Yani sensa iyi jameni kali😂😂muje mutuhesabu nasisi Congo 🇨🇩 angalaho ata uku Bujumbura 🇧🇮
@kisimachamovemixzadjmackdj15552 жыл бұрын
Yanga kumbe wametoa na suti😄😄
@leiratykisura67182 жыл бұрын
Mmmmhh majina tena huu mtaha unawachawi wanaweza wakapita na weee😂😂😂😂😂😂
@hanashhanash5352 жыл бұрын
Nimecheka 🤣🤣🤣
@engisack9610 Жыл бұрын
Nampenda sana huyo madam mwenye trouser ya red ni mrembo sana Eng Kivugo from Nairobi Kenya 🇰🇪 💖
@zulphaiddi141 Жыл бұрын
.
@allykhalfan95132 жыл бұрын
Mumetisha sanaaa sio Poa
@tanfredmichael1777 Жыл бұрын
Iko vizuri sana, ni kweli changamoto nyingi lakini Kwa semina walizopewa makarani imewasaidia Kwa asilimia kubwa
@stevenstevengerrardjohn72082 жыл бұрын
🤣🤣😂😂😂😂 eti na vibwengo vinahesabu watu 🤣🤣🤣😂😂😂 daaaah Sensa ni noma
@ashuiddy93222 жыл бұрын
Et amejuaje kama ww no kibwengo 🤣
@nicklambertin16692 жыл бұрын
Daaah jamaa kaniacha hoi sana eti kwan yanga wametoa na suti 🤣🤣🤣🤣
@nadanasser10202 жыл бұрын
Nyie nampenda saana uyu hajra yaani ameendana kabisaah kuwa muandikisha sensa kapendezaa saaaana Masha Allah nampenda saana wallah
@sixtussperatus7112 жыл бұрын
Una lolote una angalia kifurushi iko😀😀
@sharishiu1708 Жыл бұрын
Huyo Jamaa wa yellow ni hatari🇰🇪🇰🇪
@Bushman54445 ай бұрын
Yellow card
@mabiormajokakol16352 жыл бұрын
Nimecheka Sana 😂😂. Much love ❤️ from South Sudan 🇸🇸🌚 (Sudani kusini 🇸🇸💪)
@mustafabar-han74672 жыл бұрын
Ahhhhaahha Steve wa helaaaaaa 🔥🔥🔥🔥
@yahayaramadhani36532 жыл бұрын
Kwahii kazi ndo maana jana hatujahesabiwa makaran wanapotezewa muda mwingi kwa kaya 1
@sadockchengula55422 жыл бұрын
Kutwa nzima karani anapitia nyumba 9-12 sijui lini zoezi litaisha inaweza maliza majuma mawili. Sijui ni plan ya kuongeza malipo yawe juu?
@abdulazizsharif2984 Жыл бұрын
Wallah kidoti kapendeza sana na hizi nguo
@abasimhmdabasi1643 Жыл бұрын
mko vizur nmepend hamnaga mbovu
@finiaskalist7472 жыл бұрын
Kkkkkk daaah huyo mwamba wa koti la jeans kauwa sanaa eti naongea na watoto wazuri siongei na vinyago
@bobelichi77212 жыл бұрын
Anaiita serikali Madenge😂🤣🤣🤣🤣
@telesiakaovera43812 жыл бұрын
Elfu mbili nakumi nambili walitu dakika Kumi tu.kwakaya lakini kwamwaka huu wanatumia massa mawaili kwakaya moja
@KelvinGautu Жыл бұрын
Nimeipendaa iy9o
@simonandrew14892 жыл бұрын
Hahaha Mmetixha Sanaaa
@highburyautoglass58452 жыл бұрын
Noma sana nimecheka mpaka basis😳🙉🙈
@hanashhanash5352 жыл бұрын
Nyie dada mumependeza 💯✍️
@stamiliomary26712 жыл бұрын
Hahahaha hi noma sana kumamake Kuna hatali Kubwa sana kwamtaa
@salamatatz49982 жыл бұрын
Steve we kipengeleee
@patrickchingenya2773 Жыл бұрын
Aisee mmetisha sana
@johnrichard5482 Жыл бұрын
Konkara...Eti Bado Mbichiiii🤣🤣🤣😂😂😂 Eliudi Mzee wa yanga kumbe wametoa suti...😁😁😁😁😁 Shaulini...Stivu Mweusi Na Hao Wadada...🔥🔥💥💥Daaah ila Sensa 2022🇹🇿 Ni Bonge La Changamoto
@fredricksangu39022 жыл бұрын
Umetisha mr Steve 🔥🔥
@mustafabar-han74672 жыл бұрын
Hahahahaha kichwa cha karaniiiiiiiiiiiii😄
@abdallahamad4682 Жыл бұрын
Ehehe Steven nomaa
@bboymelvo54942 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣eeeeiah hii noma sana ati kukula kwani kuna waluyha tz pia n bboy Melvo hapa kutoka kenya 🇰🇪
@wananchitv86902 жыл бұрын
Mi nampenda tu Hajra wangu❤️❤️❤️
@bahinwamlumba12332 жыл бұрын
From Atlanta Georgia
@Manpaul_tz2 жыл бұрын
Eriud unavituko sana 🤣🤣🤣👍👍
@doreenmartin7521 Жыл бұрын
Kabisaa 🤣🤣🤣🖐️
@gastorykanuth31912 жыл бұрын
🤣🤣🤣hii nimeipenda zaidi ya zote
@elizajackson79792 жыл бұрын
Hahahaaa khaaaaaaa😂😂😁😂jaman!!!!
@mohammedathman58162 жыл бұрын
Hahaha 🤣🤣 Much love,ni Mohammed from Kenya
@mariamonorberto9202 жыл бұрын
Nimecheka kwa sauti jamanii Njenga hapaa In Mozambique Montipuez 🔥🔥🔥🔥
@godfreyobadiah78922 жыл бұрын
Sensa imeleta ajra kiaina kwenu ze komedi, big up sana, mnatuchekesha na miaka ya kuishi inaongezeka.
@godfreyobadiah78922 жыл бұрын
Sensa imeleta ajra kiaina kwenu ze komedi, big up sana, mnatuchekesha na miaka ya kuishi inaongezeka.
Kiongozi wenu wa mtaa...eti mara ya mwisho alikamatwaga na ungo kaachaga mazoea nae... ..🤣🤣🤣🤣 atariii .. Sensa ni pasua kichwa yooo...
@shaxtz Жыл бұрын
Uyu fala daah
@anjellaanjelamolely81902 жыл бұрын
Hahahahaaa daaah kweli kuna kaz
@raphaelnyigo87402 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😁😁😁 mwamba anaitaka serikali
@pascalkashiya782 жыл бұрын
kazi nzuri sana
@johnbernad39902 жыл бұрын
Eliud umenishinda tabia 🤣🤣🤣🤣
@makokoaizack25312 жыл бұрын
Yanga wametoa suti
@nurhatmkuna48782 жыл бұрын
Pole I jamani kaz ngum
@bobelichi77212 жыл бұрын
Mwenye kipara anasema jamaa ana jina baya ndiomaana alikuwa ataji 😂😂😂
@malugukushaha67642 жыл бұрын
Dah! Mmetisha sanaaa🤣🤣🤣
@paschalraphael42282 жыл бұрын
Ninjaaa😆😆
@harunimahatua791 Жыл бұрын
Tuntufye ni balaa
@nasrahassan73462 жыл бұрын
nyumba moja masaa matano kuhoji😀😀😀😀😀
@Pedeshee012 жыл бұрын
Huyu mdada mwenye miwani kanivutia yani nyuma kajazia kabarikiwa ukiwa ndani mpaka raha kamzigo kake aisee kuna wanawake wazuri.Nasra wewe una chura kama huyu
@victoriabulambo20292 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Eliudi kwa kweliiiiii kazi njema
@kasulutv7677 Жыл бұрын
Steve na eliud & shaulin ni Fireeee
@wellbrand34152 жыл бұрын
Nimecheka sanaaaa
@taibually27912 жыл бұрын
Hatari na nusu
@yahyahamad18022 жыл бұрын
hajra usivae suruali mana unanitamanisha
@hafsahmassemoh35982 жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mbavu zanguuuu eeeeeh
@lilchampion19602 жыл бұрын
Haàaahaaaa aty yanga
@khamisbeka21142 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 Mmetisha sana
@herifilms2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kazi wanayo,..huenda wakawemo watu wa ovyo kama akina steve😂😂😂😂