludi home achana nao
@patrickKitambo3 жыл бұрын
jaman mkienda nchi za watu kutuwakilisha hakikisha unaacha mbegu kama hizi inakua poa sana
@reginasawe33563 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@aishaanthony45083 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@berthamasanja35123 жыл бұрын
Kijana amshukuru Mungu Sana kwa kupata babake na kapendeza Sana kwa rangi
@emmanuelmaiko85033 жыл бұрын
Jamaa nimempenda sana mnyachusa
@salumjumaruhaga25133 жыл бұрын
Kweli kabisa kubadilisha ndenge ni shida
@frejascompany60942 жыл бұрын
Oooh karibu mbeya kwenu mnnyakyusa mmwenzangu
@rehemamkalawa38013 жыл бұрын
Kumbe wachina mkichanganya dammu mnanoga hivyoo!
@isaacvtv5473 жыл бұрын
Hata hapa USA watoto kama hao from white + black = rangi huwa kama hiyo. Changamoto watoto wanabaguliwa na wazungu maana si mzungu halisi piya na akienda kwa wa black napenyewe wanasema siyo black
@donaldmwahalende48413 жыл бұрын
Handsome
@fatimambaruku18333 жыл бұрын
😀😀😀
@isayasway48923 жыл бұрын
Nawewe tafuta mchinaa😂😂😂
@isayasway48923 жыл бұрын
Nawewe tafuta mchinaa😂😂😂
@mursalsaid33273 жыл бұрын
Safi sana 👍
@hadijamagufuli26613 жыл бұрын
Hawo nahisi ndio wanaotaka bagamoyo, mbona wengi 😂😂😂
@mrsnam68973 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@TeamKRX3 жыл бұрын
Wanaitaka wakome jamani
@hadijamagufuli26613 жыл бұрын
@@TeamKRX he we kama wanataka bagamoyo wanafanikiwa niwengi Sana, wenyeji wa kikwete mwenyewe a nawapenda wa China, mie nilijuwa hyo mtoto ni wake
@maryamtassama4942 жыл бұрын
Broo wewe nintangazaji mzuri kwa Tanzania nnzima.keep up utafika mbali
@annasalum33663 жыл бұрын
Alafu wachina wenzako kivip ww n myakusa bwana sio mchina
@fatimambaruku18333 жыл бұрын
Mwenzako Ana post makini China anatambulika
@fctlinesfactlines28173 жыл бұрын
Mtanzania Mwenye asili ya China aliekuja kumtafuta Baba yake
@vumiliachacha27433 жыл бұрын
Kweli mpaka nimemkumbuka magufuli jaman huku masaka tonge bado yanamkejeli
@zuenajohn83253 жыл бұрын
Hongera sn Tony.
@petersakariwakube82153 жыл бұрын
Please use two microphones. It's part of the media protocols.
@hssandogoli84463 жыл бұрын
Mambo ya kizamami mic moja
@awalimunishi3 жыл бұрын
Mshukuru Baba walau umekuwa mchina mwenye macho makubwa.
@josephmalisa29873 жыл бұрын
Hongera sana kijana mimi nakuelewa saana tu
@joycesichone41213 жыл бұрын
Mmmmh wanyakyusa mpo vizuri😀😀😀😋
@precioussilungwe73653 жыл бұрын
Wisile ndagha Mwaisa🤣🤣🤣🤣🤣eJho umwana jho Mwambamba. Wanyakyusa mpo juu mbegu mpaka China khaaaa
@aginiweyessayakyando55943 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@barakalukumay3 жыл бұрын
🥰 ndaaga mwaisa hahahaa
@marykarebeti94103 жыл бұрын
Hahahahaaaa
@angelmwanjalila8573 жыл бұрын
Ukoo wa Mapamba tuna kikao tarehe 26/6/2021 karibu kaka
@nantaembanusurupia56743 жыл бұрын
Kwenye kikao, ongeleeni kuhusu mchumba, mwambieni kuna binti wa kifipa huku mama yake mchina baba mfipa, tunaomba aoe huku jina la baba ni chikandaa😅
@pendomarco89283 жыл бұрын
Rip baba yetu magufuri maono yako hakika yalikuwa mbali faida ya ndege inaonekana sasa
@mohammedabdala75263 жыл бұрын
yani namkumbuka baba yetu
@moisemsanga90813 жыл бұрын
Mbona kama sukuma genge 😂😂
@surujajwie47683 жыл бұрын
mashaallah asate kw kutujuza kk yetu bro hii tz au China ❤❤
@alluabdallah68933 жыл бұрын
Wanyaqusa mwaka wenu huu mumepata damu ya kichina ambay inatuwakilisha
@timothmwakakusyu45633 жыл бұрын
Afadhali 😬😬😬😬😬😬
@samiramawby82523 жыл бұрын
Nimecheka
@timothmwakakusyu45633 жыл бұрын
@@samiramawby8252 😂😂😂😂😂😂😂😂
@dominicakamwela47993 жыл бұрын
nimecheka kwa sauti
@timothmwakakusyu45633 жыл бұрын
@@dominicakamwela4799 upoooo 😂😂😂😂😂
@omarmatuta77093 жыл бұрын
Yule mwanangu wa kihindi wallah namfata mana daah mie damu yngu haipotei
@hramadhaniramadhani53283 жыл бұрын
Jux Aje Amchukue Mwanawe Uku/
@salehpandu22503 жыл бұрын
Nice guestions and discussion and answers
@khadijayusuph26343 жыл бұрын
Angekuwa mbongo ungekua unasikia kiingereza kidogo kiswahili kidogo "
@prettyh75093 жыл бұрын
Sahihi huyu hawek lugha yeyote zaid ya kiswahili
@jeskapetero28813 жыл бұрын
Unge sikia yes no
@nasramohamed33533 жыл бұрын
HhhhhhhhHahahHH mnavunja mbavu nyie
@jescaswai93323 жыл бұрын
ana bahat huyu jamaa ni kweli ndio mzee wako na kuna wenzio kama wewe kama edy galamwenda'na emy galamwnda wenyewe wanyaru wazaz wao rest in peace 'mshukuru mungu mnyak mama alicheza brother MZEE mapamba mzee wa kanisa langu coal mining kyela mbeya
@zamzamsuleiman68243 жыл бұрын
Ilikuwa mtuoneshe wakati chombo ndio kinachimba polepole kuanza safari. It would be wonderful.....
@josephinanikwelimdacki33303 жыл бұрын
Love jpm aibu yao
@angelinankuji76603 жыл бұрын
Kabsaaa
@kellyngogo33193 жыл бұрын
Oohhh Jo kyusa ujo?
@mushiphysics.2623 жыл бұрын
Naloli😂😂
@shishishishi38923 жыл бұрын
Mzuri uyo kaka
@abdulmalickupete90153 жыл бұрын
Magufuli maono yako yameanza kuzaa matunda usamehewe kwa makosa yako kwa wema wako
@hajihamis50893 жыл бұрын
Kwan kabla ya kua na ndege zetu wachina ilikua hawaj acheni ujinga
@المهلهلالحراصي3 жыл бұрын
@@hajihamis5089 zilikuwepo lakini cyo zetu wewe huelewi kitu Magufuli pumzika kwa Amani baba nasi tupo nyuma yako
@jumakitwanajumajuma53373 жыл бұрын
Tini uko vizuri wala ubaguzi werdan
@mamylnkuzi84823 жыл бұрын
Hakika.Tz oyeeeeee..maguu oyee
@dothomwandaliw40573 жыл бұрын
Magufuli oyeeee
@ahmadomar27113 жыл бұрын
Hiyi damu kweli ya ki Tz anaongea sana jama yetu hamezi mate huyu kweli ni mtizi
@chichimloli59263 жыл бұрын
Lakn wachina si unaonaga wanaongea harakaharaka
@ahmadomar27113 жыл бұрын
wanaongea ila sisi ndio kipo yao
@majaliwaandulile83793 жыл бұрын
Nice tony uko bien full ma conference
@kshdbzjnxksksw65673 жыл бұрын
Nangojea na oman ije ndonirudi Tanzania inshaallah
@mafundarashid58473 жыл бұрын
🙄🙄
@kapeljjkapeljj54073 жыл бұрын
Duh hawatatuletea corona yao nawako weng sana mh nouma
@fahimafah3493 жыл бұрын
Nimeipenda sauti yako mutangazaji
@mariamnjama39633 жыл бұрын
Babake n mwijaku huyu ...hyo kswahil eeeh umeweza had kigugumz maskn
@leahally46183 жыл бұрын
Mwijaku mmh ajinyee
@olipafrank75183 жыл бұрын
Nakubali sanaaa mtangazajii
@lovenessmwaitege53243 жыл бұрын
Toni Mwamapamba ndaga kalibu Tukuyu kwenu
@simontamba12853 жыл бұрын
Uko poa kaka
@Mimi-wf7mb3 жыл бұрын
The guy is handsome
@doctorpheisaltv62663 жыл бұрын
Jitibu ugonjwa wa ngiri busha kwa mti huu bofya apa 👉
@samiraabdimahamed44493 жыл бұрын
Asije akawa wa vunja bei😂
@athanaselazarongumusn30763 жыл бұрын
😆😆😆😆😆
@sebastianagustino64233 жыл бұрын
Mwaisa world wide😂😂
@saidhamad5333 жыл бұрын
Uwanja wa ndege wekeni na lugha ya kichina maana ni wengi sana tanzania
@khadijasalum6243 жыл бұрын
Ipo nmeona juzi
@khaalidcheo53833 жыл бұрын
Wanyachusha mungu anawaona nyie😀😀😀😀
@mayco-channel__12 жыл бұрын
Mimi ni babaako nitafute nipo😂
@zariadunia63282 жыл бұрын
Mwaisa karibu mwakaleli
@amaliweston39633 жыл бұрын
THE REPORTER IS VERY GOOD🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@marynombo53182 жыл бұрын
No yake ilituagizemizigo
@masupildula3 жыл бұрын
Haha mimi ni mtanzania lakini sijui kitu chochote inayo husu tanzania 😢 因为我一生来就在中国(北京)九岁时,觉得汉语是我母语<>kasababu niko china(Beijing) tangu nimezaliwa, miaka 9, nimehisi luha kubwa ni kichina
@omarysaidmussa15323 жыл бұрын
Mbn wakiandika kama hukijui
@kefapatson71203 жыл бұрын
Mchina mwenye kiswahili cha kimasai 🤣🤣🤣🤣 waliokaa na wamasai wananielewa 🤣🤣🤣.
@husseinkonz51923 жыл бұрын
Hongera mbongo mchina
@johansenrauben61663 жыл бұрын
Brother habari nawezaje kupata connection na huyo ndg
@angelmwanjalila8573 жыл бұрын
Mtafute aswile mapamba wa tukuyu ushirika ndio baba yake
@G.r.e.a.t.I.Q2 жыл бұрын
Sawa, Mapamba!
@auntdorah91413 жыл бұрын
R I P Magufuli.. Tutakukumbuka kwa mengi uliyoyafanya..umeacha alama.