JEMEDARI: HAKUNA KIUNGO HATARI KAMA FABRICE NGOMA/ KIWANGO CHAKE KIKUBWA

  Рет қаралды 33,144

Crown Media

Crown Media

Күн бұрын

Пікірлер: 27
@abdalahhassan5759
@abdalahhassan5759 16 күн бұрын
Kwa sasa mtasema kila mtu mzuri maana mmetuponda sana wote wahun tu na wazandik
@molenicharles9107
@molenicharles9107 16 күн бұрын
Kuna NGOMA...na KAGOMA... very fire in the desert bushes..🔥🔥🔥🤣🤣🤣
@abuuyusra3920
@abuuyusra3920 16 күн бұрын
Kazi nzuri ma sha allah
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 16 күн бұрын
Kagoma ni kiungo bora no. 1 ukimtoa Fei
@AdamuSelemani-y3t
@AdamuSelemani-y3t 12 күн бұрын
Munatuchanganya tukishinda wazuri
@leejems142
@leejems142 16 күн бұрын
Unafk wen unaanz kuonekan sas mnaanz kuingia kweny mfum wenyew
@mnyongeiddi2454
@mnyongeiddi2454 16 күн бұрын
Wote Hawa wanafik tu Simba ingefungwa ungeona upuuzi wao wanavoponda
@francisboydmwakyusa230
@francisboydmwakyusa230 16 күн бұрын
Ndiyo kazi ya uchambuzi, unachambua kile kilicho mezani si kuangalia nani atafurahi kwa uchambuzi wako. 😅😅😅
@PerfectJbo03
@PerfectJbo03 16 күн бұрын
KATIKA WACHAMBUZI WA MPIRA TANZANIA NAKUVALISHA KOFIA YA 👑 MAANA TANZANIA HAKUNA KAMA WEWE NA HANS RAPHAEL
@SimonJoseph-h4e
@SimonJoseph-h4e 12 күн бұрын
Woteee ushuzii unafiki mwanzo mlisemaje
@shedrackmutalemwa7310
@shedrackmutalemwa7310 15 күн бұрын
Ebu kuweni wa kweli
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 13 күн бұрын
Ngoma au Kagoma? Mbona mnachangaya mapapai mabivu na samaki wa shombo
@JumaMaulidi-e8h
@JumaMaulidi-e8h 16 күн бұрын
Huyu jemedari said kweli mchambuz mzuri ila haipendi yanga hata kidogo
@janiafaomaa5120
@janiafaomaa5120 16 күн бұрын
JEMEDARI HAJUWI MPIRA YEYE HATAMTU KATOKA KUZA MZIWA KWAKE OYAA
@emmanuelmchomvu2676
@emmanuelmchomvu2676 16 күн бұрын
Jemadari anabifu n Simba cz y Manula😅😅
@MinakiPazi
@MinakiPazi 15 күн бұрын
Uyo.unaemuita.kiungo.bora..ni.ukouko.kwenye.uchafu.wao..akija.pale.yanga.anakaa.bench
@josephvenus3259
@josephvenus3259 16 күн бұрын
Jemedari ni mnafki tu. Yaani tunatamani hata usiizungumzie timu yetu.
@chrysanthushakaunga6560
@chrysanthushakaunga6560 16 күн бұрын
Cfaxen ni mbovu sana
@jumakassimu3633
@jumakassimu3633 15 күн бұрын
Kacheze nayo wewe basi
@AshelyAbel-x1q
@AshelyAbel-x1q 15 күн бұрын
Wabovu kama yanga
@Juma-h3h
@Juma-h3h 14 күн бұрын
uyu uyu jemedari si ndo halisema simba wamevunja viti? Mbona faini mbona wamepata wageni?
@EdwinKabasa
@EdwinKabasa 16 күн бұрын
Leo mnaisifia timu uku ndo timu mnayo iponda
@BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT
@BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT 16 күн бұрын
Huyu alimsifia Debora Fernandes ....😂😂😂😢
@ThekraJanga
@ThekraJanga 13 күн бұрын
Huyu ni mchambuzi! Shida watu hatupendi kuskia ukweli!
@BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT
@BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT 16 күн бұрын
Jemedari msifie wachezaji wako KIBU.. MANURA bs ZIMBWEE MAANA UNAFIKIII WAKOOO TU PIA ISIFIE JKT WAKOOO😂😂😂
@deonatusdaud4640
@deonatusdaud4640 16 күн бұрын
Wachambuzi wangu bora wa mpira nchii Jemedar said ..shafii dauda Amri kiemba ..edga kibwana..over...to me...
@shaameshaame-g3d
@shaameshaame-g3d 16 күн бұрын
Ni Bora kwenye timu yake co kwenye timu zote. Mm namuona MUDATHIRI ni bora kwa muda mrefu na co kwa YANGA tu hata ZANZIBAR HEROS na pia kwa TAIFA STARS. Ukibisha ukapimwe akili
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
MURTAZA MANGUNGU ATHIBITISHA KUMKATAA CHAMA KURUDI SIMBA
5:31
Crown Media
Рет қаралды 15 М.
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН