KATAPELIWA

  Рет қаралды 667,450

Joti TV

Joti TV

2 жыл бұрын

Kuna watu unaweza kuwafanyia kibuli lakini sio mama miezi tisa tumboni. Mama akisema pesa yako inapotea ujue inapotea kweli...

Пікірлер: 796
@elifurahambowe510
@elifurahambowe510 2 жыл бұрын
“Kuna mda Naenda kujichukulia sheria mkononi” 😂😂😂🙌
@samwelimoshi5614
@samwelimoshi5614 2 жыл бұрын
Yn nyeto
@elifurahambowe510
@elifurahambowe510 2 жыл бұрын
@@samwelimoshi5614 Noma
@kijanawakisouth838
@kijanawakisouth838 2 жыл бұрын
Nyeto
@youngweezy3846
@youngweezy3846 2 жыл бұрын
😂😂😂
@elifurahambowe510
@elifurahambowe510 2 жыл бұрын
@@youngweezy3846 🤣
@bennysady469
@bennysady469 2 жыл бұрын
Tuliokwepa kutapeliwa Kwa staili hiyo tujuane🤣🥲🥲
@iddysalim6331
@iddysalim6331 2 жыл бұрын
Aliyemskia joti akisema "anaona mpaka kesho"🤣🤣🤣 like moja nzito
@miriammtaki1495
@miriammtaki1495 Жыл бұрын
Jirani
@ycmrpondis1537
@ycmrpondis1537 2 жыл бұрын
Huyu Joti hanaga wakushindana nae😂😂😂 you Best comedian
@CertifiedStoic
@CertifiedStoic 2 жыл бұрын
MWAMBA anakuja vizuri sana 🔥🔥🔥
@dj.ino.official
@dj.ino.official 2 жыл бұрын
nataka nione like za WACHUKUA SHERIA MKONONI 😂😂😂
@ntibashimadicksonyingo7908
@ntibashimadicksonyingo7908 Жыл бұрын
Hatar
@henrickhussein7251
@henrickhussein7251 Жыл бұрын
joti fundi
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 2 жыл бұрын
Kipaji kilichokomaa Tanzanua😇🤗🥳🥳🥳🥳
@jumakassim5351
@jumakassim5351 2 жыл бұрын
Itakuwa nchi mpya hiyo🤪🤪
@queenandchill91
@queenandchill91 2 жыл бұрын
@@jumakassim5351 😂😂😂 Tanzanua
@furahafanuel6917
@furahafanuel6917 2 жыл бұрын
@@jumakassim5351 nime cheka nilijua ata nyooshwa
@bahatilufingo5602
@bahatilufingo5602 2 жыл бұрын
Mwamba umetisha sana hilo koti utafikiria upo Iringa duh hahahahahahahahaha
@maigekelvin75
@maigekelvin75 2 жыл бұрын
Kamnyima mama ake kaenda kuwapa mataper jaman laana kapata mapema kabla jua kuwaka..nimejifunza kitu hapo😅😅😅😅joti nomah
@captainalabama2065
@captainalabama2065 2 жыл бұрын
This is what I call Real Talent ,,Big Up Nishai Mtombangile Kitwango Wa Mikazo..🤙🤙🤙🤙
@davevice3178
@davevice3178 2 жыл бұрын
Umesahau ktu broh "Miguno"😀😃😃😃
@victormwabuka1850
@victormwabuka1850 2 жыл бұрын
Miguno
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@frankenock2853
@frankenock2853 2 жыл бұрын
Huwa nacheka sana litamkwapo hilo jina Nishai mtombangile kitwango wa mikazo 😀😀, nihakiyake kuchukua mchekeshaji bora,, Big up sana broo Nishai
@jacksonnduna4419
@jacksonnduna4419 2 жыл бұрын
😂😂😂 mm hilo jina tu, eti mtombangile kitwango wamkazo daaa 😂😂😂😂
@cedricmaina4523
@cedricmaina4523 2 жыл бұрын
Mama, nimepigwaaaaaa... 🤣😂🤣😂
@neemairakoze9218
@neemairakoze9218 2 жыл бұрын
Anaona mbaka kesho Joti we Love you bro 😁😁😁😁😁😁😁😁
@isayajames6874
@isayajames6874 2 жыл бұрын
Nampendaga uyu bibi yn anajuwa kuigizi vby Lamatah ajamuona uyuuu au nimemwona peke yangu
@davidnchoji
@davidnchoji 2 жыл бұрын
This guy is another level 😂😂😂😂😂🙌🏽🙌🏽
@prosperkullaya6721
@prosperkullaya6721 2 жыл бұрын
Amenikumbusha mzee jongo na majuto wengine tumetoka hm miaka ya 80
@mohamedmuhajiri4690
@mohamedmuhajiri4690 2 жыл бұрын
Kuna Mdaa uwaga naenda kujichukulia Sheria mkononi😂😂😂
@MrBriarth
@MrBriarth 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@husseinmaingo7116
@husseinmaingo7116 2 жыл бұрын
Yaan kumuelewa maneno yake ni kipaj pia
@omarcarlos4595
@omarcarlos4595 2 жыл бұрын
Ila Leo joti umepita ndimo kabisa Hawa jamaa wameshawatapeli Sana watu
@Watema23
@Watema23 2 жыл бұрын
Watu wa Kigoma wanapenda ramli sana.
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 2 жыл бұрын
Nimepata tabu kumgundua baunsa kwamba ndio mganga hhahahahaha nyiiiiee Joti anajuaa sanaa
@user-nj2kx3hg1i
@user-nj2kx3hg1i 11 ай бұрын
Na mm nimechukua muda mrefu kumjua Kama ni yy😅😅😅
@boazambokile2587
@boazambokile2587 2 жыл бұрын
Huyu mbababe leo kabeba shangazi kaja 😂😂😂😂😂 Na anapita mlemle kwenye matatizo ya jot
@joharimanyanda3358
@joharimanyanda3358 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@lilianalmas5911
@lilianalmas5911 2 жыл бұрын
😂😂😂MAMAA wamenipigaaaaaaaaa. Nishai kapigwa na kitu kizito😁😁😁
@stn4873
@stn4873 2 жыл бұрын
Aaaaaaaah Mwamba sikukujua kabisaaaaaa mpaka umeongea hilo lisauti ndio nimekugundua.
@mwananyamalaz4427
@mwananyamalaz4427 2 жыл бұрын
Nimechaka Sana tena sana Jamani 🤣🤣🤣🤣🤣
@hkthebaddest
@hkthebaddest 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂NAJICHUKULIAGA SHERIA MKONONI......JOTI is the best EVER🔥🙌
@zangkhed7999
@zangkhed7999 Жыл бұрын
Kumbe 2meelewa wengi🤣
@sanja_graphix
@sanja_graphix 2 жыл бұрын
Nishai unajua sana, unaigiza kwa kuchekesha watu wa lika zote, uko vizuri sana nakukubaliiii😂😂😂😂😂😂
@leengamlay99
@leengamlay99 2 жыл бұрын
Naenda kujichukulia SHERIA mkononi😂😂😂
@lorenzokelly4374
@lorenzokelly4374 2 жыл бұрын
😂🤣😂🤣😂 asiye funzwa na mamaye tafunzwa na ulimwengu. The most talented comedian ever.
@tabuhatibu6496
@tabuhatibu6496 2 жыл бұрын
Wallah nimecheka mpaka mkojo unataka kunitoka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣joti unanini lkn 🔥🔥🔥🔥🔥
@ernestmwakalambo3938
@ernestmwakalambo3938 2 жыл бұрын
Nishai Mtombangile kitwango mikazo 😂😂😂😂😂😂
@nemesapollo4846
@nemesapollo4846 2 жыл бұрын
Katapeliwa aaah jotiii 🤣🤣🤣🤣
@brianchriss81
@brianchriss81 2 жыл бұрын
Kaka nakufuatilia kama mlo wa kila siku😂😂😂😂
@zarikassim7738
@zarikassim7738 2 жыл бұрын
Aiseeee hii comedy imenifanyaa nicheke kwa uzuni sio kama nacheka kwa mazur sababu na mimi yashawahi kunikuta n akulizwa wakat huo 2017 nimetoka zangu oman kupumzikaa nikagumianaa nao hawa wakaniimbia simu zangu 3 na pesa laki 2 tena nilienda kuchukua mimi mwneywe ndan kwa akili zangu lkn nakuja kutahamakii nimelizwaa vibaya mnoo nusu nipatee uchizi maan simu zilikuwa zawadi za ndug znagu aiseee kila nikiwaona watu kama hawa wallah napata wazimu nao nataman niwakateee pua niendee nazo asanteee sanaa jot kwa comedy mzur ambayo ipo katika uaribia sababu na mimi pia mchangaaa wa ili japo na shuhuda pia😒😒😒🤣🤣🤣
@damarisosebe4161
@damarisosebe4161 2 жыл бұрын
Yaani mm nimetoka zangu Saudi Arabia na laki tano yangu yenye nimesugulia toilet za waarabu nikawakuta wakanitabeli zote pamoja na simu yangu na ndo nilitaka kufungua biashara 😭😭😭😭😭😭 na ni jusi tu ikabidi nirudi uarabuni tena.
@zarikassim7738
@zarikassim7738 2 жыл бұрын
Nomaaa sanaaa hawa watu
@modadiiiooop3336
@modadiiiooop3336 2 жыл бұрын
Yani hata mie nilitoka omani walichuku a dhahabu cm na pochi
@zarikassim7738
@zarikassim7738 2 жыл бұрын
Poleeee me nakumbuka kuna mdada wa ndani alipelekaaa simu za maboss wake na pesa million 1 aiseee yule dada aliungua uchizi maan alilia kama mtoto mdogo
@halimameledy6926
@halimameledy6926 2 жыл бұрын
Mm mwenyewe walinitapeli cm yangu nimetoka nayo oman uwawei sina hamu nao yan wanaondoka hakili ndo inarudi
@freddybamba3423
@freddybamba3423 2 жыл бұрын
I'm the number one fan of joti
@khadijaymohammed4002
@khadijaymohammed4002 2 жыл бұрын
nliwah tapliwa hvi hvi kipumbaf kariakoo😄😄😄walinsomba mzgo wte sitosahau
@jameskayanda1702
@jameskayanda1702 2 жыл бұрын
Comedian namba moja Tanzania
@kayjuma2629
@kayjuma2629 2 жыл бұрын
Hahahaha dada ni mweupe Lakin anajidownload 😂😂😂😂
@joohnicoh3596
@joohnicoh3596 2 жыл бұрын
This guy is talented 😂😂😂🙌
@abdulazizimohamed3093
@abdulazizimohamed3093 2 жыл бұрын
For sure!
@prosperkullaya6721
@prosperkullaya6721 2 жыл бұрын
Nataka ni mlete Italy atufurahishe wabongo
@chondeboy5121
@chondeboy5121 2 жыл бұрын
Umenikumbusha joti na me nilipigwa ivo daah 😆🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@allstars7526
@allstars7526 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂Bro Joti umenikumbusha nilivyotapeliwa simu yangu Mwenge pale 2021
@starjay3052
@starjay3052 2 жыл бұрын
sijapata ata muda wakujipongeza na pesa yangu 😜😁😁🤣🤣😂😂
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂Mtombangile Kitwango,Mikazo…Miguno😂😂😂
@redmioman8105
@redmioman8105 2 жыл бұрын
Ayo majina sasa😀😀😀😀
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 2 жыл бұрын
@@redmioman8105 😂😂😂
@victorsomba867
@victorsomba867 2 жыл бұрын
Yaani hii Kama haijawahi kukukuta huwezi elewa, niliibiwa simu,hela,vitambulisho kwa mtindo huohuo. Walaaniwe wale watu iseee 😭😭😭2015
@chrismaswali3704
@chrismaswali3704 2 жыл бұрын
Pure talent😂
@fatmafetty4117
@fatmafetty4117 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kweli katapeliwa
@danielmatemu9698
@danielmatemu9698 2 жыл бұрын
Kuna mdogo wangu alishatepeliwa kwa style hii… akaenda nyumbani akachukua pesa za Mama akaenda kuwapa matapeli…
@mrjaula7769
@mrjaula7769 2 жыл бұрын
Joti na mpoki ndio masupa stars wa comedy nchini Tanzania.... 😂😂Joti nyota yake Ni mpoki pia Mungu awahifadhi na awape umoja wa Hali ya juu.. I'm from Zanzibar
@mohamedsheealom8745
@mohamedsheealom8745 2 жыл бұрын
Mpoki nahisi haezi enda peke yake angekaa na Nishai angekuwa mbali sana Nishai sahi wacha afukuziwe na kina bigi, dogo sele, wengine wafwate lkn joti kaweza kashinda tabia🤣 🤣
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
Mpoki huyu ni yupi sisi ni.joti
@mohamedsheealom8745
@mohamedsheealom8745 2 жыл бұрын
@@kimsamespa8490 🤣
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 2 жыл бұрын
@@mohamedsheealom8745 mpoki ni fundi Sana hata joti pia
@mohamedsheealom8745
@mohamedsheealom8745 2 жыл бұрын
@@fasterwalker1464 sijaona ufundi wa mpoki kwa kweli kelele tu ndo naona 🤣ila tusibishane kwa comments za joti hapa twaongelea mwamba wetu joti tu mpoki sioni anachofanya kwakweli lbda aje kwa joti afanye colabo itafana
@aliomari5961
@aliomari5961 2 жыл бұрын
nilitolewa nywele kwenye mdomo ,, na moshi kwenye magoti,,, ati ni za maiti,,,, bongo bwana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@marymungi2104
@marymungi2104 2 жыл бұрын
Wezi wa buguruni walinifanyia hivyo
@modadiiiooop3336
@modadiiiooop3336 2 жыл бұрын
Leo nimejikuta nacheka .hata mie pia walitaka twende hadi nyumban badae .wakahisi nitashituka
@modadiiiooop3336
@modadiiiooop3336 2 жыл бұрын
Wapo sana bunguruni sokon
@sylviakoech2204
@sylviakoech2204 2 жыл бұрын
Thank you for making my morning 😅😅😅
@hassanhamza6616
@hassanhamza6616 2 жыл бұрын
Umemnyima mama era hatimae wamechukuwa wajanja Doo inafundisha sana bg up jot
@jumaselemani2720
@jumaselemani2720 2 жыл бұрын
Daah hii ya leo kali kaka umetisha kaka 😅😅😅😂😂
@dutchsafari7562
@dutchsafari7562 2 жыл бұрын
Team joti Mlio wahi wapema tujuane 👇hapa tafathali 😂😂😂
@iankweyamba7776
@iankweyamba7776 2 жыл бұрын
Nishai kitombangile mikazo 😂😂😂 wewe ni moto 🔥
@lamarmullahzalim2748
@lamarmullahzalim2748 2 жыл бұрын
Maf respect from 🇰🇪🇰🇪. Eti huwa anachukulia Sheria mkononi 😂😂😂😂😂. Nishai umeshinda
@agripinamgema3656
@agripinamgema3656 2 жыл бұрын
Nampenda mama, she is good 👍
@sarahomary3615
@sarahomary3615 2 жыл бұрын
Aki nimecheka 🤣🤣🤣🤣🤣Eti wamenipiga😂😂😂😂😂
@angelluanda4221
@angelluanda4221 2 жыл бұрын
Stasahau 😀😀
@leeabd9057
@leeabd9057 2 жыл бұрын
Doris wa maneno ya kwambiwa 🔥🔥
@Adnan.Shidhani
@Adnan.Shidhani 2 жыл бұрын
Hizi ndio content zakufurashisha.. sio kuonesha wanawake na mizigo yao
@patrickmukundichalamila3038
@patrickmukundichalamila3038 2 жыл бұрын
Leo umekoma Dadadekiii 🔥🔥😂😂
@ferouzmasoud4870
@ferouzmasoud4870 2 жыл бұрын
Kuna muda naenda kujichukulia Sheria mkononi kwahiyo unaenda kupiga Nyeto 🤣😂
@ninodebox3855
@ninodebox3855 2 жыл бұрын
Sema walio nitokea mm walisema tafuna karatasi kumbe inanywer 😂😂 #joti
@ashnaom2270
@ashnaom2270 2 жыл бұрын
Jot nakupenda sana ijumaa nilitaka kukuchek tu mb ikakata, ila umenichekesha sana hii kaz nzur mnafanya, we ndo best Tanzania
@ninodebox3855
@ninodebox3855 2 жыл бұрын
Hao wasenge wapo kuanzia ubungo mbaka magomeni mimi nuc wanitapel ivyo ivyo guys kila actor act reality but dis guy as bring for u as comedy more love to joti
@thomassong8327
@thomassong8327 2 жыл бұрын
“Dada yako ana ji download” lol 😂 😂
@frankenock2853
@frankenock2853 2 жыл бұрын
Thomas song, hapo kanivunja mbavu kishenzii yani
@treshazgodfather9219
@treshazgodfather9219 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂Mbona kama imenigusa hivi hawa matapeli kama mm nilivotapeliwA😂
@leilatemba9871
@leilatemba9871 2 жыл бұрын
Ata mimi ilinikuta style iyoiyo jamn 🤣🤣🤣🤣
@muharas0059
@muharas0059 2 жыл бұрын
dah mi mwenyewe nishapigwa ivo mamae
@blackpanther4825
@blackpanther4825 2 жыл бұрын
Anajichukulia sheria mkononi. Hii crew yako mpya naipenda sana wananifurahisha sana 🤣🤣🤣🤣
@storyzatowntz
@storyzatowntz 2 жыл бұрын
Wapo vizur sana
@aminamsouth9
@aminamsouth9 Жыл бұрын
Mama yupo so natural ❤😂
@jumaselemani2720
@jumaselemani2720 2 жыл бұрын
Daaaj bigi fundi sana 😂😂
@ndochiboetz8299
@ndochiboetz8299 2 жыл бұрын
Gonga like hapa twende sawa fans wa joti😂😂😂
@orestemanenomaneno7726
@orestemanenomaneno7726 2 жыл бұрын
Duhh brow Kali sana wewe joti 😂😂🇲🇿🔥🕌
@danielmussa4101
@danielmussa4101 Жыл бұрын
Noma sana umetisha sana joti
@gastonjoseph2596
@gastonjoseph2596 2 жыл бұрын
Nakweli ume pigwa kitu kizito cha kichwa😄😄😄😄🤣😄🤣
@calvinmsangi8673
@calvinmsangi8673 2 жыл бұрын
😂😂😂 nimeoza mieh
@queenandchill91
@queenandchill91 2 жыл бұрын
Fanya uoe utakuja kutubaka🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@gulamthabit3933
@gulamthabit3933 2 жыл бұрын
Nishai nakubali sana kaz zak🌏🌏🌏
@saleemmussah
@saleemmussah 2 жыл бұрын
😁nilitapeliwa hv hvo pale garden magomen nikatapeliwa kanga za mama mpya kabsa dot 3 wallah nmekumbuka mbalii sana
@ahmadkasika7114
@ahmadkasika7114 2 жыл бұрын
Karbuni tena tandale home ,scene nilicheka sana hiii dah 😀😀😀
@sullehtz9327
@sullehtz9327 2 жыл бұрын
The king of comedy👑✊
@liciouscharles3370
@liciouscharles3370 2 жыл бұрын
Niliwah kutapeliwa hv hv...wakanituma tv na simu na pasi nyumban niwapelekee
@kodackdeblack7982
@kodackdeblack7982 2 жыл бұрын
😂😂😂😂nishai mtombangwile kitwango mikazo
@adamumbise9755
@adamumbise9755 2 жыл бұрын
Wa kumi jmn wapi like za joti
@afsamandaly1656
@afsamandaly1656 2 жыл бұрын
Joti chizi sana eti atamia 😂😂
@brianaldo5084
@brianaldo5084 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥kweli katapeliwa duuh
@mpembawizzy5865
@mpembawizzy5865 2 жыл бұрын
😀😀joti mseng sana et wamenipga
@CHITUS
@CHITUS 2 жыл бұрын
I swear things happen I once face such people but I thank God I heard a same story from a friend so I recall before things went bad.
@mohammedkombokatumu1399
@mohammedkombokatumu1399 Жыл бұрын
Hiya kali
@augustmbuya7051
@augustmbuya7051 2 жыл бұрын
Hahahahaa daaa et Sheria mkononi
@tchipppo
@tchipppo 2 жыл бұрын
Hiyo style tumetapeliwa wengi jamaa wanatumia dawa kukupumbaza ili wakupige
@mosesndunguru5731
@mosesndunguru5731 2 жыл бұрын
Sio dawa ni research
@roselukinga6765
@roselukinga6765 2 жыл бұрын
😂😂ant yangu ashawah kutapeliwa mchana kweupee watu wabaya sanaa
@johnmushi8739
@johnmushi8739 2 жыл бұрын
Yan jamaaa anajua kufikisha ujumbe kwa jamii sana, tafakar chukua hatua
@VerifiedComment
@VerifiedComment 2 жыл бұрын
Watching from Kyiv Ukraine. Joti you are the best in Africa! 💣🔥
@maembamwita4716
@maembamwita4716 2 жыл бұрын
Uko Ukraine wapi wewe😀😀
@mumyhendry2919
@mumyhendry2919 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ATI Kyiv🙌🙌🙌
@VerifiedComment
@VerifiedComment 2 жыл бұрын
@@maembamwita4716 Так, я в Україні, і я хочу повернутися додому, в Танзанію через війну тут!
@VerifiedComment
@VerifiedComment 2 жыл бұрын
🇺🇦🇺🇦 + 🇹🇿🇹🇿 = ❤️
@husseinally7052
@husseinally7052 2 жыл бұрын
Sheikh umepona na mabomu huko ya urusi
@KingJacka_MwanaNzambe_
@KingJacka_MwanaNzambe_ 2 жыл бұрын
Hahahaaaaaa safi sana Bro Levels
@tiboruhanga258
@tiboruhanga258 Жыл бұрын
💜💙🖤❤️naona hapa Dubai 🇦🇪
@nickymustafa4306
@nickymustafa4306 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣 Joti👏🏾👏🏾👏🏾
@neemairakoze9218
@neemairakoze9218 2 жыл бұрын
Wa pili leo kwa King comedy Joti 😁😁😁😁😁😁😁
@saidramadhan9417
@saidramadhan9417 2 жыл бұрын
Joti we kiboko ,😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😥
@luggyqayn2410
@luggyqayn2410 2 жыл бұрын
Ila wametumia mbinu ambayo sio rahisi kushtukia, tuliowahi kupigwa hizi game tunaelewa
@beatricejulius302
@beatricejulius302 Жыл бұрын
Izi game balaa yaani mpka kujua dah matapeli
@hassanally4647
@hassanally4647 2 жыл бұрын
Najichukulia sheria mkononi 🤣🤣🤣🤣joti una lanaaaaa🤣🤣🤣🤣
@georgeburchard4872
@georgeburchard4872 2 жыл бұрын
Nishai mtoto wa mjini Leo kapigwa!
@ismailichipatu5856
@ismailichipatu5856 2 жыл бұрын
Dokta mwambaa😂😂😂🙌🙌🙌
@giuseppemanaos75
@giuseppemanaos75 2 жыл бұрын
😂😂😂😂 Hata mimi kwa hari hiyoo ningepigwa 😂😂😂😂😂😂
@daudimyombe8879
@daudimyombe8879 2 жыл бұрын
Inafurahisha sana
@zachariakonyanza2259
@zachariakonyanza2259 2 жыл бұрын
Hahahahahahahaha uwiiiiii mamaa yangu nishai utaniua😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
WAMENICHAPIA
8:48
Joti TV
Рет қаралды 345 М.
SAITI
8:48
Joti TV
Рет қаралды 536 М.
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 40 МЛН
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 46 МЛН
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
KAYATAKA
7:24
Joti TV
Рет қаралды 669 М.
MKE MWENZA 1
19:30
ZACKPUNGASESE
Рет қаралды 10 М.
NONGWA part 1
17:46
MIRAMBO TV
Рет қаралды 826
Cha mtu mavi
8:41
Joti TV
Рет қаралды 753 М.
MAAFANDE  LEO WAMEYAKANYAGA  (Steve mweusi @azaboy&Ndaro)
8:03
Steve Mweusi
Рет қаралды 144 М.
KIRIKUUUU
7:11
Joti TV
Рет қаралды 1,2 МЛН
SENSA 2022 YA HARIBIKA?
6:10
SHADOW TV
Рет қаралды 58 М.
Waraka wa Baba
9:08
Joti TV
Рет қаралды 1,4 МЛН
KARATA TATU
9:53
Joti TV
Рет қаралды 384 М.
KIBOKO YA SEMINARI
10:11
Joti TV
Рет қаралды 496 М.
Shopping time with my husband! 😂 #couple #shopping #comedy
0:22
GIRL WITH WINGS
Рет қаралды 4,8 МЛН
Spider-Man funny video 😂😂😂 Part723 #funny #tiktok #sigma
0:34
Spider-VAMBI
Рет қаралды 3,3 МЛН
Русалка
1:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН
PLAYER DESERVED IT??? 🤔😱, video parody of @oulyn
0:15
YOU and ME
Рет қаралды 9 МЛН
Препод молодец😏 #shorts #кино #топ
0:40