Mko vizuri sana lakini icho kicheko kinachotokea kina haribu
@AFYA_COMEDY6 ай бұрын
Asante sana kwa maoni yako mdau, tutayafanyia kazi
@MelinaMerlinsАй бұрын
Nawapenda Bure, Much love from kenya ❤❤❤
@patrickmbugua92526 ай бұрын
Mbavu za umma wa kuu. Natokea Nakuru kenya. Afya comedy the big show east n central africa.
@juliuspole1012 ай бұрын
Hizo cheko zinaharibu but mko vizuri hongereni
@AbdurahmanKinia6 ай бұрын
Watching from UAE Kucheka kweli ni dawa Kazi nzuri, 👍👍👍
@LoolKing-z5z6 ай бұрын
Niko saudia ila natokea kenya, i say congratulations to make my day❤
@AFYA_COMEDY6 ай бұрын
Asante sana kwa kutufuatilia. Endelea kuwa nasisi mambo mengi mazuri yanakuja
@samwelishilabhi60056 ай бұрын
hebunikumbushe Uingi wa mbuzi Na mende Ila sasa Matusi Yapungue Ninaangalia Na Watoto😂😂😂😂😂😂😂
@AFYA_COMEDY6 ай бұрын
😂😂😂Hakuna tusi hapo mkuu wangu hii show imehaririwa. Labda kama kuna neno hujapenda tuwie radhi 🙏
@DonMooSTUDIO_Express6 ай бұрын
😂😂😂 WAPOVIZURI SANA 😂😂😂 wananikumbusha mbali sana Dr Mjusi & Profesa Kazi. DAAAH! TUKO PAMOJA SANA
@VenasVenasi6 ай бұрын
Nitaenderea kuwa nanyi Kira siku
@ApolyScott6 ай бұрын
wamasai😂😂
@TanganyikaChakupewaАй бұрын
One love from tz
@EmaSingwaАй бұрын
Safi sana
@EzekielNgasa2 ай бұрын
Hongera tunaftahi
@shukurudastan62376 ай бұрын
Toeni hicho kicheko😊
@TanganyikaChakupewaАй бұрын
Nimecheka kaa chizi
@HamuduniRichard-cg3kl5 ай бұрын
Mko vizuri ila hivyo vicheko mvitoe
@MusaRomani6 ай бұрын
Hongereni sana bwana
@SMLS9955 ай бұрын
muna weza sana mazee
@MohdNassib-wr3ky3 ай бұрын
Waaaaa😂😂😂😂🔥🇹🇿
@mungwetv9452 ай бұрын
Hataraiiiii 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@JulaybibiBabah5 ай бұрын
Nawakubali Sana
@SitaniRongo6 ай бұрын
Pamoja🎉🎉
@AFYA_COMEDY6 ай бұрын
Asante kaka
@AaronKorir-iy7zl6 ай бұрын
Toa iyo kicheko kitenge
@ShehaSalum-p3s6 ай бұрын
Tuko pamoj 😂😂😂😂😂
@AFYA_COMEDY6 ай бұрын
Asante sana kaka
@abounkurunziza28276 ай бұрын
❤ mmenimaliza
@josephngoga62666 ай бұрын
Hongeren san❤
@JacobPhiri-uu2ih6 ай бұрын
Kjk😅❤
@AFYA_COMEDY6 ай бұрын
🤣🤣🤣
@dennowderullow11186 ай бұрын
Hicho kicheko cha haribu(haiowani na washeshi)washeshi wapo inje wanao cheka wamo ndani ya holi🤔
@charlesndunguru54572 ай бұрын
Waje tena
@hilalskach62056 ай бұрын
❤
@AFYA_COMEDY6 ай бұрын
😍
@JacobPhiri-uu2ih6 ай бұрын
Kkkk
@AFYA_COMEDY6 ай бұрын
🤣🤣🤣
@ole_bamuriat36 ай бұрын
A E O U 😂😂😂
@mwanawetumwatumwa30005 ай бұрын
😂😂😂
@DonMooSTUDIO_Express6 ай бұрын
Kunasehemu mnakata kabla neno halijaisha
@AFYA_COMEDY6 ай бұрын
Ukiona hivyo ujue hilo neno halikutakiwa kwenda hewani ndio maana tume "mute" (Na tungetoa kipande kizima basi ingeondoa maana na utamu. Hii ni show ya TV
@DonMooSTUDIO_Express6 ай бұрын
@@AFYA_COMEDY anha! Badi mngekuwa mnawaambia maneno gani hayatakiwi kutumika ili wakiwa wanaandaa vipindi vyao wawe wanachunga maneno yasiyo faa ili kuleta ubora wa kazi zao....