Kichwa kinauma hapa 2023 Wanaume family TMK kaaa kawa niko ndani mwakani hapa wapy likes zangu from +254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@gurbaumcn16327 ай бұрын
I just love old school bongo flava songs, 2024 still rocking. What a rhythm, what a lyrics, what a message. Old is gold, 👍👍👍
@learnwithlynn202116 күн бұрын
bado kichwa kinaumaaa..10 years later
@Manny_Ke27 күн бұрын
Kichwa kinauma…whose here 20th Nov 2024.🙋🏼♂️🙋🏼🇰🇪
@suinance-jr Жыл бұрын
Always coming back for this verse " mbn hatupewi chetu na nchi naskia imeuzwa😂😂🙏🙌"
@AlfredMoshaa5 ай бұрын
😂😂😂😂
@ElizabethMartine-qp2diАй бұрын
😂😂😂😂 2025 loading...
@lioness8207 Жыл бұрын
Siamini nilianza kuona aslay akiwa mdogo. 😊😊😊😊but i love chege
@wybzokizzy4416 Жыл бұрын
Kichwa kinauma 🔥🔥🔥here we go again. It's 2023 🔥🔥
@shamsaamor001 Жыл бұрын
Yes✨️
@wybzokizzy4416 Жыл бұрын
@@shamsaamor001 🔥🔥🔥
@chrispinussangura8855 Жыл бұрын
When Bongo was Bongo. If you are reading this and you schooled in Rasul Al Akram Academy... Mimi nilikuwa class of 09... Big up to all of you Rasul boys.. Akina chief Mwachombo and Hawza mafias... Pokea salamu zangu
@IqramiyaBuhet-b3j2 ай бұрын
Jamaani YP ALLAH akusamehe makosa yako ya siri na ya dhahiri wallah 🙏🙏🙏
@tinny080 Жыл бұрын
Nimeka nikakumbuka radio maisha ukiwa radio maisha and this song popped up back then hakukua simu na KZbin I had to come and stream the video 😅😅😅 sad to realize guy died
@silungwesh7487 Жыл бұрын
Mh temba&chege wasanii wangu nnaowakubali kwa kazi zao
@kpkipuka3257 жыл бұрын
Aslay tokea kichwa kinauma mpk Natamba,,, big up sn🙌🙌
@dennischeyo13025 жыл бұрын
R.I.P Y P mtoto wa keko magurumbas Tmk msera wetu tuliishi pmja sana hukuwa na makuu
@Rockbalozi Жыл бұрын
2023 bado song fire
@JacksonKabui Жыл бұрын
Saaaaaanaaaaa
@JumaNassoro-q2p8 ай бұрын
Yan hiii Ngoma mpaka nataman kulia nakumbuka mbali sana
@kamanda0075 жыл бұрын
Hili dude ni noma inabidi walitoe upya in different version with same verses...damn they should be rich
@mrbaligea6435 жыл бұрын
Woooooow! Kichwa kinaumaaa!! Nice song. Pamoja sana. Is there anyone watching 2019??
@barazabrian72935 жыл бұрын
bongo never grows old....wapi likes za tmk😄
@dianafrancis25415 жыл бұрын
Aliemwona aslay jaman😘 gonga lyk Kama unaangalia dis song 2019.
@christophersoty1015 жыл бұрын
YP na Chege hamjawahi kuharibu mkisimama kwenye corus pamoja R. I. P YP mungu akulaze Mahala pema peponi 26-07-2019 naendelea kuumiza Hapa
@moseskiiru1610 Жыл бұрын
Hata beat ya kapuka nachana hip hop
@ElvisKakaiАй бұрын
Mashabiki wengi hapa ni 254......
@gmarshar5 жыл бұрын
I love the fact that Aslay is in this song🔥🔥
@shabaniissah84645 жыл бұрын
tunapoizungumzia TMK WANAUME FAMILY haitokuj kutokea group kali kama hili vina safi chorus ndio usisemee YP rip na chege mtt wa mama cide mmetisha @chande
@shabaniissah84645 жыл бұрын
challi naye duuuuuh
@hkmeme54373 жыл бұрын
Hii ndio bongo flavour niliyoipenda
@mustaphamsumary23034 жыл бұрын
Hii ndy Tmk xax wale wengne walkuw wanaimba bangi 2020 bdo nachek ngoma Kali km hii
@festusnyonga83689 ай бұрын
Chege's vocals remain timeless. Mziki mtamu sana.
@dullahwago53603 жыл бұрын
Kichwa kinauma kichwa kinauma yeee iyeeiyeee💖 sisi maskini kichwa kinaumaaa hata matajiri nao kichwa kinaumaaa,
@okwakojm93082 күн бұрын
Aslay lacked someone like Diamond Platnumz...He needed a promoter..hes good
@alimasssaidi592211 ай бұрын
2024 🔥🔥🔥🔥kichwa kinaumaaa nooma sanaa
@omarmtumbi71519 ай бұрын
Enzi zile kabla yule Mmanyema hajamwiba mkubwa Fela. Kundi lilitisha sana hili.
@lestonpanja5684 Жыл бұрын
🔥🔥🔥 I this song guys....am in Zambia but am still love this song
@irenembapila2 ай бұрын
Hapo Mh Temba anaumwa kichwa kweli😂😂
@tumainicharo42072 ай бұрын
Kichwa kinauma 2024 🔥
@Abuyahmusic6 жыл бұрын
Tunaumwa ugonjwa wa shida That's a nice one
@abdijabbarhussein20685 жыл бұрын
sema ku flash back ma memory jo those.dayz
@peterwainaina1585 Жыл бұрын
yanayofanyika kenya saa hii..
@muskatafari12087 ай бұрын
Kichwa kinauma sana hapa Nairobi 9 years later
@marianaalphonce86402 жыл бұрын
2022 na huu uchumi wa kati sasa naanza kuuelewa huu wimbo🤔🤔
@braggadachu17239 ай бұрын
Baada ya TANESCO kuzima zima sana umeme nimerudi kusikiliza versi ya temba😂"TANESCO kuzima kuzima umeme tutawalaani"
@Blaq-i8 ай бұрын
Noma sana tunasaluti kutoka kenya 🎉🎉🎉🎉🎉
@aminamwivita76907 ай бұрын
Congratulations keep it up good job ❤❤❤
@zizuzizu63065 жыл бұрын
I wish you had stay like this together. Mungeitingisha Africa mzima.
@khayraa73742 жыл бұрын
They did not have proper management and proper promotions team otherwise they are absolutely great.
@morrisgadafi30614 ай бұрын
2024.Ngoma fayaa.Nachezea bibi mkorofi
@jeffkomzbeats9 ай бұрын
Wale wa athari za Zakayo tukutane hapa...
@francojohn84885 жыл бұрын
Daaah bado kichwa kinauma 2019 zile deal bado hazijalipa,hali tete
@thee_mutse14164 жыл бұрын
2020 niko hapa piga like
@MartinPatrick-g6c4 ай бұрын
I'm listening now 2024
@kassimmwanaume82835 жыл бұрын
Yp na chege combination yenu ni hatar sana
@rashidkassim78366 ай бұрын
Yap kichwa kinauma sana tu
@bonnymyles98363 жыл бұрын
I loved these guys' energy back then
@vuaakaswidanzurisanajamal69495 жыл бұрын
Huu wimbo unanikumbusha mbali Sana heshima kwao
@ibbu-tz4 жыл бұрын
Inanoga zaidi kwwnye booooooofffeeerrr!!! 🔊🔊🔊🔊🔊🔊
@husseinsaid91606 ай бұрын
29/5/2024 still a hit😊
@tomsticky3124 Жыл бұрын
Sasaivi chawa muwacheni baba levo ila namkubali
@gladsonbaltazary74493 жыл бұрын
Damn it......nikiwa sina chakula kabisa hii inanipa motisha kabisa🙆🙆🙆🙆🇹🇿 kudaaaadeki
@abdulmohd68806 жыл бұрын
km unkubali kuwa Temba n denger like apa....
@prettyaysha78925 жыл бұрын
Temba was🔥🔥🔥
@nyerichikongoye82055 жыл бұрын
temba mkali boy ,kichwa kinauma
@alexouma61195 жыл бұрын
@@nyerichikongoye8205 kwanza hapo kwa biashara ya kuuza nywele za kiajabu ajabu
@ElvisKakaiАй бұрын
Kichwa kinauma wakenya tangu zakayo achukue uongozi
@stickodidy85196 жыл бұрын
Mngependa Tena irudi? Je nan na nan wawepo kwenye Ngoma Is Back Tmk
@ayanmilitiatmk1465 жыл бұрын
@sticko didy Je? KR tupo kwenye nyimbo yenu mpya mulio shirikisha Mh Temba, Na je sauti ya YP????ASANTE
@azizamaumba48055 жыл бұрын
Yaan unatoka huo mziki me namalza kidato cha NNE dah nzur sana
@azizamaumba48055 жыл бұрын
Had tukawa tunaiga ile tabu ya fimbo sasa imeisha sasa teacher wasemaje
@uwezontalengwa1827 Жыл бұрын
2023 Bado Ngoma inaishi 💪✌️✌️✌️,,tanesco
@kimkevinO Жыл бұрын
2023 baado kichwa kinauma
@yasmeenaal41912 жыл бұрын
22, 11, 2022 nipe Pole kichwa kinaniuma 😇
@hr7tv7314 жыл бұрын
Aslay alokuroga katunyima mziki mzuri
@snaggamwangi48095 ай бұрын
Wakenya tuko wengi 😂😂
@robbenruto80765 жыл бұрын
Tmk alwys my best in Africa
@bisurabakari4025 жыл бұрын
Kichwa kinaumaa
@victorndolo44716 ай бұрын
Still 🔥🔥🔥🔥🔥 in June 2024
@AbuMohamed-t3j28 күн бұрын
chege alikuwa badman waah
@DonKhalifah Жыл бұрын
Marco Chali should come back aise
@abdirizakbashir5781 Жыл бұрын
2023 and still a banger 🎉
@niyonsabaobedy76675 жыл бұрын
Rudieni kazini tume wamisi sanaa napatikana zambia.
@mikekweka765615 күн бұрын
The flow 2024
@kingofkings75256 жыл бұрын
2019 watching
@shukrankalugo14725 жыл бұрын
30/06/2019 gonga like twenda sawa
@rashidwanjala85182 жыл бұрын
Kwa nini huu wimbo hauna 1 million views
@peterhanyako65963 ай бұрын
❤music with lyrical sense
@jaromejonas59103 жыл бұрын
Daah ase hawa jamaa ni nouma na nusu
@winfredkiiru3151 Жыл бұрын
I love 💕 their spirit and passion. Keep with the same spirit. U should have more likes.
@edmonelumadede44636 ай бұрын
I love this songs❤
@kizaibrahim010 ай бұрын
❤❤❤
@chuzbmysterio85845 жыл бұрын
Rest in peace brother still watching you
@jeidaandayi1005 жыл бұрын
Nani alifariki and when?
@jeidaandayi1005 жыл бұрын
Nani alifariki and when?
@jamesamanimasalu5035 жыл бұрын
@@jeidaandayi100 yp
@jamesamanimasalu5035 жыл бұрын
@@jeidaandayi100 YP
@mercyokumu29004 жыл бұрын
yp pumzika
@boazfrancis87676 жыл бұрын
TMK THE RETURN 2019
@reaganmonor78145 жыл бұрын
kwa mpigo tena sana!!!
@gfshbxbbx76404 жыл бұрын
Hahahaha 🤣😆😆😆😆😆😆😆😆😆🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Niko hapa leo kwasababu kichwa kinauma madeni ya WATU daa sijuwi tafanyajedaaa