Ahsante mungu🙏mechi haikua rahisi lakin umewapa nguvu 💪ya kupambana wachezaji wetu... tutangulie na mechi ijayo dhidi bravo 🦁💪❤❤❤❤
@hopepeter2773Күн бұрын
Wanasimba tumtegemee Mungu tuwaombee sana wachezaji wetu maana Simba hata mwitun akiotewa anachakazwa lazma tulinde heshima yakuitwa mfalme wa nyika❤❤
@JacklineMtaita-f8t21 сағат бұрын
Kwakweli
@2ndkingdom05Күн бұрын
mimi ni yanga dam dam ila simba wanabeba shirikisho mwaka huu nimewakubali🙌
@laizerJr-p8lКүн бұрын
ahsante sanaaa mwanangu uko vzurii sanaaa
@yohanayohanaadamu6483Күн бұрын
Safi sana we unajuwa mpira
@stanslausmteme8455Күн бұрын
Hawez kubeba ubingwa
@KhadijaYahya-f6bКүн бұрын
Bora ww unaejitambua kuliko wengine mibulula unaongea ukweli kabisa
@kefageorgeКүн бұрын
Kuna Berkane n wa moto
@ChangwaMkwazuКүн бұрын
Pole kaka yetu kwa hofu ila Mungu ni mkubwa atatuvusha inshallah. Hongereni kwa kazi kubwa wachezaji na viongozi wote kazi iendelee
@allythabiti8150Күн бұрын
Simba tunaweza kuchukua ndoo Wallah kikubwa waache sasa kujiamini kwasababu wameshinda, SIMBA WAMECHEZA KWEL KWA NIDHAMU NA KUPAMBANA, mbele wot, nyuma wote.❤
@EliasCosmas-qp6gnКүн бұрын
Àsante MUNGU ❤❤❤❤nimefrah kuliko jmn ,"Simba nguvu moja 🎉😅
@emmanuelndatulu298823 сағат бұрын
Ahsante Mungu kwa Hili uzidi kuinuliwa!! Ahmed Ally Mungu akusimamie kwa Motivation zako zinatupa furaha sana!!❤❤
@KhayratAbdurahmanКүн бұрын
Hata wakisema tunafunga kimoja...saawaaa jambo la kushukuru ni kwamba haturuhusu goli na wachezaji wetu wanakaba na kulinda goli had naogopa...😢😢 Naipenda sana simba yangu❤
@neemamasimba2981Күн бұрын
Kimoja lakini kina matokeo makubwa
@francismapunda6924Күн бұрын
Ingekuwa amri yangu ningesema ndege yetu iwafuate kuwaonyesha jjeuri waarabu wa Tunisia wachezaji wetu wametupa heshima sana❤❤❤❤❤❤❤
@JuniorMazundeКүн бұрын
Mungu ni mwaminifu kila wakat ashukuriwe na kutukuzwa
@agnessmziray7091Күн бұрын
Semaji la masemaji hakika nakupenda mnoooooo ❤❤❤❤❤❤❤
@ambakisyemwanjemba5787Күн бұрын
Wachezaji wetu tuwapongeze sasa hivi timu inakaba mwanzo mwisho hawategeani kabisa ,kwa mara ya kwanza nimeona timu ikipoteza wana kaba wachezaji kuanzia wawili mpaka watatu hongera sana timu yangu simba.
@JoseHaule-tx7luКүн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂hakika
@mohammedkidody5618Күн бұрын
❤❤❤
@FadhiliMbano-pc6huКүн бұрын
Kaz nzur jana timu yangu,,💪🏾💪🏾,,Ssa Nguvu kubwa tuwekeze kwa Bravos,,maan nao ndo mechi yao ya mwisho Nyumban 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@CharlesLutandula-y3cКүн бұрын
Waowaowaooooooooo simba nguvu moja
@TabithaLukindoКүн бұрын
I love you ahmed❤❤😊
@musomatowntv2200Күн бұрын
Naomba mawasiliano yako kipenzi
@TabithaLukindoКүн бұрын
@musomatowntv2200 hahaha why 😁
@musomatowntv2200Күн бұрын
@@TabithaLukindo naomba tu sio kwa ubaya bwela lakini
@FadhilChiteme13 сағат бұрын
Ubaya ubwela❤
@AlfredNgailaКүн бұрын
Hongereni sana simba
@NeemaMbogoloКүн бұрын
Simba. Ni nguvu moja. Ubaya ubwela. Tumeuonyesha haswa haswa Asante Simba kwa kutupa heshima kubwa wanasimba tuji pange vizur na mchezo ujao
@CharlesLutandula-y3cКүн бұрын
Mungu yumwema sana simba nguvu moja
@SurprisedMarshmallow-bt7krКүн бұрын
Hap tunafrah kupat point tatu lakn msemaj wetu anatutia moyo zaid wakat tim yetu jaman bd san hatuwez kufik hat nusu final tunahitaj kubdilik zaid kushambulia kwa mda wote kipind tim inapopat chance napia wachezaj wetu wanap amua kujilind wanategean san tuach kuyaon mazur tu kwasabab tumeifung cs sfaxien jaman bd tunamwend mkubwa simb so tim ya kuw inalizik na gori moja, mungu Asante kwa kutup point tatu bd tunakuhitaj utufikish mbl Zaid amin
@josephvenus3259Күн бұрын
God is great for our team! Simba nguvu Moja. #Ubayaubwela
@StephankMkondyaКүн бұрын
Simba ndio baba wengine wanaiga tu simba is big team❤❤❤❤❤❤
@azizimaulana-f7b18 сағат бұрын
Simba inaimalika sana aiseeh..huyu kocha kawajenga wachezaji katika umoja,upendo, na hasa kujua nini simba inataka ..Hatua nzuri sana..Tuwapongeze sana,na Hakika mzidi songa,mbele Timu yangu..Iwe juzi,jana na hata kesho,Simba itabaki Kua timu yangu pendwa...#
ASANTE SANA SEMAJI LETU LA CAF MUNGU AWALINDE WACHEZAJI WETU WA SIMBA. MKIENDA KUCHEZA KUCHEZA NA BRAVO MKAPAMBANE SANA MUNGU NI MWEMA MTASHINDA KILA MCHEZO
@ReinuthaNsekera-f4bКүн бұрын
God bless my team 🙏 🎉
@JohnClemence-w9bКүн бұрын
Simba Simbaaaaa.Simbaaaaaaaaaaaaaaaaa
@rukaiyakondo526520 сағат бұрын
Thanks alot God for this, i love Simba
@marthamsacky6973Күн бұрын
Sifa zangu na asante ni kwako Mungu wetu kwa kuendelea kutupa furaha wana simba na nchi yetu ya Tanzania 🇹🇿 na kuwapigania wachezaji wetu Hongera kocha Fadlu
@TeodosiaNzengeКүн бұрын
Nimeamini timu yangu sio tu inaendeshwa na kiwango kubwa cha uchezaji bali pia nidhamu ya hali ya juu kutoka kwa "sir Davids fadulus" big up sana kwako.simba nguvu moja💪💪
@AishaShaban-s5rКүн бұрын
Tunashukur sana wachezaji wetu kwa kuipambania simba yetu mmetuheshimisha
@simonmadiba2053Күн бұрын
Simba ni timu bora zaidi kwenye michuano hii
@STELLAMARCELYКүн бұрын
Yeah na Wana uziefu wa kutosha... MUNGU nae akawapigania..🔥🔥🔥
@mohammedkidody5618Күн бұрын
Kabisa❤❤❤
@FatumaBakari-uz3oxКүн бұрын
Sifa na utukufu zikurudie Mungu wetu, Asante kwa kujibu maombi yetu, Simba nguvu moja!!!
@IbrahimRajabumpendaКүн бұрын
Simba spot club Tanzania 🇹🇿 1936 nguvu Moja ubaya ubwela 😂😂😂😂🌟💪💪
@IbrahimRajabumpendaКүн бұрын
😂😂
@mohammedkidody5618Күн бұрын
😂😂😂❤❤❤
@zuwenaramadhani-d5iКүн бұрын
Hongera my team nimefurah jamn❤❤
@ExsaviourDaimonКүн бұрын
Ubaya ubwelaaaaaa❤❤❤❤
@chrissmpangalaКүн бұрын
Simba nguvu mojaaaaaaaaaaaa ushindi lazima iwe mvua liwe jua mungu ibariki Simba sport club
@BahatiSamwel-w1oКүн бұрын
Simba nguvu moja❤❤❤❤
@ZainaKhasabКүн бұрын
Ubaya ubwela ❤❤❤❤❤
@KhanashyAlmassiКүн бұрын
Asañte sana ALLAH KWA USHINDI,aikuwa rahisi kabisa.
@robertmahayu5978Күн бұрын
UBAYA UBWELA UBAYA UBWELA.!!❤❤
@AngelineHemedКүн бұрын
Nampenda semaji langu♥️♥️♥️♥️
@PauloMkwama-t1gКүн бұрын
🎉🎉🎉simba nguvu moja
@BeckamYonnahКүн бұрын
Ahsante mungu❤ hakika umejibu maombi yetutuseme tu wanasimba tuashukulu kwa matokee
@MariamHamisi-l9kКүн бұрын
❤❤❤semaji huna baya baba
@BuhamadSaidКүн бұрын
Hata ww huna mbaya
@JoyceStevenMabula7 сағат бұрын
Kweli Hana bayaaa
@FrolenceCostantineКүн бұрын
Simba ni chama la wanna akika kabumbu imechezwa❤❤
@jinnahsameer21 сағат бұрын
❤❤❤❤❤ I love u so much simba
@upendokasagala403523 сағат бұрын
Pila la kimbinu limechezeka pale tunisia ...kocha fadlu unajua sana Asante kutupa raha wanasimba👏👏👏
@Josephtibu-l9eКүн бұрын
Mungu ni mwema😂😂😂😂😂🎉🎉🎉❤❤❤
@TomasiklistophaMwinukaКүн бұрын
❤❤❤❤❤ pongez kwaushindi Simba nguvu moja
@JaneBenja-ls8tiКүн бұрын
Simba nguvu mojaaa
@selemanimkwichu782Күн бұрын
Simba nguvu moja ❤😂😂😂
@MwanaishaJuma-e2s23 сағат бұрын
Mungu aibariki simba ❤🤲
@WamburaThomas-j4g22 сағат бұрын
Nakubalii Simba yangu
@shumajrrespectКүн бұрын
Hongera team yangu ya simba
@ManaseMalimiКүн бұрын
Shukhuran sanaaaa mwenyez mungu mchezo haukuwa mwepes
@OliverMilanzi-k4pКүн бұрын
Simba nguvu moja 💪
@GiftSaid-y6d5 сағат бұрын
Nakubali sannaa ❤❤ chma langu
@Mariah-r1oКүн бұрын
Hao bravos tuwafunge tu wasipate ata draw
@janethelly4986Күн бұрын
👌👌
@stanslausjohn8791Күн бұрын
Ubaya ubwela 🔥
@JaibiFmanyukaКүн бұрын
Safi Sana simba SC kwaushindi mnono mkiwa ugenini
@KalebuMbwiloКүн бұрын
Ahmed Ally is the one of the best speaker I have never heard 😅😅❤
@mohammedkidody5618Күн бұрын
Kabisa❤
@DeogratiusMagaimabwiga14 сағат бұрын
Mungu akulinde sana semaji letu
@JustineLusekelo18 сағат бұрын
NGUVU mojaaaaa simba
@ChibuDenga-l3b21 сағат бұрын
Simba nguvu moya☝️
@welnelykombaКүн бұрын
simba laha jaman ❤❤❤
@Eliasryoba-z7dКүн бұрын
Simba 🦁 NGUVU MOJA 💪💪💪
@tiffan2807Күн бұрын
Tunakushukuruuu munguuu 🎉🎉
@Yohanankwabi-e9oКүн бұрын
Niseme nisiseme ubwelaaa😎😎😎
@OmarimakukaКүн бұрын
Nguvu moja❤❤❤
@BarakaJisanduКүн бұрын
Hakuna Kama simba mungu isaidie timu yetu
@SarahMathias-v1gКүн бұрын
❤❤❤❤❤❤love you ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@GiftSaid-y6d5 сағат бұрын
Nakunbali san chama langu❤
@BigZhumbeКүн бұрын
Hivi unajua kama SEMAJ kwa kinyume Ni JAMES. Ila SIMBA hatucheki na wowote. Ubaya Ubwela
@mohammedkidody5618Күн бұрын
😂😂😂uko vizuri
@shaidariramadhani-uj3ksКүн бұрын
❤❤❤❤❤ ubaya ubwela
@neylamainaКүн бұрын
Mungu ni mwema
@monicachacha455Күн бұрын
hongera sana ❤❤❤
@MahaSaeed-hf3gsКүн бұрын
Mungu ni mwema sanaaaa
@HafidhKatambo18 сағат бұрын
Nqkubali mungu tumtangulize kwa kila hatua
@JAMESBITURO-wf4tcКүн бұрын
🦁🦁🦁🦁🦁💪
@MkomboziKaonekaКүн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤ Ahmed
@Mariah-r1oКүн бұрын
💓💓💓🦁🦁🦁🦁🦁
@RahimKulwaКүн бұрын
Kinyo wa bunju@❤❤❤❤
@simonmadiba2053Күн бұрын
Simbaaaaa nguvuuuuu mojaaààaaaa
@FidinNyoni-p8mКүн бұрын
Simba naipenda sanaaaaaaa
@FloraHwago21 сағат бұрын
😂😂😂😂akaichetua chetu😂😂😂semajiii❤❤❤
@MahaJosephMahaJosephКүн бұрын
💪 Mnyama 🔥🔥🔥🔥
@AlexBahati-r9r2 сағат бұрын
Tuwaombee tu wachezaji wetu mungu awatie nguvu
@kingp4426Күн бұрын
I like simba sc
@isayaGarimoshiКүн бұрын
ongera kwa simba yangu
@denisshayo6638Күн бұрын
Sisi Hao SIMBA 💪
@mohamedathumani9552Күн бұрын
Big up simba fans you deserve
@yussuphmussa8232Күн бұрын
Team tunatengeneza❤❤ naina kaba vzr tu
@OmarMwalimu-h7jКүн бұрын
Simbaaaaaaaa nguvu Moja
@SalumsaidiKatimundu-z1sКүн бұрын
❤❤❤simbaaa 🇹🇿🇹🇿
@SaidiJuyaКүн бұрын
Ubaya ubwelaa🦁🦁
@HamiduKiulungaКүн бұрын
Ubaya ubwela unaendelea simba mpaka fainali ❤❤❤
@herimwafulango8606Күн бұрын
asante sana ee MUUMBA wa nchi mbingu na vyote vilivyomo ndani yake KILA LA KHERI SIMBA SC TANZANIA