Umoja ni nguvu big up sana mubarikiwe. Much love from Kenya
@martingichovi55219 ай бұрын
Well said bro,c show off ni biss👍
@faizaahamd20522 жыл бұрын
Nimefurah sana muko pamoja .TMK . MUBARIKIWE❤❤❤❤❤❤❤❤💞 sana
@issahamissiissahamissi77752 жыл бұрын
TNC TEMBA NECHA CHEGE unyama ni mwingi Sana💪🏻💪🏻💪🏻
@beckarluhanga84212 жыл бұрын
Welcome Back ma Ninja
@GibsonMahanga Жыл бұрын
Chege hv Bobsele na said. VERO Wako wapi
@kiatu2 жыл бұрын
Project ni kazi ya muda kwa madhumuni ya kutengeneza bidhaa au huduma. Katika hili swala bidhaa ni album. Project lazima iwe na mwanzo na mwisho. Project zingine zitafuata kutokana na matokeo ya hii.
@rehemafredrick77942 жыл бұрын
Nawapenda sana nyie TMK ❤
@isaa61452 жыл бұрын
Nawapenda sana
@tonymaster36192 жыл бұрын
Nakubali sana bro
@japhetkarisa93852 жыл бұрын
Tunasubiri hilo dude mzee bifu zamani waachieni watoto bifu
@Qqambaa2 жыл бұрын
Nakumbuka wakikosana Hawa majamaa nature alihisi kama akitoka hichi kikundi kingine kitabuma
Bora muje pamoja maana kuna wapuuzi tu huku wanaimba chitaki…
@robathcarlos80682 жыл бұрын
🤣😂🤣
@bonaventuremabula41132 жыл бұрын
yani hatawaungane makundi yote hapa tz hawamuwez aliyeimba chitaki
@RobbyDejan12342 жыл бұрын
@@bonaventuremabula4113 mbona umekurupuka aliyesema suala la kumuweza aliyeimba chitaki ni nani Sasa hapo? Alafu kitu kama haujakielewa ni vema ukakaa kimya tu...
@bonaventuremabula41132 жыл бұрын
@@RobbyDejan1234 zamazao zilishapita hao
@haidhabushiri95582 жыл бұрын
Tunataka mziki mzuri halisi
@olembetonga73412 жыл бұрын
Oyaaa nimefurahi Sana kwakweli
@Babu.Suwa.Yoshua012 жыл бұрын
Nime m miss Temba ♥️
@christopherkalimanzila68682 жыл бұрын
We missed you much guys
@BONGOINMOTION2 жыл бұрын
Naule uchezaji wa Tmk basi muulete vijana wasasa watapenda kinoma
@maulidihassani83242 жыл бұрын
hahahaha😂😂😂😂😂
@rahimmarions57122 жыл бұрын
Ukweli kwa sasa hakuna mziki wa maana Ila changamoto kubwa ya Hawa jamaa mashabiki wao wengi now umri wetu umeshakwenda.. tutakuwa tunawapa big up tu katka mtandao uku uku.. Ila Hawa vijana wa sasa ndio Wana mtihani nao sana, sababu nao washaelewa music wa kizazi chao
@louser94732 жыл бұрын
Ni kwel kabsa bro umeongea vyema
@MisifaNelly11 ай бұрын
𝑵𝒐𝒎𝒂 𝒔𝒂𝒏𝒂 𝒂𝒔𝒆𝒆
@maryamtanzania97432 жыл бұрын
Napenda watu wanaoungana
@stellahpaul56242 жыл бұрын
Hiyo stick ya temba haitokagi
@jaffjeff69122 жыл бұрын
Na haidondoki
@yussufkhasim90212 жыл бұрын
Yani Nina hamu wewe I can't wait..
@swalehesaad11432 жыл бұрын
Nilichokigundua hapa hakuna muunganiko wa kweli ni biashara tu hapo Ila ule uswahiba hakuna huyo chege anasimamiwa na mkubwa fela ambae hawana maelewano mazuri Sana na p funk majani, Pia hapo Kuna ule umoja wa necha na insepctor haroun kwaiyo utakuwa umevunjika ama.
P fank is Doctar dre in Tanzania kuna sikuuu mtajuwa tuuuu na mtaelewa tuuuu
@ankalmzito2542 жыл бұрын
sasa hivi kazi ipo...
@erickchitumbi13082 жыл бұрын
Ni kweli tumechoka kusikia nyimbo zenye matusi.najua unakuja mziki ambao hakuna vificho kwenye jamii nzima.
@mussamsella85602 жыл бұрын
P funk majani amekua mtu mwenye project nyingi lkn nyingi huwa zinaishia njiani,So hata kwenye hili hofu yangu malengo yatatimia?? Ni mtu ambae anazingatia sana mchakato kuliko matokeo
@omarmussa57552 жыл бұрын
Unajiskiaje
@pastoraile71952 жыл бұрын
Sema Alikiba na Mond wata post Kazi zenu?????au Big fizzier from Burundi Au South Africa Oskido????au Nigeria Ebuka au 2 baba
@yahayanelem9932 жыл бұрын
Ludixhen uwezo wenu Kama TMK
@rajabhussein77942 жыл бұрын
Tmk family mlituteka Sana jamani enzi hizo kule kwetu mpanda mpaka watoto walikuwa wanapenda staili yenu ya mapanga