CHAPATI ZA HAMIRA/ CHAPATI ZA MKATE (2020)

  Рет қаралды 118,979

Ika Malle

Ika Malle

Күн бұрын

Пікірлер: 135
@pandumakame6421
@pandumakame6421 Жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀😀😀nimeipika nzr tu haitumii mafuta mengi mm sijatia hy siagi mwsho shukurani
@PerisiperisiKingi
@PerisiperisiKingi 11 ай бұрын
Nimepika ni nzuri sana ukieka asali inakua tamu zaidi❤❤
@JunaydaJumaiya-od7si
@JunaydaJumaiya-od7si Жыл бұрын
Mm naiitaga mikate ya yesu jamanii naipenda balaa
@husnahamisi6637
@husnahamisi6637 4 жыл бұрын
Mkate wa ajemi pia wanaita hivo..nzuri sana
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Ohoooo sawa
@zaitunijuma8710
@zaitunijuma8710 2 ай бұрын
Yimi yamiii😊
@SalamaisihakaSaidi
@SalamaisihakaSaidi Ай бұрын
Zinaitwa eshi kisomali😊
@rajabuswalehe6818
@rajabuswalehe6818 2 жыл бұрын
Aloo nimependa n simple.and clear ntajaribu
@barikikaroli6088
@barikikaroli6088 4 жыл бұрын
Leo nimekuwa wa kwanza 😂💕 tuendelee na video 😀
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Haha Asante Bariki
@marionciano8519
@marionciano8519 4 жыл бұрын
Nimezijaribu leo wanangu (vijana wawili) wamezipenda tena sana wamenipa 💯👌🏽😊 Asante sana for posting 🙏🏽 🇰🇪
@azizaaboubakar5752
@azizaaboubakar5752 4 жыл бұрын
Nimependa sana ntajaribu asantee sana kwa kutufunza na pia napenda jinsi unavyoongea unaeleweka love you mamii
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Shukrani sanaa
@anngeorge9581
@anngeorge9581 4 жыл бұрын
Sauti Mungu alikupa , mkate nitaipa jina la mkate wa wafu, and thanks for the recipe they teach me how to cook.
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Thank you too
@rizikihamad6877
@rizikihamad6877 3 жыл бұрын
Mashaallh mm ningepend kuita mofa dada
@mpewajustine6658
@mpewajustine6658 4 жыл бұрын
Wow ni nzuri,flat bread
@theresiakavula5316
@theresiakavula5316 3 жыл бұрын
Ni nzuri zanzbar tunaita mikate ya mofa
@SalmaAlly-v8q
@SalmaAlly-v8q 10 ай бұрын
Nimeipenda kipenz nilipikiwa namama muda sana nasijala tena kesho napika nitakupa jibu
@user-mb3sk7qn8v
@user-mb3sk7qn8v Жыл бұрын
Tanduri tamu sana Asante mamyy
@Kenchiyh
@Kenchiyh 4 жыл бұрын
Napenda sana chapati za hamira ndio nazo pikaga mimi ni nzuri sana
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
🥰🥰
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Mikate yavutia sana😋👌
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Asante dear 🥰🥰
@siriyangu4724
@siriyangu4724 4 жыл бұрын
Mashaallah ika da umenifuraisha bora itokee na iwe tamu😀
@marymushi7923
@marymushi7923 4 жыл бұрын
Dah! Nimetamani kujifunza pishi hilo, ur so creative.
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Asante dear
@salamaahmad323
@salamaahmad323 4 жыл бұрын
So yummy and delicious I did it's way very nice thank so much for sharing this recipe 👏
@katherinechristopher1001
@katherinechristopher1001 4 жыл бұрын
Nashukuru nilotengeneza. Nimitamu Sana
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Yeeees 😋😋😋
@nifahaji7752
@nifahaji7752 4 жыл бұрын
Nazipenda hizi chapati zinapendeza ukiweka na ufuta kwa juu
@racheljohn6961
@racheljohn6961 4 жыл бұрын
Asante nimejifunza kitu kipya kabisa leo
@salmaalnaamani2786
@salmaalnaamani2786 4 жыл бұрын
Hizi ni chapati za khamira mimi nakanda na Tia baking powder na badala ya mafuta natia butter Mansh'Allah nice and soft
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 Жыл бұрын
Mkate wa mofaaa
@mwinyialimtali7066
@mwinyialimtali7066 2 жыл бұрын
nzuri saan
@salmaseif8755
@salmaseif8755 4 жыл бұрын
Nitajaribu ni nzur sanaa
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Unitag
@MaiaM-cj7uc
@MaiaM-cj7uc 5 ай бұрын
Sasa ukitumia maziwa yaunga autatokea vizuri
@CessyAdam
@CessyAdam 9 ай бұрын
Chapati zunaitwa hebez jina laki lebanon
@RoseAkiba
@RoseAkiba 6 ай бұрын
Chapati za hamira mm nfo najuaga hivyo
@CarosKitchen
@CarosKitchen 4 жыл бұрын
😘😘😘😘😘napenda chapati
@husnahussein7470
@husnahussein7470 4 жыл бұрын
Inaitwaa Tandurii
@RighwiHamisi
@RighwiHamisi 10 ай бұрын
Mkate wa mofya au mkate wa kuumuwa
@yasintaswahasni4747
@yasintaswahasni4747 4 жыл бұрын
Waaaaoooh nitafanya
@rukialuguli3482
@rukialuguli3482 3 жыл бұрын
Nimejifunza
@marymuabdulrahman8720
@marymuabdulrahman8720 Жыл бұрын
Mikate ya jem au mkate wa mofa
@khadijakhadija4476
@khadijakhadija4476 10 ай бұрын
Pambeee
@cutiethuma9931
@cutiethuma9931 4 жыл бұрын
Hii naijaribu Ijumaa
@leilamtua3877
@leilamtua3877 Жыл бұрын
Mkate wa naan
@LeilaMuhuna
@LeilaMuhuna 10 ай бұрын
Good
@barikikaroli6088
@barikikaroli6088 4 жыл бұрын
Nitakuja kujaribu hiyo
@estherhaule-ns5pn
@estherhaule-ns5pn Жыл бұрын
Naitaj cook catter napate
@bkili3240
@bkili3240 2 жыл бұрын
Yaitwa eyshhh
@anitamichell6992
@anitamichell6992 4 жыл бұрын
Nimeipenda sana
@magitamataro6998
@magitamataro6998 3 жыл бұрын
Asante Sana madam
@FIKIRASALUM-kl1qm
@FIKIRASALUM-kl1qm Жыл бұрын
Unafaa kuoka kwa ovena?
@jannatfirdaus2500
@jannatfirdaus2500 4 жыл бұрын
Tanduri?
@zaitunijuma7831
@zaitunijuma7831 4 жыл бұрын
nitajaribu na mm nzuri sn
@masumajanmohamed1837
@masumajanmohamed1837 2 жыл бұрын
Very very nice Asante
@badriaahmed4373
@badriaahmed4373 3 жыл бұрын
Iyo ni mikate ya jemu mpz jina lake ilo
@AbdulhakimabduKassim
@AbdulhakimabduKassim Жыл бұрын
Mikate y yesu au mofa ety kwan lzm kutia maziwa
@Mwana-xl8cg
@Mwana-xl8cg 9 ай бұрын
Sio lazma hata ukitia Tui/Nazi tu inatosha ss huku Pemba ndio tunavofanya
@barkaahmed3003
@barkaahmed3003 4 жыл бұрын
Am the first here today. Asanti
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Wooow Asante
@omarisaumu2146
@omarisaumu2146 2 жыл бұрын
Thanks nimependa sana
@julianamuga389
@julianamuga389 2 жыл бұрын
Madufeti😂😂
@zakiashabani7489
@zakiashabani7489 2 жыл бұрын
Pia unaweza kudumbukiza kwenye mafutaaa kama unavyopika mandazi
@irenemrema74
@irenemrema74 4 жыл бұрын
Asante mpendwa nimejifunza nitaijaribu hiyo
@umfarid247
@umfarid247 4 жыл бұрын
Asante sanaa nimependa chapati nzuri
@ajesterkalulu7927
@ajesterkalulu7927 4 ай бұрын
Zinaitwa batanani
@dominionbiginga4170
@dominionbiginga4170 3 жыл бұрын
Wow Tamu
@linnetmbotto7212
@linnetmbotto7212 4 жыл бұрын
Looks yummm! Thank you
@safiaothman5175
@safiaothman5175 2 ай бұрын
Mkate wa mofa
@josephisokero-ks9nm
@josephisokero-ks9nm Жыл бұрын
Iko poa
@annemarienyirenda7251
@annemarienyirenda7251 4 жыл бұрын
Looks yummy. I must try it
@rosevictorlive6184
@rosevictorlive6184 4 жыл бұрын
Inaitwa bazlama 🥰
@jojo-ju6yy
@jojo-ju6yy 3 жыл бұрын
Duh
@katherinemassawe8053
@katherinemassawe8053 4 жыл бұрын
Wewe ni mwalim hasaaa
@masumajanmohamed1837
@masumajanmohamed1837 2 жыл бұрын
Chapati za swahili
@ABDULKADIRSULEIMAN-d1f
@ABDULKADIRSULEIMAN-d1f Жыл бұрын
Mikate ya kusukuma
@aminasalamalekumamina6217
@aminasalamalekumamina6217 2 жыл бұрын
Salam Alekum
@hellenjoachim607
@hellenjoachim607 4 жыл бұрын
Asante ni nzuri ,je nikiwa sina Maziwa naweza kanda na Maji?
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Ndio
@musashehe4667
@musashehe4667 2 жыл бұрын
Zinaitwa tanduri
@ummufarhiya7012
@ummufarhiya7012 4 жыл бұрын
Na inawekwa yai moja yaani hujakosea vile
@latifabeyonce
@latifabeyonce 3 жыл бұрын
Khubus
@neemamandari4991
@neemamandari4991 4 жыл бұрын
Aisee najfunzaga mie apa kwny channel yako . Ahsaante MUNGU kwa ajili ako
@christinemaina5540
@christinemaina5540 2 жыл бұрын
Mkate mofa
@subiranoor1378
@subiranoor1378 4 жыл бұрын
Inaitwa naam butter wanapenda wahindi
@raheemahongeramashaallah1443
@raheemahongeramashaallah1443 4 жыл бұрын
naam .ndiyo hata mie mie nilijifunza kwa wahindi zamani sana .wao wanatia mfuta kama chapat. nzuri zaidi ya hiyo
@marymushi7923
@marymushi7923 4 жыл бұрын
Congrats.
@DIANAPHILIPO-i3m
@DIANAPHILIPO-i3m 2 ай бұрын
Mkate wa batibati
@Amanda-tz
@Amanda-tz 4 жыл бұрын
Now I'm super hungry! Lazima nizitengeneze
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Plz tag me 😋
@berthasanga8076
@berthasanga8076 4 жыл бұрын
Mi nafahamu inaitwa naan bread
@katherinechristopher1001
@katherinechristopher1001 4 жыл бұрын
Nitajaribuuuu
@katherinechristopher1001
@katherinechristopher1001 4 жыл бұрын
Mpendwa Nimejaribu kupika. Nimitamu Sana. Familia wameipenda. Shukrani.
@husnahussein7470
@husnahussein7470 4 жыл бұрын
Inaitwaa Tandurii
@matatomlik1846
@matatomlik1846 3 жыл бұрын
Maashallah
@muniramunira401
@muniramunira401 4 жыл бұрын
Mashaallah🌟
@eliadanford9009
@eliadanford9009 4 жыл бұрын
Karibu kutumia lugha ya kiswahili sio wore wanao kufuatilia wanajua tu misemo twa kingereza
@ikamalle
@ikamalle 4 жыл бұрын
Kwani natumia lugha gani?
@eliadanford9009
@eliadanford9009 4 жыл бұрын
Kuna vimisamiati vya kiingereza
@norahkyando8809
@norahkyando8809 2 жыл бұрын
Mbona kaongea kiswahili
@MercyKyando
@MercyKyando 4 жыл бұрын
Sikuwezi,but i will try this also
@aminayusuph2056
@aminayusuph2056 4 жыл бұрын
Ni lazima uweke maziwa na hamira kuloeleka na maziwa
@neyitambu3245
@neyitambu3245 4 жыл бұрын
Lazima nitumie maziwa ama hata tui la nazi ama maji yanafaa?
@hjhj6230
@hjhj6230 4 жыл бұрын
Shukrani
@aishamikidadali3623
@aishamikidadali3623 4 жыл бұрын
Mofa
@ummufarhiya7012
@ummufarhiya7012 4 жыл бұрын
Hiyo Ina itwa Eshii
@sherbanieabdoul9552
@sherbanieabdoul9552 3 жыл бұрын
Mashallah
@MathewSabuka
@MathewSabuka Ай бұрын
Zinaitwa laudi
@meggymegz4679
@meggymegz4679 4 жыл бұрын
I think kwa kizungu zinaitwa Naan
@hamidangitu227
@hamidangitu227 4 жыл бұрын
Waoooh
@graceoziana453
@graceoziana453 3 жыл бұрын
😋😋
@rukialuguli3482
@rukialuguli3482 3 жыл бұрын
Unachoma bila mafuta
@manbonge3015
@manbonge3015 4 жыл бұрын
Flat bread
@ziadamfinanga422
@ziadamfinanga422 4 жыл бұрын
Iyo inatwa kate wa mofa
@SQuiKenya
@SQuiKenya 4 жыл бұрын
Inaitwa nun
@fatumaismail2680
@fatumaismail2680 4 жыл бұрын
Inakaa breed ya pita bread na naan bread🤣🤣🤣🤣
@maureenjuma1777
@maureenjuma1777 4 жыл бұрын
Asante dada angu
@Kwazulu1
@Kwazulu1 4 жыл бұрын
Je hiyo ni NAN?
@tamiramutunga155
@tamiramutunga155 4 жыл бұрын
Nakama nan
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
How to make Soft and Fluffy Chapati | Soft Layered Chapati | Paratha | Roti
17:35
CHAPATI ZA MAJI ZENYE NYAMA NDANI 😋
9:41
Ika Malle
Рет қаралды 497 М.
Mashine ya kukamua mafuta ya karanga 4-6kg/H
0:28
Pamaco
Рет қаралды 1 М.
Jinsi ya kupika chapati laini kwa muda mfupi
6:34
MAPISHI TV
Рет қаралды 12 М.
CHAPATI LAINI za MAJI za MICHIRIZI | Jinsi ya Kupika CHAPATI LAINI za Maji za MICHIRIZI
11:50
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН