Vita vya kisiasa kila mwenye macho anajua CCM inataka kuua Chadema na upinzani utoweke kabisa. Hiyo Jamani ndiyo Agenda. Si Lissu wala si Mbowe. Msitudanganye. Wote wawili ni WaTanzania wenzetu. Tuwapende. Tuwastahi. Umoja ni nguvu. Akitoka Mbowe sasa hivi, kummaliza Lissu si kazi kwa CCM. Hakuna jibu la kimwujiza kisiasa alilo nalo Lissu au Mbowe pasipo Mungu. Mfano mdogo tu: Tulimsikia Lissu akitamka kwa ujasiri atashitaki Tigo Tanzania. Tigo iko wapi?Kesi iko wapi? Hakuna mtu anayeunyea hadharani mkono uliomuuguza na kuganga majeraha yake anayeweza kuitwa kiongozi muungwana. Hatuna shida na mabadiliko. Ila hii njia inayotumika Haina ustaarabu. Kumuuza na kumkashfu Mbowe si uungwana hata kidogo na si Utanzania. Zipo njia za heshima. Musa ambariki Yoshua ili aongoze kwa baraka ...
@Peterchipemba17 күн бұрын
Mbowe alifaa kwa wakati wake,,mda huu amwachie lissu,,na heche,,hawa myamba ni manabii na mitume walio tumwa na mungu kuliokoa taifa la tanzania
@MathewNathan-yb2bz17 күн бұрын
Mbowe bado anafaa sana na Lissu pia anafaa ila Lissu kauli zake zina utata sana.
@Mkopi-TZ17 күн бұрын
CCM watawala Lissu na Heche for breakfast, MBOWE the only reasonable person in CHADEMA Slaa acha lugha za kibabe will get you no where!!
@mangashajunior24214 күн бұрын
Uuwiii mbowe achia wengineuuwwwiiiiii.
@ip_header16 күн бұрын
Slaa leo ndio anauchungu zaidi, wakati 2015 alipunguza kura za Chadema, mzee yupo kimaslahi zaidi sio wakumuamimi sana, unatakiwa kuwanae makini sana
@africaonechannel128913 күн бұрын
Huyu Mzee FIX Sana!.😂
@The1979bornagain17 күн бұрын
Bwana Freeman Mbowe kama hawezi kuelewa ushauri huu, basi atakuwa na roho ngumu sana . Labda ana maagano na Ibilisi wa CCM
@husseinkonz519217 күн бұрын
Miaka 21 lazima awe kinganganiz anajiona hakuna mwingne
@anosiata824217 күн бұрын
Mbowe akae pembeni. Miaka 20 aliyoongoza inatosha aachiye wengine waongoze chama .
@rahmamikidadi221317 күн бұрын
Kaka mbowe pumzika
@OmmyJames-xn7ji17 күн бұрын
WAPOTOSHAJI WANAHITAJI MIUJIZA YA WACHUNGAJI NA MAASKOFU 😢😢😢😢😢KARMA
@albertinamichael612317 күн бұрын
MBOWE hajawahi shujaa Ni mpiga dili tu.
@tumsifuweraufoo538017 күн бұрын
Huyu silaa anajua anachohongea kweli
@dianasamson93112 күн бұрын
Weww baba mchonganishi sana... na busara huna.
@JfourHumbi17 күн бұрын
Kombaini hii ndiyo tulikuwa tunaitaka lisu vs Heche
@dianasamson93112 күн бұрын
Wewe hukuwa wa kucompromise Mzee acha hizo na Mungu akusaidie. Uhuru gani wewe Baba.?
@HumphreyNyiti17 күн бұрын
Mbowe pumzika asee kwasasa Huna mvuto
@NorbertKagali15 күн бұрын
Kubadilishia gia angani inaruhusiwa.
@adamlubawa128115 күн бұрын
DR SLAAAA WEWE MZEEE WA HOVYO HOVYO KABISA HIVI WEWE KUWEZA HAYO UNAYOYASEMA
@mwakileomwakileo784517 күн бұрын
Slaa leo amekuwa msemaji wa mpinzani au kwa sababu sasa hapati maslahi ya CCM, na anapewa uwanja wa kuchangia, mtu ambaye aliaminiwa na akasaliti.
@honestthomas154917 күн бұрын
Kwa Sasa nashauri nguvu kubwa itumike kutafuta kura kwa wale wajumbe ambao bado hawajatangaza upande wao. Wapo waliotangaza kuwa na upande ila wale waliobaki kama swing tuwekeze nguvu huko.
@azizisergeantkapona761517 күн бұрын
Silaha nchi ilisha konbolewa usitudanganye,ulipewa ubalozi ukawa kimywa ukaharibu ukavuliwa sasa unapiga kelele,wewe nani nchi hii,kaa kimywa
@YahayaNgenda16 күн бұрын
Mnaonekana watu msioheshimiana na kustahimiliana ni hatari Sana watu hawa heshima ya mtu lazima izingatiwe
@dianasamson93112 күн бұрын
😂😂 mwongo sana wewe baba ... mchafuzi wa lugha... mmh wewe baba Mungu anakuona kweli.
@FrankMwakatundu-cu6bd17 күн бұрын
ASANTE SANA DR SLAA UMEONGEA VEMA SANA, USHAURI WAKO NI MUHIMU SANA KWA MH. MBOWE, NA USHAURI HUU MH. MBOWE AKIUZINGATIA UTAILINDA HESHIMA YAKE LAKINI ZAIDI ATAIWEKA CHADEMA MAHALI SALAMA ZAIDI KULIKO KUNG'ANG'ANIA MADARAKA HUKO NDIYO KWENYE MADHARA ZAIDI KWA USALAMA WA CHADEMA!!!
@benedictmrisho180017 күн бұрын
Msuli mnaotumia kupingana ktk vyama vya siasa utumieni kuuelimsha umma uje pamoja kutaka katiba kama tulivyoutaka uhuru bila kumwaga damu. Kama tulipata uhuru kwa Mwingereza kwa nini tusipate katiba ya umma bila kuuwana?
@nicholauskilosa533617 күн бұрын
Lissu ni mwamba tunamtaka
@africaonechannel128913 күн бұрын
Siasa haitaki MIAMBA; Siasa inataka Means!!. ◇MBOWE Has All the means to Drive CDM.
@dianasamson93112 күн бұрын
Umepiga arrow... ubalozi si uliburudika nao... ulikuwa na miaka mingapi wewe baba, kwahiyo wewe ni mdogo kuliko Mbowe... Halafu acha dharau... kwa nn wewe haukua Musa... Baba wewe Mungu anakuona wewe hukuvusha watu, ulikubaliana na Magufuli.... mwonho wewe... tena mwongo sana. Unaseeka vibaya
@masumbukosiyougomvi790017 күн бұрын
Slaa kumbe umezeeka kias hiki!!!???? Si uache siasa?
@ramadhanmahongole929317 күн бұрын
Halafu iweje wewe utaweza kufanya siasa?
@masumbukosiyougomvi790017 күн бұрын
@ramadhanmahongole9293 kama mbowe hafai. Slaa anatushauri nini?
@sasha-ri7tf17 күн бұрын
SLAA WEWE ULITUSALITI CHAKULA MEZANI KTK UCHAGUZI WA 2015 LEO UNAKUJA NA MISTARI MINGI KAMA WEWE SIO CCM B NI NINI?...
@josephmantago283717 күн бұрын
Nayo Chadema ilimsaliti mh slaa
@sudysuleiman802817 күн бұрын
Wewe ni mnafiki mkubwa Slaa
@benedictmrisho180017 күн бұрын
Mnaowataka watoe katiba mpya nao ni sehemu ya umma wa Watanzania. Tusigawe umma kwa wanufaika na katiba na wasionufaika na katiba hivyo tukabaki kudaiana kati ya wanufaika na wasio nufaika. Katiba ya umma ndio mpango mzima inayowagaidia wote watawala na watawaliwa.
@dianasamson93112 күн бұрын
Yusa iskariote kwenye ubora wake ...
@deokessy659616 күн бұрын
Mnamimalizia mb,huyu padre mstaafu
@SengalaRajabu16 күн бұрын
Slaaa kwa nini unasema Lisu asipopita usiwe m'babaishaji wa maneno watu kama kama nyinyi ni hatari sana kwa Taifa,hasa ni wavurugaji wa malengo ya Nchi,kwa desturi ushabiki,kuendekeza njaa tumbo, nk Slaaa huna msimamo muige Warioba jinsi alivyo na msimamo.
@MakoreMusaroche17 күн бұрын
Ww ulihongwa akawasaliti wenzake 2015 leo anasemaje leo?
@adamlubawa128115 күн бұрын
Ameukosa uenyekiti Mi nipo paleeeee DR SLAAA NI MZISHIII TENA NZUSHI NA MUONGO
@HoseaZablon15 күн бұрын
Huyo Silaa ni mmbabaishaji anaamsha kama nani kwenye chadema?, aliikimbia chadema leo ananyata akitafuta nini? Huyu jamaa ni nyoka,
@Isaacchama-d8j13 күн бұрын
Mbowe utake usitake lazima utapumzka tu, tunaenda kwenye sanduku la kura si umetaka,
@ramadhan12211 күн бұрын
Mzee silaa wewe ni mnafiki
@shoobl24615 күн бұрын
Watanzania tumewasikia na tutaamua hatima 2025
@ExodusMarcStanley17 күн бұрын
Mbowe anapoozesha upinzani hana kauli ya kukemea baada ya kuywa chai ya ikulu, safari hii atashidwa vibaya mno na Lisu
@Sammy-xu9sb17 күн бұрын
Huyu mzee umeshaishi tuachie nchi yetu. Dr Slaa anakisasi na mbowe kwasababu ya lowassa. Compromise is what makes a person into a leader. We only have one Tanzania. Dr Slaa and all top leaders of Chadema have family abroad and citizenship. Some of us, we only have Tanzania!
@iddysekamba17 күн бұрын
Umejenga hoja kwamfano dhaifu sana..
@yaronaWilliam16 күн бұрын
Misleading!
@AgustaZaile15 күн бұрын
Pumbavu sana wewe si mliuza chama kwa lowasa? Au unawaza kwa makalio?
@dianasamson93112 күн бұрын
Sikuamini silaa. Wewe mbona hukukubali ukaenda CCM.... Dr Silaa wewe huna hekina .... unafahamiana kweli kabisa Mzee. Kwani wewe hukuwa na madhaifu... kuiobdoa CCM nadarakani... umekula ulichokula na Uzee wako... wewe baba Mungu anakuona. Hauko kwenye uongozi basi tupumzishe Mzee.
@maftahmusa951315 күн бұрын
HUONI AIBU WE SILAA UNATHUBUTU KUFUNUA MDOMO WAKATI ULISALITI CHADEMA UKAJIUNGA NA MAGUFULI UMESAHAU?
@juliasmtundu44216 күн бұрын
Hiki ni kifo Cha mende
@RutaJuvent-d8z15 күн бұрын
Slaa alichukizwa na maamuzi ya mbowe kukubali lowasa kugombea for chadema. Hata hivo slaa mzalendo,zawadi ya ubaloz mbona kaiacha.nimzalendo.
@ip_header16 күн бұрын
Slaa kipindi cha JPM hakuyaona hayo yote? Huyu mzee ana agenda yake sio bure
@dianasamson93112 күн бұрын
Hivi wewe baba unajua rushwa... wewe ni mla rushwa wa kwanza.
@kingj960617 күн бұрын
Anayeseme mbowe atoke ni slaa aliyekubali kuhongwa ubalozi na ccm. Na anayemuunga mkono anakimbia nchi kila mambo yakiwa magumu. Ndo hawa wa kuwatoa ccm 😂?.
@SengalaRajabu16 күн бұрын
Siyo lazima Lisu ashinde tambuwa kuna wagombea wewe Silaa hueleweki Busara ni muhimu juwa kiti hicho wengi wanakihitaji nawo wanasubiri Duru la uchaguzi
@adamlubawa128115 күн бұрын
MBOWE NDIYE MWENYEKITI WETUUUU
@JoachimJoel-h2r14 күн бұрын
Acha kurudia kumsema dr huyo ni dr ww huna hata darasa la saba
@dianasamson93112 күн бұрын
Wewe hukuwa na self glorification Mzee. Hekima huishi kwa wazee... wewe huna.
@MakoreMusaroche17 күн бұрын
Slaaa ni mnafiki aliwakimbia wenzake wakati walikuwa na mapambano mkubwa ya kugombea uraisi harafu leo anawapenda vipi chadema ,
@samwelmachaka93617 күн бұрын
Hunajipya dr
@abeljames404315 күн бұрын
Sraha wewe ni CCM tu hauna jioya ni Kwakua Samia kakuweka pembe tu ndio maana unaongea ukipewa cheo Leo unabadilika
@hasanimkamba837717 күн бұрын
wewe mwenyewe ni ccm umetumbuliwa tu acha kutuleta
@williammwamalanga106517 күн бұрын
DR SLAA UMEWAHI NAKUSIHI TULIA
@benedictsekajingo947117 күн бұрын
Slaa alikimbia 2015, baada ya kuhongwa na CCM na kupewa ubalozi, eti leo yeye ndio eti yuko mstari wa mbele kueleza kiongozi gani anayefaa Chadema. Chadema wakimchagua Lissu nitawashangaa sana
@juliasmtundu44216 күн бұрын
MBOWE UNAPOTEZA HESHIMA TOKA Kwa HESHIMA..utapewa HESHIMA na UTAKUWA na KAZI nyingine ya KUFANYA
@adamlubawa128115 күн бұрын
Tumechoka kukusikiliza huna ishuuuuu weee😮😮😮
@goodluckjohnuiso-gt1fg14 күн бұрын
Unadangaya watz
@dianasamson93112 күн бұрын
Manipulator... kutupeleka... kweli wewe baba... unafki utakushangaza... tumeingia tarehe 21... Mungu atakushangaza
@reginaldmapunda670217 күн бұрын
Lissu hawexi kumshinda Mbowe ila anaweza kupata kura nyingi kuliko Mbowe lakini hazitamsaidia kushinda uenyekiti wa chadema.
@rashidmohd11517 күн бұрын
Ndio mana mbowe akashauriwa ajitafakari ili ang'atuke(aondowe jina lake kwenye kinyanganyiro).
@gracekagoma323117 күн бұрын
Too much noise .Sera ndiyo hiyo ya kiongozi miaka 20. Subiri kura iamue.Hajachakuliwa bado
@hamisidd812415 күн бұрын
Hivyo ni vitisho vya hovyo ambavyo havina maana yoyote chama ni kikibwa kukiko mtu yeyote hata aondoke yeyote chama hakifi ng'o
@MathewNathan-yb2bz17 күн бұрын
Mwacheni Mbowe agombee ana haki hiyo.Kina slaa walinunuliwa lakini Mbowe hakununuliwa.
@ihanomadili16 күн бұрын
Hufahamu kama anaramba asali kila mwaka?
@adamlubawa128115 күн бұрын
MI LISSU KUUNGWA MKONO NA HUYU MZEEE MZUSHI NA MUINGO
@YahayaNgenda16 күн бұрын
Siasa sio Vita ndg slaa hatutaki machafuko tuna familia zinatutegemea