Mko vizuri sana mtatoboa nyie nime wapenda sana comedy ni kipani chenu
@AFYA_COMEDY4 ай бұрын
Asante saaana. Tunashukuru sana sana na tupo pamoja 🙏
@jamesleonard31Ай бұрын
km
@Man_Freja2 ай бұрын
Nimefurahi sana jamani na afya comedy
@koipahtv3 ай бұрын
Kazi safi wangwana❤
@anthonnykamau71584 ай бұрын
Kazi safi..,, ....Much love from KENYA
@AFYA_COMEDY4 ай бұрын
Asante sana kaka, endelea kuwa nasi
@kazobanassaginery3 ай бұрын
Niko morogolo malinyi nawakubari sana wajomba comedy yenu nzul sana
@jacksonchimataa73893 ай бұрын
Mungu awabariki sana 😂😂😂😂
@user-bi2kp2mr5d3 ай бұрын
Awa wasee wako sawa😂😂
@user-cm7cw5or6y3 ай бұрын
Iko vizuri sanaaaaa 😮😅😅😅haiseee mubarikiwe sanaaa
@AFYA_COMEDY3 ай бұрын
Amen. Asantee
@rodgerskilia8632 ай бұрын
You got my support from Kenya
@grolyligola89593 ай бұрын
Kasato tunduma hongelen sana wazee wangu
@AFYA_COMEDY3 ай бұрын
Asante sana kaka
@HebronKiyungu3 ай бұрын
Nawakubali Hawa komed tuendelee kupeana afya😂
@AziziMapunda-vt4nv3 ай бұрын
Nanyie mutoesumu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@EmmanuelJuma-xf6wj3 ай бұрын
Nimekubari wana 😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@user-nn6nh9ks2o3 ай бұрын
Kazi safii 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@wemmaxclassic3 ай бұрын
Toka kenyaa nakubaliii😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥💯
@AFYA_COMEDY3 ай бұрын
Asante sana mkuu
@mustaphawelder70223 ай бұрын
Angalau nimecheka nimepoteza mawazo ya Simba
@TwahalibHassan3 ай бұрын
Nimewapenda. Sana
@MohamedLigao16 күн бұрын
Nakubali afya komed
@EliwazaSadani3 ай бұрын
Nipomanyaramagugunafuraiyakaziyako😂😂😂😂😂
@Byondorujulika173 ай бұрын
Safi sana, from Cedar Rapids Iowa state USA 🇺🇸
@AFYA_COMEDY3 ай бұрын
Asante sana kaka. Tupo pamojaa
@JosephKipchumba-o1t22 күн бұрын
Kazi safi sanaa
@SimonIsaya3 ай бұрын
Nimecheka na nimefurahi sana, hongera endeleeni hivyo hivyo.
@deboraanyango55843 ай бұрын
Kazi nzuri sana Kaka. Naku tazama kutoka Kenya 🇰🇪 ❤❤
@AFYA_COMEDY3 ай бұрын
Asante sana dada Debora. Tuendelee kuwa pamoja burudani nyingi zinakuja
@Osundwa-uh4ih3 ай бұрын
Shukran wasanii Osundwa Mumias Kenya
@issamkilikiti203 ай бұрын
Aaaaaaah tumetoa stress sana .🙏🙏🙏🙏
@StewardLukama3 ай бұрын
Daa mnatisha baba
@user-kr8ue2xr1v3 ай бұрын
Wapo vizuri sana
@Angle-bw4jr3 ай бұрын
Hongereni sana
@LaurianNtanduКүн бұрын
Nimecheka balaaa
@user-xb6kd7mj6z3 ай бұрын
Wanangu nawakubali kinoma
@djmanywele3 ай бұрын
Nakubali San
@rahmahasan323 ай бұрын
Mko sawa from Kenya ❤❤❤❤
@AFYA_COMEDY3 ай бұрын
Asante saaana
@fauzseif734422 күн бұрын
Chai jaba nimekuona kaka
@jumakarani13 ай бұрын
Nipo manyara babati nakubali kazi nyenu
@BalakaMbugi-cs8nt3 ай бұрын
Sana
@user-rr3qb5oi9e3 ай бұрын
Ko vzr San 😅😅😅😅
@AFYA_COMEDY3 ай бұрын
Asante saaana
@user-co6lt8fq7t20 күн бұрын
Mnatufunza mengi
@daganebaraki84593 ай бұрын
Muna tutukani sis waa african jamani
@DonMooSTUDIO_Express4 ай бұрын
Wale yuliozaliwa kitambo tunaona hii ni kopi na pest yaakina Doctor Mjuzi na Profesa Kazi. Walivuma sana na kanda zao
@AFYA_COMEDY4 ай бұрын
Na ndio maana hatujataka hii aina ya comedy usipotee bora tuiendeleze kwasababu ina watu wake bado. Cha zaidi ni kuiboresha tu na kuiandikia jokes za kusadifu nyakati hizi
@DonMooSTUDIO_Express4 ай бұрын
@@AFYA_COMEDY hapo nimekuelewa sana. Nilikuwa nasikiliza kanda ya wale jamaa kila siku. Nilipowaona hawa kwa mala yakwanza nilizania ni wale lakini nikagundua sio wenyewe kwa majina yao. Niko pamoja na nyie ntawafatilia sana hawa jamaa maana wananikumbusha redio yangu ya kaseti daah!... Tuko pamoja sana kaka
@AFYA_COMEDY4 ай бұрын
@@DonMooSTUDIO_Express Shukraan kaka, tunaomba uendelee kitupa support yako kama hivi kwa kitupa maoni yako na kufuatilia show zetu☺️🙏💪