Рет қаралды 856
Hatimaye Mfalme Charles III ametawazwa kuiongoza Uingereza katika hafla ambayo imefanyika pale Westminster Abbey na imeshuhudiwa na mamilioni ya watu duniani. Baada ya kuapishwa, niu kibarua gani kupo mbele yake? Karibu katika Chekeche.
#AzamTVUpdates